Shinikizo la damu husababishwa na nini?

Shinikizo la damu
Sphygmomanometer

Shinikizo la juu la damu ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu.

Vitu vifuatavyo vinaweza kusababisha shinikizo la juu la damu:

 1. Uvutaji sigara
 2. Unene na uzito kupita kiasi
 3. Unywaji wa pombe
 4. Upungufu wa madini ya potassium
 5. Upungufu wa vitamin D
 6. Umri mkubwa
 7. Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
 8. Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin

Uanishaji wa shinikizo la damu

Presha ya kawaida <120 <80
Presha inayoelekea kupanda 120-139 80-89
Presha hatua ya 1 140-159 90-99
Presha hatua ya 2 160-179 100-109
Presha hatua ya 3 ≥180 ≥110

mbegu-za-maboga

(Imesomwa mara 147, Leo peke yake imesomwa mara 4)

You may also like...

4 Responses

 1. leonard says:

  nahitaji huduma hii iweinaingia kwenye emails yang

 2. isha says:

  Nini husababisha miguu kuuma pindi uamkapo asubuhi je hyo pia n presha

  • fadhili says:

   Hapana sidhani kama ni presha, soma hii post =>http://www.fadhilipaulo.com/maumivu-mbalimbali-mwilini/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *