Chakula cha mgonjwa wa kisukari aina ya pili

Chakula cha mgonjwa wa kisukari aina ya pili
Chakula cha mgonjwa wa kisukari aina ya pili

You may also like...

67 Responses

 1. Farida Khama Farida Khama says:

  AHSANTE KWA SOMO. Barikiwa dr

 2. Furaha Man Furaha Man says:

  Barikiwa kwa kutupa elimu hii

 3. Shukrani kwa kutuelimisha Dr

 4. Kuna aina ngapi za kisukari Dr

  • Kuna aina kuu mbili za kisukari:

    Kisukari aina ya kwanza, ambapo Insulini inakuwa tegemezi (insulin-dependent); hapa kongosho halitengenezi kabisa insulini au linaitengeneza kwa kiasi kidogo sana kiasi kwamba mgonjwa analazimika kuchomwa sindano ya insulini au kutumia pampu za insulini.

    Kisukari aina ya pili ni wakati ambapo insulini inakuwa huru (insulin-independent) au inapatikana lakini kongosho haliitoi na hivyo dawa (kemikali) lazima itumike kulilazimisha kongosho kutoa insulini.

   Aina ya kwanza ya kisukari inaweza kutokea kwa watu kuanzia utotoni mpaka kwa watu wa umri wa miaka 30. Aina hii ya kisukari hushambulia kwa haraka sana, kwa kawaida ndani ya majuma mpaka miezi kadhaa.

   Kwakuwa kongosho halifanyi kazi vizuri, usawa wa damu sukari lazima upewe uangalizi wa karibu. Watu wenye kisukari aina hii ya kwanza pia huwa na uzito pungufu (underweight).

   Aina ya pili ya kisukari huanza kujitokeza kuanzia umri wa miaka 40 na kinachosababisha ni miaka mingi ya kula chakula kisicho sahihi, kutofanya mazoezi au sababu za kurithi (genetics).

   Kwa bahati mbaya, nyakati hizi tunashuhudia hata watoto wadogo wakipatwa na aina hii ya kisukari. Watu wenye kisukari cha aina hii ya pili pia huwa na uzito uliozidi (overweight).

 5. Nikweli kabisa doctor

 6. Samahani doctor ninaswali nje ya mad

 7. Dr Hakuna anaeweza kukulipa bali ni kukuombea maisha marefu. Barikiwa sana!!!!

 8. Asante docter wangu. Mungu akubariki

 9. Asante mtumishi wa mungu kwa matibabu salama kwetu sote.

 10. Rukia Masaka Rukia Masaka says:

  Nakupenda mnoo kwa elimu unayotupa Mungu akubariki

 11. Mimi Nina mtoto mwenye ugojwa wa kisukari anamiaka kumi utanisaidiaje

 12. Gudila Kessy Gudila Kessy says:

  Asante,barikiwa mpendwa.

 13. Rozi Sangawe Rozi Sangawe says:

  Unatusaidia sana barikiwa

 14. Watu kama wewe kuishi kwao ni faida duniani.asante kwa elimu .malipo Kwa Mungu.umefanya sehemu yako

 15. Mimi mgonjwa wangu amekatazwa asitumie chumvi na daktari wake .na katika fundisho lako nimeona umeruhusu .naomba nisaidie zaidi.

 16. Baraka Ally Baraka Ally says:

  Ahsante sana Dk Fadhil P.Mungu atakulipa.

 17. Regan Bosco Regan Bosco says:

  Dr samahan pole na kazi,
  nataka kujua mwanamke mwenye kusumbuliwa na tumbo la HEDHI pindi aingiapo mwezini

 18. Asante sana kwa kutuelimisha

 19. Abshir Salim Abshir Salim says:

  asante kua ripoti

 20. Asante.je kisukari kinambiza kwa mme na mke kukaa pamoja?

 21. Mbn hamsemi bei yadawa ktk ukoo tunawatu wa4 wanasumbuliwa nasukar wa3yakupanda 1yakushuka nahtaji kujua bei yadose nzima

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *