Dalili za Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

vidonda vya tumbo

Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo, kisha tukasoma kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo, tukasoma tena kuhusu chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo, na leo tunaendelea kuangalia dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo.

mbegu-za-maboga

Dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo

Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;

 1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum
 2. Kuuma mgongo au kiuno
 3. Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
 4. Kizunguzungu
 5. Kukosa usingizi
 6. Usingizi wa mara kwa mara
 7. Maumivu makali sehemu ya mwili
 8. Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
 9. Kichefuchefu
 10. Kiungulia
 11. Tumbo kujaa gesi
 12. Tumbo kuwaka moto
 13. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
 14. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
 15. Kutapika nyongo
 16. Kutapika damu au kuharisha
 17. Sehemu za mwili kupata ganzi
 18. Kukosa hamu ya kula
 19. Kula kupita kiasi
 20. Kusahahu sahau na
 21. Hasira bila sababu.

Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.

Kwa maelezo kuhusu vidonda vya tumbo bonyeza => hapa

Kama una swali liulize hapo chini sasa hivi

mbegu-za-maboga

(Imesomwa mara 40,876, Leo peke yake imesomwa mara 414)

You may also like...

2,926 Responses

 1. Vidonda vitaendelea kuongezeka. #Hussein

 2. Ally Said Ally Said says:

  Vp kuhusu ulevi? je unaweza kuchangia au kusababisha vidonda vya tumbo?

 3. Ally Said Ally Said says:

  Vp kuhusu ulevi? je unaweza kuchangia au kusababisha vidonda vya tumbo?

 4. Ally Said Ally Said says:

  Vp kuhusu ulevi? je unaweza kuchangia au kusababisha vidonda vya tumbo?

 5. Ally Said Ally Said says:

  Vp kuhusu ulevi? je unaweza kuchangia au kusababisha vidonda vya tumbo?

 6. Ally Said Ally Said says:

  Vp kuhusu ulevi? je unaweza kuchangia au kusababisha vidonda vya tumbo?

 7. Ndiyo, hilo lipo wazi na siyo kwa vidonda vya tumbo tu. Uzuri wanasema kabisa “Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako”. #Ally

 8. Ndiyo, hilo lipo wazi na siyo kwa vidonda vya tumbo tu. Uzuri wanasema kabisa “Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako”. #Ally

 9. Ndiyo, hilo lipo wazi na siyo kwa vidonda vya tumbo tu. Uzuri wanasema kabisa “Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako”. #Ally

 10. Ndiyo, hilo lipo wazi na siyo kwa vidonda vya tumbo tu. Uzuri wanasema kabisa “Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako”. #Ally

 11. Ndiyo, hilo lipo wazi na siyo kwa vidonda vya tumbo tu. Uzuri wanasema kabisa “Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako”. #Ally

 12. Nashukuru ndugu yangu. Ahsante pia kwa muda wako Maya de Kdoura

 13. Nashukuru ndugu yangu. Ahsante pia kwa muda wako Maya de Kdoura

 14. Nashukuru ndugu yangu. Ahsante pia kwa muda wako Maya de Kdoura

 15. Nashukuru ndugu yangu. Ahsante pia kwa muda wako Maya de Kdoura

 16. Nashukuru ndugu yangu. Ahsante pia kwa muda wako Maya de Kdoura

 17. umen elewxha nlkuwa c fahamu

 18. umen elewxha nlkuwa c fahamu

 19. umen elewxha nlkuwa c fahamu

 20. umen elewxha nlkuwa c fahamu

 21. umen elewxha nlkuwa c fahamu

 22. Usijari na mengine mengi yatafuata. Maya de Kdoura

 23. Usijari na mengine mengi yatafuata. Maya de Kdoura

 24. Usijari na mengine mengi yatafuata. Maya de Kdoura

 25. Usijari na mengine mengi yatafuata. Maya de Kdoura

 26. Usijari na mengine mengi yatafuata. Maya de Kdoura

 27. haya bna na ngojea # fadhili poh

 28. haya bna na ngojea # fadhili poh

 29. haya bna na ngojea # fadhili poh

 30. haya bna na ngojea # fadhili poh

 31. haya bna na ngojea # fadhili poh

 32. Happy Alex Happy Alex says:

  Swali je Vidonda vinatibika???

 33. Happy Alex Happy Alex says:

  Swali je Vidonda vinatibika???

 34. Happy Alex Happy Alex says:

  Swali je Vidonda vinatibika???

 35. Happy Alex Happy Alex says:

  Swali je Vidonda vinatibika???

 36. Happy Alex Happy Alex says:

  Swali je Vidonda vinatibika???

 37. Ndiyo vinatibika kabisa. Happy Alex

 38. Ndiyo vinatibika kabisa. Happy Alex

 39. Ndiyo vinatibika kabisa. Happy Alex

 40. Ndiyo vinatibika kabisa. Happy Alex

 41. Ndiyo vinatibika kabisa. Happy Alex

 42. Damian Mushi Damian Mushi says:

  Nawaomba, wale wanausumbuliwa na vidonda sugu vya TUMBO, wawasiane na Mimi, nimesumbuliwa na huu ugonjwa kiasi niliambiwa kwamba wangeukata ile sehemu yenye vidonda kwani vilikuwa vinatisha, LAKINI nimepona kwa dawa ya kienyeji, lita moja tuuuuuu, Nenda
  Hospitali kapime Kama ndivyo, nitafute kwenye huu mtandao? Nikupe no yangu ya Simu au maelekezo namna ya kunipata? Siyo Zaidi ya lita moja

 43. Damian Mushi Damian Mushi says:

  Nawaomba, wale wanausumbuliwa na vidonda sugu vya TUMBO, wawasiane na Mimi, nimesumbuliwa na huu ugonjwa kiasi niliambiwa kwamba wangeukata ile sehemu yenye vidonda kwani vilikuwa vinatisha, LAKINI nimepona kwa dawa ya kienyeji, lita moja tuuuuuu, Nenda
  Hospitali kapime Kama ndivyo, nitafute kwenye huu mtandao? Nikupe no yangu ya Simu au maelekezo namna ya kunipata? Siyo Zaidi ya lita moja

 44. Karibu sana. Ahsante pia kwa muda wako Jacquiline Said

 45. Karibu sana. Ahsante pia kwa muda wako Jacquiline Said

 46. Karibu sana. Ahsante pia kwa muda wako Jacquiline Said

 47. Karibu sana. Ahsante pia kwa muda wako Jacquiline Said

 48. Karibu sana. Ahsante pia kwa muda wako Jacquiline Said

 49. Kunakipimo nimeambiwa nikafanye jumamosi hospital kile cha kumeza kimpira eti wapendwa kina madhara yoyote hicho kipimo?

 50. Kunakipimo nimeambiwa nikafanye jumamosi hospital kile cha kumeza kimpira eti wapendwa kina madhara yoyote hicho kipimo?

 51. Kunakipimo nimeambiwa nikafanye jumamosi hospital kile cha kumeza kimpira eti wapendwa kina madhara yoyote hicho kipimo?

 52. Kunakipimo nimeambiwa nikafanye jumamosi hospital kile cha kumeza kimpira eti wapendwa kina madhara yoyote hicho kipimo?

 53. Kunakipimo nimeambiwa nikafanye jumamosi hospital kile cha kumeza kimpira eti wapendwa kina madhara yoyote hicho kipimo?

 54. tiba yake nn, au unajua dalili tu mura???

 55. tiba yake nn, au unajua dalili tu mura???

 56. tiba yake nn, au unajua dalili tu mura???

 57. tiba yake nn, au unajua dalili tu mura???

 58. tiba yake nn, au unajua dalili tu mura???

 59. Haaa minanavyo napendelea sana kunywa maziwa naona km yananituliza pindi tumbo ninapolihic km moto wawaka na kiungulia kwenye koo hadi lauma…

 60. So maziwa siruhusiwi kunywa kabisa?

 61. Mimi Napataga Sana Kiungulia Nahsi Ninavyo Tiba Ni Nin Kaka

 62. Mimi Napataga Sana Kiungulia Nahsi Ninavyo Tiba Ni Nin Kaka

 63. Karim Hamis Karim Hamis says:

  mimi tumbo langu linachoma na uwa nasikia balidi wakati wa jioni na hasubuhi

 64. Karim Hamis Karim Hamis says:

  mimi tumbo langu linachoma na uwa nasikia balidi wakati wa jioni na hasubuhi

 65. Mimi napata kichefuchefu xn pamoja na kiungulia,tiba yake ni nini

 66. Mimi napata kichefuchefu xn pamoja na kiungulia,tiba yake ni nini

 67. Dawa nyingi za Alcers huwa Gari sana,kwa MTU Wa hali ya chini ngumu kumudu,anabaki kuumia tu,VP yako ni bei gani?

 68. Dawa nyingi za Alcers huwa Gari sana,kwa MTU Wa hali ya chini ngumu kumudu,anabaki kuumia tu,VP yako ni bei gani?

 69. Abdallah says:

  Nashukuru kwakupata nafasi hii nzuri sasa mbona hizo dalili zinafana na ugonjwa wa ukimwi? kingine hizo dalili zote nnazo lakini nikienda hospital sionekani na ugonjwa?

 70. Juma ally juma says:

  Mimi kwa uliyo eleza 100/100 nina vidonda vya Tumbo. Niko tanga

  • fadhili says:

   Mimi nipo Dar Es Salaam, nakushauri ufanye pia vipimo kuthibitisha ikiwa ni kweli ni vidonda au la, kisha nitafute WhatsApp +255769142586

 71. Juma ally juma says:

  Nina dalili 85/100

 72. Bonventure kyando says:

  Asante kwa elimu nzuri

 73. tizzo juma says:

  tatizo la ulimi kupasuka pasuka husababishwa Na nini Na tiba yake ni ipi?

 74. Richard says:

  mimi nikiwa sijala mda mrefu tumbo linaniuma alafu nikija kula tumbo linaacha kuuma hivi ni dalili za ugonjwa gan

 75. emanuel says:

  Tumbo lina jaa gesi nakuuma napia linangueuma

  • fadhili says:

   Nakushauri ufanye mazoezi ya kukimbia kila siku (jogging), mtu anayefanya mazoezi haya ni vigumu kumkuta analalamika gesi au tumbo kuunguruma. Pia unaweza kutumia mshubiri (aloe vera) ni dawa kwa matatizo mengi ya tumbo pia juisi ya tangawizi. #Emanuel

 76. Isaackiey says:

  but mm ktkt hizo dalili ninaona kama dalili baadhi ndo ninazo vip ninaweza nikawa na huo ugonjwa

 77. focus says:

  kwaiyo hiyo juice ya tangawizi inauzwa bei gani?

 78. Leonard mwenesi says:

  Ninasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo kiasi kwamba napata choose kwa shida sana na maumivu makali sana tumboni na kiungulia pamoja na maumivu makali ya mwili naombeni msaada wa dawa ya kienyeji maana za kisasa nmetumia sana jamani.

 79. amosinho says:

  jamani ,tumbo linaniuma sana huu ni mwezi 2,mkojo wa njano sana,maumivu makali ya shingo, usingizi wa mara kwa mara .ni dalili za ugonjwa gani

 80. zainab says:

  mi tumbo likianza kuuma nabanwa na haja ndogo mala kwa mala..je? vidonda vya tumbo ndo vinasababisha?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *