Jitibu aleji kwa kutumia Binzari

Jitibu aleji kwa kutumia Binzari

You may also like...

366 Responses

 1. Asante nimejifunza

 2. Beatus David Beatus David says:

  Shukrani kwa Elimu

 3. Rashid Ali Rashid Ali says:

  Dk mm Naomba kuuliza hii aleji ina uwezo wa kukaa kwa mda gani kweny mwili wa binadam

 4. Kileo Seif Kileo Seif says:

  Dr unapatikana wp

 5. Issa R. Ndee Issa R. Ndee says:

  Aleji ni nini hasa Dr jaribu kutuelewesha vizuri kwafaida ya wengi

 6. Asante dokta ila nauliza mm Nina aleji na vumbi na vitu vyenye harufukali je tibahii naweza kutumia kwa muda gani?

 7. ata me nasumbuliwa na machunusi makubwa kama jipu yanaisha yanarudia baada ya wik 2 sijui ni alej au vip nina miaka 21

 8. Steven Nzali Steven Nzali says:

  Hapo nimekusoma Dk na upande wa fangas sungu sawa yake nn

 9. Samahani Dr. fadhilipaulo.com Nina Mafua yasio kwisha….iko hvi; Leo yakikauka basi yakinikamata ni baada ya siku mbili makali mno natumia vidonge ya allergy lakini….ukweli napata tabu mno! Mimi kumaliza week ni ajabu bila kupata mafua….

 10. Hii tangawizi sio ile ya manjano yakupaka usoni?au zipo tofauti,naomba unieleweshe km ndio hayo manjano mana zipo km hiyo ulioitoa hapo kwenye picha,na nyingine imesagwa kabisa mimi natumia kwa kupaka usoni.

 11. Dk vp unaweza ukaisaga mbichi na kunywa juice yake

 12. Mimi ninawashwa mwili mzima nimetumia dawa za hosptari bila mafanikio inaweza kua aleji na hiyo tiba inaweza kunisaidia?

 13. Asante,ila mm aleji yang ni pale tu napokua maeneo y hospital au phamas ile harufu ya dawa naanza kuvimba macho na mdomo,baada ya masaa kadhaa ile hali inapotea,nikitumia hii tiba taondoa tatzo hili

 14. Dr mm nkipanda gr lzm ntapike eti ttzo nn

 15. Happy Msuya Happy Msuya says:

  Pia binzar inatibu sukar ilio juu… kwa kuisaga kama ni mbich na kuichemsha kunywa kutwa Mara tatu…….

 16. NGOJA NIMPE MTU HII BIDHAA ATAFURAHI SANA

 17. Naomi Barton Naomi Barton says:

  Dr Na alegy na nyama nikil navimba nakuwashwa na vidonge vyenye salpha

 18. Kama nina alegi na chakula flan nikisha kunywa iyo binzari ndo natumia nilicho na alegi nacho au ukishakunywa basiii…naomba maelezo zaid

 19. Tatu Omary Tatu Omary says:

  Mwanangu ana alej ya ugali namahind akila anavimba anajikuna sana na anatoka vidonda nmetumia dawa nying nmeacha kumpa ugali lakin bado aponi

 20. Asante kwamsaada wako

 21. Fadhili,me nawashwa mwili mzima.. Nikijikuna navimba.. Je,naweza kutumia hiyo daw

 22. #fadhilipaulo.com mimi natokwa na vipele shingoni huanza kamoja badae huzunguka shingo nzima na vilipvyo anza ndio vinakua vyakwanza kukauka mwisho hupotea vyenyewe kwamwaka hinitoka mala 2au1 na vina toa maji halafu vinawasha sana wakati wa joto

 23. dokta mimi ninawashwa mwili ni miezi mitatu sasa ila nikinywa certrizen dakika inapoa baada ya siku mbili inarudi naomba msaada

 24. Je na kwa watoto wadogo inafaa kutumiwa?

 25. Maono Eliya Maono Eliya says:

  me naswali kama mtu anasema Ana asidi tumbo yani tumbo linawaka moto atumie nn

 26. Mariam Ziaka Mariam Ziaka says:

  Kwaa wajawazito wanaruhusiwa kunywaa

 27. Ummy Mjengwa Ummy Mjengwa says:

  Sasa unafanyaje mbona hujatoa maelekezo

 28. Mi nasumbuliwa na madoa sugu usoni naweza kupata Tiba ili yaishe kabisaaaa??

 29. Dr mimi ninatatizo la sukari nahitaji tiba

 30. Asha Paga Asha Paga says:

  Mimi na Bint yangu uwa anawashwa mwili na uwa anatoka mabaka kama ana MBA vile he inawezekana ikaw areji na huyo binzari inaweza ikamsaidia

 31. Dr tafadhari naomba unisaidie, Mimi nasumbuliwa sana na chafya yani nikipata vumbi kidogo tu nishida au nikipata harufu ya sabuni ya unga au pafyum au mda mwingine ata sabuni yakuogea mapiga chafya nyingi mno adi Naumwa na mafua kabisa, naomba msahada wako tafadhari

 32. Asha Manento Asha Manento says:

  Asali na pilipili manga tunapimaje

 33. Ahsante sana doctor kwa hiyo dawa aisee, ngoja nimpe mtoto wangu manake amewashwa miaka mingi inaweza ikawa msaada mkubwa…

 34. Man Tano Tz Man Tano Tz says:

  Shalom mwana wa Mungu

  Mimi tangu nimezaliwa Nina allergy na nyama nyekundu (wanyama wenye miguu mi4) nikila natapika, naumwa tumbo sana na mapele yananitoka

  Nifanyeje

 35. somo zuri tunashukuru, Kwa hiyo bizar na mannjano haina tofaut?

 36. Asant MM natumia kupaka uxon

 37. Winnie Macha Winnie Macha says:

  Docta hiyo binzari ni ile manjano inayopakwa usoni au hiyo nitofauti

 38. Alicia Lulu Alicia Lulu says:

  Ninamtoto anawashwa baadhi ya mwili akijikuna anatoka damu mpaka sasa anamwaka wa tano,mpaka sasa vipele vikuwa sugu yaani mabaka meusi,nimezuguka baadhi ya hospital wengine wananiambia aleji hospital nyingine fangas,nimetumia dawa za magonjwa yote hayo lakini hajapona,je docter tatizo ni nini na unanipa ushauri gani?

 39. Rashid Mbk Rashid Mbk says:

  Dr.Ahsante Makini Sana

 40. Latifa Mussa Latifa Mussa says:

  Mimi nasumbuliwa navipele vidovigo mikononi tu sijui nikila nini vinanitoka

 41. Mwana Asery Mwana Asery says:

  Yani mungu ni mwema yani nina aleji ya kujikuna namaliza mwAka wa pili je manjano ni yapi mana kuna ya kupaka uxon naomba unifafanulie fadhili paulo

 42. Brenda Mboe Brenda Mboe says:

  Asante daktari mungu akubariki

 43. Joyce Samson Joyce Samson says:

  Daah asante dr. Ngoja nitumie nitakupa matokeo maana nimechoka kabisa

 44. Aliy Aliy Aliy Aliy says:

  DIRISHA DOGO LA MAHABA

  ……HUYO NI MUME WAKO….

  Tendo la Ndoa kwa wana ndoa halipo kwa ajili ya kutengeneza watoto tu.

  Kama mke, kila mara lazima uwe tofauti kwa mumeo.

  Mshawishi mumeo, usiruhusu mumeo akuombe tendo la ndoa, usiwe na ratiba ya tendo la ndoa.

  Kuwa mbunifu, na wala usitabirike. Mpe ile anayostahili..kama ukipoteza mvuto kwa mumeo, basi umepoteza thamani yako kama mwanamke.

  Kuwa sehemu ya mipango ya mume wako.

  Hakuna kitu mume wako atakipenda kama kumuomba kufanya tendo la ndoa, toa aibu….huyo ni mume wako..mmehalalishwa mbele za Mungu, ……maumbile yake ni mali yako pia…

  Inashangaza kuna baadhi ya wanawake hata hawajui maumbile ya waume zao yakoje.

  Ichezee unavyotaka, usiku usilale na nguo…acha ngozi yako laini imguse mumeo, kuna raha kubwa mwanaume anavyoguswa na ngozi yako laini…msisimuko wake ni wa kiwango cha PhD.

  Mwanaume anavyokuwa satsfied na tendo la ndoa siku zote anakuwa stable kiakili na kimwili, anafurahia maisha na atatamani kurudi nyumbani kila mara…

  Msikariri kwamba tendo la ndoa lazima iwe usiku tu, fanyeni hata mchana…kama uko nyumbani na mumeo yupo kazini…mwite hata muda wa lunch aje nyumbani…fanyeni tendo hata la nusu saa tu…huo ndio ubunifu na ndoa haitaboha.

  Mtii mumeo kwa moyo mmoja, kamwe usimweleze kwamba upo hapo kwa ajili ya watoto..kumbuka ulianza kumjua yeye kabla watoto hawajaja.

  Mbembeleze mumeo, weka kichwa chake kwenye kifua chako. Muombee…mpe kiss ya kibabe..mmmwwwwaaa, mmmwwwaaa…usijihisi vibaya kumkiss mbele ya public kama itabaidi, kufanya hivyo, hakuna cha ajabu…yeye ni mumeo..mali yako halali kabisa.

  Kuwa romantic uwapo nyumbani, vaa nguo laini za mitego….usivae mivitenge na magauni magumu mithili ya turubai kama bibi yangu wa kule kwetu morogoro….

  Kuwa msafi kila muda…Nukia kwa manukato yenye mvuto, usinukie mapilipili hoho na mavitunguu swaumu….kama vipi nunua sex lingarie halafu vaa kila muda uwapo na mumeo peke yenu.

  Usionekane kama una miaka 50 wakati hata 30 hujafikisha…fanya mazoezi, acha vyakula vya kuvimbisha mwili kama, nyama choma, chips mayai, mapizza, na mavyakula mengine yenye mafuta na wanga mwingi

  Tunza vizuri mwili wako, mwanamke ni pambo ndani ya nyumba na fahari ya macho ya mume…sasa ukipoteza mvuto umefanya kosa kubwa sana.

  Fanya jitihada kupigania kuwa na mwili uliokuwa nao mwanzo.

  KWA WANAUME.

  Usimchukulie poa mwanamke anayefanya hayo kwa ajili yako.

  Mbembeleze, mpe moyo, mpende, mpe support, na mfanye ajisikie kuwa na bahati ya kupata mume kama wewe unayethamini juhudi zake kwako.

  Natamani niongee mambo mengi ya kikubwa sema tatizo humu fb watoto wengi sana.

  Mungu aibariki ndoa yako.

  Nia yangu ya dhati ni kuona wana ndoa wana furahia ndoa zao, kwani ndoa ni Raha na Si Karaha.

 45. Joyce Samson Joyce Samson says:

  Nna aleji ya vumbi. Nisishike nguo za kabatin. Nawashwa sana macho na viganja vya mikono kwa juu mpaka vinatoka vidonda. Pia harufu Kali siziwezi. Je hii dawa itasaidia?Na hyo pilipili manga kama una vidonda vya tumbo haina shida?

 46. Kwenye namna ya kutumia unaeleza faida mbona?

 47. Ugaboy Rama Ugaboy Rama says:

  Bwana Fadhili Paulo somo lako ni zuri sana ahsante wengi tunajua maana ya aleji ila kuna wengine hawajui hiyo aleji unawasaidiaje?

  • Aleji katika lugha nyepesi kabisa ni kitendo cha mwili kupungukiwa maji wakati histamini inapozarishwa kupita wastani ili kuhimiza unywaji wa maji na ugawanywaji wa kiasi kidogo cha maji kipatikanacho mwilini.

   Histamini ni kihisio cha kwanza (primary sensor) cha ubongo kinachozarishwa ili kujishughurisha na ugawanywaji wa maji kwa viungo mhimu wakati kunapokuwa na upungufu wa maji mwilini.

   Inajihusisha na kazi ya ugawanywaji wa kiasi kidogo kinachopatikana cha maji (maji ya mgawo kutokana na wewe kuendelea kusubiri kiu ndipo unywe maji) wakati wa upungufu wa maji mwilini (Unintentional chronic dehydration).

   Histamini katika lugha rahisi:

   Histamini ni kemikali ambayo miili yetu huitoa inapohitaji msaada kusawazisha upungufu wa vitu mhimu sana mwilini kama maji, chumvi au potasiamu.

   Histamini na wasaidizi wake wengine watano (5 buddies) watasaidia kuusawazisha upya mwili ambao upo nje ya usawa. Kwa hakika Histamini ni kitu kizuri ambacho huokoa maisha yetu kwa mujibu wa Dr. Batmanghelidj.

   Sababu ya kutokuelewa namna hasa histamini inavyofanya kazi mwilini, dawa zimetengenezwa kuidhiti. Wakati histamini imezarishwa, yaweza kuendelea kuzarishwa na kuzarishwa kwa sababu tunakula au kunywa kitu kimoja ambacho miili yetu haiwezi kukitumia.

   Mfano mzuri ni juisi ya chungwa. Juisi ya chungwa huwa na kiasi kingi cha potasiamu ambayo miili yetu haiwezi kuitumia bila uwepo wa chumvi.

   Kwahiyo, inapotokea mtu anakunywa juisi ya chungwa na hatumii kiasi kinachostahili cha chumvi ili kuiwezesha potasiamu kuziingia seli za mwili, basi histamini hutolewa kurekebisha tatizo hilo.

   Kila mtu anahitaji 3/4 gramu za chumvi kwa kila ml 250 za juisi ya chungwa ili potasiamu iliyomo kwenye chungwa iweze kutumika na seli za mwili.

   Katika kitabu kiitwacho‘’ABC of Asthma, Allergies and Lupus’ kilichoandikwa na Dr. Batmanghelidj , ukurasa wa 149 chini na juu ya ukurasa wa 150, Dr. Batmanghelidj ameandika: “Ni sera nzuri kuongeza kiasi cha chumvi katika juisi ya chungwa ili kusawazisha matendo ya sodiamu na potasiamu katika kuhimili ujazo unaotakiwa wa maji ndani na nje ya seli.”

  • Katika baadhi ya tamaduni, chumvi huongezwa katika matikiti na matunda mengine ili kukazia utamu wa matunda hayo. Kwa ujumla, matunda haya mengi huwa na potasiamu tu kwa sehemu kubwa. Kwa kuongeza chumvi kabla ya kuyala, usawa kati ya uchukuwaji wa sodiamu na potasiamu hupatikana. Jambo hili lapaswa kufanyika pia kwa matunda mengine.

   Ni mhimu pia kuongeza kiasi kidogo cha chumvi katika juisi unayotengeneza nyumbani na hata katika keki.

   Kile ulikuwa hujuwi labda hadi sasa ni kuwa tunahitaji chumvi kwa kila tunachokula kwa sababu ya potasiamu. Potasiamu inapatikana karibu katika kila kitu tunachokula.

   Ndiyo, CHUMVI yaweza kuwa MBAYA kwetu ikiwa hatunywi maji ya kutosha kila siku ili kusawazisha ulaji huo mwingi wa chumvi.

   Moja kati ya matatizo makubwa siku hizi ni kuwa watu hatunywi maji ya kutosha.

  • Badala yake tumehamia kwa kahawa, chai, soda, pombe na kadharika. Mwili wa binadamu unahitaji maji halisi na chumvi.

   Uthibitisho wa hili ni matumizi ya madripu ya maji chumvi (SALINE IV’s) katika mahospitali na magari ya kukimbizia wagonjwa mahututi (ambulances). Madaktari kamwe hawampi mgonjwa dripu la maji matupu, bali lenye chumvi ndani yake.

   Lita moja ya dripu la maji huwa na chumvi gramu 9 ndani yake. Ukiwa mahututi katika ambulance hupewi kahawa, Madaktari watakutundikia dripu la maji chumvi na wakati mwingine watakutundikia lita nyingine ya vitamini, madini au dripu la maji sukari (dextrose or glucose).

   Mdhibiti mzuri kabisa dhidi ya histamini ni chumvi. Ikiwa unakunywa maji mengi kila siku na hautumii chumvi ya kutosha katika vyakula unavyokula au hata kuitafuna chumvi yenyewe kwa ajili ya maji hayo mengi unayokunywa, mwili utaizarisha tena histamini.

   Unaweza kulithibitisha hili wakati unapopatwa ghafla na chafya kubwa, au kujisikia kama koo linaziba hivi na msongamano katika pua au koo kwa ujumla. Ikiwa unalazimika kukohoa (au kubanja) ili kusafisha koo lako kila mara, ni ishara unapungukiwa chumvi mwilini.

   Hali hii pia hutokea wakati tunakula vyakula au kunywa vinywaji vyenye potasiamu nyingi (hivi mara nyingi ni vile vyakula vya kwenye makopo au maboksi vya madukani) na bila kutumia chumvi nyingi kwa ajili ya potasiamu ya kwenye vyakula au vinywaji hivyo.

   Utapata chafya kubwa na ya ghafla au kujisikia msongamano katika mapafu au koo lako.

   Chumvi nyingi kuzidi pia itasababisha kuzarishwa kwa histamini na utapatwa na chafya ya ghafla, msongamano mapafuni au kooni kama ilivyofafanuliwa hapo juu. Macho ya mtu yaweza pia kuonyesha wakati histamini imezarishwa mwilini kwa kutoa maji maji (runny eye).

   Unapokunywa maji na unapatwa na dalili mojawapo kama hizo hapo juu, basi utatakiwa kuweka kiasi cha chumvi katika ulimi wako na dalili zinapaswa kuwa zinapotea.

   Ikiwa unakula chakula na ukapatwa na dalili mojawapo hapo juu, utahitaji chumvi zaidi kwa ajili ya potasiamu. Weka tu kipande cha chumvi mwanzoni mwa ulimi wako na ikiwa dalili hizo (kupiga chafya kubwa, msongamano kooni au mapafuni au kwikwi) zinatulia, utathibitisha kuwa unachokisoma hapa ni sahihi.

   Kujaribu hakuwezi kumuumiza mtu.

   Hauhitaji kumeza chumvi, iache tu kama vile unavyomung’unya pipi juu ya ulimi wako kwa dakika moja au mbili na kisha unaweza kuisafisha na maji kwenda chini au iteme na uiweke pembeni.

  • Histamini ni nini? ((medical) a chemical substance that is given out in the body in response to an injury or an allergy – Oxford Advanced Learners Dictionary 8th edition).

   Ikiwa umetumia chumvi kuzidi au umeweka chumvi juu ya ulimi na ukapatwa na dalili mojawapo hapo juu, basi utakunywa kikombe kimoja cha maji au viwili na dalili zinapaswa kuwa zinatoweka.

   Kila mmoja anahitaji kuzijua ishara zake na kujaribu kupata usawa mahususi wa maji kwa chumvi vivyo hivyo kwa kiasi mahususi cha chumvi kwa chakula anachokula.

   Mdhibiti mwingine mkuu kabisa tuliye naye mwilini mwetu dhidi ya histamini ni adrenalini. Adrenalini hutolewa na mojawapo ya tezi mbili za adreno (adrenal grands) zipatikanazo juu ya figo.

   Kahawa au kafeina, ndicho kitu kinachoweza kuisisimuwa tezi ya adreno kuitoa adrenalini. Kaffeina pia itasababisha mwili kuitumia hifadhi yake ya nguvu ambayo mwili huihitaji wakati wa kushughurikia matendo ya dharura (emergency).

   Ikiwa hifadhi ya nguvu ya dharura inatolewa wakati hakuna udharura, mwili utajikopa wenyewe kile unachokihitaji wakati wa dharura na hivyo kujihakikishia uwezo wakati wa dharura nyingine.

   Kaffeina itapelekea mwili kujila au kujitafuna wenyewe (cannibalize off itself). Kila seli ndani ya mwili inahitaji maji na chumvi ili ziwe seli zenye afya ambazo zitafanya kazi pamoja kumuweka mtu katika afya bora.

   Matumizi ya vidhibiti vya histamini vya kibiashara, yataendelea kuuacha tu mwili na upungufu wa maji na chumvi. Hebu fikiri tu kwanini madaktari wanatuambia tuwe mbali na chumvi na sodiamu kwa sababu si vitu vizuri kwetu. Madaktari wanasema tunapata chumvi nyingi kuzidi katika vyakula vyetu siku hizi.

   Muombe Daktari au muuguzi wako akuelezee kwanini wanatoa madripu ya maji chumvi kwa wagonjwa mahututi wakati wanakuambia unapata chumvi nyingi kuzidi katika chakula chako siku hizi?.

  • Tatizo letu siku hizi hatunywi tena maji halisi ya kutosha. Tumegeukia vinywaji vya kibiashara.

   Wanyama katika bustani za wanyama hunywa maji halisi na wakati mwingine husafiri umbali mrefu zaidi kutafuta tu maji. Mbwa na paka wengi hawapati chumvi ya kutosha siku hizi ndiyo maana ukimsogelea mbwa au paka cha kwanza atataka kukulamba ngozi yako, ni kwa sababu ya chumvi iliyo juu ya ngozi yako.

   Inashauriwa uongeze kiasi cha chumvi katika maji yao unayowapa kunywa na utaona mabadiliko makubwa kwa wanyama wako.

   Kwanini mwili unapatwa na aleji au mzio?:

   Histamini ni kemikali wakala wa ubongo mwenye kazi dhidi ya bakteria, virusi na mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya maadui wa nje, kwa kuongezea inajihusisha pia na kazi ya ugawanywaji wa maji mwilini.

   Wakati wa kiasi cha kawaida cha maji mwilini, yaani unapokuwa unakunywa maji ya kutosha kila siku, shughuli hizi (za kumonita bakteria, virusi, kinga ya mwili na usambazaji maji) zinabaki tulivu au hazitengenezwi.

   Wakati upungufu wa maji (dehydration) unapobaki kwa muda mrefu, Ubongo unaamuru uzarishwaji mwingi wa histamini kuvutia uchukuaji wa maji.

   Mfumo huu wa histamini wenye seli utazarisha kiasi kingi cha transimita nyurolojia (neurotransmitters).

   Ni kitendo hiki cha uzarishwaji mwingi wa histamini kinachotoa picha au majibu kuwa una Aleji katika maabara.

   Aleji inapaswa kutibiwa na ongezeko la kiasi cha unywaji maji. Kwa wastani hali hizi zinapotea baada ya siku tatu hadi wiki nne za urekebishwaji wa ongezeko la unywaji maji.

   Uzarishwaji wa histamini utapunguwa wenyewe kwa ongezeko la unywaji maji.

   Kitu kingine mhimu wakati unaendelea kuyarudishia maji taratibu mwilini mara baada ya kukutwa una Aleji ni vitamini C. Ni mhimu kutumia vyakula, matunda, mboga za majani na juisi zenye vitamini C kwa wingi na hapa napendekeza juisi ya ubuyu, kitunguu swaumu, unga wa majani ya mlonge na matunda karibu aina zote.

  • Ni kwa sababu vitendo vile viletwavyo na aleji huathiri pia kinga ya mwili kwa kiasi kikubwa sana.

   Pia unaweza kusoma zaidi makala zifuatazo; Namna mpya ya kuitambua kiu hapa => http://goo.gl/6rpOvr au Kazi 41 za maji mwilini hapa => http://goo.gl/WBv8wP

   Kwa maswali au ushauri zaidi; whatsapp +255769142586

  • Ugaboy Rama Ugaboy Rama says:

   Ahsante Dr kiu kimekatika sina swali

  • Ugaboy Rama Karibu sana ndugu yangu

  • Ugaboy Rama Ugaboy Rama says:

   Ahsante Dr, nitakutafuta Kwenye tatizo la ute Kwenye joint namna gani naweza kuongeza kazi Njema Allah akuweka unafaida sana kwa TZ

 48. Asante ndugu kwa ushauri wako jee hayo manjano yanatibu ugonjwa wa pumu?

  • Dawa mbadala 13 zinazotibu Pumu

   Kabla tuliona namna upungufu wa maji mwilini (dehydration) unavyoweza kusababisha tatizo la Pumu mwilini

   Katika somo hili tutajadili dawa mbadala 13 zinazoweza kuzuia au kutibu kabisa tatizo la pumu mwilini. Chagua unayoona ni rahisi kuipata na uitumie. Unaweza kutumia dawa 2 au 3 kwa pamoja. Endelea kusoma.

   Vitu vinachosababisha au kuamsha Pumu

   Aleji/mzio
   Tumbaku/sigara
   Sabubu za kimazingira kama uharibifu wa hewa sababu ya viwanda
   Uzito uliozidi
   Mfadhaiko/Stress, sononeko, na huzuni
   Kurithi
   Maambukizi mapafuni wakati wa utotoni
   Kuzaliwa mapema/njiti
   Baadhi ya vyakula kama samaki, soya, mayai, korosho nk
   Mazoezi
   Kiungulia

   Dalili za Pumu

   Kupata shida wakati wa kupumua
   Sauti ya kukoroma wakati unapumua
   Kikohozi
   Msongamano kifuani
   Kujisikia umechoka wakati ukifanya kazi yoyote ya nguvu
   Homa na vikohozi vya mara kwa mara
   Kukosa utulivu katika usingizi

  • Dawa mbadala 13 zinazotibu Pumu

   1. Kitunguu swaumu

   Chukua punje 5 hadi 6, menya na ukate vipande vidogo vidogo lakini siyo vidogo sana na uchemshe kwenye moto na maji kikombe kimoja (robo lita), ongeza kijiko kikubwa kimoja cha asali mbichi ndani yake na uache kwenye moto kama dakika 5.

   Ipua na unywe kwa pamoja kutwa mara 2 hadi utakapopona.

   2. Tangawizi

   Tangawizi pia ina faida nyingi katika mwili wako na afya yako. Tengeneza juisi robo lita yenye mchanganyiko wa tangawizi, komamanga na asali. Kunywa mchanganyiko huo kutwa mara 2 au 3 kwa matokeo ya haraka.

   Namna nyingine ni kuchukua kijiko kikubwa kimoja cha juisi ya tangawizi (majimaji ya tangawizi) changanya na kijiko kikubwa kimoja cha asali na vijiko vikubwa 2 vya mbegu kavu za uwatu na uuache mchanganyiko huu kwa usiku mmoja.

   Kunywa mchanganyiko huu kesho yake ili kuondoa sumu kwenye mapafu yako.

   3. Mafuta ya mharadali

   Chukua mafuta kidogo ya mharadali na uchanganye na kafuri (camphor) ndani yake. Jipakae mchanganyiko huu taratibu sehemu yote ya kifua mpaka uone nafuu inajitokeza.

   Hakikisha unayapasha mafuta kidogo katika moto kabla ya kuanza kujipaka taratibu (masaji) ili kifua kiweze kuhisi au kulipata hilo joto na hatimaye upate uponyaji kwa aharaka zaidi. Fanya zoezi hili wiki 2 hadi 3

   4. Mtini (Figs)

   Mtini ni dawa nyingine ya asili (home remedy) nzuri dhidi ya pumu. Loweka baadhi ya mitini mikavu ndani ya maji kwa usiku mmoja. Kula huo mtini uliolowekwa kesho yake asubuhi kabla ya kula kitu kingine chochote. Pia kunywa maji hayo yaliyoloweka mtini kwa ajili ya kujitibu pumu au asthma. Fanya hivi kwa wiki 2 hadi 3

   5. Mafuta ya mkalitusi

   Mafuta ya mkalitusi (Eucalyptus essential oil) yanaweza kupelekea uponyaji wa haraka kwa mtu anayesumbuliwa na pumu. Weka matone machache ya mafuta haya ndani ya kikombe cha maji ya moto na usogeze pua yako karibu na mvuke unaojitokeza na uuvute ndani taratibu.

   Hii itasaidia kuzifungua pua zilizokuwa zimeziba sababu ya pumu na hivyo hewa inaweza kuanza kuingia na kutoka kirahisi zaidi.

  • 6. Asali

   Kama unatafuta dawa ya asili ya kutibu pumu basi asali ndiyo dawa bora ya asili inayotibu pumu kuliko dawa nyingine yoyote. Unaweza kutumia kijiko kidogo kimoja cha chai kilichochanganywa na robo lita ya maji ya moto walau mara 2 mpaka 3 kwa siku au unaweza kuwa unanusa ile harufu fresh ya asali mara kadhaa kila siku.

   Namna nyingine ni kuchukua kijiko kikubwa kimoja cha asali mbichi changanya na nusu kijiko kimoja cha chai cha mdalasini ya unga na ulambe mchanganyiko huo kila unapoenda kulala kila siku hadi upone.

   7. Kitunguu maji

   Vitunguu vinajulikana kuwa na sifa ya kutibu uvimbe (inflammatory) na vimethibitika kuwa na msaada mkubwa katika kusafisha njia ya hewa.

   Kwahiyo kama wewe ni mhanga wa pumu au asthma basi unapaswa kuwa unatumia vitunguu maji kwa wingi kila siku vikiwa vibichi kabisa, vikiwa katika kachumbali au hata vikiwa vimepikwa pamoja na mboga mboga zingine.

   8. Matunda na Limau

   Matunda kama stroberi, bluberi, papai, na machungwa yameonyesha kuwa na msaada kwa watu wanaosumbuliwa na pumu. Pia limau zina vitamin C na zinatakiwa kutumia sambamba na maji, sukari/asali na chumvi kidogo ya mawe walau mara moja kwa siku kwa majuma kadhaa ili kujitibu ugonjwa huu wa pumu.

   9. Samaki

   Kula mara kwa mara samaki kama ‘salmon’ (au samoni kwa Kiswahili ni samaki mkubwa mwenye mnofu mwekundu), tuna au jodari, dagaa chumvi wa baharini (sardines) kunaweza kuwa msaada mkubwa sana katika kujitibu tatizo la pumu.

   Samaki hawa wote huyafanya mapafu yako kuwa safi, salama na yenye nguvu katika kupambana na tatizo la pumu na kuitibu haraka na kwa ufanisi. Ingawa ikiwa hauwezi kula hawa samaki katika hali ya kupikwa basi unaweza kubadili kwa kutumia mafuta yatokanayo na samaki hawa.

  • 10. Zabibubata (Gooseberries/Amla)

   Zabibubata ni nzuri sana katika kutibu pumu. Ponda ponda zabibubata kadhaa na ongeza asali kidogo ndani yake, tumia mchanganyiko huu kila siku na ukae mbali na pumu.

   11. Mbegu za Shamari ( kiungo jamii ya karoti)

   Tumia mbegu za shamari kila mara ili kujitibu na shambulio la asthma/pumu.

   12. Maziwa ya moto

   Ongeza kiasi sawa cha mafuta ya mzeituni na asali ndani ya kikombe cha maziwa ya moto. Kunywa mchanganyiko huu pamoja na punje mbili au tatu za kitunguu swaumu kabla ya chakula cha asubuhi kwa majuma kadhaa. Dawa hii ya asili inaponya pumu kwa haraka sana.

   13. Majani ya Kotimiri

   Majani ya kotimiri (Parsley leaf) ni dawa mbadala nzuri sana kwa ajili ya kikohozi. Andaa chai ya majani haya na asali unywe kila siku. Itatibu kikohozi, itasafisha koo na kutibu pumu kadri siku zinavyosogea wakati ukiendelea kutumia chai hii kila siku.

   Ikiwa utahitaji dawa hizi kwa ajili ya kujitibu pumu, niachie ujumbe WhatsApp +255769142586

 49. Rafiki yangu vikwapa vinamuwasha atumie dawa gani pili vinatoa harufu anaoga Kwa siku mara Tatu hadi mara nne tena yupo makambako kwenye baridi

 50. Kuwashwa na macho pia nialegi ?

 51. Jema Jeremia Jema Jeremia says:

  Asante kwa somo mimi napikiaga kwenye mboga kama kiungo kumbe ni dawa pia nashukuru Sana kwa kinielewesha

 52. Lucy Meela Lucy Meela says:

  Docta nilipata aleji ya mafua nikapata malengelenge usoni yamepona lakini alama zilizobaki kuna muda zinawasha nitumieje hiyo manjano kwa kupaka au?

 53. Nashukuru kwa msaada wako wa tiba mbadala wa pumu, samahani hapo kwenye tini sijaelewa naloweka gome au kijiti. Maana Mimi natumia Mafuta ya tini kuweka kwenye chai na tunda lake nakula.

 54. Una weza kupaka usoni natumiaje

 55. Saghu Msuya Saghu Msuya says:

  Dr Nina tatizo la samaki fulani nikila nawashwa na ninitoka madoa na Pia nikiumwa na wadudu Kama mbu au viroboto nawashwa sana kwa muda wa cku 3 namadoa wiki 2 nifanyeje

 56. Neema Njau Neema Njau says:

  Samahn mm sauti imekata nna km mwez wa 4 sasa

 57. Bigg Boss Bigg Boss says:

  Samahani naomba kuhuliza na kuna wale wanapakaga usoni ayo ayo manjano wanapaka wengine wanalala nayo ivi inasaidia nn?? na ukitaka kutumia ivyo unachanganya na nn???

 58. Mbona kama ni tangawizi hiyo

 59. Yaan Dr nina aleji nawashwa mwili mzima mpaka kichwani nimetumia dawa zote za aleji lakini wapi yaani sasa hivi naishi kwa vidonge nikinywa sasa hivi hiyo hali itapoa lakini baada yasiku mbili tatu hali inaludi tena

 60. Dr maeneo mengine Hamna izo Dawa mbadala wake tutumie nn?

 61. Dr maeneo mengine Hamna izo Dawa mbadala wake tutumie nn?

 62. Teddy Albert Teddy Albert says:

  Na kwa watoto wenye aleji je inafaa????

 63. Rose Juma Rose Juma says:

  Samahani doktor nina chunusi sugu nimetumia sabuni yamanjano sijapata mafanikio yoyote utanisaidiaje

 64. Hii aleji kwa kiswahili NI nini na i NI zipi dalili zake

 65. Juma Msami Juma Msami says:

  SITAKI SMS ZAKUNIAMSHA USINGIZINI MBONA HAMKOMI?

 66. sio aleg tu mpaka majeraha ina kausha, kwa matumizi hayo hayo

 67. Aisha Almas Aisha Almas says:

  Jessie sebastian umeshagundua unawashwa kwasababu ya nini?hHuenda ukawa ikawa kuna kitu kinakudhuru ni vizuri ujipeleleze ikiwa ni sabuni utagundua baada ya kuoga au baada ya kufua ikiwa ni mafuta utagundua baada ya kujipaka ikiwa ni chakula utakugundua baada ya kula unapepeleleza kwanini nawashwa kinanidhuru kitu gani ili uweze kuepukana nacho mimi nikiogea sabuni za mawingu za hapa dar zinanisababishia mwili kuwasha hadi macho na koo.

 68. Habari Dr Fadhili Paulo eti dawa ya aleji ni kuacha mana mm nna aleji ya nyama samaki maziwa mayai na vitu kibao sasa nikitumia hiyo dawa ntakula tena

 69. jamani docter mm nina vitu kama mabaka na ni ya muda mrefu, vp naweza tumia? maana nmechoka kutumia dawa

 70. Mimi ninaumwa kifua miaka kalibia miaka minne (4) sasa nimetumelia dawa zote nimekunywa kinaniwasha sana kooni kama nimepaliwa. Na vumbi kina nikereketa sana dawa za minyoo nimekunywa sana hakauna kupona naomba Dr nisaidiye nitumiye dawa gani

 71. Lydia Mkumbo Lydia Mkumbo says:

  Jmn me naomba kuuliza c ujinga binzari na manjano ni kitu tofauti?

 72. Juma Mipawa Juma Mipawa says:

  Asante Dct wengi itawasaidia sana

 73. Nina madoa madoa uson nitumie nn doctar ili niondoe madoa uson

 74. Joyce Osward Joyce Osward says:

  Stephan Charles Hingi

 75. Joyce Osward Joyce Osward says:

  Stephan Charles Hingi

 76. Doctor me nikiacha kutumia cream vya tube USO shingo mikono tumbo napatwa na hali kama shilingi shilingi na jasho likitoka nahisi maumivu kama nimepakwa chumvi nisaidie doctor

 77. KWAKWERI ASANTE SANA TUNASHUKURU ACHA TUANZE TIBA

 78. Asanteni itasaidia watu.

 79. Nifanyeje kama hii no dawa Nina aleji ya

 80. Joyce Kileo Joyce Kileo says:

  Mimi nikila samaki waaina yoyote na washwa sana natokewa na vidudedude kama shilingi . nikitumia Dawa inamaana ht nikila samaki sitowashwa

 81. Doa Kimbi Doa Kimbi says:

  Nimemaliza tu kusoma nikachukua kipande kibichi ktk fridge nikala. Je nile kwa muda gani.?

 82. Suzan Mcharo Suzan Mcharo says:

  Mungu akubariki sana

 83. habari.Nina tatzo limekua gen kwangu cjui ni aleji ama laaa.zaman nikipaka super black kichwani sioni madhara yoyote ila nikipaka kW sasa kichwa kitawasha uso lazma utajaa ghafla.mpka macho hua miekundu sana.msaaada wako tafadhali.

 84. napenda niulize kunadawa ya kufunga kitovu ambacho kimepona ila hakijafunga vizur

 85. Getruda Mtei Getruda Mtei says:

  Docter Mimi washwa koo na masikio pia Nina aleji na vumbi na vitu vyenye harufu Kali utanisainiaje

 86. Mm nasumbiliwa na mafua kwa muda mrf nmetumia dawa nyng lkn bdo sipat nafuu yyt,nisaidie tafadhari

 87. Emelda Thom Emelda Thom says:

  inatibu au inatuliza tatizo??

 88. Nay Mbwambo Nay Mbwambo says:

  Mw Mungu akulipe inshaalah, kwakutujulisha dawa kwani tatizohili limo kwa wengi

 89. Inaponya hadi Allegy ya macho????

 90. Safi sana nakukubali sana doctor ww sio mchoyo, mungu akuongezee zaidi na zaidi

 91. Grace Augy Grace Augy says:

  Nashukuru sana,ngoja nianze tiba

 92. Dr mimi nataka kujuwa Sanut au bizari nene inatibu nini

 93. Dr mm Nina tizo pumu sugu nanimetumia dawa za hosptali mpakanimechoka ila bado Nina pata nafuu ya wikimbili ikisha inarudia tena naomba ushairi wako, Nina tatiza lachunu nikinyoa ndevu palezikitaka kuota ndio chunusi ndio zinaanza nikama vijipu hiv vinatoa usaha, Nina miaka 26

 94. Grad Karegea Grad Karegea says:

  Fadhili samahani minatokwa nachunus pianidawa hyo binzali au?

 95. asante dr kwa huduma nzuri

 96. samahan docta nikuulize kuna mdogo wangu mmoja anawashwa sehemu za siri yan kwenye korodan zako kunaota vipele na kujikuna ameenda hospitali kachomwa sindano kapewa na dawa akinya vinapoa ila haviponi dawa yake ni nini

 97. sory kwenye korodani zake

 98. Ziada Nassir Ziada Nassir says:

  Mwanangu pia ana aleji ya vumbi yani na

 99. Docter mwanangu anamachunusi makubwa ya sioisha ana miaka 22 anaweza kutumia nn?

 100. Tunashukuru sana docta tumepata elimu ya kutosha,swali langu ni hivi”manjano yanatibu chunusi?

 101. Samahami Doctor nikipaka cream uso unaungua unakuwa mwekundu nisaidi tafadhali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *