Bawasiri na tiba zake

Bawasiri na tiba zake

You may also like...

194 Responses

 1. Asante sana docta kunjuza

 2. be blessed, na pumu je inatibika?

 3. Nini dalili za bawasir, kwa binadamu?

 4. gharama za dawa shilingi gapi

 5. Mam Kim Mam Kim says:

  Dokta kokwa la embe nikile kiini cha ndani au vyote nalile gamba gumu

 6. daaah mimi nilikatwa kwa njia ya kienyeji lkn baada ya miaka kadhaa ikarudi sijajua shida yake nn

 7. Mussa Lukuwi Mussa Lukuwi says:

  Je ukila vyakula vyenye nyuzi namaji mengi kunauwezekano wa kupona?

 8. Makassy John Makassy John says:

  Be blessed Dr. ningeomba makala about shubili au aloe vela,

 9. ASANTE DK,NAOMBA UNISAIDIE DAW YAKUTBU FANGAS KWENYE UKE KWA MAMA ANAENYONYESHA,.

 10. Nancy Senya Nancy Senya says:

  Sasa mtu utajuaje kama unayo maana umesema kuna ya ndan plz

 11. Hivi dokta unaweza rusha no zako?

 12. Levi Katinde Levi Katinde says:

  Vipi kuhusu goitre ipo dawa yake?

 13. Kuna aina ngap za bawasir

 14. dawa ya nguvu za kiume ili mtu upge hata raund tano nne bila kustop

 15. ubarikiwe mnoo Bro💐💐💐💐

 16. Shukrani doktar kwakutuelimisha

 17. Asante bro je kati ya dawa hizo ni ipi anaweza kutumia mjamzito?

 18. Moza Shabani Nampunde

 19. Doctar bawasiri ni kwa wasicha au pande zote na huwa ni watu Wa aina gn wenye bawasiri

 20. Abeid Hemed Abeid Hemed says:

  Doctor hilo li barafu linaweza kuponyesha bawasiri ya kutoka nje naomba unijbu samahani doctor

 21. Je ukikata kuna madhara doct

 22. Asante kwa elimu yako!

 23. Zawad Hamis Zawad Hamis says:

  Dr unazo mbegu za almonds( lozi) na zipatikana kwa bei gani?.

 24. Yusta Deblo Yusta Deblo says:

  Habari docta mm nimetoka kinyama kidogo ila hakiwashi nakumbuka zamani kilinitokea nikakata ila kulikua kinawasha sana but cha ss akiwashi

 25. Nashukuru kwa maelezo yako mazuri hilo tatizo mie ninalo lakini halinisumbui sana nilikua nataka njia ya mkato yaani oparation ya kukikata je ? Ni njia sahihi na huduma hii inatolewa hosptali ipi?

 26. dkta mtoto mwenye degedege dawa ipo

 27. Tinõ Böy Tinõ Böy says:

  Doctor me ndugu yangu mmoja anatatizo la ajabu kweli cjui naeza funguka
  apa apa

 28. Asante dr nitakutafuta

 29. Ayo mafuta ya nazi yakupika mwenyewee au ya dukani

 30. Doctor ubalikiwe sana

 31. Juma Guni Juma Guni says:

  Unapatikanaje ???hilo tatizo hua linanitokeaga

 32. Nash Fredy Nash Fredy says:

  Doct mim ninacho ninawez tumia mwalover au nitakua nakosea

  • Kutegemea na umri wako na namna ugonjwa ulivyojijenga na kudumu, unaweza kuhitaji dawa moja au mbili au hata tatu kwa pamoja kati ya hizi zifuatazo. Kumbuka kumshirikisha daktari wako kabla ya kuamua kuzitumia hizi dawa.

 33. Kago Bahati Kago Bahati says:

  Asante kwa somo Dr,dawa n bei gan

 34. Doctor ubarikiwe sana

 35. Rehema Seifu Rehema Seifu says:

  Doctor inakuaje kuhusu malipo ili nipate hiyo dawa mimi niko mikowani.

 36. Mimi nipo Kigoma itanifikia kwa Tsh ngapi? Nina tatizo hilo

 37. du axante xana dokta fadhil dogo anaumwa

 38. Jane Nkinda Jane Nkinda says:

  Baking soda inasaidia kutibu bawasiri ya nje

 39. Docter nielekeze dawa ya kucha kula udongo Nina miaka3 najitahidi kuacha nashindwa msaada please

 40. mim nlipat kpnd cha ujauzito na nlijifungua ila had saiv bd naon ipo.ngj nijarb kutumia baking poda

 41. Docta je kwa MTU aliyepooza anaweza akatumia DAWA zip ili anhalau awe vizur nisaidie Docta ahsante

 42. Hajra Amiri Hajra Amiri says:

  Hbr dokta mimi pia naisi nimetoka na icho kinyama ila akinisumbui sasa naitaji tiba maana kinanipa mawazo sana

 43. Je kama mama in mjamzito akatwe na kina madhara akiacha mpaka ajifunguevmadam hakimsumbui?

 44. Nilikuwa nauliza mtoto nae anaweza kutumia mualovela

 45. Amli Kitenge Amli Kitenge says:

  JE INATOKA NA NINI HASWA MPKA KUPATA MAGONJWA HAYO

 46. Amli Kitenge Amli Kitenge says:

  Na pia naomba unitumie NAMBA zako plz

 47. Zaina Mboma Zaina Mboma says:

  Unapatikana wapi

 48. Asia Msangi Asia Msangi says:

  Nitakutafuta dokta

 49. Dkt. Kwa Watoto Chini Ya Miaka Miwili Akiwa Na Bawasiri Ya Ndani Utamjuaje?

 50. Glory Kimaro Glory Kimaro says:

  Hongera kwa kutuelimisha. Mungu akubariki.

 51. miminimojawapowaugonjwahuo,nimetibiwa_sectlenagvt_hospit,geita,kwamdamlefu,ilishindikana,je?nawezanikapona,nisaidie

 52. Tumain Said Tumain Said says:

  He bawasiri INA Tania ya kutoa kitu kama maji?

 53. Alhajj Iddi Alhajj Iddi says:

  Naomba kuwa pmj na nyny

 54. Alhajj Iddi Alhajj Iddi says:

  Mm mjamzito je nafaa kutumia DAWA hizi pia

 55. Masud Sleyim Masud Sleyim says:

  safi docter UBARIKIWE sana

 56. Hawa Kassimu Hawa Kassimu says:

  Asante sana doc ila ninashida naomba unisaidie mwanangu anamiaka miwili na miezi mitatu anasumbuliwa na kifua kinabana wakati anapokuwa na kikoozi na mafua

 57. Asante kwa somo zuri nimejifunza mengi nimepata faida ubarikiwe sana ujue nakufuatiliaga sana somo

 58. Mm naitaji dawa bawasiri yng ile ya ndani ,nikienda chooni napata maumivu makali sana

 59. Asanteh Sana Lait kama dawa zako simiyu zinapatkana ningenunua mi ninayo hicho kinyamaa kwa mbali kinaonekana aiseee ad dam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *