Shuhuda

Shuhuda za watu mbalimbali wanaotumia blog hii

Una ushuhuda wowote kama matokeo ya kutumia blog hii? jaza fomu hii hapa chini

Nimepata comment nyingi sana za kunipongeza na kushukuru kuhusiana na yale ninayoandika, sasa nahitaji maelezo ambayo ni ushuhuda kamili namna mnavyofanikiwa huko kupitia hapa

Unachohitaji ni kujaza fomu hiyo hapo chini ili kutuma ushuhuda wako.

Namba yako ya simu na barua pepe yako (email) haitawekwa hadharani labda utowe hiyo ruhusa wewe mwenyewe.

Unahitaji maelekezo namna ya kujaza hii fomu?

Ili kujaza hii fomu ya ushuhuda fuata hatua hizi:

1. Name = Andika jina lako kamili

1

2. Website = Kama una tovuti au blog andika anuani yake hapa, kama huna acha wazi

2

3. Profile Picture = Hapa sasa weka picha yako kwa kubonyeza neno “Browse” na uchukuwe picha yako huko ilipo kama ni kwenye computer au popote ulipohifadhi katika simu

3

4. Star Rating = Hapa weka ushuhuda wako kwa mfumo wa nyota, bonyeza mshale unaoshuka chini kuchagua kama ni nyota 5,4, 3,2 au 1, au acha tu iwe nyota 5 kama ilivyo

4

5. Testimonial = Hapa sasa andika ushuhuda wako vizuri kabisa.

5

6. WhatsApp Number => Hapa andika namba yako unayotumia WhatsApp. Kumbuka namba yako ya simu na barua pepe yako (email) haitawekwa hadharani labda utowe hiyo ruhusa wewe mwenyewe.

index7

7. Submit testimonial = Tuma ushuhuda wako kwa kubonyeza hiyo batani yenye neno “Submit testimonial” na tayari utakuwa umenitumia ushuhuda wako.

Tuma ushuhuda wako sasa, ni dakika 2 tu unahitaji kujaza fomu hii ifuatayo

Name
Website
Profile Picture
Star Rating
Testimonial
WhatsApp Number
 

 

Shuhuda za watu mbalimbali wanaotumia blog hii:

fadhilipaulo.com 4.78 out of 5 based on 67 ratings. 67 user reviews.
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Naitwa Godwin Samki nafatiliaga sana makala mbali mbali but moja ambayo imenusaidia mm ni kitunguu saumu nimekuwa nikisumbuliwa na U.T.I for a time but I started this medication just for 2 weeks na kila siku nilikuwa nakula punje 8 za kitunguu swaumu na sasa nipo vizuri kabisa
6
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Nimeanza kutumia dawa zako mwezi huu wa pili na ninatamani kupata mafundisho mengine zaidi kuhusu magonjwa mbali mbali hasa BP na Kisukari
http://www.johnkijo.go
8
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Ninaipenda blog hii sanaaaa inanielimisha vilivyo lakini pia nimeweza kufahamu mambo kadha wa kadha ambayo sikuyafahamu hapo mwanzo so nampongeza daktari wetu au mkufunzi wetu Mungu amubariki na aendelee kutujuza zaidi asante.
9
1 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Innocent Henry
Mm ushuhuda wangu ni kuhusu vitunguu swaumu na tikiti maji nilikuwa na tatzo la nguvu za kiume nilikuwa nawahi kufika na kushindwa kurudia mara ya pili lakini tokea nilivyosoma makala zako na kuzifanyia kazi nashukuru Mungu heshima imerudi nyumban.
10
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
hassan abeid
Nlikua victim mkubwa wa musterbation hii ilikua ni kutokana na ukosefu wa elim hii, bt tangu nlipopata elimu kuhusiana na athari za masterbation kupitia kwako bwana fadhili paul nahakika tatizo lilikua solved hii ni baada ya kuimplimant zile njia ulizoelekeza namna ya kuepukana na masterbation. Bt now npo safe.
12
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Nilikua na matatizo katika mfumo wangu wa uzazi nikatumia juice ya udishe imenisaidia sana na mpaka sasa hivi hali ni nzuri kabisa.
13
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Lazaro Adam
Asante Mr Fadhili Paulo.
Kwa kifupi tu niseme napenda kusoma makala zako nyingi tu unazozi-post facebook kwani zinafundisha mno na kunifanya nibadilishe hata ile life style yangu mfano nilivutiwa sana na ile makala yako ya kitunguu swaumu na tatizo la nguvu za kiume, kiukweli nilielimika sana kwani ulianza kudadavua kimoja baada ya kingine kuanzia na maana ya nguvu za kiume, nini kinasababisha, nini kifanyike, na jinsi kitunguu swaumu kinavyoweza kusaidia katika kuondoa tatizo hilo pamoja na vyakula vingine vya asili, kwakweli nimepata maatifa sana na nimekuwa mtumiaji mzuri wa kitunguu swaumu kwenye chakula niwapo nyumbani pamoja na spices nyingine ambazo ulifundisha.
Kwakel yapo mengi ambayo nimeyapata katika makala zako ambayo yananifanya niishi kwa tahadhari kwa baadhi ya vyakula, kama ile makala yako iliyogusia uzito mkubwa na magonjwa ya sukari na presha, faida za mazoezi, faida ya maji safi ya kunywa katika kutibu magonjwa mwilini yaani kama hili limenifanya niwe mnywaji mzuri wa maji safi ya kunywa yasiopungua lita 3 kwa siku na yananifanya najisikia vizuri kwakweli, na mengine mengi ambayo kwakweli kama kuandika nahisi sitamaliza ila nafikir kwa hayo machache ni ushuhuda tosha kabisa.
14
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Kwa kweli nimefaidika sana kwani nilikuwa nina matatizo ya mkojo kuuma lkn nimefuatilia makala yako yamenisaidia sana kwani yale ulioyaelekeza nimeyafanyia kazi na nimepona ndo maana leo nimependa na mimi leo nimeona niache ushuhuda juu ya huduma yako.
http://alhajibakari3@gmail.com
20
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Kwa kweli nimefaidika sana kwani nilikuwa nina matatizo ya mkojo kuuma lkn nimefuatilia makala yako yamenisaidia sana kwani yale ulioyaelekeza nimeyafanyia kazi na nimepona ndo maana leo nimependa na mimi nikuachie ushuhuda wangu
http://alhajibakari3@gmail.com
21
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Ulinitumia Juisi ya Udishe na imenisaidia sana na sasa nipo huru kutoka kwa kile kilichokuwa kinanisumbua, kwa kifupi umekuwa msaada mkubwa kwangu
22
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Utumiaji wa tiba zinazohusiana na viungo kama vitunguu swaumu, mdalasini, tangawizi nk, umenisaidia sana kuimarisha afya yangu ya uzazi kwa kuongeza kiasi cha nguvu na wingi wa manii, hivyo naendelea kutumia na natafuta pesa ili nipate huo unga wa udishe ili niweze kuwa vizuri zaidi.
http://masululithegreat@gmail.com
24
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Vicent Choli
Habari, napenda kutoa ushuhuda kwa maelezo uliyoyatoa juu ya mbegu za maboga na matumizi yake hakika nilifanikiwa vya kutosha.
Ubarikiwe
25
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Mimi nilikua muathirika wa kujichua yaani kupiga punyeto, nilikua na uwezo wa kujichua hata mara tatu mpaka NNE kwa siku moja yaani nilikua addicted kwa kiwango kikubwa sana ila bààda ya kusoma Makala yako iliyokua inaelezea madhara yatokanayo na kujichua pia ulielezea njia bora za kujiepusha na kujichua hakika toka nimesoma Makala hiyo hivi sasa Nina zaidi ya wiki mbili sijajichua kabisa pia nahisi mwili una nguvu tofauti na awali.

Tunashukuru sana kwa Makala zako za Afya zinasaidia sana jamii yetu. Nakuhakikishia nitakua balozi mzuri wa kazi zako.
26
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Ndio natumia sasa mabadiliko yameanza
http://eliasjames20@yahoo.com
27
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Nimependa sana somo la kitunguu swaumu
28
1 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
I learn many things from you some of your things help me and others so its better being near with you in order to benefit more in health.

Thank YOU very much
http://Mkihame2422@gmail.com
29
5 out of 5
fadhilipaulo.com
02/02/2016
Namna ya kujitibu kwakutumia maji.
nilikua na tatizo la kukauka ngozi na kutowajibika vizur kwenye tendo la ndoa lakini baada ya kutumia ushauri wako juu ya umhimu wa maji mwilini imenisaidia sana.
http://rajabmshamo@gmail.com
30
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Ahsante sana kwa makala zako, nimepata faida nyingi nilipotumia dozi ya asili ya vitunguu swaumu na nimeboresha sana afya yangu.

Yosajom
http://yohanasamwel.ys@gmail.com
31
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Emmanuel
Nilijifunza HAPA namna ya kuondoa chunusi na madoa usoni kwa kutumia matango kupitia makala zako, nimetumia ushauri huo na hatimaye nimefanikiwa kumaliza tatizo la chunusi usoni Kwangu.

Ahsante kwa kazi nzuri
32
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Lucas Maro
Habari!
Ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kupata taarifa za kiafya kutoka kupitia blog hii.
Nimeboresha mfumo wangu wa maisha kiafya kutokana na masomo ya afya yanayotolewa hapa.
Mungu akubariki ndg Fadhili.
33
4 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
SAMWELI THOMAS
Bwana Fadhili Mimi naikubali sana kazi yako
Kwakweli nimekuwa nikifuatilia post zako na kujaribu kufuatilia kwakweli nimefurahi
napia nimependa sana Kuwa pamoja na wewe katika kubadilishana mawazo.

 
http://jokaniajairo@gami.com
36
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Uwezo wangu kwenye mahusiano umekuwa imara baada ya kufuata maelekezo jnsi ya kutumia kitunguu saumu, chai ya tangawizi, mdalasini pamoja na asali.
37
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
mike
Habari ndugu,

Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru sana msaada wako wa dawa. Niliagiziwa mwaka jana December kwa njia ya basi na imekuwa na matokeo dhahiri. Tuliwasiliana kwenye WhatsApp na ukaniahidi kuwa utaendelea kunijuza zaidi nini cha kufanya.

Tafadhali, usinitoe hewani ila jua tu kuwa nimeona uweza wa Mungu kupitia ujuzi aliokupatia.
Asante,
Mike.
38
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
I had learnt a lot about fruits and other vegetable benefits from you.
http://facebook
41
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Kwa kweli sijawahi kupata tatizo la kiafya ila napendezwa sana na dondoo za afya unazoandika hapa. Endelea hivyo hivyo.
http://jephlaizer@yahoo.com
42
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Habari za leo ndugu
Napenda kutoa ushuhuda wangu nimekuwa nikitumia kitunguu swaumu kama ulivyoelekeza chembe 8-10 hakika nimepata matokeo mazuri Mungu akubariki sana.
43
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Nimeweza kujifunza magonjwa mengi na mengine nilikuwa siyafahamu na namna ya kuyatibu kwa kutumia vyakula asilia.
46
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Kwanza kabisa nipende kukupongeza na namna utendaji wa kazi unavyoufanya na kutufikishia habari kuhusiana na afya kwa binadamu kiujumla, nimefuatilia kwa takribani miezi isiyopungua mitano katika mtandao wa facebook, nimependezewa na namna ya kutumia vitunguu saumu na kuweza kutatua tatizo la nguvu za kiume japo kwa mimi hii tiba imeweza kunipatia majibu mazuri kwa tatizo la kujaa gesi muda mwingi na kunifanya nikose raha kila wakati, nakuombea kwa mwenyezi Mungu afya na baraka tele maishani mwako.
Mimi isaya wa kalobe mbeya.
http://isayawatson3@gmail.com
49
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Aloyce Mwanyanje
unywaji wa maji safi na salama ni dawa tosha..imenisaidia kupunguza msongo wa mawazo,kuondoa uchovu na gesi tumboni na kuimarisha uwezo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwepo kwa msukumo wa damu ulio bora!
http://www.aloycemwanyanje.com
50
4 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na jinsi ya kukabiliana nalo
51
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Nilipata nafuu juu ya namna vidonda vya tumbo vilivyokua vinanitesa, nilikua nakula lakini sipati haja kubwa kirahisi ilikua hata nikibanwa nikienda msalani vinatoka vigumu kama mavi yambuzi. lakini kiukweli ushauri wako ulinisaidia sana na kwa sasa nilikua natafuta namna yakukupata ili uwe msaada kwangu zaidi.
http://www.Mangube@ovi.com
52
5 out of 5
fadhilipaulo.com
03/02/2016
Since I stated to use the water therapy I have seen difference because I had the tendence of taking water once u got thirsty since I apply the message I couldn't seen the coloured urine which I used to experienced which brought pain whenever I used to urinate now I keep to take water regularly won't seen the colouled urine looks yellow, I thanx for message I keeps apply some other message got from Facebook a page
55
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Mwesuwa
Hi kitu m imenisaidia sana tena sana kama ulivyo sema ulaji wa tikiti na kitunguu swaumu ni dawa nzuri pamoja na kula ugali wa dona kila siku basi nami nilifanya hivyo na nikajikuta napata maendeleo makubwa tu nilikua napata shida ya kupata choo lakini sasa hivi napata bila ya shaka n pia babu wangu yuko poa kabisa. any way thanx bro
http://facebook
56
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Nimepata mabadiliko makubwa katika mwili wangu kwa kumeza vipande vidogo vidogo vya vitunguu swaumu....hata matatizo ya mkojo pia imenisaidia kwa kiasi fulani
http://jawadh203@gmail.com
57
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Eliakim Emma
Mimi sina ushuhuda.. Ila natumani iko siku ntashuhudia maana.. Ninaumwa na nnahitaji msaada wa kiafya...
58
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Ninatoa ushuhuda wangu jinsi kitunguu swaum kilivo msaidia rafiki yangu kurudisha heshima ya nyumba. Asante
59
4 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Unywaji wa maji somo limenisaidia sana..... Mwili ulikuwa unachoka lkn sasa nakunywa maji mengi wala sichoki
http://elzbethmariwo@gmail.com
60
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Hi, nimetumia maji kama ulivyoelekeza na nahisi kuwa na afya njema zaidi kuliko nilivyokuwa nakunywa tu maji bila utaratibu.

Thanx Barikiwa sana
http://jameschambua@yahoo.com
63
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Nimefaidika na topic yako ya kuhusu nguvu za kiume
64
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Khatibu Khalid Mkungile
Dr. Napenda kutoa ushuhuda wangu kutokana na dawa ulioelekeza juu ya vitunguu swaumu na unga wa udishe uliimarisha mfumo wangu wa uzazi ikiwemo kuongeza nguvu za kiume
http://mkungilekhatibu@gmail.com
65
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Kama ilivyoelezwa maji ni uhai nmekuwa nikitumia maji kiasi cha lita 3 per day.. nimekuwa katika afya nzuri na bila kuwa na homa za mara kwa mara
http://deoassenga96@gmail.com
66
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Ushuhuda wangu,, nilitekeleza zoezi la kunywa maji mengi kwa siku na kufanya mazoezi mbalimbali ya mwili na mpaka sasa hivi nafanya hivyo,, Tatizo langu lilikuwa ni mwili ulikuwa na mafuta mengi lakini nilivyoenda kupima tena nikaambiwa mafuta yamepungua asilimia fulani na si kama awali, kwahiyo naendelea na mazoezi kwa saana pamoja na kunywa maji mengi
http://Danielmsisi18@gmail.com
67
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Nimefuata ushauri wa kutumia maji glass nne asubuhi.. kwa sasa afya yangu iko poa ikiwa ni pamoja na afya ya uso kuwa mwololo. nakushukuru kwa hilo...
69
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Issa Makweta
Nashukuru sana Mr. Fadhili kwa kuanzisha huduma hii.

Ahsante sana

Mungu akubarik Amen
71
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Nahwahwa Emmanuel
Habari

Nimezingatia ushauri wako wa matumizi ya vitunguu swaumu kitika mambo ya uzazi na vimenisaidia sana!
72
5 out of 5
fadhilipaulo.com
04/02/2016
Mohamed Juma
Nilikubali tiba mbadala ya tatizo la nguvu za kiume kwa kutumia vipande viwili vya kitunguu saum asubuhi na jion. ASANTE dr
76
5 out of 5
fadhilipaulo.com
05/02/2016
Nimejaribu kumuelimisha mke wangu kuhusiana matumizi ya matibabu mbadala ya U.T.I na sasa na shukuru Mungu kutokana na maelekezo yako nimepata kujifunza na mke wangu sasa yuko salama
77
5 out of 5
fadhilipaulo.com
05/02/2016
Nimetumia vitunguu saumu kwa sasa
naendelea vizuri nimesumbuliwa sana na sukari
http://NIL
78
5 out of 5
fadhilipaulo.com
06/02/2016
Mussa Andrew
Nimeguswa na makala zako na kwakweli zina mchango mkubwa sana ktk maisha ya mwanadamu hasa anayejali afya yake. Hivyo ningependa kujifunza zaidi kutoka kwako tips za kiafya.
79
5 out of 5
fadhilipaulo.com
06/02/2016
Suzy Laizer
Hongera sana kwa Tiba Asili. Binafsi yangu huwa napenda sana kufuatilia Tiba Asilia unayo tupatia humu. Nimejifunza mengi saaana. na Haswa kunywa maji kabla ya kifungua kinywa. Imenisaidia sana.
http://sussanelaizer4@gmail.com
80
5 out of 5
fadhilipaulo.com
06/02/2016
Josephat
Kuna mpenzi wangu nilimpa maelekezo juu ya U.T.I uliyowahi kutoa kupitia facebook anadai saiv anajisikia afadhali kama amepona kabsa.
81
5 out of 5
fadhilipaulo.com
06/02/2016
Farid Muniry Khalfan
ukwel sijawah kutumia dawa zako ila nimfatiliaj mzur wa mada zako na zinanisaidia sana katka kulinda afya yangu kiujumla..hongera sana kwa kutuelimisha.
83
5 out of 5
fadhilipaulo.com
07/02/2016
Nimekuwa nkisumbuliwa na upungufu wa nguvu za kiume, nakupitia hapa nimejifunza sababu kubwa ni mzunguko mdogo wa damu kwahiyo nimejifunza kufanya mazoezi na kutumia matunda hata kama siumwi, asante Kwa ushauri wako mzuri na nimeaza kuona faida zake.
84
5 out of 5
fadhilipaulo.com
07/02/2016
Kaka mimi ninapenda karibu mada zako zote. Mada niliyoioenda hasa ni hii ya kujitibu kwa kutumia maji. Kwangu mimi ninaamini maji ni moja ya dawa nzuri sana. Hapo zamani ilikuwa nikiumwa kichwa tu nakunywa panadol, lakini siku hizi nimeacha, huwa najitibu kwa kunywa maji ya kutosha na kupumzika thn kichwa kinapona unless kiwe kinauma kwa sababu zingine.
85
5 out of 5
fadhilipaulo.com
08/02/2016
Abou Abas
Nimetumia tangawizi na asali kwa mda fulani na nimeona mabadiliko mazuri
86
5 out of 5
fadhilipaulo.com
08/02/2016
Ninapenda kutoa ushuhuda kwa jinsi nilivyofanikiwa kiafya hasa pale kitunguu swaumu kilivyonisaidia kuimarisha kinga za mwili na kuchangamsha seli za ubongo na kutoa sumu mwilini. Pia juisi ya ubuyu imenisaidia kuupatia mwili wangu virutubisho vingi
87
5 out of 5
fadhilipaulo.com
09/02/2016
Sikua naamini kua kuna dawa za asili na pia kua baadhi ya spice au viungo vya mboga ni dawa ila baada ya kusoma habari zenu kwenye facebook nimefarijika na kuona bora niache USHUHUDA WANGU HAPA
88
4 out of 5
fadhilipaulo.com
09/02/2016
Khalid Said
Kiukweli nimefuatilia maelekezo ya kitunguu swaumu pamoja na asali na unga wa mdalasini sasa nafurahia matokeo yake kwani mwanzo nilikuwa nawahi sana kufika kileleni na uume wangu ulikua hausimami kwa nguvu kabisa ila sasa unasimama hadi naumia ila sasa nafurahia sana
89
4 out of 5
fadhilipaulo.com
10/02/2016
Namunda
Nimepona fangas ya mguuni kati ya vidole kwa asali na mdalasini
91
5 out of 5
fadhilipaulo.com
11/02/2016
Laipala Benard
Mafunzo yako yamekuwa ya manufaa sana katika afya yangu. Kabla nilikuwa nikipatwa na maumivu ya mara kwa mara, nilikuwa natumia madawa ya kupunguza maumivu. Lakini kwa miaka miwili tangu nipate mafunzo yako juu ya kutumia maji, kitunguu saumu, machungwa nk kama tiba kamili kwa magonjwa tunayopata sijawahi tumia tena painkillers kwa kupunguza maumivu ya kila wakati. Hakika namaanisha kweli kwa miaka miwili sasa mwili wangu sijatumia madawa ya hospitalini tangu nilipo pata mafunzo yako.

Mungu akubariki sana.

Ahsante
93
5 out of 5
fadhilipaulo.com
11/02/2016
Joseverest Jose
Kusema ukweli nimekuwa nikifuatilia makala zako Facebook. Ni nzuri na zinasaidia kweli. Kwa mfano ile tiba ya maji imenisaidia sana kwani imekuwa ni utaratibu WANGU kunywa maji kila siku yaani. Pia uzito wa mwili WANGU umepungua Kwa kiasi kikubwa. Kwa upeo wako unavutia watu wengi Kwa mafundisho yako na asilimia kubwa ya watu wanakukubali sana..

Nashukuru sana.. ubarikiwe
94
4 out of 5
fadhilipaulo.com
11/02/2016
Nimefurahi Kusoma makala za hapa, ni Nzuri na zinaelimisha sana

 

Keep it UP
95
5 out of 5
fadhilipaulo.com
11/02/2016
Nilikuwa nakojoa mkojo mwekundu na kichwa kinauma. Niliposoma somo la maji nikafuata maelekezo uliyoelekeza kwenye lile somo. Nikayafanyia kazi. Sasa kichwa kimeacha kuuma na mkojo nakojoa mkojo mweupe.
96
5 out of 5
fadhilipaulo.com
11/02/2016
Vaileth John
Nilikuwa nasumbuliwa na presha toka nimeanza kutumia kitunguu saumu najisikia vizuri moyo hauendi mbio kama zamani.
97
5 out of 5
fadhilipaulo.com
15/02/2016
Masoud
Nimefaidika sana hasa katika tiba ya vitunguu swaumu na maji..kwani hapo awal nilikuwa nawah sana kufika kilelen chini ya dk 30 harafu uwezo wa kurudia tendo nilikuwa sina.
Lakin sasa nashukuru kwa hilo
http://Masoudmrisho7@gmail.com
108
5 out of 5
fadhilipaulo.com
09/02/2016
Elizabert Lulandala
Habari.

Ahsante kwa kutujuza taarifa mbalimbali kuhusu afya. Kupitia makala yako imenisaidia nilikuwa na tatizo la low blood pressure ila kwa sasa nashukuru Mungu ninaenda linapungua
109
fadhilipaulo.com
27/02/2016
Mungu Awabarik Kwa Makala Zenu
110
4 out of 5
fadhilipaulo.com
14/03/2016
Asante sana Bwana Fadhili. Nimetumia Juisi ya Udishe na imenisaidia sana katika mahusiano yangu. Ninairecommend kwa wengine pia wenye tatizo la nguvu za kiume kwasababu ni tatizo kubwa hivi sasa.
http://machagejr@gmail.com
113
5 out of 5

Una ushuhuda wowote kama matokeo ya kutumia blog hii? jaza fomu hii hapa chini

Nimepata comment nyingi sana za kunipongeza na kushukuru kuhusiana na yale ninayoandika, sasa nahitaji maelezo ambayo ni ushuhuda kamili namna mnavyofanikiwa huko kupitia hapa

Unachohitaji ni kujaza fomu hiyo hapo chini ili kutuma ushuhuda wako.

Namba yako ya simu na barua pepe yako (email) haitawekwa hadharani labda utowe hiyo ruhusa wewe mwenyewe.

Unahitaji maelekezo namna ya kujaza hii fomu?

Ili kujaza hii fomu ya ushuhuda fuata hatua hizi:

1. Name = Andika jina lako kamili

1

2. Website = Kama una tovuti au blog andika anuani yake hapa, kama huna acha wazi

2

3. Profile Picture = Hapa sasa weka picha yako kwa kubonyeza neno “Browse” na uchukuwe picha yako huko ilipo kama ni kwenye computer au popote ulipohifadhi katika simu

3

4. Star Rating = Hapa weka ushuhuda wako kwa mfumo wa nyota, bonyeza mshale unaoshuka chini kuchagua kama ni nyota 5,4, 3,2 au 1, au acha tu iwe nyota 5 kama ilivyo

4

5. Testimonial = Hapa sasa andika ushuhuda wako vizuri kabisa.

5

6. WhatsApp Number => Hapa andika namba yako unayotumia WhatsApp. Kumbuka namba yako ya simu na barua pepe yako (email) haitawekwa hadharani labda utowe hiyo ruhusa wewe mwenyewe.

index7

7. Submit testimonial = Tuma ushuhuda wako kwa kubonyeza hiyo batani yenye neno “Submit testimonial” na tayari utakuwa umenitumia ushuhuda wako.

 

Tuma ushuhuda wako sasa, ni dakika 2 tu unahitaji kujaza fomu hii ifuatayo

Name
Website
Profile Picture
Star Rating
Testimonial
WhatsApp Number
 

 

(Imesomwa mara 7,589, Leo peke yake imesomwa mara 103)