Majani ya Mstafeli ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

Dawa ya tezi dume - majani ya mstafeli
Dawa ya tezi dume - majani ya mstafeli

You may also like...

1,095 Responses

 1. Moza Omar Moza Omar says:

  Lazma kununua hiyo juice au unaweza kutufahamisha njia mbadala ya kuyatumia hayo majani wengine tuko mbali nauwezo Mdogo tutanunu haya mageloni mingapi?

  • siyo lazima kununua hii ni kwa wale ambao watahitaji hii miti ipo kwenye mazingira yetu na hapo kwenye hiyo makala nimeeleza jinsi ya kutumia, kazi kwako

  • Asante sana docter kwa elimu yako,sjaelewa kidogo hapa glass mbili za juice majani 6,kwaiyo grass 2 unazijazamaj unaweka kwenye blenda na hayo majani 6 ya mstafeli au

  • Ila nawashangaa watu wengine mmekuwa wavivu wa kusoma huyu baba kaeleza vyote huko mwanzo bado anawajibu vizuri kama vile katumiwa vocher kumbe ni roho yake njema tuu.someni maelezo yote kama una nia.

 2. Grace Daniel Grace Daniel says:

  Amina mungu akubariki kwa ukombozi wa dunia

 3. Kelo Mlanzi Kelo Mlanzi says:

  Nakuombea duaa njema ufanikiwe katika maisha yako

 4. Didah Mbelwa Didah Mbelwa says:

  Asante kwa dawa murua…jamani samahani kunamwanafunzi wa darasa LA tatu wa kike anajikojolea akiwa usingixini yaani haswa usku je nini dawa yake jamani tumsaidie?

 5. Mungu akubari kwa iyo kazi ya utafiti, ili kusaidia maisha ya wengine

 6. Asante kwa msisitizo, mimi nilikuwa natumia kama chai, sasa najiongeza upande wa juice

 7. Akulipe ?mungu kwa elimu uliyotupatia doctar ninafangasi sehemu za siri dawa ya mstafeel inaweza kunisaidia

 8. Damian Mushi Damian Mushi says:

  Unatakiwa uwaeleze wananchi, Au wagonjwa wa cancer wataitumia Kwa muda Dani
  Kama ni mwaka mmoja utueleze, Kwani maelezo yako ni Sawa Na kula Mafenesi Au siyo Tiba???

 9. Shakira Muya Shakira Muya says:

  Asante sana mungu akubaliki

 10. Aksante kwa elimu kwa Afya zetu

 11. Asante kwa somo je kama tatizo halijagundulika kutumia inaleta madhala yoyote mana damu nyingine ugonjwa unajificha

 12. Asha Rajabu Asha Rajabu says:

  nami dolta Nina tatizo kwenye koo he nikitumia yatanisaidia

 13. Safi sana Mungu akubariki

 14. nna uvimbe kwenye kizazi febroid inaweza kunisaidia pia doctar

 15. Nitumomie npo mbeya.je ata kwetu ipo?

 16. Ni mungu pekee ndie atakae kulipa kwayote mazuri unayo tufanyia kwa tiba muhimu unazo tuelekeza

 17. Anna Tesha Anna Tesha says:

  Unayatumiaje unayatafuna mabichi au unachemsha

 18. Twinsi Songa Twinsi Songa says:

  Dr hebu fafanua kuhusu kunywa hiyo kutwa mara kila nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi na jioni sijakuelewa kabsa hebu fafanua

 19. Asante kaka kwa darsa zuri

 20. Sam Ckitundu Sam Ckitundu says:

  Mm npo kurasin Mzee wng anatatz km hlo

 21. Ukinywe hiyo juice kama nimjamzto haina madhara

 22. Huo mti wa mstaferi unapatkana wapi

  • Kama unahitaji juisi freshi ya majani ya mstafeli tuwasiliane WhatsApp +255769142586, juisi ya majani ya mstaferi nauza 23000 inakuwa na ujazo wa lita 5 na unaweza kutumia siku 10.

 23. Umefunua akili zawatu kwatiba nahii inaonyesha nijinsi gani tunavyotaabika kwamaradhi ilhali tiba zikiwa zimetuzunguka, kwawatoto nikipimo gani kitakachowafaa ktk kuinywa kwa siku?

 24. Edna Goshi Edna Goshi says:

  Asante sana dr, je hii juicy unatumia na sukari au unatumia bila sukari?

 25. Aman Oscar Aman Oscar says:

  Thank you doctor for your advice

 26. Nakuamini herbalist.

 27. Adam Mmbando Adam Mmbando says:

  ASANTE kwa ukarimu hii yaonekana ni dose kwa wenye Saratani je na wenye changamoto ya magonjwa kama Kisukari watumieje

 28. Youny Zubery Youny Zubery says:

  Da nakulaga ayoooo matunda

 29. Asante kwa huduma hii ngoja tufanye practically

 30. Thomas Ogaga Thomas Ogaga says:

  Can I call you through this number

 31. Tuffi Sultan Tuffi Sultan says:

  Dct kama sìna brenda naweza twanga nikakamua na kunywa

 32. Ubarikiwe. ALLAH alituambia ndani ya Quran hakuna ugonjwa usiokuwa na ponyo.

 33. Shukurani kwa maelezo na maelekezo yako, ubarikiwe

 34. Mbona namba zenu hazipatikani no za gari au

 35. Ahaaaa kumbee heee mi natatizo LA kutopata choo.asantee sana

 36. Je ukitumia matunda yake badala ya majan?

 37. Sigala karibu na taifa

 38. Kweli mungu mkubwa

 39. Hongera sana kwa msaada wako

 40. NA vip kuhusu pumu inatibu

 41. Ubarikiwe niliambiwaga sikufatilia Nina mwanangu anaumwa mpaka Sasa mguu umelemaaa nimeambiwa kansa ya ngozi japo nimeangaika ila naanza na hii nitakupigia nipate juisi

 42. Vp Docta Kama Cna Brenda Nkiyachemsha Je?Itafaa?

 43. Irine Sineda Irine Sineda says:

  Na kwajil ya nywere unafanyaje

 44. MUNGU akubariki kwa elimu nzuri unayotupatia.

 45. Dr samahani naweza kupata no yako ya cm???

 46. Ubarikiwe sana ndugu kwa moyo huo Mungu Atakulipa.

 47. Sija fahamu mnatumia je

 48. Dr nashukuru kwa kuona shida ya saratani,Namba namba ya cm tafathal.

 49. asante sana docta kwa ushauri wako. Umesema katika kitengeneza juisi nichuchukue majani 6 ya stateli. Nikitaka kitengeneza nyingi nitumie majani kiasi gani. Naweza kuihifadhi kwenye friji isiharibike?

 50. Nisomo rahisi lisilohitaji hata tuition! Ahsante sana.

 51. Hivi dr kwanini msivumbue Dawa ya ukimwi muwashangaze wazungu?maana Dawa unazijua nyingi

  • asante kusikia hilo ndugu, tunaendelea na utafiti na kujifunza zaidi

  • Nitafte na sio mzaa!!!

  • Haji Subeti Haji Subeti says:

   Tatizo waganga wa zamani walikuwa wabinafsi wamekufa na ujuzi wao naamini dawa ya ukimwi walikuwa waijua ila jina halikuwa ukimwi kwa Tabora waliuita MANYALIA na njia ya kuupata ni ile ile inayojulikana kuna mtaalam mmoja alikuwa anaishi MANOLEO njia ya Nzega ukupita KAZIMA dawa alikuwa nayo na watu wanapona kafa bila kumuonyesha mtu hata dawa ya nyoka ya kimiujiza sijui kama bado kuna mtu anaijua ukiingia ndani kwa mtu ukiiba kitu hutoki nacho unazingwa na joka la ajabu mpaka mwenye mali atakukuta hapo hapo akiligusa tu linageuka kuwa kamba

 52. Chiku Kapuna Chiku Kapuna says:

  Ahsante Dr kwa elimu nzr

 53. Asante Sana doctor

 54. Duh ninayo mengi tu nyumani kwangu na je tunda lake linafaida ngani

 55. Sawa tunashukuru sana, watu kama ww ndo mnatakiwa kutumia mitandao.

 56. kweny jinsi yakuitumia hiyo juisi ndy cjaelewa

 57. Magonjwa yote hayo! Bado kidogo mtatuambia yanatibu na ukosefu wa ajira!

 58. Gaucho Moha Gaucho Moha says:

  Dokta asante sana kwa maelezo mazuri lkn kuna hili tatizo pia kubwa la hii cancer ya uzazi kwa wanawake na ya kwenye breast ina tatiza sana je dawa yake ni nn twaomba msaada wako

 59. Salma Njovu Salma Njovu says:

  Doctor Mimi Nina fangasi za kucha hoi dawa inaweza kunisaidia au kuna dawa nyingine ya asili itakayo nitibu fangasi naomba unisaidie doctor

 60. Kidumu kimoja basi ndio kinatibu kansa au unaludia Ludia kunywa

 61. Wema Jofrey Wema Jofrey says:

  Duh hili tunda limenikumbusha mbali

 62. Doctor ina mana una ya chemsha yenyewe tyuu?

 63. Je waweza tengeneza kama lita tano halafu nikawa natumia taratibu?

 64. namba z whatssap is 0710087871 niunganishe ili 2wasiliane

 65. Tezi dume ndio ugonjwa gani nipeni dalili zake

 66. Nimekupata vzuli sana na vp kuhusu kabechi mkuu naona nayo inamaajabu makubwa umefatilia kiundani mkuu

 67. Asante Baba huwezi jua kupitia mapenzi ya mungu.kakuteuwa waponye watu. Na mungu atazidi kukufungua zaidi na akufungurie mirango zaidi

 68. Doreen Boaz Doreen Boaz says:

  Ahst sn Dr Mungu zaidi kukupa hekima na maarifa,je hayo majani yanaweza kutibiwa Fibroid?

 69. Hongera kwa kutujuza tiba mbadala kaka uck mwema

 70. M.mungu akulipe ..kwa ..mafundisho yako …..ubarikiwe zaidi na zaidi …nimekupata ..sana …ila nitatumia bila …asal wala kuchnganya chochote ..ni jice tu fresh ..c inawezekana dr ……

 71. Siyo kirahisi ivyo dawa inapatikana Nassib Ibrahim lazima kuna ujue inatengenezajwe kiasi gani chakunywa kwa uzito gani mara ngapi kwa siku na wenye nini awaruhusiwi kunywa yani side effect yake nini maana yangu usipo jua unaweza kusema haikufaa kumbe ujumbe unamapungufu!!

 72. Mimi Nina kisukari nisaidie dkr

 73. Mimi nimeanza kutumia BT juice yake iko poa wala haiitaji kuwekwa chochote jmn

 74. Aziza Chaiyo Aziza Chaiyo says:

  Hiyo juisi unaweza ukampa mtto au niwatu wazima

 75. Glory Kimaro Glory Kimaro says:

  Asante kwa kutuelimisha. Mungu akubariki sana.

 76. Maarifayanaongezeks

 77. Mimi ni mpenzi sana Wa miti na hapa nyumbani kwangu nimeipanda hiyo mistafeli karibu minane kwani napenda juice ya tunda lake,kumbe kuna faida yingine ,kweli mungu Mkubwa nitafanya utafiti kwa maelekezo ulotoa haswa mm nasumbuliwa na maumivu ya magoti na nyonga,tena nimeshauliwa na Dr.nijiepushe na red meat,nitakutafuta wajina wangu kwa ushauli zaidi.

 78. Dr sorry ni majani mangapi unaweza kusaga ukapata ujazo wa lita kumi?

 79. Yaani unakunywa vikombe v2 kabla yachakula cha asbh au jioni au kutwa mara 2 yaani asbh na jioni?

 80. Idd Songolo Idd Songolo says:

  Asnt kW elimu yko

 81. Ziada Alliy Ziada Alliy says:

  asante dokta kwa ushauri

 82. vipi sisi wa vijijini tusiyo na blenda wala umee tukitwanga kwa kinu iko shida?

 83. Dawa kama hiii,, af itolewe kiwepesi hivi bas inshallah

 84. Kuna Dada yangu anasumbuliwa NA homa ya INI ili hajazidiwa sana nawala haugui Mara kwa Mara he akitumia msitafeli atapona dr

 85. Ni kweli baba yangu anatumia hayo majan kwenye chai kama green tea, sijawhi kumsikia anaumwa hata malaria ana 91 year old now. Tokea ameanza kutumia ni miaka 15 had xaxa anatumia

 86. Amin asemacho ni kweli kabisa baba yangu amewaagizia watu weng wenye Kansa na wamepona kabisa

 87. Kama hauna Brenda je

 88. Seiph Pete Seiph Pete says:

  Asante ndugu yangu m/mungu atakulipa kila la heri akujarie afya,mafanikio,maisha marefu nahakuondolee magumu hapa dunia na kesho ahera ishaalah, je mgonjwa sukari anaweza kutumia???

 89. Asante sana kwa kutuongezea maarifa mengine ya tiba mbadala.

 90. Sheikh upo sawa, Allah akufanyie wepesi kwa kila zito lanalokuja mbele yako ,nyuma yako,kulia kwako,kushoto kwako,chini yako na juu yako .IN SHAAA ALLAH

 91. Tunashukuru sana doctor ila mm ninamdogo Wangu anatatizo la kutopa ta choo tatizo hili limekuwa kelo kwake kwani amejikuta anatoa harufu kila Mara na tumbo lake kuuma naomba msaada wako afanye nn ili aondokane na hii halo?

 92. Mm ninandugu yaNgu yani anamiez miwili sasa hajaona skuzake alilala namwanaume lakini kaenda kupima Jana hana mimba ninin sasa nakunaadawa

 93. Awey Kidevu Awey Kidevu says:

  Dr Mimi Nina uvimbe kwenye kizazi nifanyaje

 94. Mudy Culture Mudy Culture says:

  Blessed brother…..

 95. Aziza Juma Aziza Juma says:

  Mimi nasubuli n.a. mungu nitumiaje Kupaka kunywe

 96. asante doctor kwa ushauli wko tutajalibu labda allha atatufanyia wepes

 97. majan hyo pia yanatibu ugonjwa wa ngozi? doctot mwili kuwashwa

 98. Yanatibu hata figo

 99. Doctor matumizi YAKE ,,yaani namna yakutumia dawa,, majani hayo nayachemsha,, au,, nayasaga,,, ?au,, natafuna?na dozi Ni Sikh ngapi,?kutwa Mara ngapi,? Samahani kwa usumbufu,, saidia watanzania

 100. Asante kwa kutujuza.Sina cha kukupa,zaidi namwomba Mungu wangu akupe mahitaji ya moyo wako.

 101. Dokta,ahsante sana kwa elimu yko ALLAH akuweke uzidi kutufumbua macho km iv,,,, ila nina cster yangu anasumbuliwa sana na manjano tokea utotoni na tumeshA zunguka hospitali lkn hakuna mabadiliko yeyote so naomba ukipata ujumbe huu unisaidie

 102. Kwanza mtoa post ..mpaka hapa nimeshachanganyikiwa.. Kwa hiyo mimi sitasubiri haya majani mpaka yavurugwe kwenye blender.. Nikitoka tu kazini.. Navizia mti wa mstafeli.. Nitayatafuna hivi hivi mpaka kieleweke

 103. Juma Buruhan Juma Buruhan says:

  Shukran ndugu na ahsante mungu akuzidishie ufaham, ama mm naomba kujua zaid Nina mgonjwa wangu anasumbuliwa na njoo ndogo wataalam mnaita tezi dume tumefanya vipimo wataalam wameshaur afanyiwe upasuaji sasa swali langu ni hiv kwa dawa hii ni tofait na homa yake? Au kuna njia nyingine ya kumaliza kabisa tatizo hili bila kutumia njia ya upasuaji? Ni hayo

 104. Doctor mungu akubariki sana kwa kutema madini haya bure je kwa mtoto mwenye miezi mpaka mwaka dozi inakuaje

 105. Saulo Julius Saulo Julius says:

  Majani hayo kwenye blenda unayaweka mazma hivyohivyo ama kuyakatakata??.

 106. Dr Mimi tumbo linanisumbua kwa chini mkono wa kulia nikikaribia kwenye ck na hata nikixhikwa na haja kubwa naomba msaada wako

 107. Mgoli Bakari Mgoli Bakari says:

  Dr naomba maelekezo au tiba ya uti

 108. Omar Mntambo Omar Mntambo says:

  Asante dokta kwa somo lako. ila mimi nina sumbuliwa na kikohozi nitumie dawa gani?

 109. kikweli una fanza vizuri san kutuonesha dawa nyingine,sasa mimi niko nausumbufu wa macho sasa iyo majani ina tunza?ao

 110. Dokta ulimpa bintiangu maelezo achemshe kama chai asichanhanye chochote zaidi atie sukari au asali tu je no sawa??

 111. naomba msaada wako doctor mie nna tatizo la 2mbo likipigwa na ubalid linauma tatizo ili limenianza

 112. Jbm Maimu Jbm Maimu says:

  Doct mimi nina mzazi ana tatizo la tezi dume na imeshakuwa cancer unanihakikishia kupona?kama ndivyo nataka umtengenezee mwenyewe kwanza nitaleta mrejesho hapa

  • Kama unahitaji juisi freshi ya majani ya mstafeli tuwasiliane WhatsApp +255769142586, juisi ya majani ya mstaferi nauza 23000 inakuwa na ujazo wa lita 5 na unaweza kutumia siku 10.

   Nipo Dar Es Salaam, napatikana maeneo ya Buza Sigara Temeke, ofisi yangu inaitwa Vctoria Home Remedy, naweza pia kukuletea ulipo ndani ya Dar naweza pia kukutumia popote ulipo nje ya Dar

   Kama maelezo haya yanakusaidia kwa namna yoyote unaweza kunizawadia chochote kwenye TigoPesa 0714800175 (Fadhili Paulo).

   Tafadhali SHARE post hii kwa ajili ya wengine.

 113. Ahsante,mjamzito anaruhusiwa kutumia?

 114. Nitunda zuri sana hayapatikani ,yanashambuliwa na wadudu sana

  • Kama unahitaji juisi freshi ya majani ya mstafeli tuwasiliane WhatsApp +255769142586, juisi ya majani ya mstaferi nauza 23000 inakuwa na ujazo wa lita 5 na unaweza kutumia siku 10.

 115. INSHALLAH TUMUOMBE Allah atufanyie wepesi kwa maradhi hayo kwani kwasasa yamekuo ni tishio

 116. Jazakuallah kher allah azdi kukupa shufaa katika hili

 117. Sesilia Kiza Sesilia Kiza says:

  As ante Dr kwakutupa elimu Hindi yakutumia majani hayo ya mstafeli mungu akubariki

 118. Paul Shao Paul Shao says:

  Hayoo majan unayo na sh ngap. B juice yenyewee ya hyo matunda ni sh.

  • Kama unahitaji juisi freshi ya majani ya mstafeli tuwasiliane WhatsApp +255769142586, juisi ya majani ya mstaferi nauza 23000 inakuwa na ujazo wa lita 5 na unaweza kutumia siku 10.

   Nipo Dar Es Salaam, napatikana maeneo ya Buza Sigara Temeke, ofisi yangu inaitwa Vctoria Home Remedy, naweza pia kukuletea ulipo ndani ya Dar naweza pia kukutumia popote ulipo nje ya Dar

   Kama maelezo haya yanakusaidia kwa namna yoyote unaweza kunizawadia chochote kwenye TigoPesa 0714800175 (Fadhili Paulo).

   Tafadhali SHARE post hii kwa ajili ya wengine.

 119. Dkt hata Mimi Nina rafikiangu anasumbuliwa na fangasi sehem zake za siri je iyo dawa inaweza ikamsaidia ee

 120. Amina Kuyela Amina Kuyela says:

  DKT. Hayo majani unayafanyaje? ili kuanza kutumia maana mm ninatatizo LA kisukari nafanyaje sasa

 121. Neem Baqar Neem Baqar says:

  Ndocta asante sana kwa somo lako mungu akufunulie maono usaidie watu sana ila Mimi nauliza naweza kutumia hata kama sina tatizo na je kwawa mama wajawazito inaruhusiwa samahani

 122. Jaman me naomba kujuwa kuwa huo hapo kwenye profile ndio mstafeli wenyew au

 123. Asante sana ubarikiwe kwa somo zuri

 124. Casa Blanka Casa Blanka says:

  UNAWEZA KUINYWA KWA MALA MOJA?

 125. Casa Blanka Casa Blanka says:

  Je unaweza kutafuna majani? Na kama kutafun mangapi kwa siku ngap

 126. Tusio na umeme tunafanyaje au ht kwenye kinu Fresh?

 127. Frank Waya Frank Waya says:

  Natengeneza Inveter zakusukwa zinazo tumia battery kwamda mrefu..bei ya Inveter watt 300 150000/=inawasha taa 6 TV nch 14 mpaka 24’inawasha king’amuzi /deck /fen na kuchaji cm 10 kwapamoja…….watt 600 inawasha taa 10 /TV nch 34 mpaka 40 inaendesha sabufa/ deck /king’amuzi/fen 2/ blenda ya juice na kuchaji cm.bei yake 200000/=watt 1000 inawasha taa 12/TV nch 40 mpaka 50/inatumia pass ya solar/fen 3/sabufa/king’amuzi na kadharika,bei 300000/=Ni Inveter tu bila battery………Pia natengeneza Alarm zaulinzi ambazo zitakupa taharifa kwenye cm yako ya mkononi pindi ukiwa mbali na nyumba,unaweza funga kwenye milango/ madirisha/ kwenye fens/kwenye maduka na magodauni makubwa,bei itategemea na ukubwa wa eneo lako………….pia natengeneza automatic switch inayo washa taa 12 yenyewe ifikapo saa moja jioni na huzima yenyewe ifikapo saa moja hasubuhi,hii pia niurinzi mzuri wa nyumba hata ukiwa safari utakua naulinzi, watu watajua upo..bei ya automatic switch 40000/=mpaka 80000/=….NIPO DAR RIVER SIDE UBUNGO……0713277728/0757732531

 128. Mungu akubaliki sana Allah amesema kila ugonjwa unatiba yake ishaallsh

 129. Ahsante. Mungu akubariki

 130. Unaweza kutumia hata kama hunatatizo au mpaka upime ugundulike nashida ndouanze dozi?

 131. Mimi nimependa maelezo yako Ni mazuri tunahitaji watu kama ninyi pia sifa kubwa zaidi zimwende yehova mungu Kwa uwumbaji wake inaonyesha nijinsi gani yehova mungu alivyotutayarichia vitu vizuri kila mzazi mwenye upendo huwatafutia mambo mazuri watoto wake anahangaika ili Watoto wake wafulahi hata kama uwezo Ni mdogo anajizabihu angarau vipi kuhusu mzazi wetu mkuu nikama tuonavyo wenyewe angaria dafu nanasi embee hakuna afananae kwa Kweli anasitahiri ibada safi yakutoka noyoni Kabisa.

 132. Samahan kutoka nje ya maada naomba kuuliza mafuta ya habat soda yanasaidia kizibua mirija ya uzazi ??

 133. doctor samahani.naomba kuuliza mm nasumbuliwa sana na misuri .je dawa hii itanisaodis?

 134. mimi joint inaniuma san afu kama kuna seli inaproduce kauvimbe kweny kisigino ntapona kweli

 135. Asante kaka tunachemsha au tunakunywa ivoivo ?

 136. Docta mi nasumbuliwa na bawasiri nitumie nini maana kameota kijinyama sehemu ya haja nishauri nitumie nini maana napata Maumivu sana

 137. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki sanaaa

 138. SAFI SANA FADHILI, ENDELEA KUWASAIDIA WENYE MATATIZO, TIBA YA MSTAFERI KWELI NI KIBOKO

 139. Naim Abdul Naim Abdul says:

  Janan ahsante kwetu tunayafagia majan kama uchafu tu

 140. Asia Minja Asia Minja says:

  Natakiwa nitumie mata ngap kwasiku?na nikiasi gani??

 141. Asante sana sababu mimi napenda vitu kama huvi nitakutafuta.

 142. Vosta Msuya Vosta Msuya says:

  Dr kwa wale wenye virusi wanaosababisha Homa ya ini (h.b.v)na wanatuMia dawa wanaruhusiwa kutumia hiyo juice Bila kupata mazara zaidi kwenye ini

 143. Kurwa Mkumbo Kurwa Mkumbo says:

  Juice ya matunda ya mstafeli ni tiba nzuri pia kwa magonjwa ya ngozi na ht km huna ugonjwa wa ngozi ukiinywa unakuwa soft hatareeee

 144. Asante Doc, haya majani unayachemsha au unayasaga. Naomba kufahamu

 145. Ubalikiwe sana FADHIL PAULO ila mimi nina tatizo la asima / pum unanisaidiaje ?

 146. Ahsante Mungu ndiye mlipaji Mkuu ktk hili maana umeokoa wengi

 147. Asante mtumishi. Mimi sins mrenda ya umeme, naweza kusaga kwa nyingine tu ili kupata juice?

 148. Mwenyezimungu Akupe afya njema,iliuendele na utafiti wako,kiukweli Watanzania tunamaradhi mengi yanatusumbua

 149. dokta mi nawaxhwa kwene pumbu na cna kipele wala k2 chochote nime pma dam dm yangu xaf2 tatizo nini dokta

 150. Asante docta kwa tiba lishe ya mwili.
  Barikiwa ssna.

 151. Ahsante kwa kuwa moyo na kama huo, Mungu akubari na akuongezea ujuzi zaid.

 152. Jambo zuri sana raiyangu tz kumekuwa na madoctor wengi sana watiba asilia na bahazi yao wanajitangaza kwenye midia wengine wanazunguka kuziuza dawa namambo mengjne mengi mwisho wasiku ikuwa biashara tu! watu hawaponi hii imepelekea watu kutokuwa naimani na madoctor asilia swali hiidawa imesibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa tanzania kuwa inafaa nakutibu magonjwa uliyo yaeleza hapojuu?

 153. Je daw(juice) ukishaitengenez je,unainyw kw kutwa mara ngapi hasa?

 154. Dorah Daudi Dorah Daudi says:

  Mtaalam kama una elezea dawa yoyote lazima maelezo yajitosheleze kuanzia jinsi ya uchumaji majani kama yawe machanga au yaliyokomaa jinsi ya kuandaa dawa he ichemshwe au ifanywaje na jinsi ya kuinywa je dose yake Mara ngapi lakin ukieleza kwa kwa ufupi hatutajua jinsi ya kuitumia Ingawa tunahitaji si unajua watu walivyo wahanga wa magonjwa na kama unataka tuifuate kwako tuelekeze tuifuate

 155. Ubarikiwe doctor,mimi nasumbuliwa sana na presha sio chini ya miaka 17 Pia moyo unasimamasimama sana hata hivo nimeambiwa sina tiba yyote afrika nzima nifanyeje Dr kuusu mmea huu? nisaidie dr

 156. Asante sana Dr kwa elimu yako kweli watu kama nyie ni hazina kubwa ya taifa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *