Majani ya Mstafeli ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

Dawa ya tezi dume - majani ya mstafeli
Dawa ya tezi dume - majani ya mstafeli

You may also like...

1,095 Responses

 1. Barikiwa xana kaka Mimi nipo kagera nipeutaratibu wakupanda mti huuu nduguyangu

 2. Naomba kuuliza jee. ukiwa mja mzito unaweza kutumia hayo majani kama kiungo ktk chai

 3. Happy Kileo Happy Kileo says:

  Asante sana Dr kwa elimu maridhawaaa,hiyo chai inatumia majani mangapi na inawekwa sukari au Asali?

 4. Baada ya kuchemsha unakunywa kwa kipimo gan Dr nina ndugu ana cancer ya shingo hapa kwa koromeo itamsaidia

 5. Stafeli limependeza

 6. Mungu afungue milango ya mafanikio kwako na wengine wote wanyenyekevu kama wewe kwa elimu unayoitoa kwa uwezo Wa MUNGU , Ubarikiwe sana.

 7. Docta naomba kujua ukwaju na ubuyu unasaidia nini kwenye mwili wa Binadam?

 8. Zuhura Shija Zuhura Shija says:

  Me kuna ndg yang anatoa maji mazito ukeni meupe na anasema yanatoa harufu na hawezi kuvaa nguo ya ndani bila kuweka kitambaa hiyo tatizo nini na akitumia hy dawa itamsaidia??

 9. Omari Nasoro Omari Nasoro says:

  Naam, bwana Fadhili, Allah akujaze kheri nyingi na akuzidishie ujuzi zaid. Je ikiwa mgonjwa wasaratani ya tezi dume ameanza tiba ya mionzi, tiba hii itamsaidiya.

 10. Shukran docta mw/mung akujalie ila nikonje ya maad nawale watokanao na halufu mby mdomon

 11. Muna Mboga Muna Mboga says:

  Mungu akubaliki kwakila jambo amina

 12. Sule Mpemba Sule Mpemba says:

  Doctor naomba nisaidie minasumbuliwa nakiuno toka nilipo jifungua naomba nisaidiee

 13. Asante sana kwa Elimu ya Tina uliyotupatia. Sasa hayo majani unayafanyaje ili niyatumie kwa Tiba?. Naomba tuelimishe

 14. Hlw Ssn you sem a nice herbal

 15. Eva Charles Eva Charles says:

  Kweli kabisa Doctor wala Hujakosea hata mimi ninae Boss wangu alikuwa na hilo tatizo la Saratani akawa anayatumia majani hayo ya mstafeli

 16. Mwenyezi mungu akuzidishie kwamaana niwachache sana wenye mioyo ya hivyo nikitumia kwa kuchemsha haitakua sawa dokta

 17. Nasikitika naijuwa dawa wakati juzi tumemzika mama Yangu Mdogo kwa kansa ya ziwa,hats nashukuru tatizo ilo ni kubwa Siku hizi

 18. mimi sina brenda yaumeme jee nikiyachima majani kipimo kinachostaili nikitwanga kwenye kinu haitafaa napia nimuhanga wa vidonda vya tumbo haitanisumbua landa tumbo kuniuma.

 19. Docter vipi kuhusu hii fangasi ya tumbo wewe umeiskia?yenyewe inakuaje maana kuna ndugu yangu imemtesa mpaka inapumulia kichwani kichwa kinakua na mavidonda

 20. Ahsante Dokt allah akulipe mbadala lakini swali langu ni kuwa mimi natumia hayo majani kama majani ya chai nachanganya na mdarasini yaani naponda majani na kuanika juani vp inafaa hiyo?

 21. Doctar na mwenye uvimbe mirija ya uzazi na kwenye sehemu za siri inatibu pia

 22. Kwani nasimbiliwa Na vidonda vya tumbo

 23. Shukrani ndugu yangu mngepatikana watu kama nyinyi wengi duniani watu wangepata salama

 24. Asante dct kwa kutuelimisha ss unapotengeneza juisi unaweka na sukali au. Hivyo hivyo tu

 25. Samahani naomba niulize hivi hayo majani unayafanyaje, unayatwanga Mabichi halafu unachuja juice, Au una yaanika halafu unatwanga

 26. Aisha Kalili Aisha Kalili says:

  Tumbo laniuma sana kila nikiamka asubuhi lakini nikikaa kwa Masaa kadhaa linatuli tafadhali kama unaweza kunisaidia

 27. Asante sana Fadhilipaulo kwa kuokoa maisha ya watu wengi duniani. mimi sina cha kukulipa ila Naamini mwenyezi Mungu ana malipo makubwa zaidi juu yako

 28. mungu azidi kukuongezea maarifa zaid na zaid

 29. Kama mjamzito haiwezi kukuzuru?na je hayo majani unayachemsha kabla ya kusaga au unayasaga ivyo ivyo?

 30. Mariam Hamis Mariam Hamis says:

  Asante sana kwa kutushirikisha tiba hii hakika ni upendo, Mungu akubarikie sana,

 31. Nimependa sana hii kama ni kweli itasaidia wengi. Je, wenye MKANDA WA JESHI wanaweza kuponywa na mti huu?

 32. Mussa Hassan Mussa Hassan says:

  Asante Dr. Mungu azidishe baraka kwako na afya njema uzidi kutuelimisha amin

 33. Zubeda Amri Zubeda Amri says:

  Asante DOCTA ninauvimbe chini ya ulimi ulijileta na haumi je naweza kutumia au kutengeneza unga niwe napaka

 34. Rahma Saguti Rahma Saguti says:

  Jamani ubarikiwe sana doctar Mimi nipo arusha nitapataje majani hayo

 35. Tully Roland Tully Roland says:

  Dr naomba unisaidie nina ndugu yangu anasumbuliwa sana na Fangasi za ukeni ameenda hospital kibao haponi mpk imemsababishia kuharibu mimba yake ya miezi mitatu atumie dawa gani tafadhari dr msaidie

 36. Jane Sigala Jane Sigala says:

  Dokta hongera kwa upendo vp kwa mama mjamzito mwenye tatizo la presha aweza tumia

 37. Lakin inaitaji utafit zaid but ongela na mungu akubarik kutujuza dokta

 38. Anold Mathew Anold Mathew says:

  Yanaweza kutibu uvimbe wa bawasili?

 39. Hagy Mwinyi Hagy Mwinyi says:

  Je yanatibu fangasi sugu ya njia ya mkojo?na maambukizi kwenye njia ya hewa!!!

 40. Naima Juma Naima Juma says:

  Hayo majan unachemsha na kunywà na kwenÿe nywele unatumia vip au unàchanganya na nazi unapikia pamoja

 41. Kado Mmasy Kado Mmasy says:

  Duu kweli jina la bwana liimidiwe na watu wote km nihivyo tumshukuru mungu docta mm ninaswali je ww uligunduaje kuwa ni dawa?

 42. Kado Mmasy Kado Mmasy says:

  Doctor je km cd4 zimeshuka ukitumia inakusaidia? nakusikilisa doctor nikachume sasaivi nitengenese mara moja.

 43. Dr vipi kuhusu endrometrosis ,ambayo haiachi ,pmj na opareshen nyingi ?

 44. Nitakupigia tar 23/10/2017, unipatie lita 5 kwa kuanzia.Naomb usifunge simu.

 45. Mimi cijaekewa kwenye kunywa kutwa Mara ngapi na wenye HIV je itawasaidia kupandisha cd4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *