Category: Uzazi

Chanzo na suluhisho la ugumba kwa wanaume 783

Chanzo na suluhisho la ugumba kwa wanaume

CHANZO NA SULUHISHO LA UGUMBA KWA WANAUME Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo. Kuna uwezekano...
Rekebisha homoni zako sasa upate ujauzito 583

Rekebisha homoni zako sasa upate ujauzito

REKEBISHA HOMONI ZAKO SASA NA UPATE UJAUZITO Homoni zina mchango mkubwa katika afya kwa ujumla katika mwili wa mwanamke hasa linapokuja suala la uzazi. Mara nyingi usawa usio sawa wa homoni husababishwa na mabadiliko...
Ujauzito 45

Tatizo la ugumba kwa wanawake na suluhisho lake

TATIZO LA UGUMBA KWA WANAWAKE NA SULUHISHO LAKE Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa...
Mbegu za nyonyo 1,209

Tiba mbadala ya uzazi wa mpango

Tiba mbadala ya uzazi wa mpango Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa...
Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume 8

Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume

Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga...
dawa ya uzazi wa mpango 1

Dawa ya uzazi wa mpango

Dawa ya uzazi wa mpango Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa na...
Dawa ya asili ya uzazi wa mpango 639

Dawa ya asili ya uzazi wa mpango

Dawa ya asili ya uzazi wa mpango Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga...
507

Dawa zinazoondoa maumivu wakati wa hedhi

Wanawake wote hutokewa na kupata na hedhi mara moja kila mwezi na ni jambo la kawaida kwao kama wanawake. Hata hivyo wengi wao hupatwa na matatizo siku chache kabla au wakati wa siku zao,...
250

Dawa mbadala 16 zinazotibu uvimbe kwenye kizazi haraka

Dawa mbadala 16 zinazotibu uvimbe kwenye kizazi (fibroids) haraka Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi. Uvimbe huu...
31

mimba kuharibika, maswali na majibu

Mimba kuharibika maswali na majibu Hapo kabla tulisoma kuhusu mimba kuharibika, tuliona nini husababisha hali hiyo, dalili zake na vitu vinavyosababisha tatizo hili. Leo tutaangalia baadhi ya maswali na majibu kuhusiana na mimba kuharibika...
Mimba kuharibika 76

Kinachosababisha mimba kuharibika

Kinachosababisha mimba kuharibika Mimba kuharibika ni tukio linalowatokea wanawake na mamalia wengine wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama. Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na...
Ugumba 49

Tatizo la Ugumba kwa wanawake

Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa wanawake.   Nini husababisha ugumba kwa wanawake? Mayai...