Faida za majani ya Stafeli

faida za majani ya stafeli
faida za majani ya stafeli

You may also like...

2,159 Responses

 1. mi nnatatizo nilinza naubavu unaniuma nakama kuna vitu vinanitembea kwa mda nimetumia dawa wp nikaenda tiba mbadala ndio sasa imejulikana vidonda vyatumbo nimetumia dawa ilacdo nnamaumivu jpo ckama mwanzo yamepungua kidogo ilakunakipindi napata maumivu yamgongo je inafaa kutumia majani naomba msada wako

 2. Salum Joseph Salum Joseph says:

  Je inafaa kutafuna majani bila kuchemsha? na samahani Dkt inafukuzavipi chawa naomba maelekezo.

 3. Salum Joseph Salum Joseph says:

  Je inafaa kutafuna majani bila kuchemsha? na samahani Dkt inafukuzavipi chawa naomba maelekezo.

 4. Docta Swali Langu Nataka Kujua Hayo Majani Yamstafeli Naweza Kuya Twangatwanga Kwenye Kinu Nasumbuliwa Kwenye Mgongo Kiuno Chini Ya Kitovu Naanaweza Kunywa Mama Mjamzito Naomba Ushauri Wako

 5. Docta Swali Langu Nataka Kujua Hayo Majani Yamstafeli Naweza Kuya Twangatwanga Kwenye Kinu Nasumbuliwa Kwenye Mgongo Kiuno Chini Ya Kitovu Naanaweza Kunywa Mama Mjamzito Naomba Ushauri Wako

 6. Djlufy Tz Djlufy Tz says:

  Samahani dakitari kwe uvimbe tunapaka au NATO tunakunywa

 7. Kubaga Rajab Kubaga Rajab says:

  Wajameni sasa hz dawa nyengine noma tatozo wabongo wengi hawana imani ndio maana magonjwa hayawaishi

 8. Kubaga Rajab Kubaga Rajab says:

  Wajameni sasa hz dawa nyengine noma tatozo wabongo wengi hawana imani ndio maana magonjwa hayawaishi

 9. Dcta Nina mgonjwa WA Kansa ya ngoz ameharibka sana miguu na mapaja na hawez hat kusmm na hajaanza tib yyt n mda xx km mwaka he majan hyo yanaweza kumsaidia naomba ushaur wako docta

 10. Dcta Nina mgonjwa WA Kansa ya ngoz ameharibka sana miguu na mapaja na hawez hat kusmm na hajaanza tib yyt n mda xx km mwaka he majan hyo yanaweza kumsaidia naomba ushaur wako docta

 11. dah bonge la elimu, kumbe niliotea kupanda.!yaan faida yote hii.

 12. HONGERENI KWA UTAFITI MAKINI MUNGU ATAWAKIRIMU NANYIE IPO SIKU.

 13. Frola Joseph Frola Joseph says:

  Samahani doctr mi nasumliwa na maumivu ya mifupa dawa naweza pata

 14. Pendo Simba Pendo Simba says:

  Somo zuri Sana,, majani kiasi gani unayochemsha doct

 15. Monica Hyera Monica Hyera says:

  Asante Kwa dawa Docta je kama ana uvimbe tumboni anaweza tumia hii juice na akapona?

 16. Monica Hyera Monica Hyera says:

  Asante Kwa dawa Docta je kama ana uvimbe tumboni anaweza tumia hii juice na akapona?

 17. Mmmmh nayapendaga hayo jaman

 18. Ok vizuri sana ila kwenye hii video hatujaona alipotia asali wala sukari na ktk maelezo yako vitu ivyo unatakiwa ueke kimoja wapo kati ya asali au sukari sawa au unaweza kutumia bila ya iyo asali au sukari

 19. Ok vizuri sana ila kwenye hii video hatujaona alipotia asali wala sukari na ktk maelezo yako vitu ivyo unatakiwa ueke kimoja wapo kati ya asali au sukari sawa au unaweza kutumia bila ya iyo asali au sukari

 20. Dr. Nasumbuliwa sana na maleria coz mimi ni mtu au kaz yangu ni ya Field Sana. Mikoa ya Moro, Tabora ,singida na Dodoma. Nipe ushaur au tiba hapo

 21. Dr. Nasumbuliwa sana na maleria coz mimi ni mtu au kaz yangu ni ya Field Sana. Mikoa ya Moro, Tabora ,singida na Dodoma. Nipe ushaur au tiba hapo

 22. Ukisha chemsha tu ndio yanakuwa tayar kwa kunyweka au kuna vitu vngne

 23. Ukisha chemsha tu ndio yanakuwa tayar kwa kunyweka au kuna vitu vngne

 24. Asante je kama una washwa mwili mzima una weza kutumia hiyo

 25. Je kwa mgonjwa wa kansa ablend majani mabichi? Au achemshe kama chai?

 26. Je kwa mgonjwa wa kansa ablend majani mabichi? Au achemshe kama chai?

 27. sorry Doctar mdogo wangu anasumbuliwa tatizo la fangasi sehemu za siri pia anajikuna kila wakati naomba msaada kwa mdogo wanga

 28. sorry Doctar mdogo wangu anasumbuliwa tatizo la fangasi sehemu za siri pia anajikuna kila wakati naomba msaada kwa mdogo wanga

 29. Docta nasumbuli na tumbo wakati wa khedh mda mwengne natapa dalili kama mjamzito lakin hakuna pia tumbo chini ya kitovu mara nying huwa linanisumbua

 30. Docta nasumbuli na tumbo wakati wa khedh mda mwengne natapa dalili kama mjamzito lakin hakuna pia tumbo chini ya kitovu mara nying huwa linanisumbua

 31. Naombakuuliza,dr,majaniyamstafeliyanatibu,hata,goita?

 32. samahani kidogo hayo ni majani ya mt wa matopetope

 33. Mary Michael Mary Michael says:

  Unakunywa ikiwa ya vuguvugu au ikipoa

 34. Samahani dokt mimi nina matatizo yapingili yani mugongo naomba ushauri wako haya majani yamustafeli yanaweza kunisaidia

 35. Samahani dokt mimi nina matatizo yapingili yani mugongo naomba ushauri wako haya majani yamustafeli yanaweza kunisaidia

 36. Bupe Msowa Bupe Msowa says:

  Mm ninatatizo doct nilijifungu kwa upareshen tangu 2012.mpka sasa sipati.hezi nimeangaika kila kona bado sijafanikiwa naomba msada maana nimekata tamaa..

 37. Bupe Msowa Bupe Msowa says:

  Mm ninatatizo doct nilijifungu kwa upareshen tangu 2012.mpka sasa sipati.hezi nimeangaika kila kona bado sijafanikiwa naomba msada maana nimekata tamaa..

 38. Docta Mm Nashndwa Kuelewa,ninapoingia Kwenye Siku,yan Zinatoka Kidogo Alaf Zimeganda Usiku Ndo Inatoka Ila C Nying Alaf Inatoka Nzito,tumbo Likiwa Linaumaa Sanaa Cjui Ni Kawaida Au Tatzo Na Kama Ni Tatzo Nishaur Nifanyeje Ili Kumaliza Tatzo.

 39. Docta Mm Nashndwa Kuelewa,ninapoingia Kwenye Siku,yan Zinatoka Kidogo Alaf Zimeganda Usiku Ndo Inatoka Ila C Nying Alaf Inatoka Nzito,tumbo Likiwa Linaumaa Sanaa Cjui Ni Kawaida Au Tatzo Na Kama Ni Tatzo Nishaur Nifanyeje Ili Kumaliza Tatzo.

 40. elim nzuri umetoa haya majani una yatwanga nakuloweka iliupate juis au unachemsha

 41. elim nzuri umetoa haya majani una yatwanga nakuloweka iliupate juis au unachemsha

 42. Nikweli kabisa inabidi kila mtu atumie kwani nidawa nzuri sata mbegu zake ukizikausha na kuzisaga huondoa msumivu ya misuli na kuuweka mwiliko katka hali yake kuwa sawa

 43. Nikweli kabisa inabidi kila mtu atumie kwani nidawa nzuri sata mbegu zake ukizikausha na kuzisaga huondoa msumivu ya misuli na kuuweka mwiliko katka hali yake kuwa sawa

 44. Joseph Seni Joseph Seni says:

  Kati ya watu wanao jua matumizi ya mitandao na wewe umo 95% hongera sana kwa kazi hii nzuri

 45. Joseph Seni Joseph Seni says:

  Kati ya watu wanao jua matumizi ya mitandao na wewe umo 95% hongera sana kwa kazi hii nzuri

 46. Naombanisaidie Mimi natatizo LA mgongo nakiuno yani nikismaa sana vinauma nahatanikilala nikiamka ,pili hayo majani nikiyasaga napaka hivyohivyo bila kuchemsha au sijaelewa hapo

 47. Naombanisaidie Mimi natatizo LA mgongo nakiuno yani nikismaa sana vinauma nahatanikilala nikiamka ,pili hayo majani nikiyasaga napaka hivyohivyo bila kuchemsha au sijaelewa hapo

 48. Naminasumbuliwa n.a. maumivu ya mgongo muda mrefu natakaDAWA nipo mbagala

 49. Naminasumbuliwa n.a. maumivu ya mgongo muda mrefu natakaDAWA nipo mbagala

 50. Doctor mm nasumbuliwa na tumbo wakat wa hedhi napata maumivu makal sana nashindwa hata kufanya kaz zangu pind ninapokuwa kwenye siku zangu nisaidie

 51. Doctor mm nasumbuliwa na tumbo wakat wa hedhi napata maumivu makal sana nashindwa hata kufanya kaz zangu pind ninapokuwa kwenye siku zangu nisaidie

 52. Doctor mm nasumbuliwa na tumbo wakat wa hedhi napata maumivu makal sana nashindwa hata kufanya kaz zangu pind ninapokuwa kwenye siku zangu nisaidie

 53. Doctor mm nasumbuliwa na tumbo wakat wa hedhi napata maumivu makal sana nashindwa hata kufanya kaz zangu pind ninapokuwa kwenye siku zangu nisaidie

 54. ili kupata tiba unafanyaje

 55. mnazingua mbona kadondosha namba ham on?

 56. mnazingua mbona kadondosha namba ham on?

 57. Mstafeli A,k,a Topetope Linaitwa Daa Nimelitaman Sana Liki Hivantakuja Kuli Chukua .

 58. Mstafeli A,k,a Topetope Linaitwa Daa Nimelitaman Sana Liki Hivantakuja Kuli Chukua .

 59. Agnes Zalumo Agnes Zalumo says:

  Mama yangu,ana shida ya nyonga anaweza kutumia majani ya mstaferi.

 60. Agnes Zalumo Agnes Zalumo says:

  Mama yangu,ana shida ya nyonga anaweza kutumia majani ya mstaferi.

 61. Doct kuna mtu ana tb ya mifupa afu anauvimbe umetokezea mgongoni afu anaisi maumivu makali je anaweza kutumia majani ya mstafeli lakini kuna dawa amepewa hospital

 62. Doct kuna mtu ana tb ya mifupa afu anauvimbe umetokezea mgongoni afu anaisi maumivu makali je anaweza kutumia majani ya mstafeli lakini kuna dawa amepewa hospital

 63. Usiyepata mtoto wasiliana na mimi nipo Morogoro

 64. Tumbo kuuma wakati wa hedhi wasiliana na mimi nipo Morogoro 0715203059

 65. Tumbo kuuma wakati wa hedhi wasiliana na mimi nipo Morogoro 0715203059

 66. Vidonda VYA tumbo tumieni DAWA INAITWA HELIGO

 67. Alla akuweke tunakuhitaji sana una faida nyingi tu

 68. Kupunguza tumbo pacha kula vyakula VYA wanga aina zote na bada la yake kula mbogamboga pamoja na juiice ya tangawizi’ limao na tango saga pamoja kunywa kwa muda wa mwezi 1. Na penda kunywa MAJI ya vuguvugu

 69. Kupunguza tumbo pacha kula vyakula VYA wanga aina zote na bada la yake kula mbogamboga pamoja na juiice ya tangawizi’ limao na tango saga pamoja kunywa kwa muda wa mwezi 1. Na penda kunywa MAJI ya vuguvugu

 70. Samahani doctor mimi niko mbali halafu ni mgonjwa naomba unielekeze jinsi ya kutengeneza hiyo juic tafadhal ndugu

 71. Samahani doctor mimi niko mbali halafu ni mgonjwa naomba unielekeze jinsi ya kutengeneza hiyo juic tafadhal ndugu

 72. Samahani docta naomba kujua ,mtu anayesumbuliwa na tatzo la kukosa choo hata akitumia dawa au kupewa ushauri njinsi ya kufata vyakula au matunda vimsaidie lakin tatzo linakua bado pale pale je atumie dawa gani hili imsaidie ? Pia pole kwa kukuchosha

 73. Samahani docta naomba kujua ,mtu anayesumbuliwa na tatzo la kukosa choo hata akitumia dawa au kupewa ushauri njinsi ya kufata vyakula au matunda vimsaidie lakin tatzo linakua bado pale pale je atumie dawa gani hili imsaidie ? Pia pole kwa kukuchosha

 74. Je unaweza tumia hata kama sio mgonjwa

 75. Agath Willy Agath Willy says:

  Samahan Dr. Kuna tatizo Ambalo limenisumbua kwa mda wa miaka 5, yaan maupele yamenitoka uson hayatoi maj wala kuum na cyo chunus nmetumia dawa za hospital haijanisaidia, hivy naomb nisaidie

 76. Agath Willy Agath Willy says:

  Samahan Dr. Kuna tatizo Ambalo limenisumbua kwa mda wa miaka 5, yaan maupele yamenitoka uson hayatoi maj wala kuum na cyo chunus nmetumia dawa za hospital haijanisaidia, hivy naomb nisaidie

 77. Joseph Mush Joseph Mush says:

  Swali nikwambà! Uthibitisho wa hizo dawa tutauptaje? Maana matapeli wamekuwa wengi sn.

 78. Joseph Mush Joseph Mush says:

  Swali nikwambà! Uthibitisho wa hizo dawa tutauptaje? Maana matapeli wamekuwa wengi sn.

 79. Iddy Msabaha Iddy Msabaha says:

  mi mapenda sana juisi ya tunda lenyewe

 80. Doctor hats Nina tatizo la7 Mongol je itanifaa na maximize Yale inafanyaje

 81. Doctor hats Nina tatizo la7 Mongol je itanifaa na maximize Yale inafanyaje

 82. Bibi tenu mpumzisheni kula vyakula vya protini mpeni Sana mat

 83. Katika watu wanaotoa maelezo vyema ni wewe,ubarikiwe sana,maana tupo na huo mti lakini tulikuwa hatujui kama ni tiba

 84. Katika watu wanaotoa maelezo vyema ni wewe,ubarikiwe sana,maana tupo na huo mti lakini tulikuwa hatujui kama ni tiba

 85. Mimi ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo, Wakati mwingine tumbo linajaa gesi. Natema povu jingi na kucheu vitu vichungu kama chloraquine. Nitumie dawa gani ?

 86. Mimi ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo, Wakati mwingine tumbo linajaa gesi. Natema povu jingi na kucheu vitu vichungu kama chloraquine. Nitumie dawa gani ?

 87. Kawia Edward Kawia Edward says:

  Nasumbuliwa na mgongo nitumieje samahan nielekeze

 88. Rafia Abashi Rafia Abashi says:

  kweli nidawa?!! na yamesibitishwa?!!! maana sikuizi kila kitu ni dawa sasa.

 89. Rafia Abashi Rafia Abashi says:

  kweli nidawa?!! na yamesibitishwa?!!! maana sikuizi kila kitu ni dawa sasa.

 90. Samahani Docta nimekuelewa vizuri tu maelekezo yako,lakini naomba unisaidie kitu kimoja Mimi ninatatizo lakutokwa nadamu puani utanisaidiaje ili nipone

 91. Samahani Docta nimekuelewa vizuri tu maelekezo yako,lakini naomba unisaidie kitu kimoja Mimi ninatatizo lakutokwa nadamu puani utanisaidiaje ili nipone

 92. Gerald Kaiza Gerald Kaiza says:

  Niomba niletee hiyo juice

 93. samahani dr huu mti majani yakehutibu ugonjwa gani

 94. Leah Shirima Leah Shirima says:

  dr samahan.nina mgonjwa wa kansa ya kzazi.amepata tiba ya mionzi na dribu.juc kati aliumwa na UTI nikampeleka kupima majibu kweli ni UTI ila alionekana kuna damu inavuja kwa ndani kidg dg.je anaweza kutumia hiyo juice na ikamsaidia.je kama ndio inatiwa sukari.?

 95. Samahani Dr,Mimi Nina kaka yangu alipata ajali.along vunjika miguu miwili na mkono mmoja WA kulia baadae uliungwa,sasa cha kushangaza huu mkono WA kushoto ambao ajaumia umepooza.auna nguvu je, sababu ni mini tumetumia sana dawa za massage lakini bado.naomba ushauri wako

 96. Dokta Xamahani Eti Naweza Nikatumia Majani Haya Kwa Kuponexha Magonjwa Ya Ngozi(skin Diseases) Kama Mba?

 97. naomba unisaidie dockty yani mi nikienda haja kubwa nasikia maumivu ile mbaya yani mpaka mda mwingine natamani nisiende kabisa ila siwezi naomba ushauri wako

 98. naomba ushauri wako docta mkewangu nikifanya nae tendo la ndo huwa anasikia maumivu ile mbaya na hii hali huwa inamjiaga mara kwa mara naomba umsaidie tafadhari

 99. Farida Sabu Farida Sabu says:

  Bora tuupande tu

 100. Samahan majan ya mstafeli makavu kama unga unatumia vijiko vingapi

 101. Abdul Mudi Abdul Mudi says:

  samahan kwa kutoka nje mada kuna siku ulitoa somo kuhusu matumizi ya mbegu za maboga kama tiba mbali na kuitafuna unaweza kuitwanga na kutumia kwenye chai au juis

 102. Flora Hezron Flora Hezron says:

  Asante kwa tiba hiyo

 103. Rhoda Ugomba Rhoda Ugomba says:

  Nipo mkoa wa Tanga nataka hiyo juisi ya majani ya mstafeli nitaipataje? au nifundishe kuitengeneza

 104. Merry Mshana Merry Mshana says:

  Ninaweza nikayschemsha mabichi nikatumya kama majani yachai

 105. Kessy N John Kessy N John says:

  Pole Kwa Kazi,

  Homa Ya Matumbo, Imekuwa Sugu Kwa Dawa Za Kizungu,

  Tupe Ushauri.

 106. Samy Wandwi Samy Wandwi says:

  Tumieni contacts katoa ili mjibiwe hoja zenu wandugu.

 107. Ahsante Dr kwa ushauri. Ahsanteni na mliogusia habari za ushauri mbalimbali, hapa watu wamejifunza kitu nikiwemo mimi. Hakika nyie ni wakarimu ingawa kuna vichekesho ndani yake ! !

 108. Haji Maalim Haji Maalim says:

  Samahanini kwa wale wenye matatizo ya sukar na presha kupanda naweza kuwaelekeza alipo mtaalamu anaehitaji anitafute

 109. majaliwa benard says:

  naomba somo la kansa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *