Sababu za mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa na suluhisho lake

Sababu za mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa na suluhisho lake

You may also like...

203 Responses

 1. Asante barikiwa sana doctor kwa kutuelimisha

 2. Habari,,,,mm nina tatizo la kupiga punyeto kila wakat hata nikiwa darasani natoka naenda nyumban nafka napga punyeto halafu narudi tena yan nimeshindwa kujizuia naomba ushaur na msaada wako nifanyeje ili niache hili jambo mana linanitesa sana Dr.

 3. Asante kwa Elimu hiii. Barikiwa sana Doctor

 4. Dokta kuna madhara gani kwa mwanamke mjamzito kufanya mapenz.

 5. Msg sent dr Barikiwa. Bahati mbaya wengi wenye shida hizo kwenye social media Hawapo na hawajui wamweleze nani?

 6. Thank you so much doctor am much understand

 7. Xafi xafi sana Daktari wetu!

 8. Leovina Usha Leovina Usha says:

  Ahsante nashukuru xana dokta ubarikiwe

 9. Batuli Juma Batuli Juma says:

  shukrani kwa elimu Mungu akubariki

 10. Mungu akujarie maisha mema

 11. Ahsante sanan…swali.kula mayai 2 mpk 5??niliwahi kusikia mayai 3 yakizidi ni mbaya kwa afya hapo vepi mtaalaum??

 12. Nauliza mdalasini unaotakiwa hapo kuna mdalasini nimenunua cyo wa unga wanasema ni waIndia ila una sukari sn nitumie maana nikiuchemsha unatoa rangi ila unasukari

 13. Rose Jackson Rose Jackson says:

  Asante kwa ushauri nimejifunza kitu maana tatizo hili ninalo

 14. Dr huo ndalasini una sukari wanasema wa India nichemshe ninywe hauna madhara

 15. Asante kwa somo zuri sana barikiwa

 16. Nimekuelewa Dr.somo zurii

 17. Sorry dr naulizia unga wa msamitu nitaupataje mi nko mtwara

 18. Asante kwa somo nzuri

 19. Fue Elias Fue Elias says:

  Tusaidie kwa upande wa wanaume pia

 20. Somo zuri sana, mkuu

 21. Tunashukuru Kwa elimu hii

 22. Alice Simeon Alice Simeon says:

  Asante DR mi nimpenzi sana wa popcorn naomba unifafanulie zaidi madhara yake

 23. Be blessed Dr. fadhil

 24. Aysha Jurry Aysha Jurry says:

  Ahsante dokta,lakini mdogo Wangu anatambia yakukojoa Mara kwa Mara na akinywa maji zaidi anazidi kila dk huenda haja
  Je.?ipi tiba yake

 25. Heavenly Man Heavenly Man says:

  Vip tena popcorn chai ya rangi na kahawa.

 26. Asante. Ubarikiwe.

 27. Naunga mkono hoja ,unakuwa na furaha zako unamsubir mwenzi akitoka huko anakuvuruga hamu yote inaisha ,

 28. Ashura Dunia Ashura Dunia says:

  Barikiwa sana dokta kwani nimejifunza jambo nikiwa na Mimi ni muathirika

 29. Asante kwa ushauri

 30. ubrkiwe dr. unaptkana sehemu gan kwa dar? natk nije npate vipimo mbl mbl, naomba na gharama zake, mf. kipimo cha kizazi

 31. Anna Marco Anna Marco says:

  Asnte dr nimejifunza ila naomb nikuone wasap nitumie no

 32. Mungu akubariki uwendelee kutuelimisha ujumbe mzuri sn Dr

 33. Ahsante daktari.Je nimekuwa nikiskia Kukumanga ina madhara?ni ukweli?

 34. Kwanza asante sana kwa somo mm nimoja wapo kiukweli yani huwa sina hata hamu ya kufanya mapenzi kwa somo hili nimepata chanzo huwa nn kwangu

 35. Asante sana doctor,, mmh nimejifunza kitu

 36. Doctor kunarafiki yangu anatatizo la kujaa maji ukeni tiba yake nn

 37. Nimeelewa sana kuhusu ndiz na parachichi asante Nina shost afurahii ndoa

 38. kumbe dr hili ni janga la taifa kwa pande zote mbili hahahahahahahaa nihatali sana asante kwakutupa viagra bule baliwa dr fadhilipaulo.com

 39. Barikiwa sana,,,nimependa

 40. Sara Michael Sara Michael says:

  Ahsante kwa somo

 41. Jadida Swedy Jadida Swedy says:

  Ahsante Dr nitakufata whatsapp

 42. Ubarikiwe dokta kwa elimu nzuri, endelea kutujuza na mengine zaidi: mf: tiba ya kupunguza unene wa tumbo

 43. Soma elimu haina mwisho Yassin Ibrahim Richard Cornel

 44. axante xana kwa ku2elimisha juu ya hilo doctor

 45. Swali kwa Doctor kuna MTU yeye huwa akiamka asubuhi huwa ana mate mengi sana mdomoni halafu ni mepesi sana je tatizo ni nini na huyu tiba yake ni nini?? Doctor;;;

 46. Anita Glad Anita Glad says:

  Dokta nitapata wapi unga wa mlonge, mjamzito anashauliwa kula mini au matunda gani zaidi.

 47. dah! cjui ulikuwawap tu kaka yan m mpak nishagaona wanaume kama vile hewa tu hata aniguse wapi zero sababu ya kutendwa kila napopenda nilikuwa naona kawaida tu ” kiukweli nawachukia nyanya chungu nyuma”

 48. Elias Ifubo Elias Ifubo says:

  Asante kwa Elimu nzuri

 49. Safi sana Mungu akupe wingi wa rehema.

 50. Hongera sana kwasomo zuri

 51. Asante wengi tutapona

 52. Juritha John Juritha John says:

  asante doctor kwa somo zuri

 53. Naomba namba yako niongee na wewe personally

 54. Doctar mm natatzo la kifua kifua kubana na niktembea pumz huwa kdogo xana na nina hema xana na miguu kwenye magoti huchoka na kulegea tatzo nn? na tiba yake nn?

 55. Machete More Machete More says:

  Namekusoma my sweety

 56. Revi Minja Revi Minja says:

  Asante sana doc Umenivusha Mahal

 57. Ningeomba uje in bx

 58. Safi umeponya ndoa zawengi barikiwa

 59. Sara Haule Sara Haule says:

  Naomba uje in box

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *