Vitamini D ni dawa ya asili ya saratani ya tezi dume

Vitamini D ni moja ya dawa inayoweza kutibu saratani ya tezi dume ya asili isiyo na madhara yoyote.

Jifunze kupitia makala hii kwanini unahitaji mwanga wa jua wa kutosha kila siku ili kujitibu ugonjwa huu unaoendelea kuwasumbuwa wanaume wengi duniani miaka ya karibuni…

Miaka michache ijayo utaenda kuona shuhuda za kushangaza juu ya uwezo wa vitamin D katika kukinga na kutibu saratani hasa saratani ya tezi dume na shuhuda hizi zitakuwa zikitolewa na wanasayansi wenyewe kwenye tiba za hospitali kabisa na siyo tiba mbadala tena.

Dalili kwamba una upungufu wa vitamini D:

 1. Kushuka kwa kinga yako ya mwili
 2. Mifadhaiko ya mara kwa mara
 3. Saratani mbalimbali
 4. Mifupa midhaifu
 5. Matatizo ya ngozi
 6. Ukichaa (dementia)

Vitamini D ni moja ya dawa bora zaidi za asili zinazotibu tezi dume mpaka sasa, dawa ambayo watu wachache sana wanaifahamu. Kuna tafiti nyingi sana ambazo tayari zimefanywa juu ya vitamini hii na saratani ya tezi dume ambazo kuziandika zote inahitaji muda wa kutosha.

Sitanii kabisa katika hili na nitakupa shuhuda kadhaa za wanasayansi na madaktari ambao wamefanya utafiti katika hili ili kukuondolea wasiwasi kidogo.

Watafiti wamethibitisha uwezo mkubwa wa vitamini D katika kutibu saratani ya tezi dume  …..

Katika utafiti mmoja Dr Jonathan Waxman na washirika wake kutoka chuo kikuu cha Imperial London wamegundua kwamba wakati wakiwapa wagonjwa wao viinilishe vya vitamini D wenye saratani ya tezi dume wengi wao wameonyesha mabadiliko makubwa ya hali zao za ugonjwa huu.

Waxman anasema … “Inashangaza sana hakuna majaribio na matamko ya wazi kwa umma juu uwezo wa vitamini D katika kuzuia na kutibu saratani dawa ambayo haina madhara yoyote mabaya kwa wagonjwa wa tezi dume”.

Na katika Jarida lingine la afya lijulikanalo kama ‘Clinical Oncology, Januari 20, 2005, iliripotiwa kupitia jarida hilo kuwa wanaume wenye kiasi cha kutosha cha vitamini D kwenye damu zao wanakuwa na uwezekano mdogo sana wa kupatwa na saratani ya tezi dume.

Tafiti zaidi kutoka kwa watafiti wengine wakubwa, Hanchette na Schwartz juu ya ugonjwa huu na vitamini D zimehitimisha kwamba wanaume wanaopata mwanga wa jua wa kutosha kila siku wanakuwa mbali na kuugua saratani.

Utafiti mwingine uliofanywa na RJ Skowronski na washirika wenzake sambamba na utafiti wa GJ Miller, zimethibitisha kwamba seli nyingi za saratani ya tezi dume zina vipokezi vya vitamini D. Kwahiyo vitamini hii siyo tu kwamba inaweza kuzuia kukua kwa seli za saratani bali pia inaweza kuziua seli hizo.

Ukiacha hilo, baadhi ya homoni za kiume zinasemekana kuhamasisha kutokea kwa saratani ya tezi dume. Wakati vitamini D inaaminika kuzuia kipokezi kiitwacho ‘androgen receptor’ ambacho ndicho kinahusika kuzalisha homoni za namna hiyo.

Mwili wako unahitaji kuwa na kiasi kingi sana cha Vitamini D…

Mtaalamu wa saratani (Cancer expert), Chris Woollams, anasema  ….

Kila mmoja mwenye tatizo la saratani anatakiwa kuongeza vitamini D kwenye orodha ya dawa anazotumia kama anahitaji kupona kwa haraka na kwa uhakika ugonjwa huu.

Unawafahamu wanaume wa kiJapani?

WaJapani ndiyo watu pekee wenye idadi ndogo kabisa ya wanaume wanaokufa kwa saratani ya tezi dume katika dunia. Siri kubwa ya mafanikio yao ipo kwenye kutumia sana vyakula vyenye madini ya saliniamu na mafuta ya samaki. Mafuta ya samaki kwa asili yana kiasi kingi sana cha vitamini D na Omega 3 vitu viwili mhimu sana katika kutibu saratani.

Vyanzo vya Vitamini D

Je ni nini vyanzo vya vitamini D?

OKAY, Mwanga wa JUA ndiyo namba 1 kama chanzo kizuri cha vitamini D na mbaya zaidi ni kwamba linapatikana BUUURE kabisa huhitaji kulipia hata 100.

Unachohitaji ni kujianika tu juani kila siku nusu saa hivi. Wakati wowote mchana, asubuhi au hata jioni lakini jua likupige sehemu kubwa ya mwili wako.

Vyanzo vingine vya vitamini D ni pamoja na mafuta ya samaki au samaki wenyewe moja kwa moja, maziwa fresh, mayai ya kuku wa kienyeji na uyoga.

Kama unahitaji mafuta ya samaki au mayai ya kuku wa kienyeji, niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586.

Ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke Dar Es Salaam Karibu na ofisi ya TANESCO wilaya ya Yombo, unaingia kupitia jet corner (Uwanja wa Ndege) au Tandika. Naweza pia kukuletea ulipo unanilipa nauli ya daladala na natuma pia mikoani.

Una ushuhuda wowote kama matokeo ya kutumia blog hii? Kama ndiyo toa ushuhuda wako ili uwe msaada kwa wengine, kutoa ushuhuda wako bonyeza hapa.

Jiunge na watu wengine zaidi ya 94000 kwenye ukurasa wangu wa facebook kwa kubonyeza hapa

Jiunge na Group langu la Afya Kila Siku kwenye WhatsApp kwa ada ya sh 5000 tu kwa mwezi, nitafute WhatsApp +255769142586 na utakuwa karibu na mimi masaa 24

Tafadhali SHARE kwa ajili ya uwapendao

(Imesomwa mara 6,222, Leo peke yake imesomwa mara 2,941)

28 Comments

Stoni Sostenes

Stoni Sostenes · 05/02/2018 at 8:06 am

ASANTE

Philemon Hoke

Philemon Hoke · 05/02/2018 at 8:23 am

Samahani doctor niko nje ya maada kidogo! Naomba dalili za mtu mwenye minyoo

  fadhilipaulo.com

  fadhilipaulo.com · 05/02/2018 at 8:50 am

  DALILI

  Kama idadi ya minyoo ni ndogo, unaweza kutoona dalili za ugonjwa huu. Hata hivyo unaweza kuambatana na:-

  1. Homa
  2. kuharisha
  3. kuvimba tumbo
  4. kuvimba ini au wengu
  5. Kichomi cha mara kwa mara
  6. Kichefuchefu na kutapika minyoo ya duara
  7. Maumivu ya tumbo
  8. Kupungua uzito
  9. Matatizo mazito yanaweza kujitokeza kama minyoo itahamia sehemu nyingine za mwili kama mapafu, ini, na sehemu nyingine za mwili asa msokoto na kuoza kwa sehemu ya utumbo mdogoambayo hupelekea kifo.

  Philemon Hoke

  Philemon Hoke · 05/02/2018 at 8:52 am

  Asante nashukuru mimi nilikuwa na kikohozi koo linawasha nimeenda duka la dawa kununua dawa nikashauriwa ninywe na ya minyoo nikaambiwa itakuwa minyoo

  fadhilipaulo.com

  fadhilipaulo.com · 05/02/2018 at 8:56 am

  Karibu sana ndugu

  Philemon Hoke

  Philemon Hoke · 05/02/2018 at 8:58 am

  Asante nashukuru kwenye hizo dalili sina hata moja, ila kikohoz koo linawasha sana nimetumia dawa ya kikohoz ya maji sijapata nafuu,

  Irene Ngido

  Irene Ngido · 06/02/2018 at 9:11 pm

  Mm! Dr umenishtua! Kumbe minyoo inaweza kumshambulia mtu kiasi hcho hatmaye kufa! Ckufahamu. Asante kwa elimu Dr.

Grace Mbugua

Grace Mbugua · 05/02/2018 at 8:26 am

THNX

Noel Bwayy Fizzy Mdee

Noel Bwayy Fizzy Mdee · 05/02/2018 at 8:28 am

samahn doct hv tenzi dume inakuwaje

  fadhilipaulo.com

  fadhilipaulo.com · 05/02/2018 at 8:53 am

  Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani.

  Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.

  Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’.

  Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi pamoja na uzalishaji wa mbegu za kiume.

  Matatizo yakitokea katika sehemu yoyote hapo humuathiri mwanaume inategemea wapi athari ipo.

  Athari ni kushindwa kufanya tendo la kujamiiana na kuzalisha mbegu au manii. Manii ni majimaji yanayolisha mbegu za kiume na kuzisafisha na huzalishwa na tezi dume.

Samir Nassir

Samir Nassir · 05/02/2018 at 8:49 am

Docta na mm ningelipenda kufahamu icho kipimo ambacho hutumika kupima mtu akaweza kujifahamu ana nchi ngap za uume maaana wengine wanasema kidole cha katikati ni nchi tatu emu nielekeze izo nchi unatumia njia gani

Juma Mlacha

Juma Mlacha · 05/02/2018 at 9:08 am

Poa

Happy Kileo

Happy Kileo · 05/02/2018 at 10:08 am

Asante Dr,kwa kweli watu huamgamia kwa kukosa maarifa.Ubarikiwe!

Mangani Blair

Mangani Blair · 05/02/2018 at 1:02 pm

Asante doctor

Paul Masunga

Paul Masunga · 05/02/2018 at 4:06 pm

Ahsante sana Dr kwa somo zuri

Twilumba Msigwa

Twilumba Msigwa · 05/02/2018 at 7:53 pm

Samahani doctor niko nje ya maada mimi nawashwa na pua na koo mara kwa mara tatizo ni nini?

Deograsa Ngelime

Deograsa Ngelime · 06/02/2018 at 9:10 am

Doctor dawa ya Asili ya kifua ni nn,,, maana wengine vidonge ni mwiko

Silvano Mhombela

Silvano Mhombela · 06/02/2018 at 8:29 pm

Nashukuru Sana Kwa Kutoa Elimu Nzur Hii Nakutakia Maisha Marefu Sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *