Tatizo la Ugumba kwa wanawake

Ugumba
Ugumba

You may also like...

49 Responses

 1. Saadath Hashim says:

  zidi kutupatia elimu brother

 2. agness isowe says:

  sasa kama haukomazi mayai tiba ni nini

  • fadhili says:

   Ni kuachana na hivyo vinavyosababisha hali hiyo na nimeelezea kwa kina kabisa. Unatakiwa ukielewe kwanza ni nini hicho kimepelekea hali hiyo kwako ndipo itakuwa rahisi kujuwa nini ufanye kurekebisha hali hiyo.

   Ahsante kwa muda wako ndugu yangu Agness

 3. Varley says:

  Eti nimeambiwa siwezi juzalisha kwa kuwa mbegu zangu ni chache, je hiyo ni kweli! Na kama kweli tatizo hili litaishaje? Pia ni fangasi huku chini miaka kwa miaka, je hili litaishaje? Nimetumia dawa nyingu bila mafanikio.

  • fadhili says:

   Ndiyo Varley, kama una hilo tatizo la kuwa na mbegu chache (low sperm count) linaweza kuwa sababu ya kutokuzaa.
   Kwa low sperm count tumia mbegu za maboga lazima zitaongezeka sana, kwa fangasi huko chini tumia mafuta ya asili ya nazi lazima upone.
   Kama utakuwa na swali zaidi nitafute kwenye whatsapp.

 4. ledwina says:

  nice

 5. veronica Gerald Waniha says:

  Mimi nina shida nataka unisaidie

 6. Mary says:

  Habari dokta pole na kazi, ninaposex siku za hatari kesho yake naona matone ya damu na mimba haishiki lakn nikisex ck za kawaida sioni chochote. Je nina tatzo gan maana hali hii imedumu mwez wa pili sasa.

  • fadhili says:

   Siwezi kusema moja kwa moja tatizo litakuwa ni nini lakini ningekushauri ukaonane live na daktari hospitalini ili upate na vipimo kujuwa nini sababu ya wewe kushindwa kushika ujauzito. Karibu. Mary

 7. NI KO NA SHIDA YA KUJIKUNAKUNA MARA TU NIMALIZAPO KUOGA MAJI SIJUI NAWEza kutumia tawa gani? Au nifanye aje, hii shida imenijukuwa miaka 11 nikimaliza kuoga iwe maji bariti iwe maji moto mradi tu nimalize kuoga mwili unawasha washa mpaka joto ya mwili inijukuwe ndio nimalize kujikuna

 8. Asante ubarikiwe ,na tatizo la kuharibika kwa mimba mara kwa Mara hasa ikiwa changa mwezi mmoja hadi mitatu,

 9. Kama unatatzo hilo ufanyaje na ule nini sasa

 10. Ever John Ever John says:

  mimi nasumbuliwa sana na hili tatizo ndugu fadhili paul

 11. Vp! kuhuxu kuchua hakuweza xababisha ugumb kwa mwanaume!

 12. Ahsante makala yako nmeipenda ila swal n je? huyo m2 mwenye tatzo la ugumba au kuziba kwa mirija n juic gan? au tunda gan anaweza ku2mia il kuzibua hyo mirija ahsante

 13. Asante kwa maada yako nzuri nimeelewa xana

 14. Sway Izack Sway Izack says:

  Nimekuelewa Thanks

 15. Heppy Jadhet Heppy Jadhet says:

  Asante Nimepata elimu kwani nimeingia kwenye ndoa.

 16. Nimeelewa asante kwa somo

 17. Iren Mtui Iren Mtui says:

  MIMI NINA SHIDA NILIBEBA MIMBA IKATOKA IKIWA NA MIEZI MI NNE NIMUDA SANA SASA NIMETAFUTA MTOTO SIJAFANIKIWA NAOMBA MSAADA WAKO MPENDWA

 18. kama mtu aon siku zake kama kawaida anakaa ata miez mitatu afanyeje kuna dawa

 19. mm ninatazito la kutokuona piriod kwa miez mnne baada ya hapo unaona hilo nitatizo gan na nitumie njia gan? ili nipone

 20. Ahsante kwa makala yako nzuri!
  Napenda kuuliza iwapo mtu akitoa mimba bila kusafishwa kizazi itapelekea yeye kuwa mgumba? Maana wagumba wengi wanawake wamewahi kutoa mimba ama mimba kuharibika.
  Na je, kuna dawa za kienyeji za kuondoa ugumba au ni upotoshaji?
  Ahsante sana

 21. Zainabu sungu says:

  MIMI NINATATIZO LA KUPALIWA NA KUKEREKETWA KOONI , JE NITUMIE DAWA GANI ILI NIWEZE KUPONA . AKSANTE MAJIBU NATEGEMEA KUTOKA KWAKO.

 22. Peter Minga Peter Minga says:

  good idea sir god akubarik kwa bonge la ujumbe najua jamii kwa ujumla imekuelewa duu hata mie pia nimekuelewa one hundred percentage love it.

 23. Jambo munganga. Nashukuru kwa maarifa unayo tupa. Ningependa utu elezeye kuhusu shida hizi: kukosa uzazi Kwa wanaume,ungojwa wa mugongo ku toka mtu anapo kwenda kwa cho kubwa Kwa luga la kimombo (hémorroïdes externes),kuongeza nguvu za kiume.Namba yangu YA watsapp ni +243814324681

  • fadhili says:

   Jambo ndugu, hayo yote nimeshaandika tayari kwenye hii website, pekua pekua au tumia search box pale juu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *