Dawa mbadala 16 zinazotibu uvimbe kwenye kizazi haraka

You may also like...

1,593 Responses

 1. Mwana Asery Mwana Asery says:

  Axante tunaomba na tiba ya mpasuko wa moyo mara kwa mara

 2. Mimi nikutana namume wangu nasikia maumivu makari sana kwaiyo nitimie nini

 3. Samahan docta Mimi ninatatizo LA kutokupata hedhi Kwa muda mrefu yaan naweza pata hedhi mwezi mmoja ama miwili halafu ikakoma Kwa miezi 5 hadi sita Bali hivi huwa inanifanya nakosa raha kabisa pia kwenye tendo
  la ndoa sijawahi kufika kileleni hata Mara moja na Nina umri Wa miaka 24 he hili nitatizo gani ama ni ugonjwa gani naomba unisaidie

 4. Nimejifunza ubarikiwe.

 5. Ubarikiwe nabwana Yesu kwa kazi yako nzuri.

 6. naomba nmba ako ntakutafta me ninashda

 7. Thanks much doctor!

 8. Asant San mung akuzidishie

 9. Focas Neema Focas Neema says:

  Asante kwa kutuelimisha

 10. Mim nin uvimbe sawa ila nataka dawa yauhakik itakay nisaidia kutoa uvimbe

 11. Asante Dr. ubarikiwe

 12. Rey Mushi Rey Mushi says:

  kaka Fadhili naomba utueleze dawa ya aleji ya mafua. Nina mtoto wangu. Anateseka sana kila saa anapiga chafya pua zinaziba mafua yaani tafafran tupu

 13. Asante Dr ,vipi kuhusu maji kwenye kizazi,mm mwanzo nilipimwa uvimbe kwenye kizazi nikapewa dawa za kuyeyusha,kabla haujaisha nikaambiwa kizazi pia kimejaa maji vp hizi dawa ulizoelekeza zinaweza kutibu?

 14. Asante Dr ,vipi kuhusu maji kwenye kizazi,mm mwanzo nilipimwa uvimbe kwenye kizazi nikapewa dawa za kuyeyusha,kabla haujaisha nikaambiwa kizazi pia kimejaa maji vp hizi dawa ulizoelekeza zinaweza kutibu?

 15. Hivi Dr ovarian cisty ni uvimbe au nikitugani natiba yake niipi

 16. Jesca Deus Jesca Deus says:

  Sorry Dr me nna ndg yang ashiki ujauzito na ameshapma vpimo vyote wala uvimbe hana vp naweza kupata tiba

 17. AHSANTE MUNGU AKUBARIKI

 18. Sarah Kalomo Sarah Kalomo says:

  Nimependa dr mafundisho yako

 19. Aksante kwa ushauri mzuuuuri Dr.

 20. Shkran Dr kwa hili somo je 2lio nje na DSM tunapaje huduma endapo km tuna shda

 21. Irene Msiya Irene Msiya says:

  Thankx doctor, 2mejifunza meng

 22. Irene Mushi Irene Mushi says:

  Samanii kwamgano mtu alikua anaugua Genital warts akatumia dawa ugonjwa ukaisha eti baada ya muda unaweza kurudi tena

 23. Je una matibabu ya kana?

 24. Waweza kua na dawa zakutibu kansa

 25. Mwenyezi mungu atakulipa inshallah

 26. Mwenyezi mungu atakulipa inshallah

 27. Hope Bonifas Hope Bonifas says:

  Asant dr kwa kutujuza .

 28. Hope Bonifas Hope Bonifas says:

  Asant dr kwa kutujuza .

 29. Leah Hamisi Leah Hamisi says:

  Habari doctor? Wakati Nina mimba ya mwezi mmoja niumwa sana tumbo ikabainika Nina uvimbe upon karibu na kizazi. Nikaanza klinik ya kina mama wenye matatizo.nikanifungua kwa operation lakini uvimbe hawakuutoa sababu nilivuja damu nyingi. Uvimbe haunisumbui wala siumwi chochote,tatizo ule ute was njano was maji maji bado unanitoka mpaka leo. He ni mini hiki? Saivi mtoto ana mwaka na miezi miwili.

 30. doctar mimi nasumbuliwa namuwasho sehemu za siri je inaweza ikawa fangas?

 31. Asante Zainab Kibamba
  Hii ni elimu nzuri kwa familia.
  … thts why I share.

 32. Ubarikiwe sn kwa somo daktar

 33. Asante sana kwa ushauri wako.

 34. Kauye Ntemo Kauye Ntemo says:

  Tuelezee mchanganyiko wa dawa ya pumu

 35. Asante Sana docta kwa maelekexo yote nitakutafuta nikueleze kwakina.

 36. Doctor asante kwa kutusaidia sisi wakina mama ni madaktari wachache sana Ambao wana mòyo wa huruma kama wako mungu akuzidishie

 37. Asante sn tunashukuru kwa ushauri wako Mungu akubariki

 38. Asante doctor kwa kitupa somo.je ukitumia juis ya limao iliyochanganywa na beking pouda, kitunguu swaum na tangawizi ina madhara yeyote?

 39. Mie nina ttz la uvimbe kwenye kizazi nikitumia hicho kitunguu swaum kitanisaidi

 40. Joyce Ngera Joyce Ngera says:

  Nina uvimbe kwenye ziwa je hizo dawa zinaweza kunisidia

 41. Jama Ni dokita ninauvimbe kwenye nfuko wakizazi nimepamgiwa hopolesheni nitumie nini .ilivimbe uishe

 42. Samahan dr. Mke wangu tumepima vizazi hatuna tatizo lakin tuna mwaka hatuna mtoto ila hedh haina mpangliao maalum mara siku ya 28,29 au 30 unatusaidiaje Dr.

 43. Merry Gembe Merry Gembe says:

  Kaka mimi tumbo linaniuma sana wakati wa hedhi nishida nayo

 44. Asante docta m nna miaka 27 mpk ss nna miaka mitatu cjaona cku zangu nmehangaika mpk naishiwa hela yamatibabu nannatokwa nauchaf sehem zangu za sili napia nkifny mapenz nackia maumiv napia km kna kit anakisukuma kwandan kigum samahan dokta inaweza ikawa tatizo n nini

 45. Mi nasumbuliwa na tumbo nikiwa kwenye siku zangu za hedhi natowa ushuzi kila wakati tatizo ni nini doctor

 46. Happy Tesha Happy Tesha says:

  Dr mm nimschana wa umri wa miaka 25 nasumbuliwa na tatizo lakuota nyama nyama sehemu zangu zasiri nimetumia dawa za hospital sijapata mafanikio bd

 47. Maria Joseph Maria Joseph says:

  Tunashukulu kwa elim nzuri dr. ubarikiwe sana.

 48. Samhn doctr me ninamimba ila natokwa nadam iv ninatatzo gan au. Ntumie nn npone

 49. Dk mm ninauvimbe ukigusa tumbo unaonekana juu ya kitovu wakati wabalidi unaniuma sana na nikiwa kwenye edhi naumwa natumbo namwaga dam nyingi sana naweza tumia izo dawa au

 50. Je, nikichanganya kitunguu swaumu juic ya limao na tangawizi inafaa?

 51. Asante kwa kutuelimisha, wamama tunapatashida sana

 52. Doctor Mimi tangia nimekua Binti cjawaifika kileleni hadi sasa nimeolewa.je ilinitatizo.

 53. Schola Costa Schola Costa says:

  Asante sana mungu akubariki, mm ninatatizo nawashwa sana mwilini namaliza dawa za kupaka na kunywa alegi gani nataka vipele vigumu vinawasha sana,naomba msaada wako

 54. Leah Shilatu Leah Shilatu says:

  No hiyo inapatikana wathsApp huwezi kuipga kama unasmu uakawaida unafanyaje?

 55. Kuna mwingine miguu na mikono anatatizo misur inatuna saan kama vile anabeba nondo yan misur inatuna aswa na afanyi kaz nzito ni mwanamke kuna dawa yake? doct

 56. Akisa Mjinja Akisa Mjinja says:

  Mungu akubaliki kwa somo nzuri kwani wanawake wengi tumeabhilika na hili tatizo la uvimbe mayoma ndo Shida yangu na niliadikiwa kufanya opreshen nikawa mwonga hivyo uvimbe umekuwa mpaka kufikia sm 13 je nikitumia mojawapo ya hizi dawa nitapona???? asante balikiwa

 57. Ila docta ninashida sana naonba unisaidie,pia naomba namba yako

 58. Dr barikiwa sana kwa kuwakumbuka mama zetu. Bnafsi ninatatizo la kijinyama sehemu ya haja kubwa napata hajakubwa kwa shida sana dr hivi tupu nimelala nyumbani maumivu ninayo yapata nayajua mwenyewe je naweza tumia nini ili niweze kupona dr

 59. Samahani dr na mtu ambae umri wake haujakoma kupata hedhi ,alafu akawa upataji wake wa hedhi unamisimisi anaweza mwezi akapata alafu akakaa baada ya miezi 5 akapata tena na wala hatumii bidonge pia ashazaa anawatoto ,ili pia ni tatizoo?

 60. Nurat Abdul Nurat Abdul says:

  Nina tatizo la hedhi kutoka bla mpangilio kisa nilichoma sindano ya uzazi nikaachaje dawa hiyo naweza kutumia?

 61. Ray Kinga Ray Kinga says:

  Nmeelewa xn hili somo jmn maswahba zangu humu ndani ..tuko pamoja .

 62. Mimi nilipata mimba ikaharibika 2015 ,, baadae tumbo chini ya kizazi likawa linanisumbu,nilipo kwenda hospital nikaambiwa Nina kauvimbe kidogo kwenye uzazi,nikapewa dawa za week 2 .lakini mpaka sasa siku zangu sipati kama kawaida na wala sipati ujauzito .nifanyeje ?

 63. Susy Sisco Susy Sisco says:

  Mm nnauvimbe kwenye ovar he huondoa pia

 64. Asante kwa ushauri.

 65. Naomba ufafanuzi, tangawizi kijiko kimoja na swaumu kijiko kimoja, ukichemsha pamoja upate kikombe cha chai kimoja kila asubuhi na jioni husaidia kuondoa tatizo gani mwilini???? Asante

 66. Alex Ernest Alex Ernest says:

  Doctor hongera kwa somo lako zuri mimi miguu yangu inawaka moto kuanzia kwenye nyayo mpaka kwenye magoti naomba uniambie nitumie dawa gani itakayo niponya tatizo langu.

 67. Doctor ubarikiwe sana,ni MUNGU anakutumia ili watu wapone,uishi maisha marefu baba.

 68. Dr, je kama mwanamke sehemu yake ya uke ndani kuna kama vinyama vidogo dogo vimeota kuzunguka kuta zake ndani katika sehem ile ya njia ya kupitishia uhume itakuwa ni ugonjwa gani huo na ata ute mweupe unatoka na kuchafua nguo yake ya ndani na ukiunusa ute huo unanuka. Je akitumia vitunguu swahumu atapona? Na huo utakuwa ugonjwa gani? Na unatokana na nini? Naomba jibu dr

 69. Mm nasumbuliwa na mgongo kiuno nkienda wawataalam naambie chembe ya moyo imeangka natumia dawa lakn mabdliko hamna ntumie dawa gani

 70. Mr fadhili samahan. Kwanini uvimbe unaisha tena unarudi?

 71. Ahsante sana kwa somo hilo, naamini umekuwa msaada mkubwa sana kwa wahitataji

 72. Ni maelezo mazuri ya kuwasaidia akina mama

 73. Asante sana kwa ushauri itasaidia sana jamii

 74. Ahsante,,,ubarikiwe dr

 75. Anne Dickson Anne Dickson says:

  Hongera Dr mm nakukubari mm ndiyo, tiba yangu,gariki (vitunguu swaumu, ndimu, tangawizi,asali amdalasini. Hivi ni vitu asali ni tiba mm anaita auntboyoti.

 76. Nimekuelewa bt ninaitaji iyo uduma kwaajili ya mke wangu

 77. Samahan docta niulizue tatizo la kutoka maziwa kwenye matiti na sina mimba tatizo ni nn naomba uniambie kama na dawa

 78. Ahsante doctor barikiwa sana

 79. Fetty Juma Fetty Juma says:

  Doctar manjano unatumiaje ili Mafua yaishe ninamtoto Mafua yake hayaishi na tumeshatumia dawa nyingi za hospital hamna unafuu hata kidogo

 80. Sanza Mtipa Sanza Mtipa says:

  Barikiwa. Samahani dokta natoka nje ya mada kidogo.Nina kijana wangu ana tatizo la kukojoa kitandani na ana umri wa miaka 9 sasa.Hata umuamshe Mara mbili ukichelewa kumuamsha ya tatu anajikojolea. Je, naweza kupata tiba yake kwako.

 81. Dr mi nasumbuliwa na mgongo waniwaka moto nimetumia dawa lakin bad

 82. Samahan doctor je kama ntameza bla kutafuna ktunguu swaum inawezekana

 83. Doct naomba kuuliza nnakidole kimevilia damu kunakipindi kinachoma utadhani nachoma nasindano nimetumie sans dawa zahospitsli inatuliza kws mda tu nawakati mwingine naahau kama kidole kunauma naikianza napata shida ssna naomba unisaidie kama unada

 84. Thanks doctor I have got UA mamba I will find u

 85. U should also inform us your cost these things are costifull

 86. Dokta nimenda hoptli kama Mara nne naanbiwa kunauchafu kwenye mirija ya uzazi nikitumia hiyo saumu itanisaidia

 87. Dr mie Nina shida ya hormone imbalance dawa ntapataje nipo Dom na ni sh ngapi?

 88. Maua Mpogole Maua Mpogole says:

  Barikiwa dk. Mimi napata maumivu makali sehemu ya haja kubwa wakati mwingine na damu. Nikitumia vitunguu swaumu nitapona?

 89. Jamani tuache uvivu
  Na kupoteza muda bila sb
  Tusome mwanzo hadi mwisho wa mada namba yake ipo.na kuuliza maswali

 90. Jane Shange Jane Shange says:

  Docta ninashida ya kutopata choo hata wiki nzima naweza pata dawa?

 91. Mi naitaj dawa hy nik Moro sh ngap

 92. Yakoba Peter Yakoba Peter says:

  Doctor nakauvimbe kwenye vargina hakiumi wala hakinisumbui lkn ckupendi naweza kutoa

 93. Jeeee ukilaa kitunguu swaumu chenyewe tu bila ya kunywa na maji jeee itasaidia kuondoa uvimbe na sumu!!

 94. Kwaiyo nikitafuna tangawizi bila kuchanganya na asali inatibu ilo tatizooo LA kuondoa sumu na uvimbe!!

  • ukitumia na asali inakua na matokeoa ya haraka zaidi ila usitumie sukari za kawaida

  • Asante sana jeee iyo asali natumiaje pamoja na tangawizi!! Maana uwaa natafuna tangawizi, kitunguu swaumu kwa pamoja na baada ya dakika tatu na natumia asali vijiko viwili jee huu mchanganyiko ni sahihi doctar!! Na hauna mazara yoyote!! Ukweli mm cwez kunywa tangawizi ikichemshwa na ndo maana napenda kutafuna mbichi mbichi na kitunguu swaumu.

 95. Siana Kaguo Siana Kaguo says:

  Dokita asante kwa ushauri mzuri mngu akubariki sana Na akupe uzima tere

 96. Martha Mbuko Martha Mbuko says:

  Asante sana Dr. Mungu akupe maisha marefu na afya njema

 97. Glory Kimaro Glory Kimaro says:

  Asante kwa kutuelimisha wanawakewengi tuna matatizo.

 98. Sarah Mjema Sarah Mjema says:

  Mm nasikia maumivu makali upande wakushoto kwenye mkono na miguu kuwaka moto je utanisaidiaje

 99. Othman Ubwa Othman Ubwa says:

  Ahsante Docta ushauri wangu nikuombe utengeneze group la WhatsApp ili kutoa somo ya magonjwa mbalimbali ahsante sana

 100. Samahani Dr Mimi ninatatizo la kupata hedhi kwa miezi miwili kilasiku bila kupumzika na siku zinavyoongezeka ndio inazidi

 101. Dawa bora kuliko yote kwa ajili ya maisha yetu ss binadamu

 102. Zuena Mwanga Zuena Mwanga says:

  Umetupa slimy Nouri my wiif

 103. Samahan doctor tatizo la kupata maumivu makali nyuma ya mgongo bila kupata maumivu ya tumbo wakat wa hedhi na damu kuwa nyingi linaweza kusababisha MTU asipate ujauzito

 104. Nancy Mtabuz Nancy Mtabuz says:

  Sawa hivi kitunguu swaum nisipokitafuna nkawa nameza punje moja hakiwezi kufanya kazi ? Au

 105. Doctar mm ninamika 27,sina hata mtoto nasumbuliwa nahomoni nahedhi sipti kabisa kwamda mrefu ,nimeenda sptal mpka nimechokaa ,naomba unisaidiee nitmiee nini niweze kuziona siku zangu,tambuaa hili nitatzo lamda mrefu sana kwangu,naishi kama mwanaume sioni damu

 106. Ahsante doctor kwa maelezo mazuri, naona dawa nyingi hapo ni za kuchanganya na asali, kwa mahitaji ya asali bora ambayo haijachakachuliwa niibox

 107. Dr mm nasumbuliwa na rashezi usoni hautakati kabisa nimeshatumia mafuta crim nadawa zaasili lakini na mchanganyiko wa vitu lakini bado

 108. Ubarikiwe sana yan nimeona jinc gan watu tunavotembea na maradhi aisee we dokt ubarikiwe mara 900000000000000

 109. Ziada Said Ziada Said says:

  Ahsante kwa ushauri nitakutafuta

 110. Asante kwa ushauri mung akubariki sana

 111. UBARIKIWE KWA ELIMU,MUNGU IBARIKI TANZANIA.

 112. Doct.hicho.kitunguu.saumu.kinatibu maradhi gani naomba utueleze ili tupate.kujua

  • Kitunguu swaumu ni chanzo kizuri cha vitamini B6, vitamini C, na madini mengine mhimu ambayo husaidia kuweka sawa homoni za kike. Sifa yake ya kuondoa sumu mwilini husaidia kuondoa uvimbe kwenye kizazi. Kitunguu swaumu pia huzuia kujitokeza kwa uvimbe wa aina yoyote kwenye mji wa mimba (uterus). Tafuna punje 3 za kitunguu swaumu kutwa mara 3. Kunywa maji glasi moja kila ukimaliza kutafuna kitunguu swaumu kuondoa ukali na harufu mbaya mdomoni.

  • je nikimeza zaidi ya vitatu kutwa mara tatu ni kosa

 113. Asante doct kwa elimnzuri

 114. Mimi ninatizo enzi unaweza kunisaindia

 115. John Mulungu John Mulungu says:

  Dawa ya UTI in pregnancy vp nitapata Dr ,,,

 116. pole Na majukumu Dr me nasumbuliwa sana Na kiuno kuiñama kwa shida kulala yan kwa shda maumivu makali mno nna umri wa miaka 46 Na ck zangu nilihhasi kuziona miaka 6 iliyppita je nn tatizo Na tiba ni nn Dr?

 117. Rose Mlaponi Rose Mlaponi says:

  Nashukuru kwa ushauri wako Dkt mm ninasumbuliwa sana na nyonga kwa mda mrefu na mgongo nitafanya kama ulivyo agiza

 118. Dokta mm shingo yangu huwa kama imevimba kidogo lakini dizain ya gotta je natumia nn????

 119. Rey Mushi Rey Mushi says:

  Doctar naomba kuuliza. Kuna ndugu yangu kaniletea asal toka tabora.ktk kutumia nikagundua ina kauchungu nilipomuuliza kwa nini ina uchungu akanambia haina neno nyuki huenda walikula maua ya tumbaku. Je kuna kitu kama hiki mtaalam wangu! Pili nini dawa ya pumu nisaidie tafadhal.

 120. Samahan Dr unaposema uvimbe unaweza kuutambua kwa Dalili ya Uzaz wa shida ni Kama operation?

 121. Love Ally Love Ally says:

  Nina uvimbe una sm 8 na uvimbe maji sm5 je akitumia izo dawa unaweza kuisha kabisa

 122. Thabita John Thabita John says:

  habari ya Leo doctor mimi siku zinanisimbua yaani nikipata kwa mwezi huu unaofuata sitaziona hadi miezi miwili sintaona baada ya hapo ndo nitaona ni tatizo gani hilo

  • homoni zako zina tatizo nipigie au nitafute kwenye WhatsApp +255769142586, Mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara Temeke Dar Es Salaam. Ninazo dawa pia kwa ajili ya kusafisha kizazi, kuweka sawa homoni, kupevusha mayai, kuzibua mirija ya uzazi,

 123. Dr mi nilifanyiwa operation lkn Uvimbe haukuisha umerudi una 6 cm unanisaidiaje?

  • nitafute kwenye WhatsApp +255769142586, Mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara Temeke Dar Es Salaam. Ninazo dawa pia kwa ajili ya kusafisha kizazi, kuweka sawa homoni, kupevusha mayai, kuzibua mirija ya uzazi,

 124. na mwanamk anaye ingia sku tofaut na wakat mwingin kutoziona na kukaa hata miez mitatu ndio anapata sku zake unamsahidiaje huyu naye

 125. Tatu Mfaume Tatu Mfaume says:

  Doctor sijaona siku zangu ni miez Saba sasa nimepima nyusaund Amna chochote je nifanyeje

 126. Evelyn says:

  Endelea kutusaidia dr kwan tuna matatzo mengi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *