Tatizo la ugumba kwa wanawake na suluhisho lake

Ujauzito
Ujauzito

You may also like...

46 Responses

 1. Habari kaka. Naitaji kuwasiliana nawe. Naomba mawasiliano nitakayokupata nayo

 2. duu kaka ubarikiwe sana

 3. duu kaka ubarikiwe sana

 4. Maganga Juma Maganga Juma says:

  eti kuna imani huku kwetu kwamba mwanamke akitoa mimba na asitembee na aliye mpa mimba,eti anaweza kuwa mgumbaa

 5. Lydia Nyanza Lydia Nyanza says:

  Kama mtu hayupo whatsap afanyeje ili kuwasiliana naww umsaidie dawa? Za mavimbe na milija kuziba.

 6. Lydia Nyanza Lydia Nyanza says:

  Kama mtu hayupo whatsap afanyeje ili kuwasiliana naww umsaidie dawa? Za mavimbe na milija kuziba.

 7. Aisha Omary Aisha Omary says:

  Yaan mm sijawai kupata mtt kbs na nimeisha fanyiwa opareshen wakidai nina uvimbe tumbon mbona tena ninao utanisaidiaje

 8. Dullah Muddy Dullah Muddy says:

  Dawa ya kushika mimba halaka unayo

 9. hbt dokta mm ninatatizo la uzazi sipati mimba ,napata maumivu makali wakati wa siku zangu

 10. Sify says:

  Kwa  kweli Mungu akubaliki kaka Fadhili kwa kazi unayoifanya Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele

 11. xamahan dr.naomba namba zako.

 12. Kama mtu umezaa watoto 2 halaf badae ukapata tatizo mimba kutunga ktk mrija halaf nikakatwa mrija 1 baada ya hapo nikashauriwa niweke kijiti ila toka nimekitoa ni mwaka je hapo tatizo nini na nimepewa dawa za miezi mitatu nishazimaliza dis month duinum

 13. Na bado mungu hajanijaalia kupata mtt mwengine sasa hapo je tatizo ni kitu gani???plzzz replay

 14. Recho Henry Recho Henry says:

  samahan Dr naomba zamawasiliano

 15. Moses Kunjo Moses Kunjo says:

  Dawa ya uzazi kwa haraka nitafute 0754339434

 16. umy says:

  My doctor told me i have PCOS kwasababu nilikua nakosa period na nikipata ni mara 3 kwa mwaka tuu na sasa hivi nikipata period haikati naweza kukaa hata mwezi tena ni heavy bleeding.nikaanza treatments kwaajili ya kupata ujauzito lkn OMG it was expensive nikaacha sikumaliza. Sasa kuna m2 akanishauri nitumie birth control pills ili Nipate period kila mwezi na ikifika siku za hatari niruke pill moja nikifanya nitaweza kupata ujauzito.yani hapa nilipo niko pakti ya pili na nilivyomaliza pakt ya kwanza nilipata period for 5days (nashukuru). Sasa cna hakika if this method will work for me.
  Sasa DOKTA FADHIL naomba nihakikishie kua dawa zitanisaidia? Na je naweza kupata ujauzito? Im really stressed. Thnx

  • fadhili says:

   Fanya tena vipimo upya kujua tatizo lako limefikia wapi na ni nini hasa kinafanya ushindwe kupata ujauzito

 17. idd mtambalike says:

  asante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *