Ugonjwa wa mshipa wa ngiri

You may also like...

131 Responses

 1. Msaki Juma Msaki Juma says:

  mimi inaniuma sehemu ya kiuno kuna muda hata kuinama siwez sijatumia dawa yoyote

 2. Je, mafuta yaliyopo kwenye kondom yaweza kusababisha ugonjwa huu wa mshipa wa ngiri?

 3. Unawezaje kutofautisha maumivu ya kawaida na ngiri

 4. Asante kwa elimu but page yako ina lack vitu fulani

 5. Abdul Sudy Abdul Sudy says:

  Mm nina ngili ya kitovu

 6. Ra Mour Ra Mour says:

  Yale maumivu anayoyapata mtu wakt wa baridi kali ndo ngiri au maana huwaga inasemekana ivyo

 7. Jonas Tave Jonas Tave says:

  Duuuh! Nilikuwa najua ngiri ni kwa wanaume tu, kumbe ni jinsia zote

 8. Ngiri ya sehemu ya hajakubwa ni ipi,ipoje

 9. Je korodani kuwa kavu na uume kuacha kufanya kazi,na maumivu chini ya kitovu,je hizo ni dalili za ugonjwa huo?

 10. Ubarikiwe kwa kutupa elimu nzuri. maana nilijua kuwa ngiri nikwa wanaume tu

 11. Mtumishi barikiwa baba!

 12. Ahsante kwa Elimu nzuri Dr,cjaona mahali umetaja dalili zake hasa kwa wanaume.

 13. Asante kwa elimu ubarikiwe sana

 14. Dr. Fadhili Paulo. Ngiri inasababishwa nanini?

  • Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.

  • Asidi ikizidi mwilini pia inaweza kupelekea hali hiyo

 15. Othman Chimo Othman Chimo says:

  hiyo ngiri ya kifuani ikoje mana me nahisi maumivu katikati juu ya mifupa ya kifua inaweza kuwa ni hiatus hernia? matibab?

  • Dalili tu haitoshi, ni mhimu zaidi kufanya vipimo. Hospitali nyingi ngazi ya mkoa unaweza kupata kipimo. Matibabu tutaandika tutakapoandika kuhusu ngiri ya kifuani kesho asubuhi hapa hapa

 16. Yan Dah Somo Limenigusa Mimi Kak Hua Napatga Maumivu Chn Ya Tumb Hasa Upande Wa Kulia Na Mistuk Ya Mishpa Hasa Ya Mapaj Na Badhi Ya Maeneo Ya Karbu Cjui Ndio Ngir Hyo Au Shda Nyngne

 17. Baraka Mbura Baraka Mbura says:

  Asante kwa Elimu adhimu bro jamii inanufaika kupitia ujuzi Mungu alokupa

 18. Gerald Kiria Gerald Kiria says:

  Brother #Fadhili mimi nasumbuliwa na ngiri yakushuka korodani moja ya kushoto ndiyo imeshuka

 19. Asante kwa elimu nzuli

 20. Nikioga maji ya balidi najiskia maumivu ya korodan waliwahikusema ni ngili’je ni kweli?

 21. Pegwa Mbembe Pegwa Mbembe says:

  Dr hizo dalili zote mm nnazo na imepelekea mpk kuvimba juu ya kinena na hata shughuli ya kuende ikulu inakuwa cwezi kurejea tena ni x moja tu tena ni mpk ck ya pili ama ya tatu jee Dr nifanye nini?

 22. Karibu zote daril ulizotaja mi ninazo
  Hapa nasubiri somo liendelee nijue jinsi ya kukabilana nalo

 23. Nina mtoto wa miaka 6 amefanya hyo harnia katika zile pumbu zake nlimpeka oc wakasema nimtoto bado wakanipa mda wa miezi 4 ili kumuangalia bilaa dawa yoyote na ikapotea kwa huo mda lakini sahiii imerudi je kuna dawa naweza mtumilia kando na upasuaji?

 24. Fadhil Ahmad Fadhil Ahmad says:

  Shukran kwa Elimi.

 25. Doroth Mushi Doroth Mushi says:

  Hiyo picha uliyoweka hapo juu,kulia ni mwnamke?
  Na ina maana kwa nje anaonekana kuwa hivo?

 26. Akber Yuda Akber Yuda says:

  Nina mtoto ana umri wa miaka miwili na nusu nimegundua juu ya kitovu chake kwa ndani ni kama pana kitobo wakati mwingine huwa panatokeza kama uvimbe wakati mwingine panakuwa vizuri itakuwa ni ngiri? naomba msaada

 27. Casto Waziri Casto Waziri says:

  Je? dawa sahh ya ngir ni operation ,madhara yake nnn?

 28. Me uwa naumwa sana kifua na mbavu nikiwa kwenye baridi je hii ni dalili ya ngiri

 29. Amin Swai Amin Swai says:

  Ilikuwa inanisumbua sana kuilewa, nimeielewa sasa

 30. Sammy Juma Sammy Juma says:

  Dokta mimi naumwa upande wa kushoto napata maumivu mda mwingine yana kwenda hadi mgongoni na k wenye paja juu mpaka kiuno je hiyo inaweza kuwa ngiri

 31. Lucia Mosh Lucia Mosh says:

  Mimi uwanasikia maumivu chini ya Kirov na maumivu Keene haja kubwa

 32. Nasra Adam Nasra Adam says:

  je tiba kamili kwa mtu mwenye ngiri yakorodan nini

 33. Hiyo ngiri ya kwenye haja kubwa ndo inakuaje

 34. Martin Petro Martin Petro says:

  pamoja sana kaka nimekupata

 35. Inno ZeGreat Inno ZeGreat says:

  Vpi kuhusu maumivu ya kiuno mgongo na kifua

 36. Tumbo uninguruma sana na napata maumivu makali ya kiuno Mr fadhili jee inaweza ikawa ni ngiri? Pia hupata haja ndogo mara kwa mara

 37. Kennedy Kingdom Kasisi hii pia ni muhimu

 38. hii ngili ya upande wa kushoto inaitwaje na nini tiba yake?

 39. Dr kwani wewe huna klinic ambayo watu wanawezakuja kupima kwako ikawa rahisi ww kumfanyia matibabu ahsante

  • Ninayo ndugu au kwa sababu unaona siandiki ofisi yangu ipo wapi? ni kwa sababu lengo langu kuu ni kutoa tu elimu na si kuuza chochote, nataka wewe mwenyewe pale ulipo uweze kufanya jambo kwa ajili ya afya yako. Nipo Dar Es Salaam kama unahitaji kuonana na mimi niachie ujumbe WhatsApp +255769142586

  • Okay mm nipo kigamboni itakua rhs kufika ofisini kk

 40. Marola Rolla Marola Rolla says:

  Doctor nakuhitaji private message please but sorry

 41. Nikilala nikiamka huwa tumbo kam lauma baada ya Dk chache hutulia na nikiwa kifua waz mda wa barid huendelea kuuma kama limejaa itakuwa ngir au

 42. Kaka Mimi najisikia kukojowa nikienda kukojowa mkojo unachelewa kutoka je iyo ni ngiri na najisikia maumivu kidogo.

 43. Achamimi nitohe asante
  Nashukuruni kwaziyako
  Nzu hinayohelimisha hila
  Mimi nahisi bahazi ya dalili moja
  Tajwahapo nisikia tumbo kunguruma korodani kuana ugumu
  Kidogo na huvimbe kwandani sehemu ya tumbo mkono wa kulia
  Hila haiumi sana kidogo tu inawezeka kuani yenyewe mkuu

 44. Ramadhani says:

  Doctor mm ni mmoja wa watu wenye tatizo hilo.mwez uliopita nilipatwa na maumivu kwenye korodan yangu ya kulia mpaka kusababisha korodan kushuka chini.nineeda hospital mnazi mmoja wameniambia kuwa nina small hydrocel kwenye korodan nimepewa dawa but mpak sasa sion dalili yoyote ya kupona.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *