Kazi 10 zitakazokushangaza za mafuta ya nazi

mafuta ya nazi
mafuta ya nazi

You may also like...

935 Responses

 1. Johan Steven Johan Steven says:

  Asante kwa som zuri nimejifunz

 2. ,Yale ya dukani ya nywele au

 3. Hawa Said Hawa Said says:

  Asante nimejifunza kitu

 4. Asanteee kwa mafunzo

 5. Pendo Siassi Pendo Siassi says:

  Somo zuri,ubarikiwe

 6. Vp waweza kupak nywele

 7. Jamani swali langu ni hili,mafuta ya nazi yakupaka nayajua but yakupikia siyajui,au kama utatumia nazi harisi ndo unapata faida hizi?

 8. Yale nazi ya dukani ” mnara” au “parachute” ni sawa? @ fadhili paulo.com

 9. Somo zuri pia hutusaidia kupenda vitu vyetu vya asili kuliko ma chemical ambayo kila Siku imkuwa ni tatizo kwenye taifa letu ,

 10. Rose Elias Rose Elias says:

  Ahsante kwa somo.. na baada ya kuyatengeneza yanakaa mda gani bila kuaribika?

 11. Asante kwa somo zuri ubarikiwe sana

 12. Asante KWA ujumbe nitayafanyia kazi ma.ya Nazi ubarikiwe

 13. Nayahtaj niatayapata VP.

  • Namna ya kutengeneza mafuta ya nazi nyumbani :

   *Nunua nazi idadi utakayo

   *Pasua nazi na ukune na mbuzi

   *Chukua nazi uliyopata isage na maji kiasi kidogo kwenye blenda na ukamue upate tui Zito jingi

   *Chukua hilo tui weka kwenye chombo kisafi kikubwa au hata kwenye sufuria, funika na kitambaa (nguo yoyote Safi) na uache hivyo ipumzike kwa masaa 24

   *Kesho yake utaona maji yamebaki Chini na juu kuna layer kubwa ya tui lililoganda, chukua tui hilo la juu lililoganda na uweke kwenye sufuria nzito, weka kwenye moto kama dakika 6 hivi tayari umepata mafuta ya nazi. Hakikisha yasiunguwe, chuja endelea kutumia mafuta yako.

   Tazama video hapa => http://goo.gl/w48hVk namna mafuta ya Nazi yanavyotengenezwa.

 14. Sijawahi Kuyatumia Hayo Mafuta Ntayapataje?Namimi Natatizo Hiro.

 15. Sijawahi Kuyatumia Hayo Mafuta Ntayapataje?Namimi Natatizo Hiro.

 16. nimeelewa kumbe nazi ina faida kubwa

 17. Je wanaume wanapaka

 18. Napata wapi hayo ya ukweli?

  • Namna ya kutengeneza mafuta ya nazi nyumbani :

   *Nunua nazi idadi utakayo

   *Pasua nazi na ukune na mbuzi

   *Chukua nazi uliyopata isage na maji kiasi kidogo kwenye blenda na ukamue upate tui Zito jingi

   *Chukua hilo tui weka kwenye chombo kisafi kikubwa au hata kwenye sufuria, funika na kitambaa (nguo yoyote Safi) na uache hivyo ipumzike kwa masaa 24

   *Kesho yake utaona maji yamebaki Chini na juu kuna layer kubwa ya tui lililoganda, chukua tui hilo la juu lililoganda na uweke kwenye sufuria nzito, weka kwenye moto kama dakika 6 hivi tayari umepata mafuta ya nazi. Hakikisha yasiunguwe, chuja endelea kutumia mafuta yako.

   Tazama video hapa => http://goo.gl/w48hVk namna mafuta ya Nazi yanavyotengenezwa.

 19. Fatty Mamy Fatty Mamy says:

  Asante kwa kutufahamisha.

 20. Asante kwa elimu yako

 21. mm nimechelewa kuupata ukurasa ila nashukuru maana nategemea kujifunza zaidi

 22. Honey Love Honey Love says:

  Ahsante kwa tiba

 23. Asante Mtumishi USO wangu una mafuta yanafaa kwangu

  • Namna ya kutengeneza mafuta ya nazi nyumbani :

   *Nunua nazi idadi utakayo

   *Pasua nazi na ukune na mbuzi

   *Chukua nazi uliyopata isage na maji kiasi kidogo kwenye blenda na ukamue upate tui Zito jingi

   *Chukua hilo tui weka kwenye chombo kisafi kikubwa au hata kwenye sufuria, funika na kitambaa (nguo yoyote Safi) na uache hivyo ipumzike kwa masaa 24

   *Kesho yake utaona maji yamebaki Chini na juu kuna layer kubwa ya tui lililoganda, chukua tui hilo la juu lililoganda na uweke kwenye sufuria nzito, weka kwenye moto kama dakika 6 hivi tayari umepata mafuta ya nazi. Hakikisha yasiunguwe, chuja endelea kutumia mafuta yako.

   Tazama video hapa => http://goo.gl/w48hVk namna mafuta ya Nazi yanavyotengenezwa.

  • Namna ya kutengeneza mafuta ya nazi nyumbani :

   *Nunua nazi idadi utakayo

   *Pasua nazi na ukune na mbuzi

   *Chukua nazi uliyopata isage na maji kiasi kidogo kwenye blenda na ukamue upate tui Zito jingi

   *Chukua hilo tui weka kwenye chombo kisafi kikubwa au hata kwenye sufuria, funika na kitambaa (nguo yoyote Safi) na uache hivyo ipumzike kwa masaa 24

   *Kesho yake utaona maji yamebaki Chini na juu kuna layer kubwa ya tui lililoganda, chukua tui hilo la juu lililoganda na uweke kwenye sufuria nzito, weka kwenye moto kama dakika 6 hivi tayari umepata mafuta ya nazi. Hakikisha yasiunguwe, chuja endelea kutumia mafuta yako.

   Tazama video hapa => http://goo.gl/w48hVk namna mafuta ya Nazi yanavyotengenezwa.

 24. Flora Mbunda Flora Mbunda says:

  yale mafuta yanaz yana haruf flan unafanyaj au unaweka kitu gan cha ziada kukata ile harufu?

  • Mimi huwa siioni harufu yoyote nikiyatengeneza, halafu hata kama yangekuwa na harufu kama yana faida kwenye ngozi yangu mimi hata hainisumbuwi. Tumia nazi nzima siyo zinazokaribia kuharibika

 25. Nzur hyo n kweli kabsa….??? barikiwa xana

 26. Nashkuru Kwa Dalasa Zuri Japokua Nimechelewa Kupata Ukurasa Swali Langu Je Kama Ninachunusi Yanaweza Kunifaa Kuyatumia Hayo Mafuta Au Nifanyeje.?

 27. Azzah Machoz Azzah Machoz says:

  Mmmmh maajabu ya naz

 28. Naima Maulid Naima Maulid says:

  Ahsante kw Darasa bt mbna ykiwekwa sehem z siri huwasha?

 29. Samahan naomba kuulza n ya kupaka au kupikia?

 30. Nimeipenda hii. Asante kwa somo

 31. Ahsante. Kiukwel IPO siri kubwa kwenye vitu vya asili, Nina shuhuda pia nlikuwa Nina uvimbe mkononi ikafika kipindi ukawa mgumu sana kama mfupa, nilichomwa sindano,nlikunywa Dawa nying na nikafikia kipindi nkaambiwa uparesheni ndio Dawa na ili nipone lazima nifanye hivyo. Sikukubari mojakwamoja kwani nlikuwa muoga sana, kuna siku nilikutana na MTU akaniambia Dawa ni mafuta ya Nazi na karafuu jamani haikuwa rahisi kuamini haraka kwani nilitumia vitu ving mpk nlikuwa nimekwisha kukata tamaa.Kuna siku nkaamua ntumie jamani nilipona bila opareshn. Kwaiyo tuvitumie sana vitu vya asili

 32. Nayahitaji nitayapataje

 33. Juma Khamis Juma Khamis says:

  Ndio mafuta nayopaka mm

 34. Ata ukijikata na bati pia ni dawa

 35. Asante kwa somo zuri

 36. Geges Antony Geges Antony says:

  Mhhhh kulainisha uke ndo unafanyaje sasa

 37. Joyce Urio Joyce Urio says:

  Ahsnte kwa Ujumbe

 38. Pamoja sana ndugu. akuna unaloelekeza ambalo silifanyiagi kazi.

 39. Tunashukuru kwa ushauri

 40. Asante je?yale yanayo itwa mnara yanakaa kwenye kichupa cha plastik nayo ni mazuriii

 41. Mimi Nina kauvimbe sikion unatumiaje karafuu na nazi

 42. Ahsante…mmefumbua macho kwa walio wengi ambao watasoma hii

 43. Sry mbona watu wengine huwa wanaharisha wakila Nazi?pia naomba msaada mgonjwa ambae ameshaanza kumeza dawa kwaajili ya pressure kuna herbal yoyote inayoweza kumsaidia ili aache za hospitality?

 44. Asante kwa somo zuri ubarikiwe Mtumishi.

 45. Yanapatikana vp nje na kutengeneza mtu kwake.

 46. Asante kwa somo zuri, hapo kwenye kupoteza kumbukumbu unatumiaje

 47. Stella Chuwa Stella Chuwa says:

  okay thanks dear.

 48. Asante kwa somo zuri nami natumia mafuta ya Nazi yaitwayo parachuting ni mazuri mno kwa ngozi hata watoto pia

 49. Zakhia Ally Zakhia Ally says:

  dah!nashukuru nimeelimika na nimejua umuhimu wa mafuta ya nazi

 50. Mi natumia ila kwenye utengenezaji cjui kama takuwa nakosea mana mi nachemsha mda huohuo

 51. uwongo sio mzuri ndugu yangu

 52. Mbona tunaambiwa nafuta ya alizeti ya dukani tayari yamepita kiwandani na wameyachakachua hivo yamepoteza ubora wake hili linaukweli wowote ?

 53. Midi Mudi Midi Mudi says:

  Dah asay nashkkur CNA Kwa elimu hiii uliotuelimisha kwan miongini mwetu wengu tulikua hatuifahamu , so kwa CCA tumeieleewa tena Sana,,

 54. Verena Mtui Verena Mtui says:

  Asante kwa uxhauri wako

 55. Nina alegi na baridi nikipigwa na baridi au kuoga maji ya baridi mwili unavimba na kuwasha je mafuta ya nazi yanasaidia

 56. Aisha Mzee Aisha Mzee says:

  Kwasisi wazanzibari wazamani hayo ndoyalikua mafutayetu kwa chapati, michuzi kikakitu Na yanaharufu yskipekee,nausiyapate yakiwandani tulikua tunapika wenyewe nazisaba unapota chupamoja

 57. Emanuel John Emanuel John says:

  PAMOJA NI TIBA LAKINI KUHUSU UTAMU YAANI NAZI NI MWISHO YA YOOOTE. UTAMU WA NAZI UPO KATIKA SEHEMU KUU SITA 1 MAJI YAKE. 2 NDINDA. 3 DAFU. 4 KOROMA. 5 NAZI ILIO KOMAA. 6 MBATA. JE MWAYAJUA HAYA???????.

 58. Ahsante sana kwa somo zuri LA Nazi,wengi wetu tinatumia mafuta take kwenye ngozi na nywele na SI kupikia,sasa tumejua matumizi na faida zake,ninamshukuru kwa hill Mungu akubariki

 59. Zubeda Kyuta Zubeda Kyuta says:

  Axante sana mwalimu wetu kwa somo zuri.

 60. kwanza nashukulu saaana ndugu fadhilipaulo mm niko inje ya topic nilikuwa na mtoto anasumbuliwa na ugonjwa wa ngozi nikachukua mbegu za mlonge kama ulivyo fundisha kwa somo lilopita aise ndani ya wiki moja kapona kabisa. nashukulu sana sana na Mungu akubaliki mpendwa wanadam wanaangamia kwakukosa maalifa huyo ni mfalme Sulemani.

 61. dr asante sana kwa elimu ako ki ukweli unatusaidia kwa mengi Mungu azidi kukupa nguvu na afya tele na moyo wa kujitolea zaidi

 62. Issa Ally Issa Ally says:

  Mi najua jins ya kuyatengeneza ila baada ya mafuta kujichuja kweny nazi,hatua gan zinafuta hapo? ni kuchuja ama…

 63. Priva Tesha Priva Tesha says:

  Asante kwa ushauri wako lakini nazi kwaupandewetu niadim nakingine mafuta ya nazi hayapatikani

 64. Lucy Koti Lucy Koti says:

  Nami naomba kujua mbegu mlonge unafanyaje ktk ngozi mm pia nina hilo tatizo asante.

 65. Sara Njara Sara Njara says:

  Ujasema unapatikana wapi

 66. Sara Njara Sara Njara says:

  Naomba uniambie bei zako

 67. Ahsante kwa somo nzuri me nilikua najua tu matumizi kwa ya masage na kupaka nywele maana nywele zangu hupaka mafuta ya Nazi hakika hulefusha nywele sana

 68. Asha Hassan Asha Hassan says:

  Zaman as wapwan tulkua tukitumia mafuta yanaz atamagonjwa yaajabuajabu ayakuepo

 69. Asante kwa kuturudisha tena shule. Mungu akulipe malipo mema

 70. Asante mungu atakulipa m1 nina tatizo la alej na kitu chochote chenye hrf kali m2 nina tatizo la moyo nadhani utakua umenisaidia sana

 71. Asante kwa darasa nzuri

 72. Nimeongeza ujuzi kwani natumia mafuta ya Nazi kwa kupaka mwilini na ktk nywele

 73. Naomba jibu dd mnara ni mazuriiii?

 74. Datu Jay Datu Jay says:

  Hutoa chunusi uson

 75. ok asante kwa somo ila umeeleza faida zake tu hujaeleza namna ya kuyatumia. mfano umesema mafuta ya nazi kwa afya moyo. yatumikeje sasa ili kuboresha afya moyo. hujasema kama unayanywa au unajipaka au unakaangia kwenye mboga? ufafanuzi tafadhali!

  • Karibu sana ndugu, mara nyingi na wewe binafsi unatakiwa ujiongeze kidogo, mtu akikuambia mafuta ya nazi ni mazuri kwa afya na wewe unazama kujifunza zaidi sehemu mbalimbali. Unaweza kuyanywa, unaweza kufanya ndiyo mafuta yako ya kupikia na kadharika

 76. Tamasha Juma Tamasha Juma says:

  Mafuta ya wanyama ni mafuta gani.na ni wanyama aina gani.

 77. Mushi Joseph Mushi Joseph says:

  Asante kwa kutupa tiba

 78. Ubalikiwe sana mie na matatatizo mengi nahisi umenisaidia ndugu yangu

 79. PW pw ndg.nimependa kipengere no 9.

 80. Ahsante kwa elimu hii. Nina binti ana aleji balaa, ataanza kuyatumia mara

 81. Habibu Ahmad Habibu Ahmad says:

  Mwalim unga UDISHE hauna jina lingin?

 82. Asante kwa somo zuri,Mungu abariki kazi ya mikono yako

 83. Doroth Kuya Doroth Kuya says:

  Ubarkiwe zaid na zaid shukran sana

 84. Tunataka tawilenu nzenga

 85. Nilichuja tui zito la nazi nikalichemsha nikapata mafuta kwa ajili ya kumpaka mtoto mwiluni,,ila bahati mbaya yaliungua je yatakuwa na madhara kwa mtoto????

 86. Ni mazur hasa kipata yaliyotengenezwa kwa kutumia nazi halis nilikuwa na tatizo la,ngoz nimepona

 87. Dr nina tatizo la kuwa na mafua muda wote hasa nyakati za usiku..nimejaribu dawa nyng za hospital bila mafanikio kuna njia ya asili kutatua tatizo hili?

 88. Kwel mbaba mm mwenyewe naz naikubar xana2 at maji yake yapo good good.

 89. Mrembo Mweuc says:

  Asante kwa somo mzuri kaka, mi nahitaji kutengeneza mwenyewe ila namna ya kuzitambua hizo nazi nzuri ndio sielewi. Naomba unieleweshe tafadhali

 90. Shukran kubwa kwa elimu hiyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *