Jinsi ya kuongeza uzito au unene bila kudhuru mwili wako

Jinsi ya kuongeza uzito au unene bila kudhuru mwili wako
Jinsi ya kuongeza uzito au unene bila kudhuru mwili wako

You may also like...

591 Responses

 1. Neema Elisha Neema Elisha says:

  ????? jaman mbonahvyo

 2. Uko vizuri sana asante kwa ushauri w ako

 3. Naswahum hii hatariii

 4. Mie uzito wangu uko juu ya kiwango kilo 118 umri 38 urefu 5 na nusu nifanyeje

 5. Sawa doctor umeeleweka vizur

 6. Fatuma Suya Fatuma Suya says:

  Ahsante kwa somo zuri

 7. Kwa hiyo unatushhauri tusile chips

 8. dr nna swali ni kijana umri miaka 31,uzito 66 ni sawa hiyo

 9. Glory Malera Glory Malera says:

  Mmh! Msosi mubasharaaaaaaaa!

 10. Lucy Meliara Lucy Meliara says:

  Kwel nilikuwa cjui jins ya kuongeza unene ila nitafanya ivyo shukuran

 11. Jocha John Jocha John says:

  Nimekuelewa na mungu akubariki sana

 12. Laty Juma Laty Juma says:

  na wenye ugonjwa wa mifupa jee vya kula hivo vinaweza vikawafanya wanenepe au?

 13. Asante somo zuri sana natamani nijae jae kidogo

 14. Win Mbinda Win Mbinda says:

  Nasubr vyakula vya kuongeza mapaja barkiwa na Bwana

 15. Mimi Marsy Mimi Marsy says:

  Mimi nataka vyakula vya kupunguza mwili

 16. Doctor Nimekuelewa Vizuri Sana Lakini Huyo Shetani Nguruwe Uko Simo Kabisa, Nakutakia Kazi Njema!!!

 17. Nasuburi ya mapaja na makalio

 18. Liza Halu Liza Halu says:

  Mimi naitaji kupunguza uzito siupendi kabisa unene maana nishida kwangu nifanyeje kwa anaejua mbinu anielekeze tafadhali nifanyeje

 19. Eva Dastan Eva Dastan says:

  Asante sana Doctor nimekuelewa vizuri

 20. Gerson Jakob Gerson Jakob says:

  asant kwa smo zur, ubrikiwe

 21. Kwa msosi huo
  Kisukari na
  Presha
  Hodiiii
  Karibu

 22. Dr nimependa sana mada hiyo ntakutafuta inbox

 23. Kuna ushauri atu wenye umri mkubwa, zaidi ya miaka 48, wajiepushe kula nyama nyekundu. Je ni kweli.

  Je kama nina tatizo la joints kuuma au kusagana nile chagula gani. Uzito ukiongeza tatizo linaweza kuongezeka. Tafadhali nipe ushauri.

 24. wabongo wanakulaga hawajali nn wala nn hadi ugonjwa utakapofumka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *