Dawa mbadala 9 zinazotibu U.T.I

Dawa za U.T.I

You may also like...

12,498 Responses

 1. Emmy Justine Emmy Justine says:

  .Asante sana doctor
  ila hapo kwenye baking soda sijaelewa unakunywa kwa muda gani??

  • Ili kuzuia U.T.I isijiimarishe zaidi jaribu kuongeza kijiko kimoja cha chai cha baking soda kwenye glasi ya maji na unywe na hivyo kusaidia kupunguza makali au kuendela kwa maambukizi ya U.T.I.

 2. Mamuu Yusuph Mamuu Yusuph says:

  Mungu akubariki doctor naanza tiba leo

 3. Vitunguu swaum no doubt halaf NI kweli juice ya ubuyu inaongeza cd4?

 4. Asante Doctor. Barikiwa sanaa mpk ushangae

 5. Amen ubarikiwe sana mtumishi

 6. Mungu akubariki sana

 7. Mammy Salma Mammy Salma says:

  Asante Anitha Joseph ukuje huku

 8. Mungu akupe miaka mingi uzid kutusaidia
  Dr ni napenda uniambie je kwa mjamzito kama atakuwa na U.t.i anaweza kutumia njia ipi hapo

 9. Van Nako Fata Upotee

 10. Anna Marco Anna Marco says:

  Asnte kwa somo lkn nisaidie swali mjamzito anastahili kutumia iyo baking soda n kitunguu saum

 11. mungu Aybariki kazi yako doctar

 12. Hii baking soda unatumiaje

 13. Asante doctor kwa mimi nna vodonda vya tumbo pia nikitumia vitunguu swaumu havitoniletea shida?

 14. Rehema Elias Rehema Elias says:

  Asante Dr,Mungu azid kukutunza ili uendelee kutuelimisha

 15. Upendo Kyoma Upendo Kyoma says:

  Yaani una mzigo na jamii yako. ulisema hutapost tena mpaka mwezi uishe ili upumzike lkn bado unatupa tiba. ubarikiwe sana

 16. Sabra Seif Sabra Seif says:

  Samhn doct nitke nje y mada nilkua nakuuliz et baking soda inasafish meno?

 17. Modu Piana Modu Piana says:

  Asantee barikiwa sana

 18. David Mollel David Mollel says:

  Dr. Ubarkiwe zaidi kw mafundisho mazuri, kwa kwel ktk madoctor wote, wew ndo Hofu ya MUNGU inakaa ndan yako, maan kuna wengine ni wachoyo hata kutoa post ya mafundisho, wanasem ulipie sh.1000 kweny whatssaaup ili tu awafundishe , huo ni uchoyo , wasiyokuwa nayo watafanyje ,hongr San dr. MUNGU aongez mahali palipopunguaa

 19. Hizo dawa kwa mama mjamzito hazina madhara?

 20. DOCTA Nina tatizo, nakula chakula ila sipati choo, tumbo Lina bana sana sijui tatizo nini

 21. Dr nna kaswali kidogo hivi mwanamke akiwa na UTI akafanya mapenzi na mumewe baadae akazion cku zake lakin mwez uliofatia hakuzion cku zake je kma ni mimba UTI inaweza kuhusika ikizangatiwa Alixhaingia mwezin baada ya tendo LA ndoa……………???????

 22. Jane Kereth Jane Kereth says:

  Samahan Dr mim nina tatizo naomba namba yako nikutafute watsaple pleas

 23. Jane Kereth Jane Kereth says:

  Samahan dr nina tatizo naomba namb yako nikutafute watsaple pleas

 24. Nakshy Andy Nakshy Andy says:

  Asante sana dr mungu akupe maisha marefu

 25. Samahani Dr. Mchanganyiko waBaking poda na limao unaweza kung’alisha weusi kwapani…

 26. Samahani Dr. Mchanganyiko waBaking poda na limao unaweza kung’alisha weusi kwapani…

 27. Dr mm shida yng mwanangu anapo jisaidia Kuna kinyama kinatoka sehemu za aja kubwa ilo ndio tatizo kubwa linalo msibu naomba ushauri wako kuusu ili apo

 28. Dr mm shida yng mwanangu anapo jisaidia Kuna kinyama kinatoka sehemu za aja kubwa ilo ndio tatizo kubwa linalo msibu naomba ushauri wako kuusu ili apo

 29. ubalikiwe sana doctor

 30. Ted Msaki Ted Msaki says:

  Ubarikiwe doctor mim naomba ushauri kuhusu DAWA IPO anaweza kutumia MTOTO wa miaka3 amepimwa akakuta ana U.T.I.

 31. Ahsante sana kwa kutusaidia Dr, maradhi Haya yanasumbua sana.

 32. tengeneza pesa kwa kuona matangazo online. fuata link iliyotolewa kuanza kazi. goo.gl/63GNP2

 33. Asante Dr. kwa post ambazo zimekuwa zinatusaidia kila uchao! Swali: vitunguu swaumu vina madhara gani kama mtumiaji atatumia kwa muda mrefu au atazidisha vipande 6 kwa siku?

 34. Said Makame Said Makame says:

  BAKING SODA NDO NINI?

 35. Said Makame Said Makame says:

  Mi kwa ulewa WANGU ,naifahamu,baking powerder,Gold star ambayo ndo ya maandazi Na bicaborbonate of soda,niipi Kati ya hixo tatu,anaejua anieleweshe tafadhali

 36. Kumbe chai y rangi ni tatizo???

 37. Asante nahitaji tiba

 38. Dr umetupa mwanga…madaw y hsptln nahis yamedunda…powersafe kila mwez…ila kW haya atapata nafuu Na kupona

 39. Na hii kwenda haja ndogo unamaliz kukojoa lakn unapotak tok unahis km mkoj hujesha ama unakojoa lkn ukahis mkojo bado ukakaa hats dk3/5 ndio huuuuooo unatok he n U.T.I?????????
  THNX DR

 40. Zena Manji Zena Manji says:

  Ubalikiwe sana sana sana

 41. barikiwa kwa somo lako zuri

 42. Nasra Juma Nasra Juma says:

  Mimi nasumbuliwa marakwamara

 43. Dokta samahani sana naomba kuuliza midomo kua na rangi mbili nini tatizo, na je inatibika

 44. Hongera sana doctor

 45. Mtu alieshambuliwa na mshipa kisha tezi zika vimba baada ya kupona ikabaki moja je Uzazi bado upo hapo? .
  kwako fadhili paulo doctor

 46. kuna uwezokano tezi moja kufanya uzazi msaada dr.

 47. Rose Kilian Rose Kilian says:

  Sorry, kuna tifaut ya baking soda na baking powder?

 48. Ahsant kwa ushauri

 49. Irene Oiso Irene Oiso says:

  Doctor mimi huwa nasumbuliwa na UTI marakwamara na muwasho kwenye mashavu ya uke na natumia dawa za hospital lakini hii hali inajirudia naomba ushauri wako.

 50. Dr Mimi nataka nije inbox nabofya wapi

 51. Au ngoja niwe hapa hapa na wengine wapate

 52. Kuna dawa inayopunguza matiti Yaani mchanganyiko wa kiini cha yai, Mafuta ya vitamini E ,na mtindi unachanganya kisha unapakaa maziwa yanapungua ukubwa vipi hiyo Dr iko sahihi

 53. Ahsante kwa kutuelewesha

 54. Bite Hami Bite Hami says:

  Ubalikiwe sana

 55. mtoto anaweza akatumia aeovera na kitunguu swaumu

 56. Mimi nahitaji dawa ya u.t.I tafadhali no yako haipatikani nafanyaje sasa?

 57. Dr kama unavidonda vya tumbo nanasi na ndimu na limu unaruhusiwa kutumia maana mm nikila kitu kichachu na harisha

 58. Naomba unisaidiye nitumiye dawa,gan nimechubuka hadi kutembya nashidwa

 59. nasumbuliwa na tatizo lakukojoa mkojo wa njano sana unatoa kaarufu kali sana. mda mwingine unatoka kidogo alafu unauma unaweza kunishauli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *