Author: fadhili

Bawasiri na tiba zake 194

Bawasiri na tiba zake

Bawasiri na tiba zake Dawa za asili 14 zinazotibu Bawasiri Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au...

Soma zaidi>
Jitibu aleji kwa kutumia Binzari 366

Jitibu aleji kwa kutumia Binzari

Jitibu aleji kwa kutumia Binzari Je unatafuta dawa ya asili nzuri na yenye uhakika ya kutibu aleji? Umechoka kutumia dawa zenye kemikali zinazokuacha na madhara mengine baada ya kuzitumia? Kama ni ndiyo basi manjano...

Soma zaidi>
Dawa asili 10 zinazotibu kikohozi 529

Dawa asili 10 zinazotibu kikohozi

DAWA ASILI 10 ZINAZOTIBU KIKOHOZI Kikohozi ni moja ya ugonjwa ambao huwapata watu karibu wote. Kunapotokea kuzibika au muwasho kwenye koo lako ubongo hutambua kuwa kuna wavamizi kutoka nje na hivyo huuamrisha mwili wako...

Soma zaidi>
dawa ya uzazi wa mpango 3

Dawa ya uzazi wa mpango

Dawa ya uzazi wa mpango Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa na...

Soma zaidi>
Nguvu za kiume dawa 2

Nguvu za kiume dawa

Nguvu za kiume dawa Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana. Katika kilele cha juu kabisa...

Soma zaidi>
Asali katika nguvu za kiume 2

Asali katika nguvu za kiume

Asali katika nguvu za kiume Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani...

Soma zaidi>
Nguvu za kiume asali 0

Nguvu za kiume asali

Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa...

Soma zaidi>
Nguvu za kiume nini 0

Nguvu za kiume nini

Nguvu za kiume nini Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana. Katika kilele cha juu kabisa...

Soma zaidi>
Nguvu za kiume kuongeza 2

Nguvu za kiume kuongeza

Nguvu za kiume kuongeza Katika kujitibu tatizo hili jambo la kwanza ni kuelewa ni nini kimesababisha tatizo hilo kwa upande wako. Ikiwa unasumbuliwa na mfadhaiko/stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote....

Soma zaidi>
Nguvu za kiume tiba 2

Nguvu za kiume tiba

Nguvu za kiume tiba Katika kujitibu tatizo hili jambo la kwanza ni kuelewa ni nini kimesababisha tatizo hilo kwa upande wako. Ikiwa unasumbuliwa na mfadhaiko/stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote....

Soma zaidi>
28

Dawa ya fangasi kwa wanaume

Dawa ya fangasi kwa wanaume Ugonjwa wa fangasi (Candidiasis) husababishwa na vimelea vijulikanavyo kwa kitaalamu kama ‘Candida albicans’. Vimelea hivi hushambulia jinsia zote lakini hushambulia zaidi wanawake sababu ya maumbile yao ya sehemu za...

Soma zaidi>
0

Dalili za Kisukari

Dalili za Kisukari kiu iliyozidi kukojoa mara kwa mara kupatwa na ganzi kwenye miguu na mikono kujisikia mchovu kutoona vizuri kuongezeka njaa kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Ikiwa daktari atakuona una dalili za kuwa...

Soma zaidi>
0

Kisukari

Kisukari Kisukari ni ugonjwa wa kongosho, wakati uzarishaji wa Insulini au utolewaji wake haufanyi kazi vizuri, na ikiwa hali hii haitadhibitiwa, inaweza kusababisha matatizo makubwa kwenye macho, figo, neva, mishipa ya damu, Ini na...

Soma zaidi>
19

Dalili za bawasiri

Dalili za bawasiri Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa Haja kubwa...

Soma zaidi>
51

Bawasiri husababishwa na nini

Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles. Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza...

Soma zaidi>
3

Bawasiri

Bawasiri Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles. Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri...

Soma zaidi>
nguvu za kiume 10

nguvu za kiume

Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana. Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa,...

Soma zaidi>
4

Dalili za malaria

Dalili za malaria Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea, Vimelea vya malaria vinavyoitwa Plasmodia, hungia katika mfumo wa damu kupitia kuumwa na mbu jike aitwaye kwa kitaalamu kama ‘Anopheles’. Dalili zake ni pamoja na...

Soma zaidi>
2

Dawa ya malaria

Dawa ya malaria Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea, Vimelea vya malaria vinavyoitwa ‘Plasmodia’, hungia katika mfumo wa damu kupitia kuumwa na mbu jike aitwaye kwa kitaalamu kama ‘Anopheles’. Dalili zake ni pamoja na...

Soma zaidi>
81

Dawa ya malaria sugu

Dawa ya malaria sugu Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea, Vimelea vya malaria vinavyoitwa Plasmodia, hungia katika mfumo wa damu kupitia kuumwa na mbu jike aitwaye kwa kitaalamu kama ‘Anopheles’. Dalili zake ni pamoja...

Soma zaidi>
Dawa ya jino lililooza 3

Dawa ya jino lililooza

Dawa ya jino lililooza Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na hata...

Soma zaidi>
0

Dawa ya jino linalouma

Dawa ya jino linalouma Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na hata...

Soma zaidi>
0

Dawa ya jino kwa mjamzito

Dawa ya jino kwa mjamzito Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na...

Soma zaidi>
0

Dawa ya jino ni ipi

Dawa ya jino ni ipi Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na...

Soma zaidi>
2

dawa ya jino bila kung’oa

Dawa ya jino bila kung’oa Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na...

Soma zaidi>
2

Dawa ya jino ya kienyeji

Dawa ya jino ya kienyeji Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na...

Soma zaidi>
289

Dawa ya jino ya asili

Dawa ya jino ya asili Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na...

Soma zaidi>
0

dawa ya jino ni nini

Dawa ya jino ni nini Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na...

Soma zaidi>
2

dawa ya jino bovu

Dawa ya jino bovu Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na hata...

Soma zaidi>
6

dawa ya jino lenye tundu

Dawa ya jino lenye tundu Maumivu ya jino ni moja ya maumivu mabaya sana kuyapata, maumivu mengine mabaya zaidi ni maumivu ya sikio. Jino linaweza kupatwa na maumivu ambayo yanaweza kupelekea jino kutoboka na...

Soma zaidi>
1,471

Dawa ya bawasiri

Bawasiri na tiba zake Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles. Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa...

Soma zaidi>
41

chanzo cha fangasi

  Fangasi ni nini Watu wengi hawajisikii vizuri unapokuja wakati wa kuzungumza juu ya fangasi kutokana na namna ugonjwa wenyewe unavyochukuliwa na jamii. Hii inatokea sababu mara nyingi ugonjwa huu hutokea sehemu ambazo ni...

Soma zaidi>
Afya Kila Siku WhatsApp Group 546

Afya Kila Siku WhatsApp Group

AFYA KILA SIKU WhatsApp Group Kwa Sasa WhatsApp ndiyo habari ya mjini, kama huna WhatsApp hadi sasa basi unachelewa mengi. Jiunge na Group langu la WhatsApp liitwalo “Afya Kila Siku”. Utapata faida gani ukiwa...

Soma zaidi>
906

Dawa za Asili 10 zinazotibu chunusi

Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujitokeza kama viuvimbe au vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso, kifuani na hata mgongoni. Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta...

Soma zaidi>

Faida 15 za limau au ndimu kiafya

Faida 15 za limau au ndimu kiafya Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani...

Soma zaidi>
ukubwa wa uume 226

Ukubwa wa uume

Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi. Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa...

Soma zaidi>
Vidonda vya tumbo kwa mama mjamzito 52

Vidonda vya tumbo kwa mama mjamzito

VIDONDA VYA TUMBO KWA MAMA MJAMZITO Mwanamke mjamzito anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito. Hata hivyo tafiti nyingi zinathibitisha idadi ya wanawake wajawazito wanaopatwa na vidonda vya tumbo kwa sasa...

Soma zaidi>
Asali & Mdalasini 177

Asali ni dawa ya vidonda vya tumbo

  Asali mbichi, ile nzuri kabisa ambayo haijachakachuliwa inao uwezo mkubwa katika kutibu vidonda vya tumbo. Kama ujuavyo asali ni dawa karibu kwa kila ugonjwa. Kuna kimeng’enya kilichomo kwenye asali kijulikanacho kama ‘glucose oxidase’...

Soma zaidi>
nguvu za kiume 38

Dawa ya nguvu za kiume

Dawa ya nguvu za kiume Katika kujitibu tatizo hili jambo la kwanza ni kuelewa ni nini kimesababisha tatizo hilo kwa upande wako. Ikiwa unasumbuliwa na mfadhaiko/stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa...

Soma zaidi>
Asali & Mdalasini 23

Nguvu za kiume na asali

Nguvu za kiume na asali Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani...

Soma zaidi>
Dawa ya Asili inayotibu Kikohozi 370

Dawa ya Asili inayotibu Kikohozi

Dawa ya Asili ya Kikohozi Kikohozi ni moja ya ugonjwa ambao huwapata watu karibu wote. Kunapotokea kuzibika au muwasho kwenye koo lako ubongo hutambua kuwa kuna wavamizi kutoka nje na hivyo huuamrisha mwili wako...

Soma zaidi>
Dawa mbadala 13 zinazotibu Pumu 190

Dawa mbadala 13 zinazotibu Pumu

Kabla tuliona namna upungufu wa maji mwilini (dehydration) unavyoweza kusababisha tatizo la Pumu mwilini, unaweza kulisoma somo hapa => Pumu ni Ishara ya mwili kuishiwa maji Katika somo hili tutajadili dawa mbadala 13 zinazoweza...

Soma zaidi>
faida za tikiti maji kiafya 1,017

faida 13 za tikiti maji kiafya

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi. Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa...

Soma zaidi>
Jitibu kwa kutumia maji 26

Kweli 33 za kushangaza kuhusu maji

Kweli 33 za kushangaza kuhusu maji Je eneo unaloishi maji ya kunywa yanapatikana vya kutosha kila siku? Hebu fikiri maisha bila maji! HAIWEZEKANI KUISHI BILA MAJI. Utaona ni zawadi gani kubwa namna hii Mungu...

Soma zaidi>
Kansa ya matiti 11

Chanzo cha saratani ya matiti

Chanzo cha saratani ya matiti Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine. Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni maalumu ambazo hudhibiti mwili wake...

Soma zaidi>
Mayai ya kukaangwa 2

Mayai ya kukaanga na mboga mboga

Mahitaji; Nyanya kubwa 1 Kitunguu maji kikubwa 1 Karoti 1 Pilipili hoho 1 Mayai 2 Kotmiri Mafuta kidogo ya kupikia Chumvi Namna ya kuandaa; – Katakata hizo mboga mboga zote katika vipande vidogo vidogo...

Soma zaidi>
namna ya kuitambua kiu 142

Namna mpya ya kuitambua Kiu

Je ni muda gani unakunywa maji? Je ni baada ya kusikia kiu?, ni baada ya kuona mdomo umekauka? Ningependa kusikia jibu lako kabla sijaendelea… Kiu ni nini ? Kiu au mdomo uliokauka si ishara...

Soma zaidi>
245

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Kisukari

Kisukari ni ugonjwa wa kongosho, wakati uzarishaji wa Insulini au utolewaji wake haufanyi kazi vizuri, na ikiwa hali hii haitadhibitiwa, inaweza kusababisha matatizo makubwa kwenye macho, figo, neva, mishipa ya damu, Ini na moyo....

Soma zaidi>
Ugumba 49

Tatizo la Ugumba kwa wanawake

Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa wanawake.   Nini husababisha ugumba kwa wanawake? Mayai...

Soma zaidi>
12,500

Dawa mbadala 9 zinazotibu U.T.I

U.T.I ni kifupi cha maneno ya kiingereza: ‘Urinary tract infections’, ni maambukizi ya bakteria katika njia ya mkojo. Ni moja ya ugonjwa unaowakumba sana wanawake kwa sehemu kubwa ingawa hata wanaume pia wanapatwa na...

Soma zaidi>
Siagi ya Karanga 50

Faida 12 za Siagi ya Karanga

Siagi ya Karanga ni moja ya vitu mhimu jikoni katika nyumba nyingi siku hizi, inapendwa na kila mtu watoto na watu wazima. Mimi napenda zaidi kuitumia kwenye mkate lakini pia unaweza kuongeza siagi ya...

Soma zaidi>
mfadhaiko 354

Dalili na Ishara 50 za Mfadhaiko

Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine zinazohitaji umakini kwa wakati mmoja. Jambo hili linaweza kuuteka ubongo na kudhoofisha uwezo wake. Hatimaye...

Soma zaidi>
Kitunguu swaumu 2,001

Kitunguu Swaumu hutibu magonjwa 30

Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja...

Soma zaidi>
faida 50 za mazoezi 124

Hizi ndizo faida 50 za mazoezi

Umhimu wa mazoezi kwa afya bora na maisha marefu bila maumivu. Moja ya mahitaji matano (5) mhimu ili kuishi baada ya oksijeni, maji, chumvi, na potasiamu; ni Mazoezi. Mazoezi ni mhimu kwa ajili ya...

Soma zaidi>
Kachumbari 69

Kachumbari/fresh mixed salad

Kachumbari/fresh mixed salad Mahitaji: Utahitaji mboga mboga fresh zifuatazo, si lazima uwe nazo zote lakini walau zifikie 5; Nyanya fresh Vitunguu maji Pilipili hoho Kabeji Lettuce (tamka letusi) Maharage machanga (greenbeans (tamka; grinibinzi)) Kaloti...

Soma zaidi>
101

Tabia 10 zinazoharibu Figo

Tabia 10 zinazoharibu Figo Kubana mkojo muda mrefu Kutokunywa maji ya kutosha kila siku Kutumia chumvi nyingi kuzidi kiwango Kula nyama mara nyingi Kutokula chakula cha kutosha Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na...

Soma zaidi>
Juisi ya Nyanya 122

Faida 7 za Juisi ya Nyanya

Karibu mpenzi msomaji wangu na leo ninakuletea somo hili la namna ya kuandaa juisi safi na yenye afya, juisi ya nyanya. Endelea kusoma … Unahitaji; Nyanya kubwa 8 Jira (cumin seeds) vijiko vya chai...

Soma zaidi>
Jitibu kwa kutumia maji 132

Jitibu kwa kutumia maji mp3

  Jifunze kwa kusikiliza audio hii namna ya kujikinga na kujitibu na maradhi au magonjwa mengi mwilini kwa kutumia maji tu. Hii ni sehemu ya kitabu kiitwacho ‘Maajabu ya Maji Katika Kujikinga na Kujitibu...

Soma zaidi>
Asali & Mdalasini 166

Asali na Mdalasini

Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa...

Soma zaidi>
mlonge 272

Maajabu ya Mlonge

Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa...

Soma zaidi>