Uzito na unene kupita kiasi

Uzito na unene kupita kiasi
Kitambi

You may also like...

231 Responses

 1. mzee fakih says:

  Nimeipenda makala yako inaelimisha vizuri sana

 2. Asili Mnubwa Asili Mnubwa says:

  Asante kwa somo lako zuri kaka

 3. Mm nafanya mazoez kila siku ila kitambi hakipungui nifanyeje

 4. Asante sana tumekuelewa

 5. Japo somo ni lefu ila nimekuelewa ahsante

 6. Mazoezi ninayofanya ni kupiga kata tumbo na yote yanayohusiana na kukata tumbo

  • Hayo hayapunguzi tumbo/kitambi. Olaqsho Swalehe

  • Yanayo punguza niyap sasa dr

  • Ukisoma hiyo makala yote imeandikwa ni mazoezi yapi ufanye ila naona kama hujaisoma yote.

  • Wakati mwili unapokuwa legelege yaani unapokuwa ni mtu wa kula kulala bila kujishughulisha na mazoezi, mishipa hushambuliwa kirahisi zaidi na protini yake humeng’enywa na kufanywa sukari. Ingawa, ikiwa mishipa inashuhulishwa, itaanza kumeng’enya baadhi ya mafuta yake yaliyohifadhiwa na kuyatumia kama chaguo la chanzo chake cha nguvu katika kufanya kazi na kuutunza au kuuongeza ujazo wake.

   Ili kufanya hivyo, mishipa hukiamsha kimeng’enya chake cha mafuta, homoni iitwayo kwa kitaalamu ‘lipase‘ (tamka lipesi).

   Imedhihirika katika majaribio ya kujirudia huko nchini Sweden kwamba kimeng’enya hiki cha kuchoma mafuta huamka baada ya mwendo wa miguu wa saa moja MFULULIZO, na huendelea kumeng’enya mafuta kwa muda wa masaa 12.

   Kwa hiyo ikiwa mtu atatembea kwa muda wa saa moja mara mbili kwa siku, atakuwa amekiamsha kimeng’enya (enzyme) hiki kufanya kazi kwa masaa 24 (yaani siku nzima)!.

   kutembea zaidi, ndivyo kimeng’enya hiki kinavyoendelea kujitokeza zaidi, kwa hiyo fungu lolote la mpango wa mlo lazima liegemee zaidi upande wa mahitaji ya mishipa kwa ajili ya matokeo ya muda mrefu ya moja kwa moja ya kifiziolojia katika kumeng’enywa kwa mafuta.

   Ni kimeng’enya hiki hiki (lipase) kwenye mzunguko wa damu ambacho huisafisha mishipa dhidi ya mabaki ya mafuta, cholesteroli na dipositi zake.

   Hivi ndivyo ilivyo rahisi kupunguza uzito na unene bila nguvu wala gharama yeyote!. Anza leo, tembea saa moja kutoka kituo A mpaka kituo B bila kupumzika asubuhi na jioni, baada ya wiki mbili pima tena uzito wako kuona namna ulivyofanikiwa kwa muda huo na muda gani uwekeze tena kumaliza tatizo hili linalosumbuwa watu wengi kote duniani. Itabidi uwe na saa kabisa mkononi na siyo unakisia tu, kuhakikisha kweli umemaliza dakika 60 ukitembea kwa kasi pasipo kusimama. Kama hali yako siyo nzuri sana, unaweza kuanza na dakika 15 siku ya kwanza, dakika 20 siku ya pili, dakika 25 siku ya tatu … hivyo hivyo ukiongeza dakika kadhaa kila siku hadi utakapoweza kwenda lisaa lizima bila kupumzika.

   Kumbuka pia kunywa maji kila nusu saa kabla ya kula.

  • Haya muheshimiwa nashukuru sana na nitafanyia kaz mambo yote ulionielekeza

  • Karibu sana ndugu na usiache kuuliza au kunijulisha unavyoendelea. Olaqsho Swalehe

 7. wewe ndugu upo kwa makususi si kwa bahati mbaya Bali kwa faida asante

 8. nimekuelewa sana!! asante kwa ku-share elimu yako!!!!

 9. Asante…..!!!!! umenipatia darasa tosha,ama kweli “elimu ni bahari”,tunaendelea kujifunza hata kama atuko shuleni…..!!!!! ENDELEA KUTUELIMISHA.

 10. Jona Stima Jona Stima says:

  Asante kaka kwa elimu nzuri hivyo,pia ingekuwa vizur tungepata mtiririko wa vyakula vinavyofaa kuliwa kwa majina na sio ktk makundi maana wapo wasiojua protin,fat n.k kaka

 11. nipael says:

  nimefurahia somo lako mana nasumbuliwa na kitambu mno. nitaanza kufanya zoezi la kutembea sasa. barikiwa na Mungu.

 12. Ronald Lema Ronald Lema says:

  Asante sana kwa elim nzur

 13. kanuni ya kujua kua unene au mwili ulio nao umezid au la. yaani kujua (BMI) body mass index chukua uzito gawanya kwa urefu wako kipao cha pili , utapa jibu wastan inatakiwa iwe ni 26-30 ikipungua au kuzidi apo ni tatizo!

 14. …hiyo ni chemchemi ya safura na minyoo. Na mara nyingi huletwa na ulaji wa chakula aina moja kwa muda mrefu. Kama kitimoto +biax365dysx2-4yrs

 15. Nest Mtelele Nest Mtelele says:

  good article brother, its really

 16. Axante Kaka Kwa Somo Lako Na2main Wa2 Wamekuelewa.

 17. Cgela Kayeye Cgela Kayeye says:

  kumbe urefu na uzito vinatakiwa vilingane

 18. ….hii tabia ya kuishi ili kula ni mbaya. Du! wabongo bana.

 19. ….hii tabia ya kuishi ili kula ni mbaya. Du! wabongo bana tumezidi kuchakachua. mpaka afya zetu?

 20. Asante sana kaka kwa ushauli, mimi nilijifungua kwa oparation nataka kupunguza tumbo nifanyeje ili lipungue

 21. Duuh.kuna k2 nimeamin”fungen mpate afya”haya nimaneno matakatifu…njaa na kiu vnapunguza unene na unene unaleta madhara na ukifunga lazma utaic njaa na kiu.ahsante sana {p@ul}m mung akuongoze kwenye haq.

 22. Kaka Pauk Me Kitambi Nifanyaje Ili Nikitoe Plz Nipe Ushaur

 23. nikifanya mazoezi leo then kesho nisipofanya.kesho kutwa naamka nimechoka sana yani.

 24. duh wanangu eeeeeee msala uwooooo unene soishuuuu ishu wembambaaa ndompangooo

 25. Btrc Jmc Btrc Jmc says:

  asante sana… nakufata wasap

 26. Jamaa Anamimba Hiyo Cjui Ataitua Lin?

 27. Asante kwa elimu nakufuata wtsap

 28. Nna 84kg urefu futi 5.9 is it constant weight?

 29. asante swali langu mtu yoyote anatakiwa awe na uzito kiasi gan na usizid kiasi gani.

 30. Juma Majuto Juma Majuto says:

  Je kutumia limao linaweza kupunguza obesity?

 31. Juma Ndela Juma Ndela says:

  Ehe mungu ninusur na tumbo kama hilo

 32. Hango John Hango John says:

  huyo mbona kama mosha silas bongeee

 33. My drees my joice

 34. Ally Mkilwa Ally Mkilwa says:

  mungu akufanyie wepesi ktk kutoa elimu na mambo yako mengine inshaallah

 35. Asante sana,ila sio watu wote wanaweza fuata hayo maelezo ulio wapatia kwa kweli

 36. Mary Mashima Mary Mashima says:

  Ukiacha kutumia wanga na sukari unaweza Kupungua kilongapi kwa mwezi. Nivyakula gani haswa vinakubalika

 37. Ritha Fredy Ritha Fredy says:

  Kaka mm naomba msaada nataka nipungue tumbo tu

 38. Niunganishe kweny group lako LA WhatsApp nimekutafuta hupatkan 0758461795

 39. Poul de Hood Poul de Hood says:

  Dr. KIUKWELI MIMI NAMSHUKURU SANA MUNGU TANGU NIANZE KUJITAMBUA SIJAWAHI KUKOSA APETAIT YA CHAKULA,NA NIKIUMWA NDIO INAZID BALAA AU NIKIFANYA MAZOEZI,SASA HV NIMENENEPA NINA KILO 80 NA MWANZONI NILIKUWA KILI 70 ZIKIZID SANA 75.ILA UREFU WANGU CUJUI ILA CO MFUPI MIMI UREFU WANGU WA WASTANI.KWA KAZI NILIYONAYO NI NGUMU KUPATA MUDA WA MAZOEZI,NILIJARIBU KUFANYA DIET NILISHINDWA COZ NASHINDWA KUJINYIMA KULA NA NAHITAJI KUPUNGUA NAFANYAJE Dr?USHAUR TAFADHALI

 40. Flora Bite Flora Bite says:

  Mimi nataka kupungua uzito nina kilo 80

 41. Monica Nduva Monica Nduva says:

  Doctor nakuomba unisaidie uzito nimkubwa sana kg 100 ulefu ni165 najitahidi kufunga sipungui pia na presha inanisumbua sana je nifanyaje

 42. Naomba ushauri mimi ni mnene balaa

 43. Ally Abdul Ally Abdul says:

  Kwaiyo dr unamanisha kunywa maji kwa wingi na kutembea umbal mrefu ndosababu za kupunguza uzito na manyama uzembe

 44. Pris Andrew Pris Andrew says:

  kula ulavyo bugia hata sahani kumi ila kama usipo kula vyakula vya wanga na sukari kwa kiasi kikubwa hawezi kuwa mnene na hata kama ukitaka kupungua mwili acha kula ama kula kama vijiko viwili vya wanga kwa siku utapungua bila hata ya kufanya mazoezi, ulaji wa vyakula vya wanga na sukari ndio vinawapelekea kuwa wanene kupindukia, watu wanashindwaga kuelewa hapo, na uzito unasababishwa na matumizi ya chumvi nyingi unakuta mtu mwembamba lakini mzito balaa watu wanabaki kusema ana mifupa mizito, sio kweli chunguza chakula chake anachokula utagundua chumvi nyingi

  • Kwahyo nawez kul vykula gn ili nipunguze mwl

  • Pris Andrew Pris Andrew says:

   kula vyakula jamii ya protein na vitamini kwasana ambavyo jamii ya protein nikama maharagwe,nyama,mayayi,samaki and nk vitamini kama matunda na mboga za majani hivi unaweza kula hata sahani imejaa ila wanga ule kidogo sana kama vijiko viwili kwasiku ama usile kabisa kama unataka kupungua haraka vyakula vya wanga kama ugali,wali,mihogo,ndizi , makande, uwele,mtama ,chapati, keki and n.k, usitumie sukari ama vinywaji vya sukari kama soda hizi, malter , , yani kabla ujanywa kinywaji chochote some ingridients zake ukiona ina sugar temana nayo. Yani vyakula vya wanga na sukari vikizidi mwilini vinabadilishwa kuwa mafuta na kuifadhiwa ndani ya mwili ndio unakwenda kunenepa. Yani ukifuata maelekezo yangu hakuna haja hata ya mazoezi utaona mabadiliko makubwa sana kwenye unene ndani ya miezi sita utapungua mpaka utashangaa, maana mili utakosa wanga na sukari kwa wingi kwahiyo ubongo utatuma signal kwenye mwili kuwa yatumike mafuta yaliyoifadhiwa mwilini kuwa energy, maana kazi wanga na sukari ni kuupa mwili nguvu, sasa utakuta mtu hafanyi kazi ngumu yuko ofisini ila anakula sana wanga na sugar so vikiingia mwilini vinatumika kidogo vingine vinabadilishwa kuwa mafuta ya mwili ndio mtu anaanza kunenepa.

  • Zulfa Polea Zulfa Polea says:

   mi nataka kuwa mnene…

  • Pris Andrew Pris Andrew says:

   kula vyakula vya wanga zaidi na sukari, mara kwa mara kama mtoto mdogo anavyolishwa chakula kwa masaa, nakupa just couple of month utafutuka

  • Unachosema upo sahihi,lakn pia ni vigumu mno kwenye nchi za kiafrika mtu asile wanga,maana chakula kikuu baran ni ugali na wali na vyote ni wanga,kwa hyo muhimu ni mazoezi tu na kubalance namna ya kula.

  • Jamaa uko vzr sana…..nmeipenda
   ila n kwel mifupa haina mchango katika uzito???

  • Pris Andrew Pris Andrew says:

   sawa malima, ila kumbuka baada ya mazoe usile wanga ama sukari maana utakuwa haujafanya kitu sawa sawa unajaza gunia maji, unakuta mtu ametoka kwenye mazoezi amepunguza fat kama nusu ya robo halafu anagonga soda na halfkeki , yani hapo mazoezi bure kwenye upande wa kupunguza mwili,. Na kama doctor fadhili anavyoshauri kuwa unakuta mtu mwili umemwalati anasikia njaa kumbe sio njaa ya chakula ni anahitaji maji, yeye anakwenda kugonga ugali na wali tayari anajiover dose wanga mwilini, unene unakuashiria mwili umetosheka kwa wanga na sukari so usile tena wanga na sukari, ili mwili uweze kutumia akiba ya wanga na sukari mwilini ambayo ni mafuta ya mwilini, na ukiona umepungua sana unaendelea kula wanga kwa kiasi fulani. pili siku hizi ukienda kwenye restarante unakuta plate la matunda linauzwa bei rahisi kuliko chakula cha kawaida kama wali na ugali, unakuta plate ya matunda buku ila wali ama ugali 2500, kama mimi huwa napenda kula mchana plate ya matunda na samaki ama kuku ama chochote ilimradi iwe protein , na nikiona mwili umepungua sana nagonga na wanga kidogo, ama nikitaka uongezeke kwa haraka naongeza mlo wa wanga sana, yani unacheza na mapishi tu jikoni.

  • Pris Andrew Pris Andrew says:

   psy , mifupa ina mchango kwe uzito ila sio kwa namna watu wanavyosema kuwa jamaaa unakuta mwembamba na ukimwangalia anaweza akawa na kilo 60 yani mwili mzima(nyama na mifupa) ila ukienda mpima unashangaa anagonga kilo tisi mapaka mia, mtu kama huyu utasikia watu wanasema anamifupa mizito kumbe sio, atakuwa mlaji mzuri wa chumvi na ukitaka kujua fanya reseach ya kuwafuatilia watu wa design hiyo chakula wanachokula ndio utaona ni wapenzi wazuri wa chumvi nyingi.

  • Anita Kweka Anita Kweka says:

   Mi unanisaidiaje Kaka kilo zishuke Kwa maana napungua Mwili but kilo ziko palepale?

  • Pris Andrew Pris Andrew says:

   matumizi ya chumvi ndio kila kitu kwenye uzito

  • Pris Andrew Pris Andrew says:

   wewe jitahidi usitumie chumvi ama tumia kiasi kidogo sana then kunywa maji mengi ili ukitoka jasho unai-flash chumvi ambayo ulishaitumia kipindi cha nyuma, ndani mie kadha utaona mabadiliko makubwa, na tafuta namna uwe unatoka jasho nadhani unanielewa nikisema hivyo

  • Mesia Mbaga Mesia Mbaga says:

   mim kila nikifanya mazoezi sipungui nipo vile vile sasa nikitaka kuacha chakula cha wanga mfano ugali, na wali nile nin sasa?

  • Haswaa yan ukifuata hayo unene kwaher mi hapa nimepungua sana

  • Kwa kuepuka kula vyakula vya wanga na sukari

  • Tino Bea Tino Bea says:

   Ule Vyakula Gan Ukiachana Na Hvo Vya Wanga Tusaidiane Wadau Hat Ambao Bdo Tuwe Makini.

  • Kudra Hassan Kudra Hassan says:

   Watu hamsom mkaelewa bna mnamsumbua mwenzenu

  • Jonas Tave Jonas Tave says:

   Hivi, maharage siyo wanga? Katika orodha ya vyakula vya wanga hapo juu maharage hujayataja na mimi ni mpenzi sana wa hiyo kitu..na nimewahi kusikia kuwa maharage yana wanga na protin kidogo. Nijuze hapo kiongozi @ Pris Andrew

  • hapo nmekuelewa kuwa vyakula vya wanga vkzd vnabadilshwa na kuwa mafuta sasa je hv vyakula vya mafuta vkzd navyo inakuwaje,na je n kwel kuna unene wa kurithi ambao haupungui?

  • Pris Andrew Pris Andrew says:

   maharagwe ina protein nyingi sana na ni nzuri sana katika mwili at jonas tave

 45. Pris Andrew Pris Andrew says:

  vyakula vya wanga ni kama ugali, wali, ndizi ambazo hazijaiva, mihogo, mtama , uwele and n.k

 46. Mwana Mwana Mwana Mwana says:

  Pris Andrew umengea vizuri sana. Unawezaje kula samaki tu au nyama tu bila ugali wala wali? Mtihani.nina kg 115

 47. Kaka naomba kuuliza swali,,, nikweli Kuna unene wakurithi

 48. Arson Mussa Arson Mussa says:

  Dr tunapaswa kula vyakula gani nikiwa na maana watanzania wngi Wa mjini hula sana wanga embu nisaidie tufanyeje ss tunao ishi mijin?

 49. Dada Angu Anataka Tumbo Lipungue Kidogo. Pia Mahps Yawe Makuawa Kdogo.Atumie Mbinu Gan?

 50. Subira Ibada Subira Ibada says:

  Mark Maregesi soma hapo kwa faida yako

 51. Bab stor unazotuletea ni bora ufunge tu hoyo acaunt hatukuelew

 52. Nina kilo 70 lkn nimekønda mbona sipungui uzito au kukönda sio suluisho la kupungua kwa uzito?

 53. Hawa madoctar wanazingua tu pesa inatafutwa kwa pupa

 54. Sarah Nelson Sarah Nelson says:

  huwa napata maumivu makal sn kwenye kifua na kifua kinabana nifanyeje?!

 55. Abuu Ilham Abuu Ilham says:

  Nilikuwa niko na 85 kg but now niko 77 njoo nikufunzeee njia nilizopta!!!!!!

 56. Dr mm nikisikia eti maji ya mdalasini n.a. tangawizi kidogo hupunguza tumbo? Halafu veep kuhusu mahalage pia yananenepesha ?

 57. Mbona kuna watu waosema ukitumia Nazi sana kwenye mboga basi colesto huwa nyingi mwilili je nikweli au si kweli?

 58. Fact ndugu bonge la somo,

 59. Dr. Je viazi avina wanga we tusaidie tuelekeze vizuri

 60. Eraga Mjuli Eraga Mjuli says:

  Alikuwa wapi mpaka kufikia hivyo?..tatizo Nikola wakati mdomo unatafuna kilo wakati kama machine.ya Kusaga unga. na kula nyama za nguruwe

 61. Eraga Mjuli Eraga Mjuli says:

  Namna hii hakuna ndoa. Mama inabidi shame njia kuu .maana huyu jamaa hata kuji kunja hawezi. Duuu hatari

 62. Jonas Tave Jonas Tave says:

  Elimu nzuri, naanza maandalizi ya kupunguza chakula cha wanga na sukari. Maana nimejaribu kupunguza kakitambi lakini wapi kamenikomalia..japo kakitambi kadogo lakini kananikera balaa.

 63. Baba Izo Baba Izo says:

  Ilo tumbo la uyo jamaa ni mzigo

 64. Somo zuri xn,so cjui tufanyeje tukwepe chakula cha wanga

 65. Pasheck Man Pasheck Man says:

  asante kwa ujumbe mzuri

 66. duuh kwl ninoma sna sasa toeni njia mbadala zakuwasaidia watu wahvi au wenye kilo nyng naunene pia

 67. vitunguu swaumu nimeambiwa huozesha utumbo ukitumia kwa muda mrefu!

 68. Asma Ahmed Asma Ahmed says:

  Mbona huyo ana kitambo

 69. STANYLEY umeipata hy?

 70. Nauliza hiv: mie kwa mtazamo sio mnene sana lkn uzito Mkubwa mpaka uwa nashangaa dr. Alisema ni mfupa mzito iyo ipo!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *