Mbinu 10 za kuoongeza mbegu za kiume (sperm count)

Mbinu 10 za kuoongeza mbegu za kiume (sperm count)
Mbinu 10 za kuoongeza mbegu za kiume (sperm count)

You may also like...

799 Responses

 1. Kuna tatizo ukifanya tendo la ndoa na msichana lakini ukiejaculate mbegu zinarudi kutoka ukeni akisimama??

 2. Kuna tatizo ukifanya tendo la ndoa na msichana lakini ukiejaculate mbegu zinarudi kutoka ukeni akisimama??

 3. Nkku balai kiongzi tangia unipe somo lamlonge aisée wesmtu wamchezo mchezo ayaili lambegu za maboga limekaje n’a matumiz yake

 4. Jay Freezo Jay Freezo says:

  D,mimi Tatizo Langu Naenda Gemu Moja Dakika,45,ila Nikimwaga Tu,nashindwa Kuludia Tendo,yaan Jamaa Analala Ata Ukimfinya Ataki Kuamuka,je Tatizo Ni Nin?

 5. Mungu akubariki Dr. Na sio watu mfurahi tu kusaidiwa inatakiwa na nyie muwe na utu umesaidiwa bila malipo siku uko vizur Dr.nae apate ya sukari sio lazma akuambie shukran

 6. Dr.fadhili nakushukuru kwa moyo wako wa kujitolea kutuelimisha na kutushauri bure ubarikiwe sana. Dr mim nina tatizo naomba ushauri wako.Mim nina girlfriend wangu kila tukikutana kabla hata hatujaanza sex najikuta nimejimwagia na baada ya kumwaga mashine haisimami tena mpaka masaa yapite.toka tuwe kwenye mahusiano hatjawai kusex kisa hilo tatizo maan nikimshika na yeye akanishika tayari.Em nipe ushauri nifanyeje dr.bint bado anakuja kila siku.

  ASANTEE.

 7. Habar doctor je, kwa mwanaume ambaye anahisi Kali tena za karibu na anapokuwa kwenye mechi hafiki Dk 90 tatizo hilo husababishwa na nin?

 8. Ivi Korodan Kuwasha Inatokana Na Nina Naomba Jibu Doctar

 9. Hapo kweny kitunguu swaum doctor kuna nakala yak ulisema zitumike punje 6 kwa kuzikatakata na glass mbil za maj kwa siku hpa unasema zisizid tatu inakuaje hpo!?

 10. DOKTA NIKO NA SWALI NAHITAJI UFAFANUZI … KUNA MTU KANIPA ASALI HALISI YA NYUKI WAKUBWA …SEMA IMEGANDA NIMEAMBIWA NIIWEKE KTK MAJI MOTO ….HAITOPOTEZA UBORA ?NIKICHANGANY NA MDALASIN ?

 11. Wanawake wanalalamika sana ukimwaga shahawa nyingi.uke inalowana kwa goal moja tu,labda kupungua huko ndo kwenda Na wakati.@

 12. me nimesha jikoki nimetumia madin ya kutosha

 13. Hizi mbegu za maboga ulizotuwekea hapa zinakazi gani?

 14. mimi nahitaji mtoto wa kiume nafanyaje nina watoto watatu wa kike

 15. Doctor unatengenezaje juice ya tangawizi mix na asali

 16. Asante kwasomo Mimi ninatatizo kila ninapofanya tendo landoa napatwa na kizunguzungu kichefuchefu kuishiwa nguvu mwili wote toka nimekuwa hadi leo sielew tatizo inanipelekea kuto kupenda

 17. Yahya Junior Yahya Junior says:

  Nashukur sana docter kwaushauri wako mzuri mungu akuzidishie pia kama unalo group lawhtssap naomba uniunge

 18. Mie leo napenda kuuliza niona clip yako iliyokuwa inaeleza juu ya kujutibu U.T.I.Kwa kutumia bicabonet soda(powder).Swali je hata mama mjamzito anaweza tumia?

 19. Nimesoma afu nimegundua kumbe unauza mayai na mbegu za maboga ndio maana umesema hivyoo maana mwanaume ukitaka kumuuzia kitu kiuzike sema icho kitu kinaongeza nguvu za kiume

 20. Mimi naomba kuuliza hivi kwani mwanaume uliekamilika unatakiwa upige bao ngapi bila uume kulegea

 21. Mie niko bouraaa kabisa maana nikisex na demu kufika kileleni guests ndan ya dk10—15 yn ukimkuta ana haraka anaanza kulalamika Nachelewa so demu yyt anaehitaj kuridhishwa anionee

 22. Me nachelewa sana kufka kileleni tatizo nin docta?

 23. Shakk Ally Shakk Ally says:

  Nina Tatizo moja nikifanya tendo la ndoa kwa mala Ya Kwanza nashuka vizul tu ila Mara Ya pili nafanya mda mlefu Sana mpaka mwenza anachoka na sishushi kwa haraka nataka kujua Ni tatizo au kawaida

 24. Shakk Ally Shakk Ally says:

  Nina Tatizo moja nikifanya tendo la ndoa kwa mala Ya Kwanza nashuka vizul tu ila Mara Ya pili nafanya mda mlefu Sana mpaka mwenza anachoka na sishushi kwa haraka nataka kujua Ni tatizo au kawaida

 25. Devid Mupare Devid Mupare says:

  Doctor je kuchelewa kufika kileleni kuna manixha nn

 26. Doctor samahani me nimwamke nimepoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa ata Mme wangu aniguse vp mshipa astuki ata kidogo kifupi sifulahii tendo la ndoa nifanye nini ili niwe kama zamani please doctor nisaidie

 27. Amina Bahati Amina Bahati says:

  Umenikumbusha mbali xana napenda kuyala xana hayo

 28. Hd Omy Hd Omy says:

  Dr. Vp kuhusu chinise hii mboga nayo ni nzuri kuliwa na wanaume mara kwa mara naomba ufafanuzi tafadhali

 29. Best Love Best Love says:

  asante doct kwa elimu yako

 30. Loini Mollel Loini Mollel says:

  Loooo kitu ndaaa sio mchezo nimeipenda kila ukigeuka kitu ndaaa sio mchezo hahahahaha

 31. Doctor asante sana kwa elimu yako nzuri imetufikia ipasavi ila naomba kuzifaham hizo mbegu za nyonyo ni mbegu zipi hizo na zinapatikana kwenye mmea gan…asante

  • Karibu sana ndugu bali sioni nilipoandika kuhusu mbegu za nyonyo kwenye hili somo. Kama unahitaji mbegu za nyonyo mimi ninazo tuwasiliane WhatsApp +255769142586

 32. Ubarikiwe na mungu akuwezeshe uendelee kutuelimisha.asante

 33. Nimejaribu maji kunywa mengi dr mwili wangu umekuwa mwepesi na kitunguu swaum nakula sana.eti kuna mtu kanishauri nitumie na habat soda inasaidia kulinda magonjwa nyemelezi je ni kwel?

 34. Kwa mbegu lazima ziwe nyingi??

 35. Adam Mellion Adam Mellion says:

  Tafadhari naomba nieleweshe zaidi. Uvutaji wa bangi na upungufu wa nguvu za kiume. Maana bangi sio bidhaa ya tumbaku(tobacco thurinhiensis) na bangi(canabisi sativa yenye kemikali kama THT(tetra hydrocanabinon) …

 36. Adam Mellion Adam Mellion says:

  Tafadhari naomba nieleweshe zaidi. Uvutaji wa bangi na upungufu wa nguvu za kiume. Maana bangi sio bidhaa ya tumbaku(tobacco thurinhiensis) na bangi(canabisi sativa yenye kemikali kama THT(tetra hydrocanabinon) …

 37. Shakk Ally Shakk Ally says:

  Dokta mbona nimeuliza swali Sijapata jibu au sijakizi vigezo vya kujibiwa

 38. Mimi sins tatizo lakini Nina uwezezo was kumpa mwanamke mimba wakati wowote nitumie kitu gani kupunguza hii kasi ya mbegu

 39. Sasa hizo mbegu za maboga nakula na magama au

 40. Doctor mehua nasumbuliwa natumbo Mara kwamara nanikixex2 mbegu zinatoka mda wwte kingine huanachelewa kfika

 41. Doctor mehua nasumbuliwa natumbo Mara kwamara nanikixex2 mbegu zinatoka mda wwte kingine huanachelewa kfika

 42. Dr.mumewng anambegu nzito nanyepec je ilonittzo gan napia anauume mfupi xna

 43. Mku hivi unapatikana wapi wewe?

 44. Wapi ullipo nikutafute?

 45. sorry doctor kunauwezekano wa kuweza kuacha kupiga punyeto na njia gani unaweza ukatumia kuepukana na hili naomba nisaidie

 46. daaaa somo zuri sana doctor

 47. Asante kwa somo lako

 48. James Safari James Safari says:

  me nataka kuja kama mtu akiwa na mbegu nyepes zinakuw je na pia mtu kuwa kufik kilelen ni vp ili aweanachelewa

 49. Rajabu Myowe Rajabu Myowe says:

  Habar doctor, hivi ukichelewa kufika kileleni ni tatizo au?

 50. Dah mungu akubariki sana Dr asante kwa erimu unayotupa

 51. Ulaji wa dagaa unaongeza nini ktk mfumo wa uzazi kwa mwanamume

 52. Doctor vp kuhusu pweza?

 53. Papaa Mbuna Papaa Mbuna says:

  Dk vipi kuhusu miwa na mihogo vitu hivi vinasaidia

 54. Ninamaswal mawil Dr. Hil bamia lakupika kwakulikata Kata au zimazima au liliwe Nicholas. Na mbegu mboga ziaangwe au ziliwe zikiwa MBIZO. 0786399177

 55. Hayo mayai docter ni unayatumia mabichi au

 56. Dokta nina matitizo uliyoyaoanisha hapo sasa nitafuata Ushauri wako nitapona

 57. Denis Moshi Denis Moshi says:

  Ss dr, hz punje za maboga tunakula mbich au tunazilajeeeh!!

 58. Macaca Mussa Macaca Mussa says:

  Samahani dokta mbegu za maboga nitumie vipi? No+255844184979

 59. Neema Mtei Neema Mtei says:

  Mimi ni mwanamke ambaye nimepoteza kabisa homuni au kwa ruga nyingine Sina hamu kabisa ya tendo la ndoa

 60. Amein Abdi Amein Abdi says:

  Mwenyezi Mungu Akustiri Alakullighal. Inshaallah.

 61. Thinks for more advace

 62. Samahani kuna mtu anatatizo la nguvu za kiume unamshauri atumie mini naomba msaada wako

 63. mtalaam naomba unisaidie kuhusu bagitelia dani ya uke inawezakana kupata vidonda

 64. Barikiwe sanaaa maana tunapata madini adimu mno

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *