Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga
Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

You may also like...

3,307 Responses

 1. Shukran Sana Kaka Kwa Elim Hii Uliyoitoa,mungu Akuzidishie,ngja Nianze Kula Hizo Mbegu,hapo Umetoa Namba Za Whatsap,je Kwa 2sio Na Smart Phone 2takupataje?

 2. Jeymer Lyon Jeymer Lyon says:

  Asante but hapa kwenye kisukar mbegu unatafuna mbichi ama zikiwa zimekaangwa?? jibu tafadhali doct

 3. Sauda Adam Sauda Adam says:

  Assante kwa kutujuza mungu akuzidishie

 4. Njoooni kwetu Iringa zipo za kutoxhaaaaaaa tena bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 5. Unatafuna mbichi au??na ipi bora kuxagia kwwnye unga au kutafuna??

 6. Nimekuwa nikitafuta ukweli kuhusu mbegu za maboga lakini kwatarifa hii nimeyaelewa mtumizi take asante.

 7. Jeymer Lyon Jeymer Lyon says:

  Nshaona asante dc

 8. Rahma Makota Rahma Makota says:

  Asante sna kwani mm ni mhanga wa kukosa usingizi naomba kuuliza kutafuna mbegu au kutumia Unga wke ipi bora zaidi na nikihitaji uniletee ni bei gani asante

 9. Ahsante kwa elimu dokta

 10. Asante kwa Somo Lako Swali Je Zatakiwa tuzile Mbichi Au Za Kukaanga?

 11. Napenda kuungia kwenye mboga tam sana

 12. kwa siku kutafuna mbegu ngap?

 13. iri nipone nguvu za kiume kwa haraka natakiwa nitafune kiasi gani kwa siku dokter

 14. Np nnje kidg dkt fadhilipaulo,naomba unielekeze dawa za mafua sugu yasopona,Au za alegi

 15. Eston Musa Eston Musa says:

  Nikizikaanga nitaziaribu ?

 16. Mariam Siafu Mariam Siafu says:

  Ahsante kwa elimu nzur jaman

 17. Mariam Siafu Mariam Siafu says:

  Mungu akujaalie uzid ku2letea dawa nyingne

 18. Mbala Gumbo Mbala Gumbo says:

  Hz mbegu unazitafuna hvyhvyo bla kukaanga?

 19. Rehema Mdoe Rehema Mdoe says:

  Huwanapenda kuzipasha kidogo kwenye moto nakulia ugali tamusana

 20. Asante kwa elimu nzuri swali langu ni:Mbegu iz zpo za aina 2 yaan zile nyeusi na nyeupe je ni zipi hasa znafaa zaidi?ASANTE

 21. Asha Rashid Asha Rashid says:

  Me huwa natumia zilizo pashwa jikon napenda sana

 22. Nitapataje mbegu bora kama hizo zako

  • Unahitaji mbegu za maboga zilizokaangwa tayari kwa matumizi au unga wake? Kama upo Dar Es Salaam mbegu za maboga au unga wa mbegu za maboga unaweza kupata VICTORIA HOME REMEDY ipo Buza Sigara Temeke karibu na ofisi ya Tanesco wilaya ya Yombo.

   Ukiwa kariakoo kuna daladala za Buza kanisani moja kwa moja pale karibu na kituo cha daladala za mwendokasi gerezani, ukiwa posta mjini daladala za Buza zipo station na mnazi mmoja, zipo pia kutokea mhimbili, buguruni, gongolamboto pia kuna daladala kutoka mbagala kuja buza kanisani moja kwa moja.

   Kama upo Dar na unahitaji uletewe ulipo Niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, natuma pia kwa walioko mikoani.

 23. asante sana nimefurahi sana kwa hili

 24. Paul Pamphil Paul Pamphil says:

  Asante kwa kutuelimixha

 25. James Msele James Msele says:

  Je kama una tumua kwenye maziwa fresh mbali na mtindi ina faa?

 26. Mashaallah.kwa somo zuri

 27. Dr Fadhilipaulo.com ni kweli nimehawi kula hizi mbegu za maboga km kujiburudisha tu sikujuwa km ni dawa ila nikajikutaga tofauti kubwa kwenye mwili wangu nikawa haisi ni dawa hizi au ninikimetokea kwenye mwili wangu sasa nashukuru kuiona peji hii tena ukionja utatamani ule kila wakati naamini utafiti wako upo sahihi sana natoa ushuhuda huo

 28. Asante sana kwa elimu hii

 29. Hizi mbegu zinapatikana wapi kwa wingi na pia ukizkaanga unakula vile vidude vya ndani tu au unatafuna kama ilivyo pichani hapa

  • Namna nzuri ya kula mbegu za maboga:

   Unaweza kula zikiwa kavu na ndiyo utapata faida nyingi zaidi ingawa mimi napenda kuzikaanga kidogo kama dakika 5 hivi na huwa nazichanganya na chumvi ya mawe ya baharini kidogo kwa mbali ili kupata radha.

   Unahitaji ujazo wa kiganja kimoja cha mkono wako cha mbegu za maboga kwa siku ujazo wa kama nusu kikombe cha chai hivi kwa siku.

   Unaweza pia kuzisaga na mashine maalumu au kuzitwanga katika kinu na utapata unga wake na utumie vijiko vikubwa viwili kutwa mara 1 kwenye kikombe kimoja cha juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani au katika uji au kwenye mtindi. Pia hutumika kama mafuta kwa kupikia chakula chochote.

   Unaweza pia kuchanganya kwenye unga wa lishe wa mtoto na atakuwa na afya bora sana.

   Usizidishe sana kwani hupelekea kuongezeka uzito na unene ukitumia zaidi ya vipimo hivi kwa siku.

  • Unahitaji mbegu za maboga zilizokaangwa tayari kwa matumizi au unga wake? Kama upo Dar Es Salaam mbegu za maboga au unga wa mbegu za maboga unaweza kupata VICTORIA HOME REMEDY ipo Buza Sigara Temeke karibu na ofisi ya Tanesco wilaya ya Yombo.

   Ukiwa kariakoo kuna daladala za Buza kanisani moja kwa moja pale karibu na kituo cha daladala za mwendokasi gerezani, ukiwa posta mjini daladala za Buza zipo station na mnazi mmoja, zipo pia kutokea mhimbili, buguruni, gongolamboto pia kuna daladala kutoka mbagala kuja buza kanisani moja kwa moja.

   Kama upo Dar na unahitaji uletewe ulipo Niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, natuma pia kwa walioko mikoani.

  • Mm Niko tabora ila dar nakuja tutawasliana doctor

 30. Lee DO Chul Lee DO Chul says:

  Hzo mbegu unatafna zkiwa mbch ama unafnyaje

  • Namna nzuri ya kula mbegu za maboga:

   Unaweza kula zikiwa kavu na ndiyo utapata faida nyingi zaidi ingawa mimi napenda kuzikaanga kidogo kama dakika 5 hivi na huwa nazichanganya na chumvi ya mawe ya baharini kidogo kwa mbali ili kupata radha.

   Unahitaji ujazo wa kiganja kimoja cha mkono wako cha mbegu za maboga kwa siku ujazo wa kama nusu kikombe cha chai hivi kwa siku.

   Unaweza pia kuzisaga na mashine maalumu au kuzitwanga katika kinu na utapata unga wake na utumie vijiko vikubwa viwili kutwa mara 1 kwenye kikombe kimoja cha juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani au katika uji au kwenye mtindi. Pia hutumika kama mafuta kwa kupikia chakula chochote.

   Unaweza pia kuchanganya kwenye unga wa lishe wa mtoto na atakuwa na afya bora sana.

   Usizidishe sana kwani hupelekea kuongezeka uzito na unene ukitumia zaidi ya vipimo hivi kwa siku.

 31. Amos Fadhil Amos Fadhil says:

  Saf sana nitakutafta Dr wangu nakuhitaji sana ila tatizo mna bei kubwa sana jamaan wengne hali ngumu sana

 32. Mussa Kais Mussa Kais says:

  Sifa zote na shukrani ni za Mwenyezi Mungu,ambaye kaumba hivyo vyote,na kutuletea mtume ambaye alisema: “M/Mungu hakuleta ugonjwa wowote isipokuwa alileta na dawa yake”
  Hivyo yote tunayovumbua ni kama kuthibitisha tu maneni ya mjumbe wa ALLAH s.w, Ama kweli umefika wakati wa kumtukuza M/Mungu na kusimulia na kuzitangaza neema zake kwetu.
  ALLAH AKBAR.

 33. mwenyez mung akubalik sana kwaerim yako uliowapa watu

 34. Careen Ally Careen Ally says:

  Sory na hizo mbegu za maboga zinatibu ngai nina ndugu yangu anasimbuliwa na ngai kwenye ziwa jaman naomba unisaidie

 35. Vp km utazichambua mabamba yake utapata virutubisho vyake vyote au utakua umepunguza faida zake

 36. Ahsante kwa darasa, kama hupendi kutafuna ila ukasaga na ukautumia kwenye mboga kama kiungo kama tunavyotumia karanga. Inafaa?

 37. Nauliza hivi je kama mimi ni mlaji wa boga lenyewe kisha pale ninatumia zile mbegu kuzitafuna bila kuukaanga je pia inatibu kama hy iliyokaangwa

 38. Asante sana nitazitumia kuanzia Leo mana nasumbuka sana na mawazo

 39. Asante kwa mafundisho mazuri kwa mimi umeniwezesha sana mpendwa.Nanimeshaanza na kutafuna kwani ninazo kwa wingi ilasikujua kazi zake mwilini.

 40. Kom Kweka Kom Kweka says:

  Naomba maelekezo namna ya kuzitumia

 41. Nimeelewa ila niweza kununuwa zinazo uzwa mbembejeo je nisawa

 42. Ahsante kwa elimu.
  Pia wale wanaozihitaji wanaweza nitafuta.kwa namba 0719711006/0754490977

 43. Zinaandaliwaje mpaka kuzitumia namaanisha zikiwa mbichi au zinakaangwa @fadhilipaulo.com

 44. Je kwa wanawake wasio na hamu ya tendo la ndoa zinasaidia pia???

 45. Na ili Ugonjwa upone inabd utumie kwa muda gani hizo mbegu za maboga

 46. Medoti Tz Medoti Tz says:

  Kazi iwe njema kwako

 47. Asante doctor je kwa mwanamke ambae hajafikia kikomo chake chaezi zake za Siku alafu kafunga je zinasaidia ukitafuna Unaniona?

 48. Good good for sharing, Mungu akubariki Sana kwa utaalamu huu.

 49. Samahan dr umesema zinatibu vimbe je mwenye tatizo la vimbe kwenye mayai na milija kuziba akitumia hiz mbengu za maboga zitamsaidia?

 50. Samahani doctor mbegu hizo zinasaidiaa kwa tatizo LA kuziba mirija ya uzazi???

 51. Paulina Daud Paulina Daud says:

  Asante sana lkn mm huwa nazikaanga nachumvi harafu natafuna je niko sahihi au nakosea

 52. Samahan unakaanga au unatafuna mbichi??

 53. Asante kwa kutuelimisha dr.kwan vitu vngne tunavyo ila hatujui umuhimu wake.asante kwa somo

 54. Joseph Chazy Joseph Chazy says:

  Nimekuelewa docter vipi kuhu walioko zanzibar

 55. Zena Mahalu Zena Mahalu says:

  Mi nimelewa nikiamuakutafuna nitafune kwa siku nusu kikombe na nikitumia ya kusaga ni vijiko viwili je sasa natumia kwa siku ngapi

 56. Asante saana dr.naomba namba ako ya cm kwan what’s up yangu haitumiki kwa sasa msaada tafadhar

 57. Asante sana daktari wetu, unatufundisha mambo mazuri sana kuhusu afya zetu, barikiwa
  na Mungu aliyehai

 58. Anna Hassan Anna Hassan says:

  Je kwa uvimbe ambao umeshakua mkubwa unaisha docta ukitumia mbegu

 59. Magesa Baka Magesa Baka says:

  Ahsante kumbe tunaacha kutafuna kitu muhimu ahsante

 60. Asantee kwa somoo nilikua sijui hilo
  Mimi nalima maboga marakwa mara jee?? Nikikusanya mbegu zamaboga nikawaletea mtanunuaa??

 61. May Mareko May Mareko says:

  Wazila kama karanga au ni punje mtu anahesabu?

 62. Je’ Hukaanga na maganda yake’
  au humenya kwanza?

  Au “unasaga pamoja na maganda yake’ au humenya kwanza?

 63. Sarah France Sarah France says:

  samaha dr kma kuna matatizo ya kushika mimba znasaidia

 64. Ahsante kwa elimu uliotupatia

 65. Pili Mdandau Pili Mdandau says:

  Ahsante mwalimu kwa ushauri wk, xx hizi mbegu za maboga zinatumiwa zikiwa zimekaangwa au kabla ya?

 66. Unazimenya ganda lake au unatumia na ganda kama mbegu yenyewe ilivyo? Nijuze tafadhali maana wengine kwenye mambo ya msingi kama haya hatutaki kupoteza point hata kidogo. Kwako Dk.

 67. Unazimenya ganda lake au unatumia na ganda kama mbegu yenyewe ilivyo? Nijuze tafadhali maana wengine kwenye mambo ya msingi kama haya hatutaki kupoteza point hata kidogo. Kwako Dk.

 68. Sasa mh..naweza kuchanganya na nafaka zingine km beans,ufuta,uwele karanga n.k kutengeneza lishe ya mtoto?

 69. Sasa mh..naweza kuchanganya na nafaka zingine km beans,ufuta,uwele karanga n.k kutengeneza lishe ya mtoto?

 70. Ahsante kwa kutufahamisha dw yenye kutibu maradhi mengi na makubwa alla akulipe na Azidi kkupa elimu ya afya na akupe maisha mrefu yenye kheri na ww Allahumma ameen

 71. Ahsante kwa kutufahamisha dw yenye kutibu maradhi mengi na makubwa alla akulipe na Azidi kkupa elimu ya afya na akupe maisha mrefu yenye kheri na ww Allahumma ameen

 72. Thanks God bless you,..

 73. Ahsante kwa kutupa elimu, Mimi mbegu hizo sikujua kama zina matumizi makubwa hivyo.Nilikua natengeneza kwenye mchanganyiko wa mahindi yasio kobolewa, mtama, uwele, soya lishe, mchele na mbegu hizi za maboga . Huwa naongeza na karanga kidogo, navitengeneza vizuri.Vikisha kauka navisaga tayari kwa uji.Na uji wake ni mtam mfano hakuna.lakini Leo nimepata faida kubwa ya mbegu za maboga, nikua nakula tu, nlikua sijui faida ya hizi mbegu. Mimi natoa shukran kwa kutujuza.

 74. Mi nimepimwa leo leo nna uvimbe kene mfuko wa uzazi
  Mungu mwema nakutana na dawa hii.Ctapasuliwa bali natafuta hizi mbegu.Lakini cjajua natumiaje.Yaani natafuna ngapi.Nitafurahi ukinielekeza

  • Amina Waziri Amina Waziri says:

   Ukisoma comment kuna mtu ameuliza dose yake ikoje? Mtaalam amemjibu kwamba unaweza kutafuna zkiwa kavu au unaweza kukaanga kama karanga unaweka nachumvi kdg ili kupata ladha nzuri, tafuna nusu kikombe cha chai kwa siku. Nimekupa msaada tu.

 75. Asante doctor,je zinaweza kutibu tezi ya shingo(goita)?

 76. Sãm ßøy Sãm ßøy says:

  Asantee sana kwa ushaulii

 77. Pacha Doto Pacha Doto says:

  Mimi nilizilaga saana kama mboga na kama kiburudisho tu chakutafuna kama karanga ila sijagunguaga kilichonitokea mwilin

 78. Amon Kituka Amon Kituka says:

  Ubarikiwe na mungu akuongeze maisha marefu, vipi watu tulioko Mara shirati tutawapataje kwani kilakitu dar mtufikieni nasipia, na niaje nikitimia mbengu niotoa shambani kwangu itafaa? Ama Mpaka ni2mie zakwenu .kunakutu kingine mnamix kwenye unga mnapokua mnasaga? Ama mbeguenyewe

 79. Je ukiwa na vidonda vya tumbo haina shidaa kutumia

 80. Frank Mbongo Frank Mbongo says:

  Kuzitafuna sawa lakini zikiwa zimepikwa au mbicha na maganda yake

 81. Fakimu Mtesa Fakimu Mtesa says:

  Mi sina neno darasa kubwa hilo, bali nina kaswali kadogo tu “ukizila huwa unakuwa umejitibu na magonjwa yote hayo?.

 82. Ally Nalieni Ally Nalieni says:

  Swali jee zile ambazo mbegu wanaouza dukani je.zinafaa kuliwa ???

 83. Mzee wa bataa ushungu wewe wala mbegu?

 84. Asante sana kwa somo ambalo linafundisha mambo mengi yanayohusu afya zetu chamsingi tukafanyie kazi ili tuepukane na magonjwa kwakutumia mbegu za maboga.

 85. Asante sana Dr kwa somo nzuri,je nikiwa nimechemsha na boga lenyewe hizo mbegu zinafaa kwa Tiba?

 86. Je kunakiasi cha kutafuna na je kwa siku unatakiwa utafune mara ngapi?

 87. Asha Yusufu Asha Yusufu says:

  Je naweza changanya hizo mbegu na mahindi,ulezi, karanga,mchele na ngano kisha nisage kupata lishe ya mtoto?

 88. Muki Jabu Muki Jabu says:

  Unaanzia kuuza kwa sh. Ngapi ?

 89. Ana Swai Ana Swai says:

  nahitaji napataje na bei gan

 90. Marry Mwila Marry Mwila says:

  Nikwl kabisa mbg za mabog ni nzr kwamatumz mblmbl

 91. Asante doctor kwa yote maana ww siyo mchoyo unatoa tiba na elimu bureeee mungu akutangulie ktk mbo yako

 92. Sulyu Jagadi Sulyu Jagadi says:

  Nalipata soma mimi huwa na penda kusitafuna2 kwa vile tamu cjui umuhim wake leo nimeelewa

 93. Asante kwa kutuelimisha kupitia mtandao lakini tofauti na wengi wao hutumia mtandao kwa kupotosha lakini wewe nimuombe mungu azidi kukupa ufahamu zaidi uzidi kutuelimisha na sio kupotosha asante

 94. kutwa utafune mbegu ngapi na kwa wa mama wasumbuliwao na miguu je ? itawasaidia na mtu anaepumua kwa shida je itamsaidia?

 95. kwa vijiji tunapochemsha maboga tunachemsha na mbegu zake je kwa matibabu hizo zinafaa

 96. Sasa izo mbegu unazikausha au kwa kueka kweny jua cz umesema ukila kavu nd nzury

 97. Wa Leo Wa Leo says:

  Tunamshukuru kwa maelezo yako mazuri,tatizo ni kwamba kwenye matumizi yakoje.

 98. Litete Haji Litete Haji says:

  Basi ujue ni mbegu za maboga hizooo….

 99. Maneno mazur mbarikiwe

 100. Huku kwetu kuna desturi ya kucjemsha boga na mbegu zake
  Sasa bas yafaa kuzitoa kabla ya kuchemsha au hata zilizochemshwa nazo ni hazina??

 101. Henry Lolani Henry Lolani says:

  Mimi natumia unga wake vijiko 2 kila asubuhi. Niko fresh japo nina umri wa miaka 64. Zinapatikana masokoni.

  • Unahitaji mbegu za maboga zilizokaangwa tayari kwa matumizi au unga wake? Kama upo Dar Es Salaam mbegu za maboga au unga wa mbegu za maboga unaweza kupata VICTORIA HOME REMEDY ipo Buza Sigara Temeke karibu na ofisi ya Tanesco wilaya ya Yombo.

   Ukiwa kariakoo kuna daladala za Buza kanisani moja kwa moja pale karibu na kituo cha daladala za mwendokasi gerezani, ukiwa posta mjini daladala za Buza zipo station na mnazi mmoja, zipo pia kutokea mhimbili, buguruni, gongolamboto pia kuna daladala kutoka mbagala kuja buza kanisani moja kwa moja.

   Kama upo Dar na unahitaji uletewe ulipo Niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, natuma pia kwa walioko mikoani.

  • Vijiko viwili kwenye chai au kwenye maji hapa Dar ni soko gani unapatikana

  • Henry Lolani Henry Lolani says:

   Kwenye uji wa mchele /ubwabwa. Sokoni zinapatikana mbegu. Unatwanga na kuchekecha. Soko lolote lile ukiulizia unapata.

 102. Asante kwa ujumbe mzuri huo doctor. ila hizo mbegu gharama yake ni shilingi ngapi??

 103. Unazifanyaje ili ziwe tiba?

 104. Nimependa San ndio maan wazamani hawakuzjua hospital amakwer tibarisheeee

 105. Amina Waziri nakushukuru sana

 106. Asante Sana Kwa Kutujuza Tiba Lishe, Ubarikiwe Sana

  Naomba Kuuliza Inaweza Kutibu Vidonda Vya Tumbo?

 107. Ester Ijiko Ester Ijiko says:

  Samahani Docta kwamtu mwenye uvimbe kwenye ovary zinasaidia? Naunazitumia kiasi gani?

 108. Nimefarijika sn kwa kuyujuza hizi faida za mbegu za maboga.Pia inatumika kama kiuongo cha mboga kama tunavyotumia karanga.Turejee enzi hizo ili kupunguza magonjwa.

 109. Sommo tamu balaa.

 110. Nashukuru sana kwa elimu hiyo. Swali: ninafahamu aina zaidi ya moja maboga. Je! Mbegu za manoga aina zote au ni baadhi? Ahsante.

 111. Mm Nasumbuliwa Na Miguu Kuwaka Moto,Je Nikitumia Mbegu Za Maboga Zinaweza Kunisaidia?

 112. James Msimbe James Msimbe says:

  Je unatafuna zote kwa maramoja au asubuh na jion )plz mkuu nijuze

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *