Mafuta ya habbat soda ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

Mafuta ya habbat soda ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

You may also like...

69 Responses

 1. Dr huu ugonjwa unasababishwa na nini!!!!! Na hyo habbat soda n KTU gan?

  • CHANZO CHA TATIZO

   Chanzo kikubwa cha hili tatizo ni kushambuliwa kwa tezi dume na bacteria mbalimbali ambao wanaweza kuwa ni visababishi vya magonjwa mbalimbali ya zinaa mfano, kaswende, kisonono, pangusa n.k au bacteria wanao shambulia mfumo wa mkojo (UTI)wanaweza kupenya na kuifikia tezi dume na kuishambulia.

   Vyanzo vingine ni kushuka kwa kinga za mwili na ajali zinazopelekea kuumia katika eneo ambalo tezi dume ipo pia kunamazingira hatarishi yanayo pelekea mwanaume kuathirika na hili tatizo

   Kama mwanaume alishawahi kuwa na hili tatizo na hakupata matibabu sahihi

   Kuwa na maambukizi katika kibofu cha mkojo au mrija unao tiririsha mkojo (urethra)

   Kutokunywa maji ya kutosha

   Kuwa na wapenzi wengi na kushiriki tendo la ndoa na mpenzi mwenye maambukizi ya magonjwa ya zinaa na HIV/AIDS

  • Asante xn kwa elimu Dr,IPO cku ulsema tuwape watt chai ya majan ya mastafel,Vp inaweza kuzuia ??

  • Beatrice Felix Ndiyo inaweza kuzuia

  • Asante xn Dr,elimu yako huwa naipenda unanielimisha xn

  • Dr hli tatizo lmeshamiri xn kwa wazee wa miaka 55 kuendelea wanatbiwa kwa upasuaji

 2. Paul Sangu Paul Sangu says:

  NDG mtaalamu naomba kukuulza eti vidonda vya tumbo huwa kuna dawa inayoweza kuvitbu na kuisha au kuna dawa za kutuliza tu

 3. Amosi Deusi Amosi Deusi says:

  yanatokana na nini? na yanapatikana wapi?

 4. wapi yanapatikana na being mkuu

 5. 3000/= ujazo gani ndg

 6. Nakukubali sana doctor wangu ,,,,,,, MUNGU akubariki na akulinde na kila baya. AMEN ??????

 7. Ja Ja'a Ffer says:

  Mafuta mazuri sanaaaaaa

 8. Mengi Tembe Mengi Tembe says:

  Mmm! Tafiti kwanza.

 9. Doctor mie nauliza kwa upande wa majini dawa hii pia inaweza kuzui Hao viumbe wasikusumbue

 10. Mungu Akubariki! Amin!

 11. Issa R. Ndee Issa R. Ndee says:

  Je mbegu zake nikitafuna hazitafanya kazi sawa na nikinywa hayo mafuta kijiko kimoja?asante saana kwa kutupatia elim hii

 12. Ndugu mwili wangu hauna nguvu vp unadawa yakuniongezea nguvu

 13. Yanafaa kupaka kwenye Nywele

 14. Dr naomba nisaidie kwa hili dadangu anasumbuliwa na mgongo.

 15. Mazur George Mazur George says:

  Vipi vidonda vya tumbo asazi.

 16. Elia Yohana Elia Yohana says:

  Dk ugonjwa wa ngozi dalili zake ni kuwashwa au zipoje maana mimi huwa nawashwa najikuna mpk kulala nashindwa naomba unijibu

 17. Je ndg seli mundu yana tibu?

 18. Musa Majola Musa Majola says:

  Wengine tupo wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Tutaipaje dawa hii Asante.

 19. Ally Nyoni Ally Nyoni says:

  Asante dr kwa kutuelimisha juu tiba mbadala

 20. Yusta Tofiki Yusta Tofiki says:

  Mimi ninapumu ambayo kila siku nabanwa na makohozi na kukooa haviishi je hii itanisaidia?

 21. Sam G Joram Sam G Joram says:

  Kwa sis wa mikoani tunawezaje kuyapata Na ni sh ngapi Dr?

 22. dokt mm nauliza tu je nitatumia je habat saudaa kwa kutibu uvimbe?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *