Tikiti maji na nguvu za kiume

tikiti maji na nguvu za kiume

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga, Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A, B6, C, Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.

Tunda hili linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kukuondoa katika hatari ya kupatwa na shinikizo la juu la damu.

Tikiti maji na nguvu za kiume

Tafiti za karibuni zinasema karibuni zinaonyesha kila wanaume watatu mmoja na ana tatizo la kupungua kwa nguvu za kiume na dalili zinaonyesha idadi itaongezeka mara mbili miaka ya karibuni.

Kwa bahati nzuri madaktari na watafiti mbalimbali wameendelea kufanya utafiti juu ya suluhisho la tatizo hili kwa njia salama zisizo na madhara mengine baadaye.

Tikiti maji linasemwa kuwa ni mkuyati wa asili pia kama lilivyo parachichi. Kwenye tikiti maji kuna vitu hivi vitatu mhimu sana kwa afya ya mapenzi navyo ni ‘lycopene’, ‘beta-carotene’ na ‘citrulline’ ambavyo husaidiwa kuweka mishipa ya damu katika hali ya utulivu.

Tikiti maji ni viagra ya asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa watu wa jinsia zote mbili bila kukuacha na madhara yoyote mabaya.

Kwenye tikiti maji hasa mbegu zake kuna kitu kingine kinaitwa ‘L-arginine’ ndicho ambacho huhusika na kuongeza nguvu za kiume. Mbegu za tikiti maji zimeonyesha matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume hata kwa wazee kabisa.

Unachohitaji ni kula tikiti maji kila siku sambamba na mbegu zake na hutakawia kuona tofauti.

Faida nyingine 27 za tikiti maji kiafya

 1. Asilimia 92 yake ni maji
 2. Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
 3. Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili
 4. Huponya majeraha
 5. Hukinga uharibifu wa seli
 6. Huboresha afya ya meno na fizi
 7. Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
 8. Hubadilisha protini kuwa nishati
 9. Chanzo cha madini ya potasiamu
 10. Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la juu la damu
 11. Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
 12. Huondoa sumu mwilini
 13. Huongeza nguvu za kiume hasa ukila pamoja na mbegu zake
 14. Tunda zuri kwa mwenye Kisukari aina ya pili
 15. Husafisha figo
 16. Huzuia na kutibu kansa mbalimbali
 17. Tunda zuri kwa mwenye ugonjwa wa moyo
 18. Huzuia na kutibu pumu
 19. Hutibu tatizo la kufunga choo
 20. Hufanya ngozi ing’ae
 21. Huhamasisha kuota nywele
 22. Husaidia kupunguza uzito
 23. Huimarisha mifupa
 24. Husaidia kuponya vidonda na majeraha
 25. Huzuia madhara yasitokee katika seli
 26. Huzuia ugonjwa wa baridi yabisi ya moyo (heart stroke)
 27. Hutibu kiseyeye (scurvy)

Ikikusaidia usisahau kuninunulia japo vocha ya simu.

Mawasiliano zaidi: WhatsApp +255769142586

(Imesomwa mara 417, Leo peke yake imesomwa mara 107)

You may also like...

755 Responses

 1. Mnyama Mkali Mnyama Mkali says:

  Asante kwa ushauri ili hili tunda kwenye ulimaji wake huwa linashambuliwa sana na magonjwa. Kwahyo inambid mlimaji kutumia madawa ambayo ni mengi ambapo kwa upande wa pili yanaweza kuleta athari kwa mtumiaji ambae ndio mlaji.

 2. Grace Grece Grace Grece says:

  Ndio Mara kwa maraa

 3. Dats my favourite. …

 4. Hongera kwa kuipa jamii elimu bora ya umuhimu wa vyakula mungu atakulinda na kukupa fadhila.

 5. Jani Hussein Jani Hussein says:

  Hats nilikuwa sijui faida zake nakula tu

 6. Ni zaid ya elimu thenc doctor

 7. Nakula sijui nafurahia radha na harufu nzuri

 8. Asante Sana barikiwa

 9. Asante sana kwa kunifahamisha nilikuwa sijui kweli mungu mkuu

 10. UKITÁKÁ KUTUMIA KAMA DAWA YA PUMU UNAKULA. Kama kawaida au vip naomba unifahamishe

 11. Asante sana maana akili imefunguka sasa

 12. Asante kutujuza wengi tumefaidika hizi ndizo
  Faida za mitandao ya kijamii

 13. Yusufu Kazi Yusufu Kazi says:

  Hizo mbegu zake ni shida nazikubali sana!!!

 14. Sada Said Sada Said says:

  Asante kwa kutuelimisha

 15. i like it yn saf sn sn au zaid ya neno sn

 16. Kweli nitaanza hili tunda

 17. Naomba niulize juisi ya tikiti unatengenezaje itoke kama ilivo nimejaribu haitoki hivo

 18. Ahsantr sana kwa elimu nzuri mumgu azd kukupa ufaham

 19. Asante kwakutufundisha tulikua tunakula tu kwakujiskia kumbe nimuhimu sana hakika nitakula kila siku

 20. Naomba ufafanuzi matikiti mengi yanalimwa kwa mbolea je nayo yanafaa docter

 21. Asante sana kwa kutupatia elimu hiii

 22. Ahsante MTU waMungu kwa elimu zaid.

 23. Vizuri sana Docter,, ila naomba kuuliza tikiti pia linaongeza damu???

 24. Asante sana mtoa post ubarikiwe Sana

 25. Asante kwa somo Zürich

 26. Ahsante Sana Kwa kutuelimisha ,mungu akubariki.

 27. Nilikuwa cjui hasa ukila na mbegu zake thanks kwa mwongozo

 28. Hizi habari ni njema sana, ahsante

 29. Dorah Mhesi Dorah Mhesi says:

  Nilikuwa silipendi tunda hili sasa naanza kula kwa bidii asa

 30. Naomba Mjema Naomba Mjema says:

  Asante kwa darasa

 31. Mungu ametupendelea tushindwe wenyewe katuwekea virutubisho ktk matunda rule.

 32. Vp Docter Ukila Na Maganda Yake Nayo Yana Kazi Mwilini?

 33. Hzo mbegu znatafunwa au znamezwa?

 34. Asante sana kwa elimu ya kuimarisha afya

 35. Nnekuwa nikifatilia post za wataalam wa tiba asilia wote mko kibiashara ila we uko kivingne kabsa napenda unajibu comments.

 36. Asante. Ngoja niongeze bidii.

 37. AsAnte sana Ku nifungua akili yakula tunda hill nitafanya bidii

 38. Asante kwakutuelimisha bure bila karo

 39. Asante sana Dr. Mungu akubariki. Posti yako hii imenifumbua macho.

 40. Imekaa Vzr, be blessed

 41. Asante kwa kuelimisha jamii

 42. Asante nmejifunza

 43. Hilda Mkama Hilda Mkama says:

  Ahsante kwa soma zuri

 44. Khadj Mkota Khadj Mkota says:

  asante kwa kunijuza maana silipend nikila nahis kutapika

 45. ASANTE KWA SOMI NZURI

 46. Saada Hussen Saada Hussen says:

  Ahsante dctr kwaelim nzuri pgp sana

 47. Nusra Hamisi Nusra Hamisi says:

  Mungu akubariki uzidi kutuelimisha

 48. Asante kwa elimu hii. Mimi ni mtumiaji mkubwa wa tunda hili lakini sikujua kama lina faida zote hizi.

 49. Asanteh sn kutujuza

 50. Shukran kwa elimu nzuri juu ya afya zetu.

 51. Jase Hamisi Jase Hamisi says:

  Ahsante kwa ushauri,nikuwa nakula kwa hamu sasa nitalila kwa tiba

 52. Mwanangu analipenda sana

 53. Dionis Mushy Dionis Mushy says:

  Asante kwa fundisho lako doctor

 54. Mwita Joseph Mwita Joseph says:

  Nimekubali doctor fanya kazi yako mi nishaidi kuhusu hili tunda

 55. tunashukuru kwa elimu umetupa mungu akubariki

 56. Mungu azidi kukuongezea maarifa maana wewe si mchoyo wa elimu.

 57. Nahiyo ndimu inachanganywa pamoja

 58. China Alpha China Alpha says:

  Asante kwa kutujuza

 59. Asante sana kuturejeza tena edeni

 60. Dotto Mlekwa Dotto Mlekwa says:

  Dah me nakula kila siku kumbe ndio linamanufaa ivi nilikuw sijui ahasante

 61. Amina Issa Amina Issa says:

  Asante kwa ushaur

 62. Nauliza unapaswa ule mara ngapi kwa wiki au ni kila siku na kiasi gani

 63. Asante. Hakuna tunda nalo lipenda sana kama tikiti nalitumia kila siku. Ni kweli ngozi inakuwa nyororo na kusafisha Figo.

 64. Bilali Abasi Bilali Abasi says:

  Elimu zuri sn ibarikiwe

 65. Asante sana dokta Mungu akuzidishie ufaham na ukubariki

 66. Asante kwa somo zuri binafsi nakula tu kama tunda sikujua faida zake.

 67. Asante kwa kutuelimisha.

 68. Iddi Muganda Iddi Muganda says:

  lakin mbegu ndo zenye umuim xn lakin walio wengi awali mbegu izo

 69. Asante Dr barikiwa

 70. Kulwa Milala Kulwa Milala says:

  Mbn umerudia kutibu majeraha

 71. Asante kwa kutuelimisha mama.

 72. Docta asant sn kw elimu yako nzuri nakuombea afya kw mungu akjalie afya nzuri ili uendelee kutipatia elimu zaidi na zaidi

 73. Edina Daud Edina Daud says:

  Samahani nitakuwa nje ya maada kuumwa mishipa ya shingo inayoambatana na kifua shida ni nini

 74. Zulfa Shaibu Zulfa Shaibu says:

  Ahsanteh kwa darasa

 75. Habibu Omary Habibu Omary says:

  Inasemekana kuna aina mbili za matikiti yakienyeji na yakichina ambayo yananenepa kwakupindukia je,Yote yanavirutubisho ivyo?

 76. Nalipenda sana ili tunda japo nlikuw cjui faida zote izi …nashukur sitopenda nilikose kW siku kwakwel

 77. Asante kuwa Elimu nzuri

 78. Lucy Jengela Lucy Jengela says:

  Be blessed doctor…may almight god be wit uu

 79. Asnt doctor kwa elimu nzuri

 80. barikiwa sana doctor

 81. Mi nakula zima kila cku

 82. asntel kwa kutufundisha vzr ..ubarikiwe

 83. Asante Dr kwa elimu nimekuelewa

 84. Tikiti lipi hasa hybrid(chotara)au yale ya duara kama boga?

 85. Stella Simon Stella Simon says:

  dah nashukuru coz huwa nakula kila Mara so natumaini nimepata faida zote ulizozionyesha hapo juuu thanks a lot ,

 86. Mary Elson Mary Elson says:

  Je kwa wanawake wkila na mbegu zake ni vibaya

 87. Dr unachanganya na ndimu kama ilivyiokwenye picha au tikiti pekeyake

 88. Dr. Nina ndugu yangu anapoteza kumbu kumbu muda muda ana kuwa vizuri muda anabadilika zaidi ya tikiti kuna tiba nyingine eti

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO

 89. Mtoto wanguu anayapenda sanaa kumbe ni tiba

 90. namba 13 nilijua tu haitakosekana,

 91. Edda Evaris Edda Evaris says:

  Mimi mwembamba nayara sana lakin ndio nimegundua kwa nini napungua uzito kumbe tikit bas sitakula tena nilifanya kila wakat mala tatu bas kwa kweli doctar

 92. Edda Evaris Edda Evaris says:

  Mimi mwembamba nayara sana lakin ndio nimegundua kwa nini napungua uzito kumbe tikit bas sitakula tena nilifanya kila wakat mala tatu bas kwa kweli doctar

 93. Mamy Faiza Mamy Faiza says:

  Shukurani manaa mimi pia nimlaji mzuri wa tkt ila nilikuwa sijuwi faida zake

 94. Je madawa yanayo otesha kukuza hzo tikiti haziathiri tunda mana kwa sasa kila tunda hupatikana hata kama si msimu wake je litakuwa na original vitamins

 95. Asnte kwa elim ya juu ya faida za tikiti mwilin mwangu ntazidi kula zaidi

 96. Mwanangu analipenda sana tunda hiri kula ila nimeogopa kusikia linapunguza uzito kwahiyo nifanyeje nisimpe kwanza mpaka auongezeke umri au nimpe kias gani kwasiku au mwez

 97. Hili tunda ni zuri sana nilikuwa mmjamzito nikawa nali penda sana kwa kweli nilijifungua mtt mzuri mwenye kilo 5na nusu pia ngozi take ilikuwa angavu nzuri sana nalipenda sana tikiti kiukweli doctor aliyo yaorodhesha ni ya kweli

 98. Ukende Shila Ukende Shila says:

  wooow hakika leo imekuwa cku nzuri kwangu mara baada ya kupata darasa hili.

 99. David Msigwa David Msigwa says:

  HOngera sana doctornmejifunzaaa vng sana apoooo

 100. Fatma Yahya Fatma Yahya says:

  Sijaelew hap doct kisukar ain ya pili kvp

 101. Rukia Masaka Rukia Masaka says:

  Asante sana kwa mafundisho big up

 102. Vp nikitaka kutengeneza juice yake napaswa kuchang’anya na nini ili nisipoteze faida zake.

 103. Haana Minani Haana Minani says:

  Habar ndiyoo hiyooo s mpakaa muongezewe dam na majjj jipendeleee

 104. Asante sana doktaa mungu akujaalie uzidi kutufundisha zaid kuokoaafya zetu ubarikiwe

 105. Nashukuru sana kwa elimu yako nzuri,lkn hii elimu wanapata watu wa chache.Je ?Wasio na smart phone watapataje hii elimu?

 106. Naira Hassan Naira Hassan says:

  Ni kweli nalipenda sana ilo tunda

 107. Steve Peter Steve Peter says:

  Daa!mungu akubaliki sana , kweli hii elimu ya bule kabisa nimeipata,hapa ni kaz kwamgu kuifanyia kaz

 108. Asante kwa kunifundisha nimejifunza mengi

 109. Kuhusu pumu unachanganya nanini au lenyewe tu rinatosha?

 110. Anthony Paul Anthony Paul says:

  Mim najuwa faida za tikiti maji lakin naomba uniambie tufaha la kijani linasaidia nin plz Doctor

 111. Linaongeza nguvu za kiume hasa ukila na mbegu zake, je mbegu ni sharti uzitafune au hata ukizimeza bila kuzitafuna zitafanya kazi?

 112. Asante sana doctor nilikua sijui kama tikiti ni dawa ya maladhi yote aya ingawa mimi nimlaji wa kila siku usiku nakula tikititu nimekua mrembo sizeeki ng’oooo

 113. Asante Doct kwa upendowako kwa jamii. Mimi niko nnje kidogo na mada hii ya tikiti. Mimi nilikua na uvimbe tumboni, ulinielekeza kutumia majani ya mstafeli kwa muda wa mwez mmoja au miwili, nimeshatumia kwa miez miwilisasa yale maumivu niljyokua nayasikia yamepungua sana ila nayasikia kwambali sana je niendelee kunywa hiyo au kuna dawa nyingine?.

 114. Asante sana na mungu aendelee kukubariki moyo huohuo. Ingekua wale wengne ungesickia nitafute in box

 115. Honger cn bro kw elimu yako mung azidi kukup afya njem utupe vitu vizur

 116. Mimi linanisaidia sana hasa pale ninapokula chakula kilichoungwa na viungo na mafuta mengi sana. Yaani hata kucheua au kubeua huwa nabeua vizuri sana yaani safi sana.

 117. Neema Kz Neema Kz says:

  Mm nimetumia kwa mda kidogo nimepata faida nyingi sana karibia ya zote

 118. Mungu akubaliki jaman

 119. √√√TeAm√√%%LiKeR™

 120. Asante sana,mungu akubaliki endelea na moyo huu,na mungu asikupungukie moyo wako safi.

 121. Asante dkt kwaelmu mmiuwanakula tkt lakni cjuifaidazake ubalkiwesana

 122. Ejidi Simion Ejidi Simion says:

  Asante Dr.Hilo tunda halina usumbufu ni kulinunua na kulila tu.I support you and thank you.

 123. Dokta nasumbuliwa sana na mafua naomba msaada wako

 124. Hingekuwa hivo basi watu wasingekuwa na fariki na magonjwa yote hayo, hiyo ni elimu yenu tu ila anae juwa umuhimu wa tunda hilo ni Mungu pekee yake.

 125. Anna Mduma Anna Mduma says:

  Mm hua nikila natafuna na mbegu.
  Je ni sawa kula mbegu?

 126. Asante kwa kweli hili tunda nalipenda sana nikilikosa yaaani naumia vibaya

 127. Nataka unielimishe kidogo atanikila kipande kimoja cha weza nitibu au adinile zima

 128. Daaaah n kweli nmeamini baadhi ya uponyaj

 129. Doctor naomba kuuliza kuna kipimo? Kwa sababu ili tunda minaweza maliza hata zima!!!!! Je kuna madhara

 130. Doctor kuhusu nguvu za kiume ili tunda unalichanganya nini ama nikula tu tunda lenyewe na dose niya siku ngapi.

 131. Zaina Chaula Zaina Chaula says:

  tunashukuru kwa somo lako zuri

 132. Sophia Mauya Sophia Mauya says:

  Ahsante kwa elimu

 133. Doct asante kwa kuelimisha jamii nami naungana na ww

 134. Stella Mrema Stella Mrema says:

  Nakula karibia kila siku, ikikosekana nisiku Mika au mbili, nalipenda sana, nizuri.

 135. Nalipenda sana mbali ya ushauri wa daktsri.mana mi nina vidonda vya tumbo. Every day nakula.

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO

 136. Wewe ndio unafaa kwa mafundisho ,siku nyingine tueleze Na ukwaju,ubuyu,Ntalali, nfuru,chungwa,Pera, zeituni,n,k

 137. Matayo Jefta Matayo Jefta says:

  Doctor naona Ndimu hapo , VP inatumika pamoja na tikiti na faida yake ni nini ukila tikiti na ndimu?

 138. Ritha Nkya Ritha Nkya says:

  Zuri sana halina asidi

 139. Asante Dct umetuelewrsha vizuri naomba endelea kutuelimisha kila baadhi ya tunda ubarikiwe sana

 140. Mariam Idd Mariam Idd says:

  Hapo namba 22 kupunguza uzito

 141. Asante doctor kwa ushaur na kutuelimisha mengine nilikua siyajui lakini nimesha jua,sasa nitakula kwa bidii.

 142. Ester Mgaya Ester Mgaya says:

  Asante doct yaani nilikuwa natafuta sana kujua faida zake nakula hadi akiba naweka! je mbegu zake kwa wanawake ukimeza zina madhara?

 143. Asante sana doctar kwa kutukumbusha kula matunda maana sisi wabongo kula matunda hadi uambiwe na doctor.

 144. Kazi nzuri mheshimiwa nimependa somo hili asante Kwa moyo wa Upendo Mungu azidi kukujalia hekima na akuongezee ujuzi katika hili

 145. Jjonas Marwa Jjonas Marwa says:

  samahan docta nisaidie hili kwa nn nikipenga makamas mda mwingine huwa yanatoa halufu mbaya tatizo ni nn docta ni saidie

  • wasiliana na mimi kwenye WhatsApp +255769142586 Ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke unaingia kupitia jet corner (uwanja wa ndege) au a.

  • wasiliana na mimi kwenye WhatsApp +255769142586 Ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke unaingia kupitia jet corner (uwanja wa ndege) au a.

 146. Habari docta ganzi inanisummbua nitumie nini? Namba yangu ni 0715170181 ! “`naomba jibu kwa watsap. Samahani lakini doctor.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *