Hapa kuna makala zote Bonyeza neno 'Soma zaidi' kuendelea kusoma

uvimbe kwenye kizazi 0

uvimbe kwenye kizazi

Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi. Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji...
Dawa Asili 7 zinazotibu tatizo la kutapika 78

Dawa Asili 7 zinazotibu tatizo la kutapika

DAWA ASILI 7 ZINAZOTIBU TATIZO LA KUTAPIKA Kutapika mara nyingi siyo ugonjwa hasa unaohitaji uangalizi mkubwa. Kwa kawaida huwa ni jambo la muda mfupi tu na kama matokeo ya mwili wako kutokupatana na chakula...
Dawa asili 10 zinazotibu kikohozi 526

Dawa asili 10 zinazotibu kikohozi

DAWA ASILI 10 ZINAZOTIBU KIKOHOZI Kikohozi ni moja ya ugonjwa ambao huwapata watu karibu wote. Kunapotokea kuzibika au muwasho kwenye koo lako ubongo hutambua kuwa kuna wavamizi kutoka nje na hivyo huuamrisha mwili wako...
Chanzo na suluhisho la ugumba kwa wanaume 783

Chanzo na suluhisho la ugumba kwa wanaume

CHANZO NA SULUHISHO LA UGUMBA KWA WANAUME Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano...
Dawa za asili 8 zinazotibu tatizo la kukojoa kitandani 583

Dawa za asili 8 zinazotibu tatizo la kukojoa kitandani

Dawa za asili 8 zinazotibu tatizo la kukojoa kitandani Kukojoa kitandani ni tatizo la kawaida miongoni mwa watoto wadogo wakati mwingine wapo hata watu wazima wanaokabiliwa na tatizo hili. Ni kitendo cha kutokujitakia cha...
921

Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini

NJIA 16 ZA KUONDOA SUMU MBALIMBALI MWILINI Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia...
Rekebisha homoni zako sasa upate ujauzito 583

Rekebisha homoni zako sasa upate ujauzito

REKEBISHA HOMONI ZAKO SASA NA UPATE UJAUZITO Homoni zina mchango mkubwa katika afya kwa ujumla katika mwili wa mwanamke hasa linapokuja suala la uzazi. Mara nyingi usawa usio sawa wa homoni husababishwa na mabadiliko...
Ujauzito 45

Tatizo la ugumba kwa wanawake na suluhisho lake

TATIZO LA UGUMBA KWA WANAWAKE NA SULUHISHO LAKE Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa...
Mbegu za nyonyo 1,209

Tiba mbadala ya uzazi wa mpango

Tiba mbadala ya uzazi wa mpango Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa...
Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume 8

Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume

Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga...
dawa ya uzazi wa mpango 1

Dawa ya uzazi wa mpango

Dawa ya uzazi wa mpango Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa na...
Dawa ya asili ya uzazi wa mpango 639

Dawa ya asili ya uzazi wa mpango

Dawa ya asili ya uzazi wa mpango Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga...
Jinsi ya kuongeza uume bila dawa 15

Jinsi ya kuongeza uume bila dawa

Jinsi ya kuongeza uume bila dawa Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi. Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa...