Kila kitu kuhusu Kolesteroli

Kila kitu kuhusu Kolesteroli Karibu nusu ya watu wazima nchini Marekani wanatatizwa na kolesteroli. Kwa kusikia tu sentensi ‘’Una kolesteroli iliyozidi’’ toka kwa daktari kunaweza kumfanya mtu yeyote kuingiwa na hofu. Hata hivyo, linapokuja...