Madini ya saliniamu ni dawa ya saratani ya tezi dume

Dawa ya Tezi dume
Madini ya saliniamu ni dawa ya kansa ya tezi dume ulikuwa huifahamu bado

You may also like...

68 Responses

 1. Bei inaendaje doctor nataka kuja kamili

 2. David Mollel David Mollel says:

  somo zur jmn MUNGU akubariki sana Dr.

 3. Dr nahitaj mawasiliano yako binafsi kwasababu situmii whatsapp kama utojal

 4. Je Tangawizi inauwezo ktk jambo hilo??

 5. Ismu Hamisi Ismu Hamisi says:

  Shukrani sana,,, swali kidogo mtalaam, mtoto wangu wa miaka miwili huwa asubuhi kolodani zinapanda juu vile viyai vya ndani vyote Vinapote ni sawa au kuna tatizo

 6. Ubalikiwe dkt asante sana

 7. Mpare John Mpare John says:

  Naomba mamba za sim tuwasiliane ulipo

 8. Soud Magela Soud Magela says:

  Safi sana mtaalamu

 9. Modu Piana Modu Piana says:

  Asantee Mungu akujalie afya njema siku zote

 10. Ja Ja'a Ffer says:

  Ahsante Sana kaka bwana fadhili … Naamini
  Nguvu yako kubwa unayoitumia ndio chanzo cha ukombozi katika jamii yetu iliyotuzunguka.
  Na tunaamini hakuna mwanadam asiyekuwa na Matatizo….
  Kama mtu hana matatizo huyo ni malaika wa mungu…
  Lakini pia shukrani kwa juhudi zako unazozifanya kwa sisi nduguyako. Kwani wapo wataalam waliojaaliwa kujua mambo meeeengiii, lakini wapo kimya tuu, utaalamu huo unawasaidia wenyewe tuu.
  Na ninaamini hakuna anaeweza kukulipa kwa shughuli hii …. Kazi ni ngum sana hii…
  Mungu tu pekee ndiye anaeweza kukulipa…
  Shukrani sanaa kaka….
  Mchango mkubwa sana kwangu.. Na kamwe usichoke kaka..
  Mungu atakulipa tuu…

 11. Asante kw tiba mbadala

 12. tangia nimeanza kufuatilia makara zako sijawahi kujuta kwa sababu matokeo na yaona kila itwapo leo,napenda kujua hizo mbegu za maboga zinaenda kiasi gani nijipange maana naona zinaweza kunifaa, tangawizi imenisaidia sana tena sana docta,

 13. naomba pia faida za ubuyu mwilini

 14. barikiwa Mwana wa Mungu

 15. VIZULI SANA NIMEPENDA MUONGOZO WAKO

 16. NILIFANYIWA OPERESHENI YAI MOJA LILIKUW LINAVIMBA ..NA HII NADHAN IMELETA ERECT DYSFUNCTION KWANGU

 17. Sasa vyakula vyote hivi vinatakiwa kwa siku moja au umeorodhesha baadhi ya vyakula vinavyoweza kutibu ugonjwa huu

 18. Barikiwa zaidi nihalali ubarikiwe

 19. Ubarikiwe sana amen

 20. Faraj Nyon Faraj Nyon says:

  Vinzuri sana kiongozi

 21. Ohoo! Kuuumbe! Thanks

 22. Ahsante_sana_ndugu_Dr_na_Mungu_azidi_kukubariki!

 23. Ok upo vizuri’ktk utafiti

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *