Mbinu 11 za kupunguza uzito na unene bila mazoezi wala kufunga kula

You may also like...

172 Responses

 1. Isack John Isack John says:

  Gud…Vp Ile Hali Ya Mtu Kuwa Mnene Toka Akiwa Mdogo Mpaka Ukubwani Hv Huwa Ni Afya,ugonjwa,urithi Au Mfumo Wa Maisha. Je Naye Anawezatumia Njia Hzo Au Haiwezekan..?

 2. Asante dk barikiwa mnoo

 3. Quby Ackim Quby Ackim says:

  Hapa umigonga ikulu…. Ngoja nisome vzr

 4. Joyce Chaz Joyce Chaz says:

  Asante sana doctor kwa elim unayotupa mm nitaifanyia kaz na kuleta mlejesho.

 5. Joyce Rizick Joyce Rizick says:

  Hauna grup la whatsup?

 6. asante dokta wahanga wengi

 7. Batuli Sebo Batuli Sebo says:

  Doctor naumwa nakisigino chini ya yanyayo maumivu makali sana

 8. Rukia Masaka Rukia Masaka says:

  Nimekuelewa vizuri dr ubarikiwe sana

 9. Safi sana Dr kwa juhudi zako kutuelimisha Mwenyenzi Mungu akuzidishie baraka!

 10. Nay Mbwambo Nay Mbwambo says:

  Asante sana, ilanaomba nielekeze jinsi yakupunguza tumbompakato kwa wanawake ningefurahi sana

 11. Anna Mapeza Anna Mapeza says:

  Dr naomba namba zako nina issue zangu binafsi

 12. Nimeipenda hii asante sana

 13. Asante kwa somo zuri

 14. Asante kwa somo zuri

 15. Ahsante sana kwa ushauri dk

 16. Zully Omar Zully Omar says:

  Safi sana Dr kwa juhudi zako kutuelimisha Mwenyenzi Mungu akuzidishie baraka!

 17. Mery Deo Mery Deo says:

  Ubarikiwe doctor

 18. Joyce Joseph Joyce Joseph says:

  Ahsante sana doctor kwa ushauri wako mzr mungu akuzidishie zaidi

 19. Joyce Joseph Joyce Joseph says:

  Yan nimekaa nikasoma na kutafakari kwa mda sana ahsante sana doctor sana lazima niufanyie kaz ushauri wako

 20. Dr ,, naomba na yako nina shida binafs

 21. Quuen Zimba Quuen Zimba says:

  Je ukitaka kupunguza tumbo unafanyaje

 22. Amina Yunus Amina Yunus says:

  Nataka sana kupungua

 23. Mimi nimepungua mpaka nanyooshwewa vidole mitaani nikaogopa nikaenda kupima HIV nilivyojikuta salama naendelea kufuatilia michongo ya dr fadhili

 24. Zahra Yusuf Zahra Yusuf says:

  Yoooote nimesoma ila kwenye kunywa maji KBL ya kula ndo mpango

 25. Dkt mi nataman kugain weight Nile vyakula gan nikue mnene

 26. Mawazo na ushauri wako ni mzuri hongera. Lakini kwa awamu hii ya uongozi wa awamu ya tano. Kila mtu atakuwa mwemba tu. Kuna wemba mba wa mawazo, na njaa. Hata hivyo bila kufuata huo ushauri awamu hii tumekwisha nyooka lazuma unene tutupe kule. Ahsante hongera kwa hilo zuri.

 27. Hadija Mdee Hadija Mdee says:

  Asante kwa ushauri

 28. Nashukuru Dr kunakituhapa nimejifunza kuhusu kukosausingizi nakuchoka sana inaleta ugonjwa wakisukari awamuya pili nimelishuudia kwamtuwangu wakaribu sana nimtu hapatagi usingizi nawakati mwingine anakuwa mkalimkali bilasababu sasa anapata tatizo lakupungukiwa sukari marakwmara sasa etileo amekuta imepanda gafla nisababuiyo au ? walaitakuwa anatatizo lakongosho ?

 29. Dr fadhilipaulo mm naskia uke wangu unavuta vuta km vile jipu linataka kutokea sio ndan huku pemben kbs mwa uke km kwny mapaja tatzo n nn

 30. Shukrani ubarikiwe sana Dr.

 31. Daniel Daudi Daniel Daudi says:

  Ila sahani nyekundu mhhhh!!

 32. Ushauri wa bureee..barikiwa mtaalamu wetu

 33. Asante Dr. Ubarikiwe

 34. Subira Ibada Subira Ibada says:

  Mark Maregesi Mark Maregesi soma hii na uizingatie

 35. Asante kwa ushauri

 36. Asante sana kwaushauri wako

 37. Sarah Kilaga Sarah Kilaga says:

  Barikiwa sana Dr.kwa uelimisho wako mungu akuzidishie hekima

 38. Docter,,,kuna mtu katuambia eti kunywa maji ya moto(vuguvugu) Lita moja hadi moja na nusu kila asubuh kuna saidia kuondoa kitambi hivi ni kweli au katutia chaka?

 39. Joyce Amosi Joyce Amosi says:

  Ahasante tunashukuru mana tutawasaidia na wengine,mana wengine wembamba ndo nature yetu kunenepa tunasikiaga na kuona kwa watu ingawa kwa xaxa imezid kuelekea kuwa skeleton

 40. Mungu akubariki sana Mimi nitajaribu

 41. Asante sana ubarikiwe

 42. Mi sijaelewa maana ya sahan nyekundu

 43. Asante sana nimejifunza mengi
  Mungu akubariki.

 44. Sarah Felix Sarah Felix says:

  Mimi nimnene sa.NA m

 45. Poleeeeee mbinu izo ni kwa tajir

 46. Samaani dct ivi mtu akiwa ananyonyesha anaweza kufuata izo njia au mpaka amalize kunyonyesha??

 47. Dr, nauliza kuna mtu anauzito mkubwa, 100kg & above, Lakini mwili hauendani na kg zake, yani si mnene kias hiiicho, afanyeje ???

 48. hakika ubarikiwe sana
  una majibu ya hekima sana kutuhudumia Mungu akubariki sana

 49. Asante kwa somo zuri Mungu akubariki sana

 50. Sawa Faraja Kambanyuma

 51. Afida Khalid Afida Khalid says:

  Me napenda kula ,Nina kilo 89 ,kitambi ndo kinaninyima rahaa na vitu vinavyoongeza kitambi ndo napenda,Naomba kila siku nipate ujasiri Wa kuacha hivyo vitu

 52. Tudor Docks Tudor Docks says:

  Samahani naomba kujuwa dawa ya mazinde/masinye (meno) yananisumbua

 53. Nitajitahidi maana si kwakitambi hiki

 54. Mimi ninataka nipungue tumbo tu nifanyeje

 55. Asante👆😀🙏🙏

 56. Malis Bin Lukalula Malis

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *