Category: Ugonjwa wa Ngiri

33

Dawa ya Ngiri ya kwenye kitovu

Dawa ya Ngiri ya kwenye kitovu (Umbilical Hernia) Hii ni aina ya ngiri ambayo inatokea tu bila kuhusisha  kasoro za kuzaliwa nazo. Mara nyingi hutokea kama matokeo ya mgandamizo wa hewa au nguvu ndani...
258

Dawa ya ngiri ya kifua

Ngiri ya kwenye kifua (Hiatus Hernia) Ngiri ya Kifua ni tundu linalotokea baada ya sehemu ya juu ya tumbo kuingia kwenye sehemu ya kifua kupitia uwazi ujulikanao kwa kitaalamu kama ‘esophageal hiatus’. Uwazi huu...
131

Ugonjwa wa mshipa wa ngiri

Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au...