Bawasiri husababishwa na nini

Bawasiri husababishwa na nini

You may also like...

51 Responses

 1. Tafadhari mtaalam tuongezee jinsi na dalili ya ugonjwa huu

  • DALILI ZA BAWASIRI

   1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
   2. Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia
   3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
   4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
   5. Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

 2. Baba tunaomba msaada wa matibabu wengine ni wahanga

 3. Jinsi ya kujikinga na matibabu tuanomba msahada

 4. Kaku Ndollo Kaku Ndollo says:

  hiv huu ndio ugonjwa gani,pengine jina linanitatiza

  • Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles.

 5. Unspotaja ugonjwa jaribu kuuelezea au toa jina la kiaalam la kingereza, kiswahili kigumu naha kama sio field yako!!BAWASIRI ndo nini!?

  • Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles.

  • Asante dawa yk naomba maana hata mwanangu inamsumbua

  • Nurushabani Amani DAWA ZA ASILI 6 ZINAZOTIBU BAWASIRI

   Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles.

   Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upasuaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani.

   Zisome hizo dawa wewe mwenyewe kwa kubonyeza hapa => https://goo.gl/Kt44CG

   Tafadhali SHARE kwa ajili ya wengine

 6. Nitu Mshana Nitu Mshana says:

  toa ushauri unaweza tumia nini dr kutokomeza tatizo

  • DAWA ZA ASILI 6 ZINAZOTIBU BAWASIRI

   Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles.

   Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upasuaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani.

   Zisome hizo dawa wewe mwenyewe kwa kubonyeza hapa => https://goo.gl/Kt44CG

   Tafadhali SHARE kwa ajili ya wengine

  • Flora Azarem Flora Azarem says:

   wengine hawana whp watakupata vip

  • Flora Azarem Kama wanayo facebook wanaweza kuwa na whp pia na tayari ninao weeengi sana huko whp

 7. Habari Doctor,samahani naomba kufahamu ninamgonjwa yeye hicho kinyama kimetoka ni kirefu sana zaidi ya urefu wa kalamu je nibawasiri pia?

  • DAWA ZA ASILI 6 ZINAZOTIBU BAWASIRI

   Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles.

   Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upasuaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani.

   Zisome hizo dawa wewe mwenyewe kwa kubonyeza hapa => https://goo.gl/Kt44CG

   Tafadhali SHARE kwa ajili ya wengine

  • Dokta kwa mtu ambae hiyo blog haifunguki ya namna ya matibabu utamsaidiaje?

  • Veronica Milanzi Kwanini isifunguke ndugu

 8. #kukaa kwa mda mrefu pia, haswa wale wanaokaa kwenye maofisi mda mrefu

 9. Sammy Dallas Sammy Dallas says:

  Je unaweza kupona bawasili iliyoka nje kinyama kwa kupaka mafuta ya abat swaada

 10. Tiba yake ni ipi sasa mtaalamu

 11. Matibabu yake nn?

 12. Mtumishi shaloom! Dawa nini ?

 13. Nasreen Juma Nasreen Juma says:

  Matibabu doctor please

 14. Daudi Mmari Daudi Mmari says:

  Ukweli Yesu ni Bwana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *