Majani ya Mstafeli ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

Dawa ya tezi dume - majani ya mstafeli
Dawa ya tezi dume - majani ya mstafeli

You may also like...

1,095 Responses

 1. asante ila naomba kuuliza et hamna dawa yajino lililootesha kaupele pemben kanatoa usaa nimetumia dawa lakini hakapotei nimetoa wadudu kwa njia ya jadi lkn bado msaada please

 2. Farida Khama Farida Khama says:

  AHSANTE DR HUU MTI NINAO MI NINAKULA MATUNDA YAKE TU KUMBE NI TIBA MI CKUKUJUA.

 3. Mike Sollo Mike Sollo says:

  thanks bro, mungu akubariki daima

 4. Juma Mayala Juma Mayala says:

  sawa dokta nimekusomaaaaa….., ila sasa dokta kuna panya wananisumbua sana ndani mwangu nmejaribu kila njia ya kuwadhibiti lakn cjaona mabadiliko. ni njia gan ya asili niwezayo kuitumia ili kuwadhibiti? ahsante!!

 5. Sanga Lemsi Sanga Lemsi says:

  Ubarikiwe sana kwa elimu hii ya bure ila yenye manufaa kwa uhai wa binadam

 6. Don Masay Don Masay says:

  Twashukuru doctor wetu kwa Elimu

 7. Mungu aendelee kukubariki doctor

 8. Ukhut Maryam Ukhut Maryam says:

  Jaza yako ipo kwa MUNGU

 9. Rashid Ali Rashid Ali says:

  Doctor mm naomba kuliza Sasa iyo juis ukitengeneza ni kwa majan tu na maji au kuna chengine unaongezea?

 10. Dr, ubariliwe, majan haya unatumiaje??

 11. Hiyo juice haichanganywi na chochote nikiwa na maana sukari au asali

 12. Dk Mimi nimeshukuru sana nimepata helimu kubwa sana mungu akubariki

 13. Ney Nema Msa Ney Nema Msa says:

  Asante na ubarikiwe

 14. Judith Mussa Judith Mussa says:

  Asante kwaelimu nzr barikiwa sana

 15. Jayson Amos Jayson Amos says:

  Nashukuru dkt je unaweza kuyatafuna pia kama dawa!

 16. Maria Arnold Maria Arnold says:

  Doo jaman! Dua zangu kwako! Mungu akufanyie lenye kheri

 17. Ilo kweny picha ndo mstafeli??

 18. Shuklani jazila dr swali moja dogo, inafaa kutumia huu mti hata kabla haujatoa mtunda?

 19. Musa Majola Musa Majola says:

  Asante Dr.tuta kutafuta Ubarikiwe sana.

 20. Nakushukuru kwa kutufundisha jambo.

 21. Anne Gunga Anne Gunga says:

  Asante Fadhili nitakutembelea ofisini kwako

 22. mm nachemsha majani yake natumiaje kutwa mara ngapi na ujazo wake au kipimo chake

 23. Kuna uvimbe Wa chuma nao unatibu

 24. Bakari Juma Bakari Juma says:

  Kusoma makala zako na kuzifanyia kazi kikamilifu inaleta manufaa makubwa

 25. Hamadi Iddi Hamadi Iddi says:

  shukran kk
  mungu akujaze kla la kher

 26. Allaah azidi kukufanyiya wepesi

 27. Mwenye presha ya kupanda anaweza kunywa

 28. Lucas Mahugi Lucas Mahugi says:

  MUNGU akubariki sana

 29. upo vzr kk mungu akujalie utujuze zaidi

 30. Asante kwa Dawa nzuri

 31. Ana Jonh Ana Jonh says:

  Je nikiyachemsha Hanna shida nikipona lazim nikup zawad

 32. ALLAH akuhidhi akuepushe na Maadui Pamoja na kila balaa Inshaallah

 33. Mungu akubariki sana kwa somo zuri la afya

 34. Kibe Machery Kibe Machery says:

  Duuu asante mistafeli ninayo hapa nyumbani sijui kama inakazi kubwa hivi

 35. Asante kwakutujuza

 36. Asha Daudi Asha Daudi says:

  Ubarikiwe saaaana

 37. Kato Anselmo Kato Anselmo says:

  Asante,
  App yako inaitwaje?

 38. Na dawa ya kupunguza tumbo yan ya asili

 39. Vicky Simoni Vicky Simoni says:

  Mungu akubariki kwakutupa elimu nzuri

 40. Barikiwa MTU wa Mungu

 41. nitumie mbegu zake tafadhali

 42. sikutegemea kama nitapata dawa kirahisi hivi wakati–nasumbuliwa na uvimbe unaohamahama mara upo kwenye mashavu yote mara uhamie kwenye kidevu na shingon!…..Asante xana si itanisaidia dr

 43. Asante sana Doctor kwa huduma nzuri

 44. Asante he mjamzito anaruhusiwa kunywa

 45. Nyonyi Leo Nyonyi Leo says:

  Asante sana vipi nikiwa sina blender nikayatwanga kwenye kinu??

 46. Asante dk ,Mungu akubariki sana kwa elimu hiii

 47. Jefigo inatibukaka

 48. Dkt Mimi Nina uvimbe kwemfuko wauzazo VP iyodawa niktumia itanisaidia

 49. Asante.Je Nikitwanga Kwakinu Safi Nakukamua?

 50. Shukran nilikua sijui faida yake

 51. Asante kwa kutupatia Tiba

 52. Asha Omary Asha Omary says:

  Unachemsha una twanga

 53. Asante kwa elimu nzr. Be blessed

 54. Nashukuru sana baba sasa hapo sigara nitafikaje mbona sipaelewi sababu ninahitaji kuja kuongea vizuri na wewe baba nifahamishe vizuri

 55. Mirium Nyome Mirium Nyome says:

  Asante kaka ila nina vidonda kwenye koo unanishaulije?

 56. Endeleeni tu ntarudi baada ya mmoja wenu kupona

 57. Mm moyo unauma je nikiponda maji yake alafu ninywe itanisaidia …na kingine usingiz cpat je dawa yake nn nisaidie nilale labda nitanenepa

 58. Asant dokta Mimi nina uvimb kweny kizaz itanisaidia

 59. Endlea na moyo huo.

 60. John Edesy John Edesy says:

  Mungu akubariki ahsante kwa kutuelimisha na kutuponya

 61. Juma Kapera Juma Kapera says:

  Mungu akubaliki maana utakuwa umesaidia umaa mkubwa sna.

 62. Safi ujumbe umefika sasa umti unapatikana wapi?

 63. Zarafi Haji Zarafi Haji says:

  Juisi unaongeza/unatia sukari?

 64. Mariana Abel Mariana Abel says:

  Asante Dr una roho nzuri kupita maelezo tungepata watu kama WEWE WATU wengi wangepona maradhi mbalimbali anaijua dawa kama hiyo anasena ankuptia Na laki 2 bila huduma utapta baraka KWA watakao tumia Na wenye ubinadamu wakifanikuwa watatoa asante KWA upendo ubarikiwe

 65. Yairo Swai Yairo Swai says:

  Aisee Mungu akuzidishie rafiki

 66. Ummu Kheyr Ummu Kheyr says:

  Allah atakulipa inshaallah

 67. Mam Kubwa Mam Kubwa says:

  mungu akubariki sana

 68. docta mme wangu kuna kitu mgongoni kina msumbua kinachoma kama msumar kwenye kiungio cha bega mgongon anasema labda katupiwa jini hua kinahama eti ni nn? icho

 69. Matayo Jefta Matayo Jefta says:

  VP kwa mtoto hayana madhara?

 70. Asante sana kwa elimu

 71. Mungu akubariki sana

 72. Find more on a world without cancer by Edward Griffin, hapo utafaham zaid kua dawa za magonjwa mengi tunazo mitaani kwetu ila kwa vile hizi ngozi nyeupe ambao ndio wenye viwanda vikubwa vya madawa wanapiga vita kamwe huwez kusikia zikitangazwa kwenye media, kuna madudu mengi sn yanayofanywa na hawa jamaa hkk mungu atusaidie sn

 73. Mack Mlawa Mack Mlawa says:

  ASANTE kwa msaada wako wa kuokoa roho za wengi walio wanyonge katka kushindwa kumudu karama za dawa, mungu azidi kukuongezea moyo wa kufundisha jamii

 74. Asante sanan kwa huduma ya bure.

 75. Zalia Mkumba Zalia Mkumba says:

  samahan docta mimi naomba unieleweshe kwaiyo hayo majan inabidi ya sagwe na brenda alafu uchuje iwe kama juis ndio unywe si ndio haitakiwi kuchemsha

 76. Nunu Mrisho Nunu Mrisho says:

  Mungu akubariki sana

 77. Yairus Nyoni Yairus Nyoni says:

  Nakushukuru sana.Ubarikiwe.

 78. Luambo Mlawa Luambo Mlawa says:

  Asanteni sana hili ndilo tumaini jipya ktk jamii yetu

 79. Scola Binawa Scola Binawa says:

  ASANTE KWA SOMO ZURI SIKUJUA JAMAN KHAA

 80. Mimi nimeyachemcsha maji nimeweka kwenye friji nakunywa hope ni sawa

 81. Bi Wardat Bi Wardat says:

  Asante Dr, bali naomba kuuliza unga wake unatumiaje?

 82. Jaman nitakupaje nipo dar

 83. Mary Mjata Mary Mjata says:

  Ahsante Dr miye nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nikitumia itanisidia

 84. Mstaferi mimi ninao lakini haina matunda bado mchanga , je nitumie makuti tuu au? pia nikushukuru kwa kuweka watu wazi maana miti tunayo kama maua hatujui inatumikaje

 85. Mungu atakulipa asante

 86. Du, ubarikiwe sana kwa dawa nzuri na rahisi, Mungu akupe ufahamu zaidi

 87. Malika Saidi Malika Saidi says:

  Ulikuwa hujuwi mmomimo

 88. Be blassed kwa kutuelimisha doctor.

 89. Wao asante sn kwa ujumbewako mnzur allah akulipe khery

 90. Asha Waziri Asha Waziri says:

  Asante sana mungu akubariki. Sijaelewa hapa kidogo unatakiwa unywe kias gan na kutwa,Mara ngapi?

 91. Joel Malosha Joel Malosha says:

  Eeeeee nileteee bas

 92. Abuu Diaby Abuu Diaby says:

  Unaweza kutia skari

 93. Ibra Massawe Ibra Massawe says:

  Ama kweli dawa zikpo nyingi

 94. mbona hujatowa matumiz?

 95. Salim Mpeta Salim Mpeta says:

  Nakiri hilo hata Mungu wangu ni shahidi kama nitaongopa
  Juzi Ijumaa13-10-2017 pressure ilinipanda sana na vilevile kushindwa kupumua vzr lkn mke wangu alinipondea hayo majani na kunichemshia nashkuru Mungu nikawa vizuri….Japo nilijua kama ni tiba muda mrefu

 96. Helme Mlawa Helme Mlawa says:

  Asante ubarikiwe

 97. Dr tok jan nimebanwa haja kubwa haitok ipo mlangon imeziba vp nifany nn???

 98. Tabu Ndima Tabu Ndima says:

  ASANT KWA IYO KAMA UNA BRENDA UWEZI KUTWANGA KWENYE KINU MANA WENGEN ATANA BRENDA WALA NYUMBA ZETU AZINA UMEME JEE? INAFAA KUTWANGA

 99. Asante Doctar kwa elimu mnzuri

 100. Asante Docta fadhil.. kuna ambayo ipo hpo ikullu yale nayo ni starfer..pia ww una huo unga?

 101. Cosma Mgimba Cosma Mgimba says:

  Asante fadhili.fadhili zako zitalipwa na Mungu. Endelea kuokoa maisha ya watu.

 102. je hizo fungus ulizo sema niza sehem za siri na mdagan unakuwa ushaona maana nina ndugu yng ana fungus sehem za sir nakaenda hospital hajafanikiwa ana miaka 7sasa na anaumia mno

 103. @muhamed kunywa maziwa barid changanya na asali

 104. Asha Ally Asha Ally says:

  Je ? Nikichemsha majani nisawa?

 105. Dotto Kwiya Dotto Kwiya says:

  Je mama mjamzito anaweza kutumia Dawa hiyo haina madhara kwake

 106. Nashukuru sijui niyachemshe au niyakaushe ninywe kama chai

 107. Eva John Eva John says:

  barikiwa sana ndugu

 108. Dorah Minja Dorah Minja says:

  Mungu akubarik sana

 109. Kama unatumia hiyo juice unaruhusiwa kutumia dawa yoyote ile ya hospital?

 110. Pendo Kasika Pendo Kasika says:

  Barikiwa kwa elimu bila malipo

 111. Aziza Hasani Aziza Hasani says:

  Kaka mm mwanangu anatotess kwenye koo nipe ushauri wko ina miezi mitatu ss

 112. Ubarikiwe dr sana, nimekuwa nikisikia mala nyingi kwa watu kuwa tunda la mtafeli ndo dawa kumbe na majani yake,basi mungu hajatuacha, watu wengi wamekufa kwa kukosa tiba ya ugonjwa huu, asante kwa elimu yako,

 113. Ahsante kwa mafunzo yako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *