Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia Mlonge

Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa 300 ikiwemo magonjwa mbalimbali sugu.

Mti wa Mlonge

Mti wa Mlonge

Karibu kila sehemu ya mti huu hutumika kama dawa. Majani ya mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga. Unga wa mlonge unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya.

Mbegu za mlonge zimekuwa dili kubwa duniani kwa sasa, zinahitajika kwa kiasi kikubwa katika nchi ya Marekani na China na kwa mjibu wa taarifa ni kuwa zinauzwa mpaka shilingi 45000 ya Tanzania kwa gramu 500. Walikuja pia wachina kuzinunua kwa wingi na walipokuwepo hapa Tanzania bei ya mbegu za mlonge ilifika mpaka 11000 kwa kg kwa bei ya jumla yaani kwa anayechukua kg 100 au 500 au 1000 na kwenda juu. Taarifa zisizo rasmi zinadai Wachina hawa walikimbia nchini baada ya serikali kuanza kufuatilia na kuwakamata wakwepaji kodi bandarini. Isingekuwa hivi mpaka leo mlonge ungekuwa umeshatoweka wote Tanzania.

Faida za mlonge zimeandikwa na majarida ya afya na lishe kadhaa duniani. Kile ulikuwa hujuwi ni kuwa viwanda na makampuni mengi ya dawa za hospitalini yamekuwa yakitumia virutubishi vilivyomo kwenye mti huu kutengenezea madawa kwa ajili ya binadamu na wanyama.

MLONGE UNA:

 1. Kalsiamu mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe
 2. Una vitamini C mara 7 zaidi ya ile ipatikanayo katika machungwa
 3. Potasiamu mara 15 zaidi ya ile ya kwenye ndizi
 4. Una vitamini A mara 10 zaidi ya ile ya kwenye karoti
 5. Una protini nyingi mara 9 zaidi ya ile ya kwenye mtindi (Yogurt)
 6. Una Klorofili (kemikali ya rangi ya kijani ipatikanayo katika mimea) mara 4 zaidi ya ile ya kwenye nyasi au majani ya ngano (wheatgrass)
 7. Una madini chuma (iron) mara 25 zaidi ya yale ya kwenye Spinach
 8. Una vitamini A mpaka Z,
 9. Una Omega 3, 6, na 9
 10. Una asidi amino zile mhimu zaidi zinazohitajika na mwili
 11. Una kiasi cha kutosha cha madini ya Zinc ambayo ni madini mhimu katika kuongeza homoni za kiume na nguvu za kiume kwa ujumla

Mlonge

MLONGE NDICHO CHAKULA CHENYE AFYA ZAIDI KULIKO CHAKULA KINGINE CHOCHOTE JUU YA ARDHI;

Mlonge una jumla ya virutubishi 92, mmea au mti mwingine wenye virutubishi vingi baada ya mlonge una virutubishi 48. Mlonge una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino mhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.

Unga wa majani ya mlonge unao uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;

 1. Huko Afrika magharibi madaktari hutumia mlonge kutibu Kisukari
  2. Huko India mlonge hutumika kutibu shinikizo la juu la damu
  3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa
  4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke)
  5. Hutibu Kansa
  6. Pumu
  7. Hutuliza wasiwasi
  8. Kikohozi
  9. Maumivu ya kichwa
  10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)
  11. Inapunguza mafuta tumboni
  12. Inaweka sawa homoni
  13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea)
  14. Unasafisha ini (hepatic detoxification)
  15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
  16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi
  17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
  18. Kifua kikuu
  19. Kichwa kizito
  20. Uchovu
  21. Mzio (aleji)
  22. Vidonda vya tumbo
  23. Maambukizi kwenye ngozi
  24. Maumivu mbalimbali mwilini
  25. Huondoa madoa doa meusi kwenye ngozi (blackheads)
  26. Husafisha damu
  27. Hutibu matatizo kwenye koo
  28. Huondoa makohozi mazito kooni
  29. Huondoa taka na msongamano kifuani
  30. Hutibu kipindupindu
  31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
  32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
  33. Unatibu homa
  34. Maumivu kwenye maungio
  35. Huondoa chunusi
  36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
  37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuwaji
  38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)
  39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
  40. Unatibu minyoo
  41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
  42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)
  43. Unatibu gauti (dropsy),
  44. Unatibu kuhara damu (dysentery)
  45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)
  46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi
  47. Unatibu homa ya manjano (jaundice)
  48. Unatibu malaria
  49. Unatibu U.T.I na matatizo mengine kwenye mfumo wa mkojo
  50. Unasidia pia kujenga na kuimarisha misuli
  51. Unatibu magonjwa ya mifupa
Unga wa majani ya Mlonge

Unga wa majani ya Mlonge

Mlonge unasafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele. Wakati unatumia mlonge unakufanya ujisikie vizuri, ujisikie mpya (fresh) na mwenye nguvu. Watu wengi wanaotumia mlonge huwa ni wenye afya nzuri hata kwa muonekano tu hata wanapokuwa na umri mkubwa zaidi ya miaka 90.

Majani ya mti wa mlonge pia yanaweza kutumika kutengeneza biogas (aina ya nishati ya umeme inayotokana na kinyesi cha ng’ombe au takataka). Hutumika pia kama chakula cha wanyama kama sungura, mbuzi, ng’ombe, mbwa nk. Sungura wanaonekana kupenda zaidi mlonge kuliko wanyama wote.

MBEGU ZA MLONGE:

 1. Mbegu zake hutumika kama kiuaji sumu na pia hutibu uvimbe. Hutibu maumivu ya kwenye mishipa, baridi yabisi, gauti, kukamaa mishipa, magonjwa ya ngono na majipu. Mbegu hizi hukaangwa kidogo, hupondwapondwa na kuchanganywa na mafuta ya nazi na kupakwa sehemu yenye tatizo (kwa matatizo ya kwenye mishipa).
 2. Mbegu za mlonge zilizokaangwa na mafuta yake husaidia watu wanaoshindwa kuzalisha mkojo.
 3. Mbegu zake hutumika pia kumtuliza au kumfanya mtu mwenye kifafa a-‘relax’.
 4. Mbegu za mti wa Mlonge ni kinga dhidi ya vijidudu (bakteria) wasababishao magonjwa na kuathiri ngozi ikiwemo fangasi.
 5. Pia mbegu hutumika katika kusafisha au kuchuja maji ambapo zikipondwa na kuwekwa kwenye maji yenye tope au machafu husababisha uchafu kujikusanya na kuzama chini kisha kuacha maji yakiwa safi na salama kwa kupikia au kunywa badala ya kuchemsha.
 6. Mbegu za mlonge pia huongeza kwa kiasi kingi kinga ya mwili (CD4), Kama una tatizo la kinga ya mwili wako kushuka basi tumia mbegu za mlonge kwa mwezi mmoja mpaka mitatu na kinga yako itaimarika sana.

Chukuwa punje 3 au 4 na uzimenye ganda lake la juu na utafune mbegu moja baada ya nyingine huku unakunywa maji kidogo kidogo mpaka unamaliza uwe umekunywa maji nusu lita. Fanya hivi kutwa mara 1 au 2 kutegemea na utakavyoelekezwa na tabibu wa tiba za asili.

Mbegu za Mlonge

MLONGE UNATOA WAPI MAAJABU YOTE HAYA?

Matatizo mengi ya kiafya ni matokeo ya lishe yenye viinilishe duni au hafifu jambo linalopelekea kuwa na kinga ya mwili isiyo na nguvu kupigana na magonjwa mbalimbali. Unaporekebisha usawa huo usio sawa wa kinga yako ya mwili kwa kutumia mimea na lishe zingine mhimu za asili hutakawia kuona matokeo mazuri kwenye afya yako.

Uwezo wa mti wa mlonge kuyaweza yote hayo ni kutokana na kuwa na vitamini, madini mbalimbali na viondowaji sumu vingi kuliko mmea mwingine wowote. Wagonjwa wengi wenye UKIMWI katika sehemu nyingi za afrika magharibi wameripoti kuongezeka kiasi kikubwa cha kinga yao ya mwili baada ya kutumia mlonge kiasi cha kutokuhitaji dawa.

“Moringa – The Miracle Tree”

NGUVU, UMAKINI, NGOZI YENYE KUPENDEZA, KUTOZEEKA MAPEMA NA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE:

Mlonge una viinilishe mhimu vinavyosaidia kuuongezea uwezo mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Vitamini, madini na homoni mhimu zilizomo kwenye mti huu huufanya mwili wako kuwa na usawa unaohitajika kiafya na hivyo kukupa kinga dhidi ya magonjwa mengi bila idadi.

Mlonge una kiinilishe mhimu sana kwa wingi kuliko mmea au mti mwingine wowote duniani mara maelfu kadhaa kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘Zeatin’. Zeatin ndiyo hutengeneza seli mpya za ngozi pia huzifanya seli mpya kutengenezwa kwa haraka na kwa wingi zaidi ya zile seli zinazokufa.

Hii huleta matokeo mazuri ikiwemo kuondoa mikunjo ya ngozi au ngozi kuzeeka sehemu za uso na sehemu nyingine za mwili na kukupa afya nzuri ya ngozi.

Kwenye mlonge kuna ‘Sulfur’, hii sulfur ni mhimu katika kuunda vitu mhimu kwenye ngozi kama collagen na keratin huku viuaji au viondowaji sumu zaidi ya 30 vinavyopatikana kwenye mlonge ni mhimu kwa ajili ya afya ya ngozi yako.

Mlonge ambao umekuwa ukitumika kwenye vituo vingi vinavyojihusisha na kupunguza uzito huwa una nguvu ya asili ya kupunguza njaa, huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kukung’arisha wewe huku ukikuacha na virutubishi vingi mhimu zaidi.

Majani ya Mlonge

HUIRUDISHA UPYA AFYA YA MWILI WAKO;

Baada ya kufikisha umri wa miaka 30 hivi nguvu zako za mwili huanza kushuka. Mwili wako utaanza kuleta mchonyoto. Utaona unaanza kupoteza umakini nyakati za mchana sababu hukuzingatia nini ule wakati ulipokuwa kijana. Baadhi ya kuharibika kwa afya hakuwezi kurudishwa nyuma ikiwa ni pamoja na kuzorota kwa afya ya meno.

AFYA MBOVU YA MENO INAPELEKEA MAGONJWA KADHAA NA VIFO;

Calcium, Magnesium, Manganese, Potassium, Boron na Vitamini D yote ni madini mhimu ili uwe na meno yenye afya. Magonjwa mengi sugu ni matokeo ya upasuaji wa kwenye kinywa.

Kila mtu anapaswa kulinda afya ya meno yake kuanzia leo kwani meno yakishaoza au kuharibika huwa ni vigumu kupona na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo. Afya ya meno yako itaamua ni miaka mingapi unaweza kuishi.

Kila mmoja wetu anatakiwa kutimiza wajibu wake linapokuja suala la afya ya mwili wako. Tumia google tafuta taarifa za kile unachokula au kunywa kila siku. Kichwa kitakuuma utakapojua ni nini unakula!.

BIDHAA NYINGI ZA AFYA HAZINA AFYA YOYOTE;

Dying to have know:

Bidhaa nyingi za afya hazina utafiti halisi (genuine) unaojitegemea au zina maelezo kutoka kwa mtengenezaji tu wa hiyo bidhaa. Mlonge una mfululizo wa tafiti za watu wengi na shuhuda za watu kote duniani zaidi ya miaka 4000 iliyopita. Ni mtishamba kwa asilimia 100 unaoota wenyewe.

Matumizi ya mlonge kama kiua vijasumu (antibiotic) kwenye tiba asili yalianza miaka maelefu iliyopita. Mlonge ulitumika kwa mara ya kwanza kama dawa zaidi ya miaka 2000 kabla ya Kristo.

Watabibu wazamani wa Misri na Ugiriki waliona faida nyingi za mti huu na wakautambulisha kwa Warumi na baadaye mlonge ukaenea mashariki mwa India na sehemu ya chini ya nchi ya Uchina, kusini mashariki mwa Asia na Ufilipino na magharibi mwa Misri kuzunguka mediterania na mwishowe ukafika kwa Wahindi mashariki mwa Amerika.

Leo zaidi ya watu milioni 400 wanatumia mlonge. Shirika la afya duniani (W.H.O) limekuwa likitumia mlonge zaidi ya miaka 40 sasa.

Unga wa majani ya mlonge unapaswa uwe ni wa kijani kweli kweli na majani yake yawe yalianikwa kivulini na siyo juani. Anza na kijiko kidogo kimoja ukichanganya na vimiminika kama maji ya uvuguvugu au juisi yoyote ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani kutwa mara moja na taratibu ongeza kiasi cha dawa kadri unavyohitaji.

Unaweza kuuchanganya pia kwenye wali wakati unakula au unaweza kuweka ndani ya kikombe cha uji au unaweza kutumia kama majani yako ya chai ingawa hautakiwi uchemshe sana kwenye moto.

Mti wa mlonge sasa umeanza kuwa maarufu huko Marekani hii ni kutokana na mti wenyewe kuendelea kupata umaarufu miongoni mwa watu wanaojali afya zao. Ingia google andika ‘Moringa plants for sale’ utagundua keyword hiyo inatafutwa kila siku mara maelfu.

Watu wengi pia wameanza kilimo cha mlonge kama biashara ya kuwaingizia kipato. Ukiwa na miti 200 tu ya mlonge shambani kwako tayari wewe siyo mwenzetu.

Mti wa mlonge ni moja ya miti mhimu katika sehemu yote ya dunia. Kadri watu wanavyoendelea kuutafiti na kuusoma mti huu ndivyo mahitaji ya unga wa majani yake, mbegu zake, unga wa mbegu zake na mafuta ya mbegu zake yatakavyozidi kuongezeka na kuongezeka.

Mlonge

Mlonge

Utahitaji mlonge? Niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586

UTAHITAJI MLONGE? Kama upo Dar Es Salaam mlonge unaweza kuupata VICTORIA HOME REMEDY ipo Buza Sigara karibu na ofisi ya Tanesco wilaya ya Yombo. Ukiwa kariakoo kuna daladala za Buza kanisani moja kwa moja pale karibu na kituo cha daladala za mwendokasi gerezani, ukiwa posta mjini daladala za Buza zipo station na mnazi mmoja, zipo pia kutokea mhimbili, buguruni, gongolamboto pia kuna daladala kutoka mbagala kuja buza kanisani moja kwa moja. Kama unahitaji uletewe ulipo Niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586 na natuma pia mikoani. Bei ni kuanzia 10000 na kuendelea, huu wa 10000 unaweza kutumia kwa wiki 2 hivi.

Tafadhari SHARE post hii kwa ajili ya wengine

(Imesomwa mara 29,885, Leo peke yake imesomwa mara 464)

You may also like...

1,320 Responses

 1. Khalid Mtema Khalid Mtema says:

  fadhili kwa mfano umemaliza kula dozi ya kizungu ukitumia mlonge aitaleta shida ?? naomba unijibu ndugu

 2. Mafundisho nimeyaelewa na ningependa hiyo dawa niipate so ungenipatia namba ya simu kwa mawasiliano zaidi

 3. Nimefanya opreshen kiasi miezi sita hivi wa tumbo Lkn sikuhizi ninapo karibia kupata siku zangu naumwa Sana na kiuno na chini ya tumbo jee mronge utanisaidia?

 4. Safi sana ndugu mungu akubariki unapo watia watu tiba kama hii bila kuwadai pesa.

 5. Emmy Joseph Emmy Joseph says:

  Nitaanza kutumia

 6. Asante sana miti ipo kwangu nitaitunza.

 7. Iddy Papala Iddy Papala says:

  Iyo miti inapatikana wapi?

 8. Dora Mpokasi Dora Mpokasi says:

  Niunge afya 0716100564

  • Tayari nimekuunganisha ndugu, utapokea makala hapa hapa kwenye inbox yako mara mbili kwa wiki, jtatu na alhamisi. Hakikisha pia umehifadhi hii namba yangu kwenye simu yako, lasivyo kuna uwezekano wa yale nitakayokuwa nakutumia yasifike kwako. Hii ni kwa mjibu wa sheria za WhatsApp wenyewe. Karibu

 9. Aines Fungo Aines Fungo says:

  Aisee!mlonge ni noma hasa kwenye CD4usiombe,mnaodhoofu na kinga za mwili changamka naukubali mlonge to the …..niunge tAfadhali napenda masomo yako 0658466370,barikiwa sana

 10. Aisha Hassan Aisha Hassan says:

  Naomba kuuliza ukiwaujitumia mlongelonge kunamasharit ya vyakula,vipodoz na vinywaji naombajibu

 11. niunge afya 0716 231370

  • Tayari nimekuunganisha ndugu, utapokea makala hapa hapa kwenye inbox yako mara mbili kwa wiki, jtatu na alhamisi. Hakikisha pia umehifadhi hii namba yangu kwenye simu yako, lasivyo kuna uwezekano wa yale nitakayokuwa nakutumia yasifike kwako. Hii ni kwa mjibu wa sheria za WhatsApp wenyewe. Karibu

  • Tayari nimekuunganisha ndugu, utapokea makala hapa hapa kwenye inbox yako mara mbili kwa wiki, jtatu na alhamisi. Hakikisha pia umehifadhi hii namba yangu kwenye simu yako, lasivyo kuna uwezekano wa yale nitakayokuwa nakutumia yasifike kwako. Hii ni kwa mjibu wa sheria za WhatsApp wenyewe. Karibu

 12. Frank Muya Frank Muya says:

  Kaka mi ni mwanariadha nikifanya mazoezi ya kukimbia napata maumivu makali sana katikati ya miguu kwenye joints sehemu za Siri, nisaidie nitakupataje unipe dawa

 13. Mzuzu Tenga Mzuzu Tenga says:

  0756 406819 niunge tafadhali

 14. KWA MNAOISHI DAR es SALAAM, SÔKONI LA KISUTU NA MITAA YA LIBYA/JAMHURI WAUZAJI WA MBOGA WANAZO, WAO HUZIITA JINA LA KIHINDI/GUJARATI “SINGU”. HUUZWA KWA MAFUNGU, ZINAONEKANA KAMA VIDOLE VIREFU. FUNGU SH. 500/- HADI 1,000/-. SISI WAHINDI TUNAEEKA KWRNYE MCHUZI. UKILA NI KAMA UNATAFUNS MUWA, MABAKI UNATEMA. JARIBU UNUFAISHE AFYA YAKO.

 15. Pablo John Pablo John says:

  Kiukweli nimevutiwa sana na huo mlonge naomba tafadhali niunganishe kwenye group WhatsApp no.zangu ni 0712211241

  • Tayari nimekuunganisha ndugu, utapokea makala hapa hapa kwenye inbox yako mara mbili kwa wiki, jtatu na alhamisi. Hakikisha pia umehifadhi hii namba yangu kwenye simu yako, lasivyo kuna uwezekano wa yale nitakayokuwa nakutumia yasifike kwako. Hii ni kwa mjibu wa sheria za WhatsApp wenyewe. Karibu

 16. Nataman kutumia hiyo dawA Inapatikana wapi

 17. Daudi Damian Daudi Damian says:

  nitaupataje siufaham mnisaidie nauitaji

  • Tayari nimekuunganisha ndugu, utapokea makala hapa hapa kwenye inbox yako mara mbili kwa wiki, jtatu na alhamisi. Hakikisha pia umehifadhi hii namba yangu kwenye simu yako, lasivyo kuna uwezekano wa yale nitakayokuwa nakutumia yasifike kwako. Hii ni kwa mjibu wa sheria za WhatsApp wenyewe. Karibu

 18. Kwa kweli Mungu anatenda maajabu mi nyumbani kwangu kuna miti 3 ya mlonge siku moja nikawa nafanya usafi na kuondoa miti ambayo haina faida nilipofika ktk mlonge akatokea jamaa mmoja mpitaji akanikuta nataka kuukata mlonge wa kwanza. Kwanza akaniambia usiukate huo miti hata siku moja ila sitokwambia kwa nn ila naamini siku si nyingi utajua faida yake jamaa akaondoka. Baada ya miezi 4 nikapata mgeni mjomba wangu alivyouona tu mti wa mlonge akasema hapahapa nimepata dawa niliyoitafuta miaka mingi akasema na atapona, Duhh nilishangaa sana na kila siku alikuwa anatafuna majani yake mara kwa mara toka siku hiyo nijenga imani frani juu ya mti huu na sasa leo nimepata somo jingine zuri sana ktk Fb

 19. Mm nataka hapo pa kupunguza tumbo

 20. Erick Mbish Erick Mbish says:

  Leo Nimeanza Kuutumia Rasmi Nimetafuta Nimetwanga Naunywa

 21. mmi naumwa kiuno mugongo miguu na mikono

 22. nimeotesha mbegu zake

 23. Evance Kileo Evance Kileo says:

  Naomba unielekeze jinsi yakuyaandaa majani ya mti wa mlonge ilinipate unga wake!..Nitashukuru sana kama utanipa jibu..Asante

 24. Kaka asante. Lakini je, nikitwanga mbegu za Mlonge zikiwa tayari zimesha kaangwa then ule unga wake nikawa nauchanganya robo kijiko cha chai kila ninywapo maji ninapohisi kiu je, itanisaidia kutibu ugonjwa Upi? Au nitakua Niko kinyume na tiba? Maana huo miti ninao hapa shambani kwangu na Mara nyingi naonaga wachina wakiwa na maji kwenye kidumu maalumu cha kuhifadhia maji ya kunywa but nikichunguza walichochanganyia mle ndani wananiambia ni mchanganyiko wa dawa za miti Shamba ili kuondoa uchafu na sumu mwilini. Je, wewe hilo unakubaliana nalo?

 25. Alafu je, Nina ndugu yangu anasumbuliwa na pumu miaka mitano sasa ameshatumia madawa ya hospitali hakuna kinachosaidia zaidi ya kupata nafuu kwa muda tuu then tatizo linajirudia tena. Sasa Doctor naomba unisaidie nimsaidieje na Mlonge ninao hapa nyumbani hadi umetoa mambegu? Please nahitaji hata ushauri wako jamani.

 26. Nmekuja kusalimia kwa bibi basi kunadogo anapika milonge kila cku km mboga ni michungu nakula kwa bas2 kumbe ina faida mwilini duh mm nlianza kumchukia mboga chungu km nakula michunga duh

 27. Nuru Gard Nuru Gard says:

  Asante cna kwa maelezo mazuri kwani kwa jina lingine unaitwaje huo mti, Mimi ni MTU wa mbeya, jina ni geni kwangu naomba mnisaidie jamani.

 28. Mkali Jozee Mkali Jozee says:

  Bwana mkubwa mi ntaipataje niko kaliua tabora.

 29. Jimmy James Jimmy James says:

  Nitapaje huo unga wa kijani??

 30. Mimi nasumbuliwa na kufa ganzi kwenye viungo, itanitibu

 31. Mm jamani siujui kabisa huo mti wa mlonge,je naweza kuupata wapi ili niupande nyumbani kwangu

 32. Nataka kujua namna ya kukausha, na kusaga iwe ya kijani km hapo pichani, maana nimeupanda na unaendelea viri takausha namna gani?

 33. Teti Robati Teti Robati says:

  Nashukulu sana, fadhil

 34. Kaka Nna Rafiki Yangu Anatatizo La Mtoto Wa Jicho Anawezaje Kutumia Mlonge Ili Aweze Kupona

  • Anza na kijiko kidogo kimoja ukichanganya na vimiminika kama maji ya uvuguvugu au juisi yoyote ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani kutwa mara moja na taratibu ongeza kiasi cha dawa kadri unavyohitaji. Unaweza kuuchanganya pia kwenye wali wakati unakula au unaweza kuweka ndani ya kikombe cha uji au unaweza kutumia kama majani yako ya chai ingawa hautakiwi uchemshe sana kwenye moto.

  • Yote hayo yamo kwenye hii post lakini bado naulizwa unatumiaje!

  • Asante Mtumishi Lakini Maji Hayo Yawe Kias Gan

 35. Kwakua mungu amekubaliki kwakutoa helimu tunakuombea kutupa iyo helimu

 36. Amiri Nongo Amiri Nongo says:

  Hivi mlonge hauna jina lingine? Maana jina hilo lanitatiza.

 37. Mungu akubariki sana kwa somo zuri,asante kuanzia leo mimi hunitoi kwenye mlonge.

 38. Ni ukweli uliowazi kwamba sitaweza kumjibu kila mtu labda kama naacha kila kazi nafanya hii ya mlonge tu. Maswali mengi ni namna ya kutumia lakini hilo tayari nimeandika kwenye post. Sasa ili iwafikie wengi zaidi hii post, mwenye swali anitafute WhatsApp +255769142586

 39. huu mti nilianza kuufahamu 2010 nikiwa musoma kuna kikundi cha watu walikuwa wanahimiza watu wapande hiyo miti inasaidia kutibu magonjwa. walisambaza miche vijijini.
  nilichukua mbegu kama 10 hivi nikazileta bukoba nikapanda.
  mwaka 2015 nilisumbuliwa sana na sukari ya kupanda na kushuka mpaka nikaanzishiwa sindano!
  kuna jamaa alinishauri nitumie mlonge bahati nzuri nikawa nao nyumbani. ajabu nilipoenda kupima sukari ikawa vizuri mpaka sasa chai nakunywa.
  mti huo wa mlonge sasa nazidi kuupanda kwa kasi.

 40. Aisha Hassan Aisha Hassan says:

  Samahan ,nilijaribu kuponda majan mabich nakunywa grass 1,asubuh ,lengo kutibu kiuno na heth lkn sku iliofuata niliamka kichwa kinauma na mwl kuchoka pia tumbon linauma ila csana inikactisha kunywa ad nipate jbu kutoka kwako niendelee au nimakosea

 41. Marry Reuben Marry Reuben says:

  Mbona mm haujanijbu homon zangu hazjabalansi nifanyeje

 42. Hii post inafanya vizuri sana tatizo maswali ni mengi, nitaileta upya nikiwa nimeielezea vizuri kupunguza baadhi ya maswali

 43. Mlowe Spido Mlowe Spido says:

  Ivi kwa kawaida kama watumia mronge(majani)waweza kuona mabadiliko ya ugonjwa wako kwa siku ngapi?nasaidien majibu ndg zangu

 44. M.Mungu azidi kukuongoza zaidi

 45. Ayubu Josiah Ayubu Josiah says:

  Asante Sana kwa kunikumbuka ktk hili,Mungu akupe nguvu ya kutumikia wengi,ubarikiwe mno.

 46. Hakika umefanya vizur, mm kuna mtu aliniagiza mbengu izo nikamdharau kwamba anapeleka wp kumbe nkitu bora sana

 47. Mungu akubariki sana ,nami naomba uniunganishe kwa namba 0682774446

 48. Mimi ninakisukari jamani nielekezeni jinsi ya kutumia,milonge lpo kibao kwetu

 49. Asante, nina miche kadhaa, hapa kwangu Korogwe, japo nilikua naitumia, lkn, kwa makala hii, nime elimika zaidi, Asante, hebu nijuze kuhusu mchai chai na tangawizi

 50. Nashukuru sana kaka angu, najua nimeshapona coz nasumbuliwa sana na magonjwa mengi eg kifafa, presure, na sumu kujaa mwilin na mengineyo, hakika ntapona! ila nataka kuuliza huku njombe unaweza kustawi ? na nitawezaje kuupata? na ukoje? na tena ukipanda na kuweka samad itakuwaje? na utachukua muda kuanza kutumia? ASANTE KAKA!

  • fadhili says:

   Karibu sana ndugu na ukipona usiache kuja tena hapa kunijulisha. Njombe unaweza kuupata, uliza kwenye maduka ya dawa za asili, ukiukosa nitafute WhatsApp +255769142586 naweza kukutumia kwa njia ya basi kutoka Dar Es Salaam

 51. Hadija Ally Hadija Ally says:

  unaandaliwa vipi kwa kunywa.

 52. HP sawa kabisa nimeelewa vizuri

 53. Herman Msuya Herman Msuya says:

  Hii post ni nzuri sana kwa ajili ya Afya ya wanzania

 54. doctar mlonge unapatikana wapi?

 55. Huu mti unapatikana wapi mkuu

 56. Ninasumbuliwaa na maumivuu mkalii canaa chinii ya

 57. Napataj
  Naomb niungwe 0656276142

 58. Enea Singa Enea Singa says:

  Kama umelima mawasiliano kwa hao wanunuzi tutapataje?

 59. Mm naitaji mbegu za mlonge 0753184851

 60. Viwe Muss Viwe Muss says:

  Ninashida mama yangu anatembea anainama anasumbuwa na misuri je atumie mlonge Kwa unywa au kupaka nisaidie namba 0652 003322

 61. Frank Sige Frank Sige says:

  Hii habari ni kubwa mno,hakika wengi tutafaidika mungu akubariki sana.Niadd kwenye group pls 0652963443

 62. Juma Khamis Juma Khamis says:

  Habr, ayo majan y mronge unayaanika halaf ndo yanatwangwa ili upatkane au unafanyajee?

 63. Hongera kaka kwa ufafanuzi mzuri!

 64. Mingu akupe afya tele katika kaz zako. Niunge tafadhari 0752614047

 65. Ahsante kwa elimu mtaalamu

 66. Asante sana nahitaji Wa unga nimeambiwa tiba kubwa ya Vidonda Vya tumbo

 67. Julius Obedi Julius Obedi says:

  Hio dawa naikubali kuliko dawa yeyot ya malaria duniani.cjuw mseto ,metakefln hazfikii hii dawa aisee

 68. Neema Joseph Neema Joseph says:

  Mimi pia nilituma namba mpaka leo sijaunganiswa.0768288825

 69. Mungu akubariki na pia azidi kukupa maarifs zaid ya hapo, 0753164853 niunge kwenye group

 70. James says:

  Tafadhali nami niunge kwenye Group 0715274752
  Mlonge is Best of the Best !

 71. Gration Myenda says:

  Asante kwa maelezo yako mimi nilikuwa natumia miwani ya kusomea (2.0) baada ya kutumia majani ya mlonge kama mbadala wa mboga za majani tatizo langu limekwisha na sasa nasoma muda wowote bila kutumia miwani. Je Dr. Magome na mizizi ya mlonge vilivyo kaushwa yanafaa kwa Matumizi?

  • fadhili says:

   Nashukuru sana ndugu kwa ushuhuda huo. Unga wa majani ya mlonge na mbegu zake vinatosha sana kwa matibabu, huhitaji na magome tena. #Gration

 72. salim says:

  Niunge whatsapp

 73. Amina Mtumwa Amina Mtumwa says:

  Mimi kaka nasumbuliwa na vidonda vya tumbo sana mpaka naharisha damu nifanyeje huu mronge

 74. daud richard says:

  email yangu ni daudrichard251@gmail.com

 75. Chiku Rasul Chiku Rasul says:

  jamani mbona mimi siijui haina jinalingine na mwenye mimba anaweza kutumiya

 76. Neema Justine says:

  Dr naomba uniadd 0626345175 nilikutumia txt watsap ila bado cjapata makala zako .

 77. Mungu akubariki kwa kutujuza haya

 78. coletha says:

  Niunge na min afya namba Yangu hii 0755704690

 79. Lesther Mulagha says:

  Habari kaka Fadhili,

   

  mimi nasumbuliwa na sukari pia ninatatizo la vidonda vya tumbo.  Pia nimewahi kuumwa baridi ya bisi, naomba nifanyeje ili niweze kupona naomba msaada pia naomba niunganishe na 0754368571. Maelezo yako ni mazuri Sanaa maana nimewahi kutumia juice ya viungo imenisaidia sana lakini je ili niweze kupona natumiaje Mlonge kwa shida hii.

 80. lucas says:

  mr naomba uniunge kwaajili ya mafunzo mbalimbali ya afya 0789786620

 81. Oma bra says:

  He kwa wenye makovu yalisababishwa na chunusi unaweza kupaka majani yake usoni ikasaidia?

 82. Zambi Joshua says:

  Mimi nataka kujua jinsi ya kutumia mronge … Iv mbegu ukizimenya like ganda LA nje unaweza kumeza kama kidoge au ni lazima utafune

  • fadhili says:

   Unaweza kumeza pia kama au unaweza kutafuna moja moja huku unakunywa maji

   • mary clement says:

    Fadhili habari za kazi,

    mimi sikujua huu mti wa mlonge ninao hapa nyumbani na siyo mmoja ni mingi .

    nimesumbuka sana na vidonda vya tumbo takribani miaka 10 sasa nimeshameza dawa hadi zimenizoea wala sijawah kuiona afadhali ata siku moja kwa kipindi chote hicho na ni ukweli kabisa.

    sasa bwana Fadhili asubuhi hii ya leo nilikuwa naongea na mzee mmoja nikamweleza tatizo langu maana kila mara tumekuwa tunakutana hospitali, akaniambia dawa ya vidonda ya tumbo ni mlonge, alivyoniambia tu ni mlonge sikuweza ata kuchukua ata namba yake nijue unatumika vipi nikiwa (namanisha dozi) hivyo mpaka kuwa hapa kwenye hii site yako pia nimeelekezwa naomba uniambie sasa natumia je hiyo dawa ya mlonge .

    na pia naomba uniadi kwenye waz up group lako 0755 281 220

    • fadhili says:

     Ukisoma vizuri pole pole utaona kuna sehemu kwenye hii hii makala nimezungumzia matumizi yake pia. Tuwasiliane, WhatsApp +255769142586

 83. Zambi Joshua says:

  Swali langu n kwamba iv mbegu baada ya kuzitoa ganda unaweza kumeza ka dawa au n lazima utafune

 84. magdalen Emmanuel says:

  nashkr kwa somo naomba uniunge 0789445394

 85. fadhila mimi nimelima moringa kwa wingi sana je soko linapatikana wapi?

 86. steven says:

  naomba niunge,,,

 87. steven says:

  0757613889

 88. raynold says:

  Niunge whatapps 0784252610

 89. Ben says:

  Naomba uni add na mimi
  0716 661 609

 90. chiwambo says:

  asante xana doctor Fadhil naomba niad kwa namba 0755096331

 91. Betram Kapinga says:

  Nimenunua Leo hapa UDOM! nimependa sana ! Naomba uniunge kwenye group la WhatsApp ili nizidi pata elimu hii adhimu ! barikiwa sana ! 0768970880

 92. Nsurii says:

  Nimeipenda  sana hiyo

 93. GABRIEL Juliana Assenga says:

  Nimebarikiwa sana na maelezo yako kaka, Mungu akubariki sana. Mama yangu anasumbuliwa sana na pressure, kisukari na meno. nipo Dar na ninaomba msaada wa kuipata iyo dawa tafadhali. naomba pia uniadd whatsapp 088328913

 94. GABRIEL Juliana Assenga says:

  Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri ya kuelimisha watu

 95. Praygod mora says:

  Samahan naomba kuuliza huo mlonge matunda yake yapo muundo wa ndizi then ukipasua ndani unakuta pamba pamba na vimbegu?

  • fadhili says:

   Hapana haupo hivyo. Tazama picha zake hapa =>https://www.google.com/search?q=moringa+tree&noj=1&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ved=0ahUKEwibz5f69qDUAhXFmBoKHal2AIoQ_AUICigB&biw=1366&bih=634

 96. Michael says:

  Nimejaribu mbegu ila sasa ninaona matumaini nilikuwa na shida kwenye viungo wakati wa baridi

 97. hawa samalu says:

  Niunge 0755820983

 98. BenMo says:

  Bwana Fadhili Hongera Kwa Somo Zuri…Binafsi Nimeujua Mlonge Two Weeks Ago Baada Ya Kuona Jamaa Wanatafuna Mbegu Zake…
  Nahitaji Elimu Zaidi Kiongozi…Add Me Please +255654888422

 99. Felisha nzowa says:

  Naomba kuuliza ivi kwa mtu ambaye mirija yake imeziba both ends anaeza tumia mlonge na ikazibuka? Na ni kwa muda gani

  • fadhili says:

   Ndiyo unaweza kumsaidia, kwa muda gani hilo sijuwi ila atumie kwa kipindi kirefu hata miezi miwili

 100. Rabo says:

  Post nzuri mlonge unatibu baridi yabisi ,unatumiaje

  • fadhili says:

   Unga wa majani ya mlonge: Kunywa kijiko kidogo kimoja kutwa mara 1 kwenye glasi moja ya juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani. Mbegu za mlonge: Tafuna mbegu 3 au 4 huku unakunywa maji kidogo kidogo mpaka unamaliza mbegu 4 uwe umekunywa maji nusu lita kutwa mara 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *