Tiba mbadala ya uzazi wa mpango

Mbegu za nyonyo
Mbegu za nyonyo

Tiba mbadala ya uzazi wa mpango

mbegu-za-maboga

Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa na mtoto ni wakati mzuri sana katika maisha na unatakiwa kuwa ni wakati uliokubalika kwa wazazi wote wawili kuamua kuwa ni kipindi cha kuwa na kulea mtoto

Ili kuepuka mimba zisizotarajiwa wanawake wengi huamua kutumia vidonge vya kuzuia ujauzito (Vidonge vya uzazi wa mpango/majira). Vidonge hivi huwa na madhara mengine mabaya hapo baadaye vikitumika kwa kipindi kirefu.

Zipo dawa za asili kadhaa nyingi zaidi ya 20 ambazo zinaweza kutumika kama njia za kuzuia ujauzito usiotarajiwa bila kukuachia madhara yoyote mabaya.  Dawa hizi ama zinazuia urutubishaji wa yai moja kwa moja au huweza kukusababishia kuona siku zako na hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa mjamzito.

Nimekuandalia dawa asili nne kwa ajili hii ambazo nimeona zinapatikana kirahisi mazingira ya hapa kwetu Tanzania na ufurahie maisha yako ya ndoa bila kuwa na wasiwasi.

Mhimu:  Kama itatokea umepima na kugundulika ni mjamzito basi usizitumie dawa hizi kwani inaweza kupelekea kuharibika kwa huo ujauzito (miscarriage).

mbegu-za-maboga

Tiba mbadala ya uzazi wa mpango

1. Papai

Mbegu za Papai pia ni dawa nzuri ya uzazi wa mpango kwa upande wa wanaume. Zinachofanya mbegu za papai ni kupunguza idadi ya uwingi wa mbegu za mwanaume (sperm count) na zinaweza kushuka mpaka kufika sifuri (zero sperm count) na hivyo mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutungisha mimba. Ukihitaji kuzaa tena unaacha tu kuzitumia na hali yako itarudi kama kawaida. Kula mbegu za papai kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.

Unaweza kuanza zoezi hili wiki 3 kabla hujaamua rasmi kama ndiyo dawa yako ya uzazi wa mpango.

Watu wa bara la Asia wamekuwa wakitumia mbinu hii tangu miaka mingi iliyopita. Dawa hii haina madhara yoyote.

2. Mbegu za Nyonyo

Watafiti katika chuo kikuu cha Kano State College of Arts, Science and Remedial Studies cha Nigeria wamethibitisha kuwa mbegu za nyonyo zinaweza kutumika kama dawa ya uzazi wa mpango. Mbegu za nyonyo zinatumika kwa miaka mingi nchini India kama dawa ya uzazi wa mpango.

Unachotakiwa kufanya ni kunywa na maji mbegu 4 mpaka 5 kwa siku kila siku wakati wa siku zako na zitakupa kinga ya uzazi wa mpango karibu kwa mwaka mzima. Menya ganda lake la nje kabla ya kumeza.

Siku mbili au tatu za mwanzo za kutumia unaweza ukapatwa na kutokujisikia vizuri, pumzi fupi, vipele (rashes), kizunguzungu kidogo, kutapika au kuharisha nk lakini baadaye hali itatulia.

3. Tangawizi

Tangawizi huhamasisha kutokea kwa siku zako. Kunywa vikombe vitatu mpaka vinne vya chai ya tangawizi kila siku ili kuzuia ujauzito. Chota kijiko kidogo kimoja cha chai cha unga wa tangawizi na uweke ndani ya maji ya moto kikombe kimoja (robo lita/ml 250) na unywe yote (unaweza kuongeza asali kidogo kupata radha). Fanya zoezi hili kutwa mara 3 mpaka mara 4 kwa siku 5 tangu ufanye tendo la ndoa bila kinga. Unaweza pia kutumia tangawizi mbichi kwa matokeo mazuri zaidi.

4. Kotimiri (Parsley):

Kotimiri inapatikana kirahisi Dar Es Salaam na Zanzibar na ni kiungo mhimu kwenye mahoteli mengi ya kitalii. Kunywa kikombe kimoja (robo lita/ml 250) asubuhi na jioni cha chai iliyoandaliwa ukitumia kotimiri mbichi kila siku ili kuzuia ujauzito usiotarajiwa. Hakuna madhara yoyote mabaya ya matumizi ya dawa hii.

5. Vitamin C

Vitamini C ikitumika katika hali yake ya uasili kabisa inaweza kutumika kama dawa ya uzazi wa mpango.  Kwenye vitamini C kuna ‘ascorbic acid’ ambayo huzuia homoni inayouandaa mji wa uzazi (‘progesterone hormone’) kushindwa kufanya kazi zake vizuri na hivyo mimba kukosa mahali pa kukaa baada ya yai kurutubishwa.

Meza viponge vya vitamini C mg 1500 mara mbili kwa siku mbili mpaka tatu baada kushiriki tendo la ndoa bila kinga. Vitamin C ni nzuri pia kwa ngozi yako.

Mhimu:

1) Usitumie kiasi kingi sana cha vitamini C kwani inaweza kupelekea mwili wako kutokuwa sawa au unaweza usijisikie vizuri katika mwili wako.

2) Usitumie vitamini C kama unatumia dawa za kuzuia damu kuganda (anti-coagulant medications).

3) Usitumie vitamini C kama una tatizo la sickle cell (sikoseli).

Kumbuka kuwa makini mara zote, na wewe fanya utafiti binafsi pia.

Kama una swali lolote au unahitaji ushauri zaidi niulize hapo kwenye comment nitakujibu

Kuna dawa yoyote ya uzazi wa mpango ya asili umeitumia na kukuletea matokeo mazuri? tutajie hapo kwenye comment kwa faida ya wengine.

Kama utatumia mojawapo ya hizi dawa nilizozitaja hapa na ukapata matokeo mazuri naomba ushuhuda wako hapo kwenye comment kwa ajili ya wengine.

Kwa mawasiliano zaidi: WhatsApp +255769142586

Una ushuhuda wowote kama matokeo ya kutumia blog hii? Kama ndiyo toa ushuhuda wako ili uwe msaada kwa wengine, kutoa ushuhuda wako bonyeza hapa.

mbegu-za-maboga

(Imesomwa mara 5,191, Leo peke yake imesomwa mara 71)

You may also like...

1,209 Responses

 1. What about Electile dysfunction problem and how to improve.

 2. Mbegu ya mnyonyo ni mpango mzima mm natumia lakin Sio kama ulivyoelekeza mm na meza moja mwezi mzima naninaendelea vizuri mwaka wa 5 sasa

 3. Hadi raha zaeni mkaijaze dunia

 4. Nina ushuhuda wa mama mmoja aliyemeza mbegu 3 za nyonyo baada ya kumeza alianza kutapika na kuharisha kwa muda mfupi hali ikawa mbaya ,na baada ya Kuzidiwa tulimkimbiza hosipitali na kuongezewa maji hali ilikuwa mbaya sana , tulisita kumweleza doctor kwanza lakini baadaye ilibidi tuseme alimeza nini naomba nieleze kuhusu hilo inakuwaje kwa watu wengine labda haipatani nayo?

 5. Ndio ukitafuna utaharisha unaweza ukapoteza uhai maji yote yanakwisha mwilini

 6. Dokta naomba nisaindie mm nimeacha sindano na situmiki je nitumie dawa ngani hpo

 7. Alafu tangu nimejifungua mtoto wng ana mwaka na nusu lkn sija bleed je,nikitumia hy mbegu italeta shida au vp

 8. je ninaweza kuchanganya zote kwa pamoja nikameza au kila dawa inajitegemea!au nichague mojawapo!

 9. Hizo mbegu za mnyunyo nitazipataje Mimi nimechoka na haya madawa ya kizungu.

 10. Kidawa Seiph Kidawa Seiph says:

  Ni kweli kabisa ninaye rafiki yangu wa kike anatumia mbegu za papai kuzuia mimba na miaka yote ndiyo kings yake

 11. Aisha Mjungu Aisha Mjungu says:

  asante sana ndundu zangu mimi najua hizo mbegu za nyo nyo zina faida kubwa sana1nikuzuia kupata uja uzito hazina mazara kama njia zingine hata mimi pia ninazo asante

 12. Dr. Hizo mbegu za mpapai unatumia zikiwa mbichi kavu au zinasagwa unga hebu nieleweshe kidogo.

 13. Davd Gerald Davd Gerald says:

  Acheni kutumia dawa iwe ya asili au ya kizungu, zote hazifai njia nzuri na isiyo mchukiza Mungu wetu ni moja tu nayo ya kutumia calendar.

 14. Naomba ushaur kidogo docta umesema mbegu ya papai ni kwa mwanaume je mwanamke akitumia ni sawa

 15. Mbono #HamisaRaheem

 16. Jenifa Moses Jenifa Moses says:

  Mi niliwahi soma makala moja hivi inasema mbegu ya nyonyo inatakiwa imezwe 1 tu kwa mara 1 ukizidisha zaidi ya moja ni sumu inaweza kupelekea kifo

 17. Jenifa Moses Jenifa Moses says:

  Na wengine wanasema unameza baada ya kumaliza siku zako siku ya mwisho, tunaomba maelezo ya kina hapo

 18. Fadhila Omar Fadhila Omar says:

  Acheni tu mbegu za nyonyo zimenifanya matusi me… Nilimeza cha ajabu apa nlipo nna mimba…. Siziamini tenaaaaaa

 19. Njia ya tangawizi mbichi ni nzuri sana kwan ni njia ambayo naitumia hadi Leo baada yakupata ushauri kutoka kwa mama yangu ambaye alinielekeza njia hii kwa kutafuna au kunywa juisi yake mara moja kwa siku hivyo imekuwa msaada mkubwa kwangu na afya yangu naifurahia sana njia hii

 20. Sarah Mgimwa Sarah Mgimwa says:

  Nyonyo za aina gani nyekundu au nyeusi tujulidhe

 21. Dr. Samahani kama unatumiaga tangawizi kila asubuhi, je kama utafuta mimba unaweza usipate naomba msaada maana Mimi natafuta mimba na pia natumia tangawizi kwa ajili ya KUPUNGUZA mafuta mwilini

 22. Wewe NI Docter mzalendo lakini pia unamwogopa mungu ubarikiwe sana NI KWELI wanawake wake wengi sina hii ya uzazi WA mpango WA sina ya majira, iwe vidonge au sindano au vipandikizi zinwapa shida kubwa binafsi nilikuwa najiuliza mababu zetu walikuwa na sofa ya kula takribani miaka 3,4,5,6 he walitumia njia gani? Na kwa bahati mbaya kama wazee kwenye hazina izi ya dawa asilia waliokuwanazo hawajitokezi maana MTU siku izi ukienda kwa Mzee kuomba dawa ya gumbo kwa Mzee unaitwa mshirikina wewe na uyo Mzee usahihi hence sehemu Kuu 2 kufanyiwa maombi au ukapate kombe. Hii ndio shida mkubwa inayotupata wakati tunaamini maneno matakatifu kuwa mungu kasema hakuna maradhi aliyoyaumba yasiyo na tiba ila tunaangamia kwa kukosa maarifa Docter mm nakushukuru sana amina

 23. Nafurahi maana sijawah tumia uzazi wa mpango maana nilikuwa naogopa ila sasa ntachagua ni ipi sahihi kwangu asante kwa elimi nzur mungu akubariki

 24. Musa O Mtoa Musa O Mtoa says:

  Sikuwa elewa walio kua waki zozana ivii kulikua nasababu gani kama wewe ni mtaalam ukuanzisha njia yukuelimisha watu kuhu dawa asili za uzazi wa mpango

 25. Waooooooiooo asante sanaaaa haya ndio Mambo ya kurusha kwenye mitandao elimu ya bure sijaolewa Bado lakini umenipa njia nzur na mbadala MUNGU akubariki japo sijui nyonyo😂😂😂😂😂😂😂

 26. Sauda Unjile Sauda Unjile says:

  Mie naitaji kujua iyo ya tangwzi kama ya unga amna Ile mbchi unatfna au unasaga afu unachmsha Na maji au vp plz nielkeze

 27. Vip kama huoni cku kuanzia umejifungua?na hizo mbegu za papai wanawake hatumii?

 28. Gadafi Gama Gadafi Gama says:

  Jaman naomben mnisaidie hpo kwenye kalenda cz mkewnga anaingie kwenye ck zake bila frml cz anaweza mwezi huu akaingi tarh 1 kwmfano thn mwzi unaofata akaingia trh 20 unao kuja akaingia 30 so hpo unaweza uktumia karenda na km inwezekan unaitumiaje..?

 29. Dina Kamoza Dina Kamoza says:

  Dr.umesema hizo nyonyo unatumia wakati wa hedhi ukimaliza hedhi unaacha hd mini tena????Mimi nimeshatumia nyonyo na sikupata mimba lkn kwamaelekezo tofauti.

 30. Sam says:

  KWA MWENYE SHIDA NA MBEGU ZA NYONYO TUWASILIANE
  MBEGU 100 @2000tsh
  0625649078

 31. Eliza Singo Eliza Singo says:

  Minilisikia nyonyo lkn walisema tembe moja mwaka hii inakuwaje

 32. Dollar David says:

  dawa ambayo mimi nafahamu ya kukinga kupata ujauzito ni ”kino cha mahame’‘, kipande kidogo mwanamke anavaa kiunoni, kwisha maneno. Akitaka kupata ujauzito anavua tu!

 33. Koku Steven Koku Steven says:

  Ahsante kwa somo ! Mbona nasikiaga kuwa unatakiwa kumeza mbegu 2tu za mnyonyo kwa kupanga uzaz ?

 34. rashimi ridhiwan says:

  Jamani nilikuwa cjui chochote kuhusu izi kinga nimefurahi japo cjaelewa vzur ntumie ip

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *