nguvu za kiume

nguvu za kiume

Nguvu za kiume

Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.

Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.

Sababu za Wanaume kuishiwa nguvu za kiume:

Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni.

Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka sababu ya umri. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wa umri kuanzia miaka 61 na kuendelea ndiyo wanapatwa na tatizo hili zaidi kuliko wanaume wenye umri wa miaka 41 Kushuka chini.

Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo. Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana.

Soma hii makala kiundani kwa kubonyeza hapa => Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

 

(Imesomwa mara 6,719, Leo peke yake imesomwa mara 3)

You may also like...

10 Responses

 1. Hokororo Beny says:

  Asante kwa kutuelimisha

 2. Mr. Abraham says:

  Nimefurahi kwa kusoma mengi juu ya afya katika makala hii! Naomba kujua aina nyingine ya mazoezi yanayoasaidia kuimarisha nguvu za kiume mbali na kuchuchumaa na kusimama.
  Pia naomba kujua kama kuendesha baiskeli yana athari zozote (chanya au hasi) kwa nguvu za kiume.
  Mwisho naomba kujua zaidi kuhusu mahusiano kati ya Mlonge na nguvu za kiume
  Asante

  • fadhili says:

   Inategemea, kama uzito wako upo juu fanya jogging ili uzito upunguwe na uwe sawa kwa mjibu wa urefu wako, kama uzito wako upo sawa fanya zoezi la kuchuchumaa simama kila siku na yanatosha kabisa hayo.

   Kuendesha baiskeli ni sawa na kutembea kwa miguu, ni mazoezi mazuri hata hivyo isiwe too much.

   Mlonge unaondoa sumu mwilini, nguvu za kiume kwa sehemu kubwa ni tatizo la sumu mwilini sababu ya vyakul, vinywaji vya kisasa na vilevi vyenyewe, hivyo chochote kinachoondoa sumu mwilini lazima kitakupelekea nguvu zako kuongezeka, kama hiyo haitoshi mlonge una madini ya zink ambayo ni mhimu sana kwa homoni za kiume. Zaidi kuhusu mlonge soma hii =>http://www.fadhilipaulo.com/jitibu-magonjwa-300-kwa-kutumia-mlonge/

 3. rahabu says:

  asante nimeelimika

 4. Exodus bulemo says:

  Asante kwa elimu bure yenye tija kwa afya yetu,barikiwa sana ndugu

 5. fadhili says:

  Niachie ujumbe WhatsApp +255769142586

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *