Baking Soda ni dawa inayotibu saratani ya tezi dume

Baking Soda ni dawa nyingine ya asili inayotibu saratani ya tezi dume

You may also like...

127 Responses

 1. Asante mkuu, pia nina swali kuhusu tumbo langu linaunguruma mara kwa mara na sijui linasababishwa na nini?

 2. Neema Masabo Neema Masabo says:

  Hii ndo inaondoa rangi kwenye meno ??

 3. Ahsante kwa somo zuri

 4. Farida Khama Farida Khama says:

  Docta tezi dume ni hernia au?

 5. Lucas Mahugi Lucas Mahugi says:

  Tafadhari doctor nisaidie, kunapost fulani ulitoa kwamba mlonge unatibu magonjwa zaidi ya 300, ikiwemo mtoto wa jicho na uvimbe kwenye macho, mimi macho yangu yote yanauvimbe na nilianza kwa kuwashwa baadae kuwashwa kulikoma kilichobakia ni uvimbe ambao huleta maumivu kidogo, mbegu za mlonge ninazo na majani yake naweza kuyapata je, mlonge nitautumiaje kutibu huo uvimbe maana inanisumbua kweli.

 6. Lucas Mahugi Lucas Mahugi says:

  Vyote kijiko kimoja cha baking soda na vijiko viwili vya asali mbichi tunaweka kwenye glass moja ya maji ya kunywa??

 7. Nahis furaha kujuana na ww masomo yako yamekua faraja kwangu mungu akubarik ila nitafutie dawa ya kuondoa mvi haya madawa ya kunyolea cku hz yanatutoa mvi mapema watoto wa 85

 8. Hii ndio ianondoa weusi kwapan ukichangany na limao….sorry

 9. Asante ubarikiwe Dr.Nimenaribu kupakua ile app yako lkn sikuiona.nisaidie mpendwa.

 10. vp kuhusu tatzo la choo inatibu?

 11. Asante kwa soma lako ila nilikuwa nataka dawa ya kuacha kuvuta sigara

 12. Amina Ezeky Amina Ezeky says:

  Mwenyenzi Mungu akutunze sasa wewe kaka kupitia makala zako nimeweza kujitibu kabisa U. T. I bila dawa za hospitals ambazo nyingi zinatuliza tuu BARIKIWA SANA SANA

 13. Je? Inaweza kutibu GOITA?

 14. John Kahanga John Kahanga says:

  Mzee unatisha sana

 15. Asante kwa somo zuri,Je naweza kupata dawa ya ngiri?

 16. Nay Mbwambo Nay Mbwambo says:

  Asante na Mungu akubariki

 17. Juma Mlacha Juma Mlacha says:

  Hasante nzuri sana

 18. MUNGU AKULIPE, AKUZIDISHIE ELIMU NA MAARIFA.

 19. naweza kutumia hatakama siumwi?

 20. Nashukuru naomba unisaidie dawa ya mtoto wa miaka kumi anakojoa kitandani

 21. daktali polenakazi kunandugu yangu alienda kupima aliambiwa anatezi dume nahana mtoto inasababisha au naje akitumia iyodawa analuhusiwa kwenda kupima na ataweza kupata watoto asante

 22. Tumeshukuru kwa maelezo

 23. Tumeshukuru kwa maelezo

 24. naomba kujua dawa ya fangasi doctor

 25. Nitaipata wapi hii baking soda

 26. Zawad Mosha Zawad Mosha says:

  Je ukitaka kujikinga na saratani ya matiti ni nitumie kitu gani?

 27. Nilisoma link moja,na watu walikuwa wakitoa ushuhuda kwa hili!inasaidia kuzibua mirija ya uzazi na kupevusha mayai kwa wanawake wasiopata/kushika mimba!kuna namna ya kuitengeneza ili kupata juisi yake,utatumia ndizi mbivu, Yai bichi,na paketi moja ya maziwa fresh inasagwa kwenye blenda utainywa siku ya kwanza baada ya kumaliza siku za hedhi asbh,mchana na jioni kwa cku moja halafu usinywe tena kwasababu inafanya kazi muda mrefu kazi yako ni kumsumbua mwenzi wako tuuuu kwa ajili ya mtoto!!!

 28. Wajanja tunavinjari hapa kupata matibabu bila malipo , maisha marefu yawe nawe.

 29. Baking soda inatibu hata saratani ya matiti?

 30. Asante Dokta ama kweli ww ni hazina barikiwa uingiapo na utokapo ndugu

 31. Aziza Chaiyo Aziza Chaiyo says:

  unaweza ukampa mtt

 32. Aziza Chaiyo Aziza Chaiyo says:

  hiyo ya kutengeneza na asali

 33. Naomba kuuliza tenzi dume na henia nikitu kimoja

 34. Halima Nour Halima Nour says:

  Samahani mimi nina shida nikiswaki fizi zangu huwa zinatoa damu naomba tiba yake

 35. Ina tibu kiungulia cha mtu mwenye vidonda vya tumbo

 36. Rahma Abbas Rahma Abbas says:

  kwenye maswala ya uzazi ikixhachanganya huo mchanganyiko unakunywa kiaxi gani yani kipimo nainaxaidia kweli kupata mtoto

 37. Rahma Abbas Rahma Abbas says:

  naukixhakunywa hivyo unakaa kwa muda was xiku ngapi

 38. mbona nilipojaribu kuitumia niligundua ni chungu sana dkt

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *