Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini

You may also like...

923 Responses

 1. Siyo elimu zote zinapatikana darasani.

 2. Asante sana kutupa utaalam wa kuondoa sumu mwilini!

 3. Kaka asante kwa somo hilo zuri na mengineyo uliyowahi kutoa.tangu nimefatilia mada zako na ushauri wako nomeona mabadiliko makubwa sana kwenye afya yangu.Mungu akubariki!!Uko vizuri 97%

 4. Asanteee tuombeane katika utekelezaji

 5. Asante kwa ushauri barikiwa.

 6. Vicky Swilla Vicky Swilla says:

  Asante kwa kutuelimisha Mungu akubariki uendelee na moyo huo

 7. Geofreys says:

  Somo zuri ila vp ntatumia. Vyakula gani Ili uume uweze kusímama vzur na kuwa na nguvu?

 8. Joachim Eras Joachim Eras says:

  ubarikiwe dr endelea kutuelimisha

 9. James Otto James Otto says:

  Ubarikiwe docta.

 10. As ant uwe maisha marefu

 11. Asante Kwa Elimu Nisaidie Kmaiwazo Kifua Kinauma

 12. Merry Shao Merry Shao says:

  Ubarikiwe sn ndugu yetu

 13. Misha Abdul Misha Abdul says:

  Inshaallah mmung akuzidishie ufahamu na uzidi kutupa elimu kwa afya zetu

 14. Bihawa Saidi Bihawa Saidi says:

  Asante sana Dr.tunamomba mungu akupe umri mrefu

 15. Asante sana kwa ili somo.

 16. Joel Fungo Joel Fungo says:

  Maharage meusi…!? Umenifungua maana niliyachukia tangu nilipoanza kuwa na uwezo wa kupambanua mambo….karibu miaka 40 iliyopita.

  Uishi na kuzidi kuyafikia malengo yako.

 17. Aisaa Mushi Aisaa Mushi says:

  Asante uko vizuri ila dose zako za vitungu mlonge na mbengu za maboga sijazielewa

 18. Hope Edson Hope Edson says:

  Ahsante kwa tiba

 19. Nashukuru kwa somo.je majani ya mlonge ukichemsha yanafaa kwa mama mjamzito?

 20. mungu akuongeze siku nyingi za kuishi uzidi kutuelimisha

 21. Bupe Kangele Bupe Kangele says:

  Tunashukuru sana kwamaelezo yako najua tutafanyia kazi asante doctor mungu akuongezee maisha malefu iliuzidi kutufundisha

 22. Mim na tatizo LA kukauka kooni cjy nifanyaje doctor some time nikinywa maji nashndwa kukata kiu mpaka ninywe maji ya baridi nisaidie nifanye nn kuondokana na hyo ali

 23. Oky thanks Dr je wanaofanya kaz kwenye hayoo madawa za kilimoo unawashaurijee

 24. Singo says:

  Mungu azidi kukubariki ndugu

 25. Anna Gervace Anna Gervace says:

  Mungu akuongezee miaka ya kuishi hapa duniani.Akuepushe na yule mwuovu Shetani. Barikiwa sana maana umeniguza sana.

 26. kathryn says:

  Hongera kwa kazi nzuri, mi nlkua nashindwa kupumua vizuri nkaenda hosp wakanambia nna uchafu kwene mapufu, nkapewa dawa hali ikawa nzuri ila zilivyoisha tatizo limejirudia japo si kama mwanzon.. naomba ushauri wako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *