Category: Shinikizo la damu

Shinikizo la damu 0

Madhara ya shinikizo la juu la damu

Madhara yanayoweza kuletwa na shinikizo la damu: Kwa mjibu wa dr.Batmanghelidj, kutokulielewa shinikizo la damu kama moja ya ishara za mwili kupungukiwa maji na kulitibu kwa dawa za kukojosha ambazo zinaukausha mwili zaidi, baada...
Shinikizo la damu 0

Nini maana ya shinikizo la juu la damu?

Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer Shinikizo la...
Shinikizo la damu 45

Shinikizo la damu: Chanzo na Tiba yake

Nini maana ya shinikizo la damu? Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa...