Dawa ya bawasiri

dawa ya bawasiri

Bawasiri

Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujuliakana kama haemorrhoids au piles.

Bawasiri inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upasuaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani.

Bawasiri husababishwa na nini

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha bawasiri, bali mambo yafuatayo yanaweza kupelekea wewe kupatwa na ugonjwa huu:

 1. Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu
 2. Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa
 3. Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile
 4. Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu
 5. Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.
 6. Kuharisha sana kwa muda mrefu
 7. Kutumia vyoo vya kukaa
 8. Kunyanyua vyuma vizito
 9. Mfadhaiko/stress
 10. Uzito na unene kupita kiasi nk

Dalili za bawasiri

 1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
 2. Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia
 3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
 4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
 5. Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

Matibabu ya bawasiri:

Kutegemea na umri wako na namna ugonjwa ulivyojijenga na kudumu, unaweza kuhitaji dawa moja au mbili au hata tatu kwa pamoja kati ya hizi zifuatazo. Kumbuka kumshirikisha daktari wako kabla ya kuamua kuzitumia hizi dawa.

Dawa ya bawasiri

1. Habbat-Sawdaa

Chukua kijiko kikubwa kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa ukoroge ndani ya glasi moja  ya  maji na unywe yote. Fanya hivi kutwa mara mbili  kwa wiki mbili mpaka tatu hivi.

2. Habbat-Sawdaa na Asali

Changanya gm 500 za unga wa Habbat-Sawdaa na nusu lita ya asali. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila baada ya masaa manne. Ukimaliza kulamba kunywa glasi moja ya maji ya kunywa ya joto la kawaida.

3. Aloe Vera Fresh

Chukua kipande cha jani la mmea wa Aloe vera fresh (mshubiri) na kikate ukimenye kidogo ukitumia kidole kupata kama utomvu hivi au maji maji yake na upake sehemu ya utupu wako wa nyuma baada ya kuoga kutwa mara tatu. Jipake nyingi tu na uiache hivyo masaa kadhaa au mpaka utakpaoenda kuoga tena.

Tengeneza pia juisi freshi ya mmea huu na uchanganye nusu glasi dawa hii na nusu glasi nyingine ya juisi yoyote ya matunda uliyotengeneza nyumbani ili kupata glasi moja iliyojaa na unywe glasi 1 kutwa mara mbili kwa wiki 3 hadi 4. Juisi freshi ya aloe vera ni nzuri kwa kuongeza kinga ya mwili na kutoa taka zote za ndani ya mwili.

4. Juisi ya limau (lemonade)

Chukua juisi ya limau na upake sehemu iliyoathirika. Juisi ya limau sifa yake kuu hapa ni kuondoa sumu na kuongeza kinga ya mwili kwakuwa ina vitamin C kwa wingi. Pia unywe glasi moja ya juisi hii kutwa mara kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja.

Lemonade inaandaliwa kwa kutumia limau na asali na mdalasini ya unga kidogo, nayo inaandaliwa hivi:

*Chukua asali nusu Lita
*Chukua limau kubwa 12, zikate katikati kila moja. Tumbukiza ndani ya sufuria na weka maji Lita 3, chemsha mpaka limau ziive (zisiive sana), ipua utowe zile nyama nyama za ndani za liamau moja baada ya nyingine, ganda la nje tupa na uchuje kupata juisi ambayo itakuwa na ujazo wa lita 2 na nusu hivi.

Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya ile asali nusu Lita na hiyo juisi ya limau Lita 2 na nusu, ongeza maji Safi ya kawaida Lita 2 ili kupata lemonade ya ujazo wa lita 5. Ihifadhi katika friji au kama huna friji andaa kiasi kidogo kidogo cha kutumia siku 3 kisha unaandaa nyingine.

Kunywa robo Lita kutwa mara 2 kwa siku 10 hadi 11 hivi.
Unaweza kuongeza vijiko vikubwa vitatu vya mdalasini ya Unga ndani ya hii juisi ya LEMONADE

5. Siki ya tufaa

Chukua kipande cha pamba na ukichovyo ndani ya siki ya tufaa (apple cider vinegar) na ujipake kidogo kidogo eneo lenye uvimbe taratibu. Unaweza kusikia maumivu zaidi lakini jipe moyo taratibu yatapotea. Hakikisha unapata siki ya tufaa ile ya asili kabisa siyo ile iliyopita viwandani.

Pia kama una bawasiri ya ndani yaani ile isiyojitokeza nje na ukaiona kwa macho moja kwa moja unashauriwa kuchanganya kijiko kidogo kimoja cha siki ya tufaa ndani ya glasi ya maji na unywe yote kutwa mara 2. Hii husaidia pia kupunguza maumivu.

6. Mafuta ya nyonyo

Pakaa mafuta ya nyonyo mara mbili mpaka tatu kwa siku sehemu ya utupu wako wa nyuma kwa wiki tatu hadi nne hivi.

Mambo mhimu ya kuzingatia ili upone bawasiri:

 1. Kula vyakula vingi vyenye faiba
 2. Kunywa maji mengi kila siku ili kusafisha mwili na kuepuka kufunga choo
 3. Kula sana mboga majani na matunda
 4. Tumia mafuta ya mzeituni (olive oil) kwa wingi kwenye vyakula vyako
 5. Epuka mapenzi kinyume na maumbile

Kama utahitaji dawa za bawasiri zilizoandaliwa tayari niachie ujumbe WhatsApp +255769142586

Mimi napatikana Dar Es Salaam, ofisi yangu inaitwa VICTORIA HOME REMEDY ipo Buza Sigara karibu na ofisi ya Tanesco. Kama unahitaji hizi dawa zikiwa zimeandaliwa tayari tuwasiliane.

Ukiwa kariakoo kuna daladala za Buza kanisani moja kwa moja pale karibu na kituo cha daladala za mwendokasi gerezani, ukiwa posta mjini daladala za Buza zipo station na mnazi mmoja, zipo pia kutokea mhimbili, buguruni, gongolamboto, makumbusho pia kuna daladala kutoka mbagala kuja buza kanisani moja kwa moja.

Kama unahitaji uletewe dawa ulipo Niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586 na natuma pia mikoani.

Kwa swali lingine lolote au kama unahitaji ushauri niulize hapo chini kwenye comment nitakujibu.

(Imesomwa mara 24,290, Leo peke yake imesomwa mara 250)

You may also like...

1,460 Responses

 1. Hizo punje tano za kitunguu saumu ndo unakunywa mara tatu kwa siku tu au ni punje 15 kwa siku naomba ufafanue

 2. Hizo punje tano za kitunguu saumu ndo unakunywa mara tatu kwa siku tu au ni punje 15 kwa siku naomba ufafanue

 3. mina tibu kuharisha sugu kwa wale wapenzi wa mahindi ya kuchemsha hayaja iva vizuri unakula=matumizi chukua chupa mojaya togwa na kipande cha bisku ti ya glucose kisha tafuna nakunya baada ya siku12790113 ugonjwa toa mzigo =minoma natibu mpaka kutibu

 4. mina tibu kuharisha sugu kwa wale wapenzi wa mahindi ya kuchemsha hayaja iva vizuri unakula=matumizi chukua chupa mojaya togwa na kipande cha bisku ti ya glucose kisha tafuna nakunya baada ya siku12790113 ugonjwa toa mzigo =minoma natibu mpaka kutibu

 5. Josephina maluchila inaweza kuwa ni fangasi hiyo mshauli rafikiyo aende akamwone doctor mapema akichelewa inaweza kuleta tatizo lingine la utiay

 6. Josephina maluchila inaweza kuwa ni fangasi hiyo mshauli rafikiyo aende akamwone doctor mapema akichelewa inaweza kuleta tatizo lingine la utiay

 7. Josephina maluchila inaweza kuwa ni fangasi hiyo mshauli rafikiyo aende akamwone doctor mapema akichelewa inaweza kuleta tatizo lingine la utiay

 8. Sasa dalili zinaanzaje jamani doctor kwa faida ya wote

 9. Mnaeleza matibabu lkn hamtuambii dali zikoje

 10. 2lushien hukuhuku dawa hz jaman sm ze2 hazna uwezo huo wa kuingiaia

 11. Mm nilikua naomba unisaidie kama kuna tiba ya vikanga

 12. Kaka edward ibabila bibi yangu anaumwa ziwa inatoa majimaji sasa hiv ana miaka mitano haponi aliambiwa anakansa sasa naomba ushauri wako

 13. Kaka edward ibabila bibi yangu anaumwa ziwa inatoa majimaji sasa hiv ana miaka mitano haponi aliambiwa anakansa sasa naomba ushauri wako

 14. Kaka edward ibabila bibi yangu anaumwa ziwa inatoa majimaji sasa hiv ana miaka mitano haponi aliambiwa anakansa sasa naomba ushauri wako

 15. Simon Ncheye Simon Ncheye says:

  bawasili nao niugonja nitafute kwa namba hii ila nakushukuru uliyewapa dawa hekima zako namba yangu +255 766 109 804 aliye na ki2 hicho

 16. Sophia Sisty Sophia Sisty says:

  Jamani namba ya doct ni ipi

 17. Je ukiwa na bawasiri wkt wakujifungua huwezi kuumia zaidi?

 18. Je ukiwa na bawasiri wkt wakujifungua huwezi kuumia zaidi?

 19. Je ukiwa na bawasiri wkt wakujifungua huwezi kuumia zaidi?

 20. Mmmmmh! Nihatari sana nimebaini zaidi ya 80% ya watz niwagonjwa cn cn cn cn achana na hiligonjwa kubwa la ugumu wa maisha hapana watu wanatembea na anaugonjwa zaidi ya mwaka nahajui au tibu vipi.

  Kukocha anawaza atakula nini nawatoto nakipata hiyo rizki niyamlo mmoja tu anawakimbizia watt iliwaweze kuishi.

  Ikifika ucku ndio anakumbika hajajisafisha hajakunywa Dawa.

  Lakini wengine hawajui niwapi hata pakupata hizo Dawa.

  N:B; Niwashukuru kwanamna moja au nyengine wote walio amua kujitolea japo kwa ufupi kutujulisha Dawa na namnayakuanza kujitibu nawaomba cn msituchoke tuzidi kusaidiana kwani sisi wenyewe nimashahidi Mr Fadhili Paulo.com ameamua kutaja aina ya Dawa zinazo weza kutibu ugonjwa wa Bawasiri au Mgoro wamejitokeza watu wengi sana wanaosumbuliwa na maradhi hayo.

  Hii nidalili kua watanzania niwagonjwa mmno hatariiiiii…..!

  Mtuana sema mwenyewe nikitaka kujamba najistukia nime Jikojolea hilinitatizo kubwa cn coz mfumo haupo hivyo.

  Jamani mfacha maradhi KIFO humuumbua ndg! Funguka uliza zungumza nawatu vizuri it’s said iwa japo kwa uchache watanzania ni wakarimu cn wata kutakusaidia! Ahsanten sana

 21. Mmmmmh! Nihatari sana nimebaini zaidi ya 80% ya watz niwagonjwa cn cn cn cn achana na hiligonjwa kubwa la ugumu wa maisha hapana watu wanatembea na anaugonjwa zaidi ya mwaka nahajui au tibu vipi.

  Kukocha anawaza atakula nini nawatoto nakipata hiyo rizki niyamlo mmoja tu anawakimbizia watt iliwaweze kuishi.

  Ikifika ucku ndio anakumbika hajajisafisha hajakunywa Dawa.

  Lakini wengine hawajui niwapi hata pakupata hizo Dawa.

  N:B; Niwashukuru kwanamna moja au nyengine wote walio amua kujitolea japo kwa ufupi kutujulisha Dawa na namnayakuanza kujitibu nawaomba cn msituchoke tuzidi kusaidiana kwani sisi wenyewe nimashahidi Mr Fadhili Paulo.com ameamua kutaja aina ya Dawa zinazo weza kutibu ugonjwa wa Bawasiri au Mgoro wamejitokeza watu wengi sana wanaosumbuliwa na maradhi hayo.

  Hii nidalili kua watanzania niwagonjwa mmno hatariiiiii…..!

  Mtuana sema mwenyewe nikitaka kujamba najistukia nime Jikojolea hilinitatizo kubwa cn coz mfumo haupo hivyo.

  Jamani mfacha maradhi KIFO humuumbua ndg! Funguka uliza zungumza nawatu vizuri it’s said iwa japo kwa uchache watanzania ni wakarimu cn wata kutakusaidia! Ahsanten sana

 22. Mmmmmh! Nihatari sana nimebaini zaidi ya 80% ya watz niwagonjwa cn cn cn cn achana na hiligonjwa kubwa la ugumu wa maisha hapana watu wanatembea na anaugonjwa zaidi ya mwaka nahajui au tibu vipi.

  Kukocha anawaza atakula nini nawatoto nakipata hiyo rizki niyamlo mmoja tu anawakimbizia watt iliwaweze kuishi.

  Ikifika ucku ndio anakumbika hajajisafisha hajakunywa Dawa.

  Lakini wengine hawajui niwapi hata pakupata hizo Dawa.

  N:B; Niwashukuru kwanamna moja au nyengine wote walio amua kujitolea japo kwa ufupi kutujulisha Dawa na namnayakuanza kujitibu nawaomba cn msituchoke tuzidi kusaidiana kwani sisi wenyewe nimashahidi Mr Fadhili Paulo.com ameamua kutaja aina ya Dawa zinazo weza kutibu ugonjwa wa Bawasiri au Mgoro wamejitokeza watu wengi sana wanaosumbuliwa na maradhi hayo.

  Hii nidalili kua watanzania niwagonjwa mmno hatariiiiii…..!

  Mtuana sema mwenyewe nikitaka kujamba najistukia nime Jikojolea hilinitatizo kubwa cn coz mfumo haupo hivyo.

  Jamani mfacha maradhi KIFO humuumbua ndg! Funguka uliza zungumza nawatu vizuri it’s said iwa japo kwa uchache watanzania ni wakarimu cn wata kutakusaidia! Ahsanten sana

 23. jesca ndunguru says:

  Nami nahisi nnacho maana napata shida San kupata haja kubwa pia nlipata vpimo walinambia nnadamu ndogo labda nnauo ugonjwa kwa hiyo nitumie dawa gani!??

 24. Josephina huyo anaumwa u.TI. kwahiyo kama hospitali ahakikishe anachomwa sindano hiyo imekomaa

 25. Zena Yusuph Zena Yusuph says:

  Docter kuna ndugu yangu akienda haja kubwa anapata maumivu na anakinyama kimeota sehemu ya haja kubwa na kuna mda kinamuwasha je ndo huwo ugonjwa.

 26. Zena Yusuph Zena Yusuph says:

  Docter kuna ndugu yangu akienda haja kubwa anapata maumivu na anakinyama kimeota sehemu ya haja kubwa na kuna mda kinamuwasha je ndo huwo ugonjwa.

 27. Zena Yusuph Zena Yusuph says:

  Docter kuna ndugu yangu akienda haja kubwa anapata maumivu na anakinyama kimeota sehemu ya haja kubwa na kuna mda kinamuwasha je ndo huwo ugonjwa.

 28. Faudhia Vuai Faudhia Vuai says:

  Mimi nilishawahi mtibu mtu ugonjwa huu na akapona kwa kutumia fumbufumbu la mgomba na habat soda

 29. Faudhia Vuai Faudhia Vuai says:

  Mimi nilishawahi mtibu mtu ugonjwa huu na akapona kwa kutumia fumbufumbu la mgomba na habat soda

 30. Faudhia Vuai Faudhia Vuai says:

  Mimi nilishawahi mtibu mtu ugonjwa huu na akapona kwa kutumia fumbufumbu la mgomba na habat soda

 31. Erad says:

  unapatkana wap yan offisi yako inapatkana wap bac wenzio tunaitaj huduma tukupate wap basi tuwasiliane tuweze kukupata 0769474714

  • fadhili says:

   Mimi napatikana Dar Es Salaam, ofisi yangu inaitwa VICTORIA HOME REMEDY ipo Buza Sigara karibu na ofisi ya Tanesco.
   Kama unahitaji hizi dawa zikiwa zimeandaliwa tayari tuwasiliane.

   Ukiwa kariakoo kuna daladala za Buza kanisani moja kwa moja pale karibu na kituo cha daladala za mwendokasi gerezani, ukiwa posta mjini daladala za Buza zipo station na mnazi mmoja, zipo pia kutokea mhimbili, buguruni, gongolamboto, makumbusho pia kuna daladala kutoka mbagala kuja buza kanisani moja kwa moja.

   Kama unahitaji uletewe dawa ulipo Niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586 na natuma pia mikoani.

 32. Kweli bwana Edward tumepumbazwa na rangi nyeupe.Mungu Atufungue macho unajua cc tunaweza kuliko wao?ila mazingira ndio yanatufunga exposure Africa ni 0.

 33. Kweli bwana Edward tumepumbazwa na rangi nyeupe.Mungu Atufungue macho unajua cc tunaweza kuliko wao?ila mazingira ndio yanatufunga exposure Africa ni 0.

 34. Kweli bwana Edward tumepumbazwa na rangi nyeupe.Mungu Atufungue macho unajua cc tunaweza kuliko wao?ila mazingira ndio yanatufunga exposure Africa ni 0.

 35. Joyce says:

  Je wali unaruhusiwa Kula? Na vyakula gani ambavyo uwezi Kula ili ugonjwa wa bawasiri uishe kabsa

 36. Joyce says:

  Je na mafuta ya nyonyo unaweza kupaka kiasi gani kwa Mara tatu

 37. PRINCE KURWA. says:

  MUNGU AKUBARIKI, KWA ELIMU YA MATIBABU ULIYOTOA.
  HAKIKA WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA.

 38. soud says:

  kwaio izo dawa za bawasili ulizo ainisha zina takiwa kutumika zote kwa pamoja au una tumia dawa uitakayo

 39. Baraka nyangwe says:

  Mimi napata maumivu sana sehemu za haja kubwa pia na uvimbe Doctor niugonjwa gani huu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *