Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga
Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

You may also like...

2,189 Responses

 1. Anna Shao Anna Shao says:

  Asante tumekupata.

 2. Happy Nyoni Happy Nyoni says:

  Samahani kuuliza, zinamenywa au zikiwa na maganda yake?

 3. Samahani Dokta hio chumv ya mawe ya bahalini huwa inapatikana wapi

 4. Nhandi Peter Nhandi Peter says:

  Vp? Mimi Niko Mwanza,,ntazipataje,,na Kwabei Gani

 5. Mary Journey Mary Journey says:

  Vipi kuhusu uzazi kwa wanawake, hazihusiki?????

 6. Prisca Pepin Prisca Pepin says:

  Asante dr kwa elimu

 7. Ansante Muelemishaji Je Utatumiaje Hiyo Mbegu Kwamaana Dozi Inatakiwa Utafune Mbegu Ngap Kwa Siku Naomba Kujua?

 8. Fatuma Idi Fatuma Idi says:

  Asante DOCT, je zinakaangwa ama zinafafunwa mbichi?

 9. Na swari, me situmii whatsApp nakupataje? Na nipo mikoan.

 10. Safi sana kwa Elimu hii utupayo.

 11. Kilo moja ya mbegu za maboga mnauzaje? na kama mtu akahitaji unga uliokwisha kusagwa wa maboga anaweza kupata na mnauzaje kilo moja ya unga wa mbegu za maboga?

 12. Steven Swiga Steven Swiga says:

  Mbegu zipi zinazofaa zaidi Kati ya zile nyeupe na zile nyeusi?

 13. Zawadi James Zawadi James says:

  Asante nimejifunza

 14. Paul Masunga Paul Masunga says:

  Asante sana Je unaweza ukazikaanga au unatafuna hivyo tu? .

 15. Duuu!!! Nitazifanya kuwa kalanga kwanzia Leo hapo kwenye sepumu

 16. Hazikaangwi unakula hivyohvyo2 asante dkt

 17. Aliy Majala Aliy Majala says:

  asnte kwa elimu yako nzuri hap

 18. Kama zile zinazouzwa magengeni ambao wamekausha wenyewe zinafaa?

 19. Unaweza kula zikiwa zimepikwa na maboga au zenyewe dictator

 20. Mungu akubariki pia me zilinisaidia wakati Wa kunyonyesha maana maziwa yalikua yanatoka kidogo sna baada ya kutumia niliona mafanikio makubwa

 21. asante kwasomo maganda yasitolewe

 22. Izo mbegu unatafuna kama zilivyo au kuna matayalisho mengine tofauti ,maana pindi tu zikitoka kunako boga

 23. je ukiunga kwenye mboga

 24. Mariana Abel Mariana Abel says:

  NASHUKURU KWA MSAADA WAKO LAKINI NAOMBA KUULIZA UNAKULA NA MAGANDA YAKE AU UNAMANYA

 25. Asante kwa somo zuri

 26. Asante doctor samahani kwa usimbufu he hizi mbegu zinnaweza kumsaidia mwanamke ambaye anakuwa mvivu kwenye tendon?

 27. Dr nikizikaanga nakutwanga alfu nikala inakuaje

 28. Gaucho Moha Gaucho Moha says:

  Asante sanaa kwa maelezo mazuri yenye manufaa mungu akubarik naomba utusaidie na dawa ya phybroids yasumbua sana wanawake

 29. Hidaya Mbegu Hidaya Mbegu says:

  kwa sukar unatafuna mbich au unakaanga

 30. umesema pia zinaondoa harufu mbaya kwa kinywa unatumiaje dr wangu

 31. Aisee,ndugu_dokta,kg_moja_ya_mbegu_hizo,unaziuzaga_kwa_shilingi_ngapi?

 32. Asante sana ubarikiwe nimejifunza

 33. Halafu,Ubarikiwe_sana_kwa_nia_yako_njema_ya_kuelimisha_jamii!Tutapona.

 34. Ahsante kwa ujumbe

 35. Asante.sana.nitazitumiya

 36. Shufaa Mushi Shufaa Mushi says:

  Asante sana kwa elimu yako nzuri

 37. Mariam Mussa Mariam Mussa says:

  Unakaanga kama karanga au unatafuna kama zilivyo

 38. Ili ziweze kusaidia magonjwa hayo unafanya je kwa matumizi sahihi?

 39. Asante Kwa ushauri wa kitabibu;sasa hizi mbegu za maboga ni tamu zikiwa zimekaangwa au kabla?

  • Unaweza kula zikiwa kavu na ndiyo utapata faida nyingi zaidi ingawa mimi napenda kuzikaanga kidogo kama dakika 5 hivi na huwa nazichanganya na chumvi ya mawe ya baharini kidogo kwa mbali ili kupata radha.

 40. Zinatumiwa mbichi au?

 41. Unatafuna Pila kuzikaanga

  • Unaweza pia kuzisaga na mashine maalumu au kuzitwanga katika kinu na utapata unga wake na utumie vijiko vikubwa viwili kutwa mara 1 kwenye kikombe kimoja cha juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani au katika uji.

 42. Seed Mbegu Seed Mbegu says:

  Me nakuelewa sana Bro.Thanks mungu akuweke uzidi kutujuza mengi.

 43. Nashukuru Sana kusikia mambo haya.

 44. Seif Hamis Seif Hamis says:

  ASANTE,MUNGU AKUZIDISHIE

 45. Asante kwa kutujuza

 46. Sajida Abeid Sajida Abeid says:

  Bei unauza shilingi gapi kwa ujazo wa kiasi gani

 47. Samahani Nikikaanga na kuzitwanga nipate ule unga Ni vzr pia?

 48. Je Nina tatiz la miguu inanium kweny viung na mda mwingin inavimb je hizo mbegu zinawez kuw msaada kwang? Naomb unisaidie

 49. Sadam Dengi Sadam Dengi says:

  Huku kwetu huwa zinatumikaga kutengenezea radi tunashukuru kwakutupatia pia matumizi mengine huenda tukabadilika!!!

 50. Kila jema liwe juuyako!

 51. Boga Na Batiki Mbengu Zake Ni Kweli Kabisa Haina Shaka Zinatibu Maradhi Zinasaidia hata kukausha vidondo mwilini Au kuondoa Mapele Ukurutu Mwilini Mimi Nasaidia Tu kusa -port Aliyoyandika Mtaalamu wetu 😎

 52. He zinaliwa mbichi au zinakaushwa kwanza?

 53. Grace Tarimo Grace Tarimo says:

  Madukani huwa zipo nyingi Sana je utazijuwaje

 54. Hans Mawazo Hans Mawazo says:

  Mimi cna hata swali maana nilikua na maswali mengi kidogo lkn kadri nilivozd kusoma makala hii maswali yangu yakawa yanapatiwa majibu, hongeren saana kwa maelezo mazuri na ya kina. Sasa ninaanza kutumia mbegu hizi maana mwanzo nilikua na hofu kutumia kwasababu nilikua sijui namna ya kutumia. Ila nimekuwa umtumiaji mzuri wa karanga kavu, yaani zisizochomwa, hii kwangu kiafya ipoje? Labda niulize hilo tu.

 55. Yusta Mroso Yusta Mroso says:

  Bado waumwa miguu

 56. Namba sita dawa ya uvimbe nina uvimbe kooni bado mdogo naweza kutumia mbegu hizi tu dkt

 57. Namba sita dawa ya uvimbe nina uvimbe kooni bado mdogo naweza kutumia mbegu hizi tu dkt

 58. Je hizi mbegu asisaidii mwenye madonda ya tumbo samahani Docktor

 59. Dr samahan swali langu lipo tofaut naomba msaada wa kupunguza tumbo

 60. Mm naomb kuuliza je ukila zaidi zina madhara mwilin na km mwenye bawasir akila zitamsaidia naomba kujua dr samahan ili nasi tuwaelimishe wenye matatizo

 61. Unaweza ukasaga zile mbegu ukawa unabwia unga wake badala ya kutafuna

 62. Unaruhusiwa kuzitwanga na ukawa ubwia unga inafaa pia

 63. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 64. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 65. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 66. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 67. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 68. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 69. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 70. Safi unazitoa kwa bei gani ,afadhari naomba kukufahamu

 71. Je kwenye tawi la khm zipo hzo Mbegu? Na sa hv liko maeneo gani

 72. huu ni ukweli usio pingika mbegu za maboga ni zuri sana kwa tiba mbali mbali mwilini

 73. Ole Philemon Ole Philemon says:

  Elizabeth Lucumay shemeji nikija Arusha nitakuletea

 74. ASANTE DOKTA KWA MASOMO YAKO, JE KUZITENGENEZEA KWENYE LISHE UNAZIKAANGA?, na je kwenye unga WA ugali zinafaa kuchanganya??????, Barikiwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *