Category: Matangazo

Kiwanja kisarawe 113

Kiwanja kikubwa kinauzwa – Kisarawe

Kiwanja kikubwa kinauzwa – Kisarawe Ukubwa: Ekari 5 Mahali: Kisarawe mtaa wa visegese. Kisarawe ipo magharibi na nje kidogo ya jiji la Dar-Es-Salaam mwendo wa dakika 20 kwa gari kutoka gongolamboto. Unaweza kuingia kisarawe...