faida 13 za tikiti maji kiafya

faida za tikiti maji kiafya
Tikiti maji
Share

You may also like...

1,017 Responses

 1. Allisaidi says:

  Lefusha maisha na jenga mwili na vitu vya asili,epuka sana vitu vya viwandani kwakuwa vina kemiko ambavyo ni hatari kwa afya yako

 2. Thx broo…be blessed

 3. Nuru Ali Nuru Ali says:

  Shukran Mungu akuzidishie ilimu nasi tufaidike

 4. Nancy Mbise Nancy Mbise says:

  Asante sana ubarikiwe

 5. Fadhili baba pokea mibaraka tele!

 6. MR.MESHACK says:

  Nimeipenda makala hii mungu awabariki

 7. waziri mwalimu says:

  Safi Sana

 8. Hawa lufingo says:

  Asante naomba kutumiwa makala na mimi

 9. ALEX MILWANO says:

  MUNGU AKULINDE NIMETUMIA HAYA MATUNDA NAONA MAMBO MAZURI SANA KWANGU

  • fadhili says:

   Amina. Nafurahi sana kuona mtu analeta ushuhuda kwamba kuna faida amezipata. hilo ndiyo ninalohitaji zaidi ili nijuwe kuwa kumbe kazi niifanyayo si bure

 10. yusuph manambi says:

  Nimependa faida zake.

 11. Anna says:

  Ubarikiwe sana, naomba kutumiwa please

 12. wanasema ukila na mbegu ndio bora zaid kuliko uzitupe mbegu yak ukitafuna kuna faida gani au ni izo izo apo juu zote unazipata kwa pamoja

 13. Hata Xaxhv Nina Kipande Cha Miatano Natafun Napend Sana Melon Water

 14. Ni kweli ukila utaiona raha yake

 15. km kuna group la afya plz add me 0712555876

 16. Tatizo la matikiti ya siku hz ni too artificial sometime can endanger human health

 17. Kam kuna group la afya 0712973517

 18. Zay Rashid Zay Rashid says:

  Nakukubali xana

 19. Yes asnte kwa somo

 20. Alex Munishi Alex Munishi says:

  Ahsante kwa somo zuri sana

 21. Zeno Paul Zeno Paul says:

  faida ni nyingi kiafya somo zuri

 22. mungu akubarik dr kwa kutupa elimu hii

 23. Rehema Sope Rehema Sope says:

  But melon yenyewe ni ile green tupu siyo hii ya mchina

 24. Siku hizi ukitaka watu wamalize dozi ya diety mwambie ukila kitu flani kinaongeza nguvu za kiume au hips watakula mpaka basi ila hivi hivi tu tutakula akina sisi tunaojua faida za hivyo vyakula. Ahasnte sana kwa somo.

 25. Ahsante kwa somo nyongeza pia mbegu za tikiti maji,maboga,matango, nk zilizokaushwa ni tiba ya msongo wa mawazo na pia husaidia kuondoa hasira kwa wanaume.

 26. Julius Sechi Julius Sechi says:

  Ganda lake na ile nyama nyeupe ndio dawa

 27. Deizy Mona Deizy Mona says:

  Selina Mbwiga Kuja uone faida za tikiti

 28. Fetty Shomy Fetty Shomy says:

  Asnte kwa kutujuza

 29. Nimeongeza ufahamu. Asante

 30. Anna Utou Anna Utou says:

  Asante kwa ushauri

 31. Tupe faida zipatikanazo kwa watoto wetu pindi wakupewa juice ya tikiti

 32. Ahsante kwa kutujuza.je watu wa sukari (diabetes) wanaruhusiwa kutumia hilo tunda?

  • Wanaruhusiwa kabisa ndugu. Watu wenye kisukari wanahitaji pia sukari kwenye miili yao, kwavile hawaruhusiwi kutumia sukari moja kwa moja hii sukari ya kwenye matunda ni mhimu kwao

 33. Ni kati ya matunda ninayo yapenda sana” ahsante fadhil paulo

 34. Mtilason Tz Mtilason Tz says:

  kk hiyo faida ya mwisho umeiona Islam Isy Coby…

 35. Xafi sana mi nalipenda xana hlo tunda

 36. Jane Kavishe Jane Kavishe says:

  Asante kwa somo nayapenda sana haya

 37. Nimepata faida ya tikiti je kwa tikiti zilizo tumiwa kukuziw na chumvichumvi faida hzo zitaendelea kuwepo zote?je na kunamadhara kama zimekuuzwa kwa chumvichuvi naomba majibu

 38. Ally Hysome Ally Hysome says:

  Napenda sana tkt mm jaman

 39. Asante kwa ushauri

 40. Itabid nijilazimishe tu maana hamna matunda siyapendi kama haya..

 41. Duuuu, mmenicha nganya kidogo. …tiketi maji? Kumbe tikiti maji?

 42. Mm hupenda kutafuna na mbegu zake pia wakati wa kula tkit,vp kuna faida gn au kuna madhara gn?

 43. Asante kwa kutuelimisha

 44. Asnte sana mugu aklinde

 45. Ahmed Ameir Ahmed Ameir says:

  Nayakubali kinoma

 46. Kilicho kufanya wwe kuamin nni

 47. Rehema Mdoe Rehema Mdoe says:

  Namimi Mwana mkeje Nikola na mbeguzake naongeza nini

 48. Je vipi mgojwa wa sukari anaweza kutumia hili tunda??

 49. David Chale David Chale says:

  Duuu nakibali sana kaka

 50. Shukran fadhilipaul.com

 51. Bin Yussuf Bin Yussuf says:

  Naomba kujua DAWA ya PUMU. Kma inawezekna. Na kwa upnde mwengine hli somo co baya sana na n vzr kuendelea kutupatia dawa za TBA aclia. Allah akuzdishie kua na moyo huo huo.

 52. Asante kwa somo zuri

 53. Libe Hugo Libe Hugo says:

  je na wenye diabetes wanaruhusiwa kula? au kutumia?

 54. Hivi in kweli tunda za tikiti husaidia kuimarisha nguvu za kiume

 55. asante kwasomo zuri, je nn dawa yakutoa sumu mwilin?

 56. Nakukubal xana,2ko/1

 57. Nina mahumivu katikat nyuma ya mgongo na mbele ya kifuwa juu ya chembe ya moyo ila mambo mengine yanaenda sawa kam kupumua nisadie tatizo ni nin…?

 58. Walter Munis Walter Munis says:

  hilo tunda ni artificial fruit,,,,so how person ,,thry get nutrional

 59. Marry Saulo Marry Saulo says:

  Kwa mwanamke je linamsaidiaje

 60. Raya Mahmoud Raya Mahmoud says:

  Nashukuru umeeleweka vizuri

 61. Asante kwa Shule isiyo na malipo

 62. Unatakiwa kula nini ili niweze kulala na mwanamke na kupiga goli tano na zaidi? Jipe jibu

 63. Pia nakuomba utengeneze group la Afya na namba Yangu ni 0717807008

 64. Swali langu ni tikiti maji linazuia kupata UTI?

 65. Fredy Paul Fredy Paul says:

  Je inatakiwa ulekiasigani kilasiku

 66. Nimeipenda hiyo kaka km vp tupe masomo mengine maana tuliowengi tunaelewa vyema

 67. Hzo mbegu za tikiti unazitafuna au unameza hvyohvyo ukiwa unakula hlo tunda naomba kujua mtalaam wetu

 68. Edi Ibrahim Edi Ibrahim says:

  Mi nikila nakojoa sana

 69. Mie alinifai kula Na mbegu kwa sasa nikiangusha pacha

 70. Naomba elewesho la ziada…mbegu za maboga zinaliwa toka enzi.. na mbegu za tango nazo zinaliwa moja kwa moja unapokula tango. tikiti maji maranyingi watu huchambua na kutupa chini. hebu tuelekeze, zinaliwa mbichi, kavu au zinakaangwa!

 71. Safi sana kwa kutoa elimu

 72. Itika Pwele Itika Pwele says:

  kuna mti unaitwa habbat soda, kama umaufaham naomba niambie unafananaje. samahani kwa kuhamisha.

 73. Nimelipenda somo hili ,je mbegu nazo zina umuhimu gani ?

 74. Fafanua vizuri,maana kuna ganda,sehemu nyeupe,sehemu nyekundu,na mbegu!kila moja inafanya kazi gani mwilini.

 75. Iveta Mdee Iveta Mdee says:

  asante kwa somo zur

 76. Flora Temu Flora Temu says:

  inakuaje linaongeza nguvu za kiume peke naza kikeje? na je watoto wadogo wakiume wakila watapata madhara gani???

 77. Aksante Saana Mtaalam Kwa Kuendelea Kutupatia Elimu Ya Tiba Lishe!!! Swali, Hivi Sasa Wakulima Wanalima Kisasa Mno, Dawa Ni Nyingi Mno, Je, Vp Hilo Halipunguzi Hayo Usemayo Kama Si Kuondoa Ubora Wake!! Maana Kemikali Zinazotumika!!

 78. George John George John says:

  Nilikua sijui ilauwa nakulasana

 79. Xomo zuri safi xana.

 80. Nakula sana hayo madude kwa wingi

 81. Agnes Andrew Agnes Andrew says:

  Mimi nilikuwa naumwa sana moyo au chembe yamoyo inaniuma sana nakwenye kizazi kunauvimbe nawakati wahedhi ninapata maumivu makali sana sehem zasiri kizazi kinavuta nimefatilia somo la Kaka adi sasa nipo vizuri maana nimekula dawa sana alinishauri ninywe maji sana kila siku lita Tatu nambegu zamaboga nitafune sana basi sasa badili yakaranga natafuna mbegu zaboga sina muda mwingi kama wiki tuu maumivu yamepungua sana

 82. Andrew Mrimi Andrew Mrimi says:

  NINI FAIDA YA VTUNGUU SAUMU?

 83. Kwani tikiti la mchina likoje au linaonekanaje?

 84. Emanuel Pisa Emanuel Pisa says:

  Mbegu zake zinz vitamin B17

 85. Axante kwa ku2juza umuhim wa water melon.

 86. Axante kwa ku2juza umuhim wa water melon.

 87. Florah Kweka Florah Kweka says:

  Linatumikaje na kwa kiasi gani?

 88. Kaka 0657222364 niunge kwenye group lako la whatsapp kupata dondooo za Afya

 89. Letty Msani Letty Msani says:

  Asante kwa somo zuri, tunaomba elimu zaidi kwa ajili ya afya ya jamii

 90. Vipi kama goti limevimba kwa juu

 91. Je hayaongezi damu

 92. Tafadhalit naomba nitoke nje ya mada kidogo nahitaji kujua faida za bamia na bilinganya mwilini naomba jibu.

 93. Innocent Patrick says:

  fantastic ahsante kwa elimu hii ya pekee its helpful

 94. Jane says:

  Asanteni sana

 95. patrick joel says:

  ubarikiwe kwa elimu yako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *