Dawa ya ngiri ya kifua

You may also like...

258 Responses

 1. Asante kwa somo zuri! Ubarikiwe na Bwana, kaka!

 2. Asante Dr. Ubarikiwe sana.

  • Amina, tupo pamoja sana mkuu. Gabriel Manyambo

  • Cuty Nass Cuty Nass says:

   Habari yako Mr Fadhili Paulo pole na majukumu na tunashkuru kwa kutupa mafunzo nadawa za maradhi tofaiti mungu akubariki sana akuzidishie imani… Naomba msaada wako kwa tatizo la vidonda va mdomo
   Kila mda vinanitokea vdonda va mdomo napia vnachukua mda kupona natumia dawa adi nachoma sndano jee nini tatizo naunawezakunisaidia dawa za kienyej?? Sory kwa usumbufu

  • Cuty Nass Cuty Nass says:

   Dawa za kienyeji metumia asali na tangawizi kwa sana tu

  • Cuty Nass Habari nzuri kabisa ndugu, upo wapi sasa? kama upo Dar tafuta siku tuonane, niachie ujumbe WhatsApp +255769142586

 3. Asanteee kk ubrkiwe

 4. Dr. Fadhili Paulo, samahani naomba ukipata nafasi utusaidie kutuelezea. TEZI DUME IKOJE HASWA. MAANA KILA KONA TEZI DUME.

 5. Wowooo sina budi kukushukru kwa hilo mm napenda sana kujifunza vitu mbalimbali. Asubuhi njema mwana wa Mungu aliye hai. Amen.

 6. John Haule John Haule says:

  Nashukuru kwa somo nzuri

 7. Asante Kwa Kutujuza Mkuu

 8. Dah! Inatisha, kwanza asante kwa elimu imenishtua maana umetaja sababu zisababishazo na dalili, nijekua na mimi ni mmoja wa wahanga wa tatizo hili, kwa sababu nakohoa kama mtumwenye kifua kikuu, kwat nguvu sana japo kifua na makoo hayaumi, pia nilishawahi tumia sigara kama miaka 10, na mazoezi yga hovyo hovyo ya vitu vizito, Gharama ya vipimo inakuaje maana usawa nao ni mbovu Mungu asaidie, kuhusu kupima kifua tayari matokeo hakukua na kitu, nikapiga x lei matokeo waliona vitu kama lea zisojulikana , matibabu nilumia dawa aina mbalimbali na kwa mda mrefu bila kufanikiwa, Ooh! MUNGU niepushie sina wa kunishika mkono.

  • Pole sana ndugu. Tumia juisi ya tangawizi itakuponya hayo yote bila shida yoyote. Juisi ya tangawizi : tangawizi kubwa 3, parachichi kubwa moja, asali vijiko vikubwa 7, maji Lita moja na nusu na chumvi ya mawe ya baharini punje 3. Kunywa kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara 2 kwa wiki 3 mpaka 4. Kwa uwezo wa Mungu utapona na kuleta ushuhuda

  • Nikweli kabisa Mimi nilikuwa nasumbuliwa na tumbo kwa muda mlefu sana lakini toka nianze ku2mia juic ya tangawizi na mchanganyiko wa palachichi na asali kwisha kabisa namshukiru mungu na wewe kaka kwa kunisaidia

  • Ubarikiwe sana na Asante kwa elimu, maana nitumia tangawizi ikiwa na limao pamoja na Asali, kikohozi hakikupona, ninajisikia kama kunakauka, au kuna chembe flani au unywele, na usiku nikilala ndio nakohoa sana, Ila hii Yakwako NITAIFANYA, NASHUKURU Sana sana

  • MKEMIA KADOGO asante nawe kwa kunitia moyo

  • kk Na mdogo wangu anaumwa na tonsils amevimba unanishaurije maana katumia amoxcil lakin bado

  • Hassani Kunky Tumia juisi ya lemonade. Kamua maji ya limau upate nusu lita, ongeza maji ya kawaida lita 3 na nusu, ongeza asali nusu lita, ongeza mdalasini ya unga vijiko vikubwa vitano. Anywe kikombe kimoja kutwa mara 1 kwa siku 20. Ihifadhi katika friji kwa usalama zaidi na unaweza kuitoa mapema kama hawezi kabisa kunywa kitu cha baridi. Au tengeneza kiasi kidogo anachoweza kutumia kwa siku 1

  • Asante sana brother

  • kuna jirani yangu tena anaumwa kifua usiku huwa anakohoa sana mpaka tunaskia ametumia dawa mara nyng lakn bado hajapona naye unamsaidiaje maana alikuwa anabeba mizigo mizito.

  • Amani Renaltus mpe pole sana ndugu, mwambie anitafute WhatsApp +255769142586

 9. Me mwanangu anaumri wa mwaka 1.5apendi Kula kaka unanishaurije..maana nikimpachakula anakuwa kama anajigoa ivi mpaka anatapika

 10. David Nsunza David Nsunza says:

  Heshima kwako dr.

 11. Asante kwa kunijuza mm Nina tatzo LA kushindwa kupumua miaka Tisa nimepima magonjwa yote sina hadi maginjwa ya. Moyo lakin nashindwa kupumua isipokua tu nikilala napumua vizur naumwa sana mgongo na mmbavu zinabana sana ‘nakosa usingizi Mara kwa Mara siwez kusimama muda mrefu kuna wakat mapigo ya moyo yanapanda gafla pumz inakata kabisa labda ndio hilo tatizo na nitajuaje kama sijafanyiwa vipimo naomba unijulishe Dokta

 12. Nimekuwa na miungurumo hadi naona aibu, ndo ngiri au ugonjwa gani?

 13. Othman Chimo Othman Chimo says:

  yeah pa1 kiongozi.

 14. George Maega George Maega says:

  Ubarikiwe ,Mungu akupe ufunuo zaidi utujuze

 15. Jaman Dr napenda kutafuna mabarafu, je yana madhara kiafya? Msaada wako

 16. Kenrck Mkai Kenrck Mkai says:

  Hiv vdonda vya tumbo vinahusiana na ngir

 17. Ahsante Doctor kwa somo lako, Mimi nina tatizo moja, Huwa kila nikiamka hasbuhi najisikia muamivu sana kifuani hasa pale ninapojinyoosha nyoosha au nikianza kufanya mazoezi, Pia kwenye upande wangu wa kulia hasa begani huwa nina maumivu nikitingisha mabega na huwa kuna kama mshipa unavuta sana, Sasa nimeshindwa kuelewa labda ni tatizo gani kiukweli. HALI HII HUWA NI KILA SIKU HUNITOKEA.

 18. Rose Joel Rose Joel says:

  Mungu akubariki sana somo limenifanya kujitambua maana kwa muda wa mwezi sasa nasumbuliwa na maumivu ya kuhamahama ya upande wa kulia na nayasikia hasa nikiwa navita punzi kutoka ndani kuja nje, na yanamtindo wa kuhama mara unayasikia mbavuni ,mgongoni,mala nyingi juu ya tumbo hasa sehemu ya chini yaziwa mpaka mwanzo wa kitofu nilifatilia,somo lile la alkalini inayozidi nikafanya vile yakapungua tatizo ninachoshindwa ni diet nifanyeje .

 19. Nasra Mahsen Nasra Mahsen says:

  samahan mkuu mtu akiwa na Hali iyo kula pia uwa ni shida? samahan nataka nimfuatilie mwanang maana nikimpa chakula uwa anatakaga kukohoa tyyu

 20. Nimeshukuru sana hata mimi nina tatizo hilo ngoja nianze tiba

 21. Jesca Bahati Jesca Bahati says:

  kaka nilikuuliza kwa mafta ya abbat soda mweny magonjwa sugu naye anatumia kiasi gan anayatumia yenyewe tu au anachanganya na kinywaj samahan lakn

 22. Ahsante kwahelimu mungu akubariki

 23. Baraka Mbura Baraka Mbura says:

  Thamani ya elimu unayotoa ni kubwa mno

 24. me nikinywa maji nahisi km kuna kitu koon hata mate kimetokea hv karibun je itakuw ngiri

 25. Nini dalili ya ugojwa wa tezi dume?
  1.Tezi dume ni ugonjwa gani

 26. Asate tupo pamoja

 27. Ninashukuru kwa ushauri wako ndugu.

 28. Ahxante doct, me nlianzaga na kukohoa sana kwa sasa nkmeza chakula sehemu za chembe panauma sana kwa ndan kama kuna vidonda vile, hosp walinambia vidonda vya tumbo lkn hawakunipima au na me ntakua na ngiri?

 29. Mary Adabu Mary Adabu says:

  Naomba kuuliza siki ya tufaa ndio tunda gani?

 30. Kaka Naomba Msada Wako Nasumbuliwa Nakicha Uwa Najikuta Sijielewa Tatizo Nn Kama Nakuwa Chiz Iv

 31. Nasumbuliwa Kuvimba Nakolodan Nitumie Dawa Gan

 32. Wema Mwasi Wema Mwasi says:

  Mi nahitaji kujua dalili ya ngiri ya kiume au chango la kiume ni zipi?

 33. Ally Mdikwe Ally Mdikwe says:

  Asanteni kwa kutujuza.

 34. Dokta kutokuona damuyamwezi nayo vipi inatokea maramoja kwamwaka

 35. Asante sana kwa sababu na me nina hilo tatizo lakini kila nikienda hospital naambiwa hamna kitu.. kumbe tatizo ni hilo

 36. KWELI KABISA DALILI ZOTE NINAZO JE HAKUNA TIBA

 37. Nakushukuru sn kwa msaada wako, nimejielewa nadhan nam nna tatizo hilo

 38. Ahsante kwa somo hili dr, mm naumwa tumbo huu ni mwaka wa nne sasa, nimepima kila aina ya vipimo lkn wananiambia akuna ugonjwa wowote, lkn tumbo linauma sana kama vile linawaka moto wakapima vidonda vya tumbo lkn amna chochote hila uwa napika alove vera kama lita tano ndo uwa natumia kidogo inanisaiDia kwa muda kama wiki hvi linaanza tena, naomba ushauri wako dr naumia sana.

 39. Asante kwa elimu nzuri .mwenyezi mungu akubariki

 40. mungu akupe umri mlefu uzidi kutupati elim

 41. asante kwamafunzo mazuri!!,

 42. Mimi ninatatizo la gesi inayotembea na kuwa km mt mwenye tatizo la mapigo ya moyo tumba linaunguruma sn lina bana mpaka kifuani moyo unakuuwa una dunda sn nifanyeje docta naomba msaada wako

 43. Gasto George Gasto George says:

  nashukulu sana dr.mi nnatatizo 1 uwa mda mwingine mapigo ya moyo yanaenda kasi. au mtu akiniudhi mpaka natetemeka. au nikinya juis moja inaitwa eneji vilevile mapigo ya moyo ujiludia.nisaidie nifanyaje kuepuka ili tatizo doctor ,asante

 44. Naomba kujua juice ya aloe Vera naiandaa vipi, Maana nimepanda nyumbani kwangu kwa jili ya dawa Ila sijui kuandaa .Nina Aina mbili za aloe Vera. Upo mchungu Sana, Nawakawaida sijui mzuri ni upi. Nisaidie kwa hilo

 45. Maria Nyoni Maria Nyoni says:

  Nina tatizo la presha ya juu je nitumie nini kuondokana na hili mazoezi nafanya lakini nashangaa

 46. Asante kaka mda mrefu kifuani katikati kuna niuma hasa asubuhi ckujua Nn na katika sababu nilishawahi kunyanyua chuma nika achaga

 47. Khawa Halifa Khawa Halifa says:

  Ndoctar dalili zote nnazo

 48. Khawa Halifa Khawa Halifa says:

  Kipimo chake nikipi nakuomba Kaka

 49. DOKta nmekuelewa sana ila ulipokataza na bangi tyu nmek0sa raha

 50. Fadhil Ahmad Fadhil Ahmad says:

  Shukran kwa Elimu.

 51. Rose Tairo Rose Tairo says:

  Mmnatatizo la kifua kinaweza kuniuma kama dakika moja na kuacha halafu muda wote napata makohozi sina raha hata ya kunywa Maji naomba ushauri wako

 52. Aisha Chande Aisha Chande says:

  Mimi nataka kufahamu jinsi ya kupunguza uzito

 53. Dalili ambayo ninayo ni maumivu makali kifuani. Nmeshapiga x ray majibu bado

  • Pole sana ndugu, soma pia hii hapa chini

  • MAUMIVU MBALIMBALI MWILINI CHANZO NA TIBA YAKE

   Ishara za mwanzo kabisa za asidi kuunguzwa ndani katikati ya seli au kwa maneno mengine asidi kuzidi kwenye seli za mwili na madhara ya kijenetiki ambayo yanaweza kujionesha, ni maumivu mbalimbali yanayozidi kujitokeza katika mwili.

   Kutegemea na kiasi cha asidi mwilini na namna na eneo lenyewe asidi ilipojijenga maumivu maalumu ya mwili hujitokeza. Maumivu hayo yanajumuisha;

   *Kiungulia (heart burn)
   *Maumivu ya moyo (angina)
   *Maumivu sehemu ya chini ya mgongo (lower back pain)
   *Yabisi (rheumatoid)
   *Maumivu ya kichwa (migraine headaches)
   *Maumivu katika kiuno
   *Maumivu mbalimbali katika mishipa
   *Miguu kuwaka moto
   *Homa za asubuhi kwa kina mama wajawazito n.k

   Maumivu mbalimbali mwilini

   Watu wengi siku hizi hawawezi kuishi wiki mbili au mwezi mmoja bila kumeza aina fulani ya dawa ya kupunguza maumivu.

   Ni rahisi kuelewa namna gani maumivu ambayo hayajasababishwa na ajari au maumbukizo yanavyoweza kujitokeza mwilini.

   Viwanda vya madawa vinatumia mabilioni ya fedha kutafiti dawa hizi na zile za kuondoa maumivu na mabilioni mengine zaidi hutumika kutangaza aina fulani ya dawa za kuondoa maumivu.

   Ili kuuelewa mfumo wa utengenezwaji wa maumivu mwililini, tunahitaji kwanza kujifunza namna usawa wa asidi na alkalini unavyofanya kazi katika mwili.

   Hali ya uasidi husababisha kuunguzwa kwa baadhi ya miishio ya neva mwilini. Kunapotokea hayo, ubongo huonywa juu ya mabadiliko hayo ya kikemekali ya kimaeneo, ambayo sote hutafsiri kama MAUMIVU. Kwa maneno mengine, hali ya uasidi ndani ya mwili ndiyo hupelekea kusikia maumivu.

   Masaa 24 kwa siku seli zetu ndani ya mwili zinaunguza kaboni kama mafuta (cells burning carbon) ili kutuacha katika hali joto ya nyuzi joto 37.5. Unapochoma kitu chochote, kinatoa nje taka moshi. Taka zote hizo toka katika seli zote za mwili, lazima zirekebishwe muda wote wa masaa yote 24 kwa msaada wa matunda na mboga za majani.

   Kwa kawaida wakati damu yenye maji ya kutosha inapoizunguka seli, baadhi ya maji huingia ndani ya seli na kutoa nje molekuli za haidrojeni. Maji huisafisha asidi toka ndani ya seli na kuiacha sehemu ya ndani ya seli katika hali ya ualikalini ambayo ni hali yake ya kawaida na ya mhimu.

   Kwa afya bora kabisa, mwili unatakiwa kubaki katika hali ya 7.4 katika kipimo cha P.H (Potential Hydrogen).

   Hali hii ya 7.4 PH huhamasisha afya kwa sababu ndiyo hali inayoviwezesha vimeng’enya vinavyofanya kazi ndani ya seli ambavyo hupata ufanisi mzuri katika P.H hii. Utiririkaji wa kutosha wa maji ndani na nje ya seli huifanya sehemu ya ndani ya seli kubaki na kuhimili hali yake ya kiafya ya kiualikalini.

   Ndani ya miili yetu, figo husafisha haidrojeni iliyozidi ambayo husababisha asidi toka katika damu na kuiweka katika mkojo unaozarishwa. Kadiri mkojo unavyozarishwa kwa wingi ndivyo mwili unavyojiweka katika hali ya ualikalini kirahisi zaidi. Hii ndiyo sababu mkojo unaokaribia rangi ya uweupe ni kiashiria cha kufanikiwa kwa mfumo wa uondoaji wa asidi wakati mkojo wa rangi ya njano au chungwa ni ishara ya kuunguzwa kwa asidi mwilini.

   Watu wanaodhani kwenda uani kwa ajili ya haja ndogo mara mbili au tatu kwa siku ni usumbufu kwao na hivyo kuacha kunywa maji ili kuzuia hilo hawana uelewa wa namna wanavyohatarisha miili yao.

   Ubongo unalindwa vizuri zaidi dhidi ya asidi kutokana na ukweli kuwa unapata umhimu wa kwanza katika kusambaziwa maji kwa ajili ya mahitaji yake yote. Sehemu zingine za mwili haziwezi kuwa na bahati hii wakati maji yanapokuwa yanapatikana kwa njia ya mgawo. Ingawa upungufu wa maji unapobaki kwa muda mrefu, ubongo pia huathiriwa kutokana na hali ya uasidi katika seli, hivyo hali kama za kupoteza kumbukumbu na magonjwa ya mishipa hujitokeza.

   Maumivu ambayo hayakusababishwa na jeraha au ajari, ni kiashiria kuwa tishu, ogani, maungio na seli vina asidi iliyozidi ambayo inahitaji kufanywa alkalini.

   Moja ya sababu kuu ya mtu kutakiwa kula matunda na mboga za majani kwa wingi ni kuwa vyakula hivi ni alkalini, wakati nyama, kuku, samaki, nyama ya nguruwe, chipsi, ugali, pasta/tambi, wali, mkate, mayai, maandazi, chapati, soda zote na jusi zote za viwandani zote ni asidi.

   Asilimia 80 ya mlo wa mtu kwa siku inapaswa kuwa ni mboga majani na matunda na asilimia 20 ndiyo iwe vyakula vingine.

   Wengi wetu siku hizi tunakula vyakula ambavyo vimekwisha andaliwa tayari katika makopo au maboksi ai migahawa (fast food) na hatutumii vyakula vyenye alkalini ya kutosha. Kumbuka kuwa kabonidayoksaidi ni asidi pia kama ilivyo kwa kahawa, chai na alikoholi ambavyo huathiri PH ya damu na tishu.

   Unaweza kukinunua kipimo cha PH na ukawa unajipima P.H ya mate na mkojo wako mara kwa mara ili kupata mwelekeo wa namna gani ufanye kuitunza 7.2 mpaka 7.4 kwenye seli ndani ya mwili wako. Ikiwa mate yanasoma 6.0 au 6.5 ni kiashiria kuwa una asidi iliyozidi kwenye seli zako.

   Vyakula na vinywaji vyenye Alkalini nyingi: siagi ya maziwa, mtindi mtupu, lozi, mboga za majani zenye rangi ya kijani, karoti, nyanya, kitunguu, uyoga, tango, kabeji, matunda karibu yote, maji ya limau, chai ya tangawizi, asali mbichi, mafuta ya katani na mtama.

   Vyakula na vinywaji vyenye Asidi nyingi: siagi, krimu ya maziwa, ice cream, maziwa, jibini ngumu, maharage, karanga, korosho, viazi, chai ya rangi, kahawa, pombe, soda zote, juisi zote za viwandani, viongeza utamu vya viwandani, sukari, nyama, samaki, wali, ugali, pasta/tambi na biskuti.

   Kwa wewe unayesumbuliwa na maumivu mbalimbali mwilini kila mara fanya yafuatayo kwa muda wa wiki 2 au mpaka utakapopona kabisa;

   1. Maji: Kunywa maji glasi 8 hadi 10 kila siku. Unaweza kuamua siku 1 ukashindia maji pekee na siku inayofuatia ukala chakula hasa kama maumivu yamekuwa ni sugu na yamedumu kwa muda mrefu.

   2. Matunda: Asilimia 40 ya mlo wako kwa siku iwe ni matunda. Unaweza ukaamua moja kati ya milo yako iwe ni matunda tu, mfano unaweza ukaamua ama chakula cha mchana au cha usiku kiwe ni matunda tu mpaka unashiba.

   3. Mboga za majani: Asilimia 40 ya chakula chako kwa siku iwe ni mboga majani. Unaweza kufanya hivi; chukuwa ama samaki wa kukaangwa au nyama ya kukaangwa, pembeni weka sahani iliyojaa mboga majani, kula hivyo viwili mpaka ushibe bila kuongeza ugali au wali katika moja ya milo yako kama ni wa mchana au usiku.

   4. Chai ya tangawizi: Chemsha chai ya kutosha ya tangawizi kama lita 2 hivi na unywe taratibu kutwa nzima huku ukitumia asali mbichi kama sukari kwenye hiyo chai, tangawizi peke yake usiongeze majani ya chai.

   5. Kitunguu Swaumu: Chukuwa kitunguu swaumu kimoja na ukigawe mara 2, menya nusu yake (punje 10 au 15), menya punje moja baada ya nyingine na kisha kikatekate (chop) vipande vidogo vidogo na kisu kisha meza kama unavyomeza dawa na maji vikombe 2 kila unapoenda kulala au fanya kutwa mara 2.

   6. Mazoezi: Inashauriwa pia kuepuka kubaki katika mkao mmoja kwa muda mrefu iwe ni kukaa au kusimama. Watu wengi kutokana na kazi wanazofanya wanalazimika kubaki wamekaa au wamesimama tu kwa masaa mengi kwa siku jambo ambalo ni hatari kwa afya kwa kuwa asidi hujikusanya hivyo kwa urahisi zaidi. Yapo mazoezi maalumu ya kufanya kila mara kwa watu wa kazi za aina hiyo ili kurudishia damu katika mfumo na hivyo kutoa nje taka za asidi.

   MAZOEZI MAALUMU KWA ANAYESUMBULIWA NA MIGUU KUWAKA MOTO AU ASIDI KUZIDI MWILINI

   Unalala chali, nyoosha mikono chini. Kisha nyanyua mguu mmoja juu unyooke, shusha chini mguu na unyanyuwe wa pili hivyo hivyo juu kisha chini. Endelea hivyo hivyo kwa mara kumi kumi kwa round 5. Zoezi lichukuwe dk 10

   Nyanyuka na ujipigie saluti mwenyewe ukianzia mkono wa kulia mara 15 hamia mkono wa kushoto mara 15 tena kwa round 5

   Kisha simama, chuchumaa simama, chuchumaa simama, hivyo hivyo mara 15 kwa round 5

   Pia unasimama wima, nyoosha mikono yote juu na uishushe mabegani. Hivyo hivyo mikono juu mikono mabegani mara 15 kwa round 5

   Fanya hivi mara 4 mpaka 5 kwa wiki.

   Mawasiliano: WhatsApp +255769142586

 54. Benny Mtau Benny Mtau says:

  hongera sana na ahsante kwa somo lako,, naomba kufaham nini tofauti ya ngiri na henia?

 55. kw mfno kuna mtu anameza chkula kwa tabu, pia saut inapotea,au akiongea san kwenye koo pana kauk anakuw anakohoa,au akpuliza hewa inatokea puani je n ugonjw gan naomb mnisaidie

  • Inawezekana anakabiliwa na masundosundo au ngiri ya kifua au hata kifua kikuu, ni vizuri umpeleke hospitali apate vipimo zaidi.

  • Wakati huo huo mpe juisi ya tangawizi.Juisi ya tangawizi : tangawizi kubwa 3, parachichi kubwa moja, asali vijiko vikubwa 7, maji Lita moja na nusu na chumvi ya mawe ya baharini punje 3. Kunywa kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara 2 kwa wiki 3 mpaka 4. Kwa uwezo wa Mungu utapona na kuleta ushuhuda

 56. Babu Ommy Babu Ommy says:

  Nauliza mbegu za tikiti zina mazara ukimeza au hazina na zinatibu nini naomba nataka nijue.

 57. Lizzy King Lizzy King says:

  Dokta mm nimetokewa na vidonda mdomoni na kooni km vipele sasa sijajua ni acid maana niliumwa sa hv naendelea vizuri ila shida ni hv vidonda vinaniuma sana kuna muda nakuwa joto kali naishiwa nguvu na maumivu hadi kwenye meno nisaidie dokta nateseka sana

  • Pole sana ndugu, nakushauri utumie juisi ya tangawizi itakusaidia hayo yote. Pia pendelea kutembeatembea nje wakati wa jua kali kila siku japo lisaa limoja, kama una stress jitahidi uziache pia. Juisi ya tangawizi : tangawizi kubwa 3, parachichi kubwa moja, asali vijiko vikubwa 7, maji Lita moja na nusu na chumvi ya mawe ya baharini punje 3. Kunywa kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara 2 kwa wiki 3 mpaka 4. Kwa uwezo wa Mungu utapona na kuleta ushuhuda

  • Lizzy King Lizzy King says:

   Chumvi ya mawe ya baharini inauzwa wapi

  • Lizzy King Lizzy King says:

   Asante dokta naanza tiba leo nitakupa maendeleo yangu

 58. Kweli khaki hii inanisumbua,alafu nasikia kama hapa kwenye chemba Moyo kunakoromakoroma unanisaidiaje

  • ???? ?? ????? ?????????? ????? ?? ?????:

   1. MAJI YA UVUGUVUGU ASUBUHI

   Kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 au 2 mara tu baada ya kuamka na kisha simama na ufanye mazoezi ya kunyanyua mikono yako juu na kurudisha chini mpaka maeneo ya kifua kwa dakika kama 10 hivi na uendelee na shughuli zako. Kitendo hiki kitawezesha utumbo kushindwa kupanda juu ya kifua kuleta ngiri. Ukikosa maji ya uvuguvugu unaweza kutumia maji ya joto la kawaida (room temperature) bali yasiwe ya baridi. Jambo hili unaweza kulifanya hata kama huumwi ngiri au ugonjwa wowote.

   Ni mhimu pia kuepuka vitu hivi vifuatavyo; kahawa, chai ya rangi, juisi za dukani na maji ya baridi wakati wote.

   2. SIKI YA TUFAA (apple cider vinegar)

   Siki ya tufaa ina msaada mkubwa katika kupunguza dalili za kiungulia na asidi iliyozidi mwilini kama matokeo ya ngiri ya kifua. Ingawa siki ya tufaa kwa asili ni ya asidi, inapokuwa ndani katika tumbo hubadilika na kuwa alkalini. Ongeza kijiko kidogo kimoja au viwili vya siki ya tufaa katika glasi 1 ya maji ya uvuguvugu na unywe dakika 20 kabla ya chakula cha mchana na jioni. Fanya hivi kila unaposikia kuwa na kiungulia au asidi iliyozidi mwilini.

   3. MDALASINI

   Kiungo hiki maarufu duniani husaidia kulituliza na kusafisha tumbo. Mdalasini unaweza kuondoa maumivu yasiyo ya kawaida tumboni mara tu baada ya kula chakula. Hufanya kazi pia kama dawa ya asili kuondoa asidi iliyozidi mwilini.

   Ongeza kijiko kidogo kimoja cha unga wa mdalasini kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto, acha kwa dakika 2 au 3 koroga vizuri na unywe yote, fanya hivi kutwa mara 2 asubuhi na jioni. Kwa kuongezea unaweza kuwa unachanaganya mdalasini kwenye vyakula vingi unavyopika kama sehemu ya kinga.

   4. BAKING SODA

   Baking soda ni ile wamama huitumia wakati wanapika maandazi ipo kwenye maduka ya kawaida tu hata hapo nje kwa Mangi anayo. Hujulikana pia kama Bicarbonate of soda na ni dawa ya asili ya kuondoa asidi mwilini na inaweza kuondoa kiungulia na maumivu ya ngiri ya kifua kwa haraka.

   Changanya nusu kijiko kidogo cha chai cha unga wa baking soda kwenye glasi moja ya maji na unywe papo hapo na ufanye zoezi hili kutwa mara 3. Usitumie dawa hii kama una shinikizo la juu la damu.

   5. ALOE VERA (mshubiri)

   Aloe vera au mshubiri ni moja ya dawa nzuri zaidi za asili kwa matatizo mbalimbali ya tumbo yanayosababishwa na ngiri ya kifua. Huzisafisha kuta za ndani ya tumbo na kuziwekea ulinzi huku ukiondoa maumivu yoyote ya tumbo. Hudhibti pia kiungulia kirahisi zaidi. Kunywa ¼ ya kikombe ya juisi ya aloe vera dakika 20 kabla ya kula chakula cha mchana na cha jioni, unaweza kuchanganya na juisi ya embe au parachichi kufanya kikombe kizima kupunguza ukali wa dawa wakati unakunywa. Usitumie zaidi ya vijiko vikubwa viwili vya jeli (maji maji) ya aloe vera unapoandaa hii juisi yako lasivyo unaweza kupatwa na ugonjwa wa kuharisha.

   6. BADILI CHAKULA UNACHOKULA

   Wakati unaumwa ugonjwa wa ngiri ya kifua ni mhimu kuwa makini na kile unakula kila siku. Epuka vyakula vinavyoweza kulizidisha zaidi tatizo, dhibiti uzito wako, epuka vyakula kama chocolate, kahawa, chai ya rangi, kitunguu maji, kitunguu swaumu, vyakula vyenye viungo vingi (spicy), machungwa na limau, epuka pia nyanya na vyakula vyenye nyanya kwa wingi. Kula zaidi mboga za majani na matunda, kula mafuta safi kama vile mafuta ya zeituni, kula sana mbegu mbegu kama mbegu za maboga na korosho. Kula vyakula ambavyo havijakobolewa.

   ????? ?? ????? ??????????:

   *Kula milo au chakula kidogo kidogo mara nyingi kutwa nzima

   *Kula chakula cha usiku masaa 2 au matatu kabla ya kwenda kulala

   *Punguza uzito kama uzito wako upo juu

   *Punguza unywaji pombe ikibidi acha kabisa mpaka umepona

   *Usivute sigara wala bidhaa nyingine za tumbaku (bangi nk)

   *Usiiname mara tu baada ya kuwa umekula chakula

   *Kisha kula chakula tembeatembea kidogo kwa miguu kuzunguka jiko lako au sebule

   *Hakikisha unakunywa maji bila kusubiri kiu kidogo kidogo kutwa nzima

   Umewahi kuugua ugonjwa wa ngiri ya kifua? kama ndiyo unaweza kuniambia umetumia dawa gani? Karibu kwa mjadala

   Mawasiliano: WhatsApp +255769142586

 59. Je vipimo unavyo na unapatikana wp Dct?

 60. Asante mkubwa kwa kutu juza nawe mngu akulinde na maradhi mbalimbali

 61. Kennedy Kingdom Kasisi
  Jaribu kuisoma hii

 62. Hussein Iddi Hussein Iddi says:

  penda sana hili somo shukran dr

 63. Nasumbuliwa na kitu km kichomi upande wa kushoto wa kifua wakati mwingine kinapanda kwenye bega hilo hilo la kushoto na nikilala ninapoamka upande wakushoto unauma kuanzia begani hadi kwenye uti wa mgongo, na kuna kipindi nikinama na kuamka husikia kichomi maeneo ya bega kwa nyuma, na husababisha tumbo kuunguruma sana hasa nyakati za usiku, je inaweza kuwa ni dalili ya ngiri ya kifua? Na km ndiyo nifanyeje maana hata pesa ya kupima imekuwa shida.

  • Pole sana ndugu, jaribu kutumia dawa hizi kwa wiki mbili hivi halafu nijulishe unaendeleaje. Leonard Chacha

  • MAUMIVU MBALIMBALI MWILINI CHANZO NA TIBA YAKE

   Ishara za mwanzo kabisa za asidi kuunguzwa ndani katikati ya seli au kwa maneno mengine asidi kuzidi kwenye seli za mwili na madhara ya kijenetiki ambayo yanaweza kujionesha, ni maumivu mbalimbali yanayozidi kujitokeza katika mwili.

   Kutegemea na kiasi cha asidi mwilini na namna na eneo lenyewe asidi ilipojijenga maumivu maalumu ya mwili hujitokeza. Maumivu hayo yanajumuisha;

   *Kiungulia (heart burn)
   *Maumivu ya moyo (angina)
   *Maumivu sehemu ya chini ya mgongo (lower back pain)
   *Yabisi (rheumatoid)
   *Maumivu ya kichwa (migraine headaches)
   *Maumivu katika kiuno
   *Maumivu mbalimbali katika mishipa
   *Miguu kuwaka moto
   *Homa za asubuhi kwa kina mama wajawazito n.k

   Maumivu mbalimbali mwilini

   Watu wengi siku hizi hawawezi kuishi wiki mbili au mwezi mmoja bila kumeza aina fulani ya dawa ya kupunguza maumivu.

   Ni rahisi kuelewa namna gani maumivu ambayo hayajasababishwa na ajari au maumbukizo yanavyoweza kujitokeza mwilini.

   Viwanda vya madawa vinatumia mabilioni ya fedha kutafiti dawa hizi na zile za kuondoa maumivu na mabilioni mengine zaidi hutumika kutangaza aina fulani ya dawa za kuondoa maumivu.

   Ili kuuelewa mfumo wa utengenezwaji wa maumivu mwililini, tunahitaji kwanza kujifunza namna usawa wa asidi na alkalini unavyofanya kazi katika mwili.

   Hali ya uasidi husababisha kuunguzwa kwa baadhi ya miishio ya neva mwilini. Kunapotokea hayo, ubongo huonywa juu ya mabadiliko hayo ya kikemekali ya kimaeneo, ambayo sote hutafsiri kama MAUMIVU. Kwa maneno mengine, hali ya uasidi ndani ya mwili ndiyo hupelekea kusikia maumivu.

   Masaa 24 kwa siku seli zetu ndani ya mwili zinaunguza kaboni kama mafuta (cells burning carbon) ili kutuacha katika hali joto ya nyuzi joto 37.5. Unapochoma kitu chochote, kinatoa nje taka moshi. Taka zote hizo toka katika seli zote za mwili, lazima zirekebishwe muda wote wa masaa yote 24 kwa msaada wa matunda na mboga za majani.

   Kwa kawaida wakati damu yenye maji ya kutosha inapoizunguka seli, baadhi ya maji huingia ndani ya seli na kutoa nje molekuli za haidrojeni. Maji huisafisha asidi toka ndani ya seli na kuiacha sehemu ya ndani ya seli katika hali ya ualikalini ambayo ni hali yake ya kawaida na ya mhimu.

   Kwa afya bora kabisa, mwili unatakiwa kubaki katika hali ya 7.4 katika kipimo cha P.H (Potential Hydrogen).

   Hali hii ya 7.4 PH huhamasisha afya kwa sababu ndiyo hali inayoviwezesha vimeng’enya vinavyofanya kazi ndani ya seli ambavyo hupata ufanisi mzuri katika P.H hii. Utiririkaji wa kutosha wa maji ndani na nje ya seli huifanya sehemu ya ndani ya seli kubaki na kuhimili hali yake ya kiafya ya kiualikalini.

   Ndani ya miili yetu, figo husafisha haidrojeni iliyozidi ambayo husababisha asidi toka katika damu na kuiweka katika mkojo unaozarishwa. Kadiri mkojo unavyozarishwa kwa wingi ndivyo mwili unavyojiweka katika hali ya ualikalini kirahisi zaidi. Hii ndiyo sababu mkojo unaokaribia rangi ya uweupe ni kiashiria cha kufanikiwa kwa mfumo wa uondoaji wa asidi wakati mkojo wa rangi ya njano au chungwa ni ishara ya kuunguzwa kwa asidi mwilini.

   Watu wanaodhani kwenda uani kwa ajili ya haja ndogo mara mbili au tatu kwa siku ni usumbufu kwao na hivyo kuacha kunywa maji ili kuzuia hilo hawana uelewa wa namna wanavyohatarisha miili yao.

   Ubongo unalindwa vizuri zaidi dhidi ya asidi kutokana na ukweli kuwa unapata umhimu wa kwanza katika kusambaziwa maji kwa ajili ya mahitaji yake yote. Sehemu zingine za mwili haziwezi kuwa na bahati hii wakati maji yanapokuwa yanapatikana kwa njia ya mgawo. Ingawa upungufu wa maji unapobaki kwa muda mrefu, ubongo pia huathiriwa kutokana na hali ya uasidi katika seli, hivyo hali kama za kupoteza kumbukumbu na magonjwa ya mishipa hujitokeza.

   Maumivu ambayo hayakusababishwa na jeraha au ajari, ni kiashiria kuwa tishu, ogani, maungio na seli vina asidi iliyozidi ambayo inahitaji kufanywa alkalini.

   Moja ya sababu kuu ya mtu kutakiwa kula matunda na mboga za majani kwa wingi ni kuwa vyakula hivi ni alkalini, wakati nyama, kuku, samaki, nyama ya nguruwe, chipsi, ugali, pasta/tambi, wali, mkate, mayai, maandazi, chapati, soda zote na jusi zote za viwandani zote ni asidi.

   Asilimia 80 ya mlo wa mtu kwa siku inapaswa kuwa ni mboga majani na matunda na asilimia 20 ndiyo iwe vyakula vingine.

   Wengi wetu siku hizi tunakula vyakula ambavyo vimekwisha andaliwa tayari katika makopo au maboksi ai migahawa (fast food) na hatutumii vyakula vyenye alkalini ya kutosha. Kumbuka kuwa kabonidayoksaidi ni asidi pia kama ilivyo kwa kahawa, chai na alikoholi ambavyo huathiri PH ya damu na tishu.

   Unaweza kukinunua kipimo cha PH na ukawa unajipima P.H ya mate na mkojo wako mara kwa mara ili kupata mwelekeo wa namna gani ufanye kuitunza 7.2 mpaka 7.4 kwenye seli ndani ya mwili wako. Ikiwa mate yanasoma 6.0 au 6.5 ni kiashiria kuwa una asidi iliyozidi kwenye seli zako.

   Vyakula na vinywaji vyenye Alkalini nyingi: siagi ya maziwa, mtindi mtupu, lozi, mboga za majani zenye rangi ya kijani, karoti, nyanya, kitunguu, uyoga, tango, kabeji, matunda karibu yote, maji ya limau, chai ya tangawizi, asali mbichi, mafuta ya katani na mtama.

   Vyakula na vinywaji vyenye Asidi nyingi: siagi, krimu ya maziwa, ice cream, maziwa, jibini ngumu, maharage, karanga, korosho, viazi, chai ya rangi, kahawa, pombe, soda zote, juisi zote za viwandani, viongeza utamu vya viwandani, sukari, nyama, samaki, wali, ugali, pasta/tambi na biskuti.

   Kwa wewe unayesumbuliwa na maumivu mbalimbali mwilini kila mara fanya yafuatayo kwa muda wa wiki 2 au mpaka utakapopona kabisa;

   1. Maji: Kunywa maji glasi 8 hadi 10 kila siku. Unaweza kuamua siku 1 ukashindia maji pekee na siku inayofuatia ukala chakula hasa kama maumivu yamekuwa ni sugu na yamedumu kwa muda mrefu.

   2. Matunda: Asilimia 40 ya mlo wako kwa siku iwe ni matunda. Unaweza ukaamua moja kati ya milo yako iwe ni matunda tu, mfano unaweza ukaamua ama chakula cha mchana au cha usiku kiwe ni matunda tu mpaka unashiba.

   3. Mboga za majani: Asilimia 40 ya chakula chako kwa siku iwe ni mboga majani. Unaweza kufanya hivi; chukuwa ama samaki wa kukaangwa au nyama ya kukaangwa, pembeni weka sahani iliyojaa mboga majani, kula hivyo viwili mpaka ushibe bila kuongeza ugali au wali katika moja ya milo yako kama ni wa mchana au usiku.

   4. Chai ya tangawizi: Chemsha chai ya kutosha ya tangawizi kama lita 2 hivi na unywe taratibu kutwa nzima huku ukitumia asali mbichi kama sukari kwenye hiyo chai, tangawizi peke yake usiongeze majani ya chai.

   5. Kitunguu Swaumu: Chukuwa kitunguu swaumu kimoja na ukigawe mara 2, menya nusu yake (punje 10 au 15), menya punje moja baada ya nyingine na kisha kikatekate (chop) vipande vidogo vidogo na kisu kisha meza kama unavyomeza dawa na maji vikombe 2 kila unapoenda kulala au fanya kutwa mara 2.

   6. Mazoezi: Inashauriwa pia kuepuka kubaki katika mkao mmoja kwa muda mrefu iwe ni kukaa au kusimama. Watu wengi kutokana na kazi wanazofanya wanalazimika kubaki wamekaa au wamesimama tu kwa masaa mengi kwa siku jambo ambalo ni hatari kwa afya kwa kuwa asidi hujikusanya hivyo kwa urahisi zaidi. Yapo mazoezi maalumu ya kufanya kila mara kwa watu wa kazi za aina hiyo ili kurudishia damu katika mfumo na hivyo kutoa nje taka za asidi.

   MAZOEZI MAALUMU KWA ANAYESUMBULIWA NA MIGUU KUWAKA MOTO AU ASIDI KUZIDI MWILINI

   Unalala chali, nyoosha mikono chini. Kisha nyanyua mguu mmoja juu unyooke, shusha chini mguu na unyanyuwe wa pili hivyo hivyo juu kisha chini. Endelea hivyo hivyo kwa mara kumi kumi kwa round 5. Zoezi lichukuwe dk 10

   Nyanyuka na ujipigie saluti mwenyewe ukianzia mkono wa kulia mara 15 hamia mkono wa kushoto mara 15 tena kwa round 5

   Kisha simama, chuchumaa simama, chuchumaa simama, hivyo hivyo mara 15 kwa round 5

   Pia unasimama wima, nyoosha mikono yote juu na uishushe mabegani. Hivyo hivyo mikono juu mikono mabegani mara 15 kwa round 5

   Fanya hivi mara 4 mpaka 5 kwa wiki.

   Mawasiliano: WhatsApp +255769142586

 64. Asante kaka mm nasumburiwa na kifua nasikia sana gesi maeneo juu kuerekea kifuani arafu kupanda juu kwenye koo natoa mate ya marendarenda na Mara kifua kibane kwa mbari japo hakijazidi sana je nn tatizo kaka nisaidie na nitumie dawa gan asante

 65. Dr Mmewangu Anasumbuliwa Sana Tumbo Kuna Muda Lina Kuwa Zitozito Alafu Linawaka Moto Had Kwenye Kifua,lilivo Anza Lilikua Lina Jaa Ges Lakin Asaivi Halijai Na Linaunguma Sana Wakati Wa Usiku Tumehangaika Sana Hosp Lakin Bado Tufanyeje Naomba Ushaur Wako Dokta,

 66. Namalizia Maelezo Muda Mwingine Anaona Kama Kuna Makohozi Ya Malendalenda Kifuan Anasumbuka Sana Naomba Tusaidie Dokta,

 67. Nadya Fahmy Nadya Fahmy says:

  Duh asante sana kwa elimu hiyo,nami nina dalili zote za ugojwa huo ntachart nawe watsap

 68. Axante kwa kutujuza kwa ilo docta joshua

 69. Bro samahani bint yangu anasumbuliwa na kifua sasa karibu mwezi.na huwa ankoa hasa akipgwa upepo anakohoa sana kwa mfufululizo mpaka anasikia hata kutapika pia alipimwa.akambiwa nimonia akapta dawa ila alipumnzika kidogo baada yakupta tiba .ila alipo ingiza mkono kwenye barafu akanza kusikia kifua kizito anakukohoa mpaka leo je huo nao ni ugonjwa wa ngiti au nini?

 70. Isaac Moses Isaac Moses says:

  Naomba kuuliza swali Dr. Naweza kuzisaga hizi mbegu za maboga na kutumia kama unga kwa kuchanganya na maji?? Na kama ndio, Je kwa kipimo gani kwa siku? Asant

 71. Poa Nashukulu Kwa Ushauri Wako Dokta

 72. Arafa Ndembo Arafa Ndembo says:

  Nimeelewa sana kuhusu ngiru

 73. Doktaaa endeleza somoo LA ngiriii ya kuumwa tumbooo Nina ndugu yangu inamtesa saanaaa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *