Vyakula 14 vinavyoongeza nguvu katika ubongo

Vyakula 14 vinavyoongeza nguvu katika ubongo

You may also like...

117 Responses

 1. asante kwa somo zuri

 2. Haruna Mussa Haruna Mussa says:

  Ahsante dr,kwaiyo ili kupata nafuu natakiwa kutumia zote ulixoorozesha au hata baadhi

 3. Alhaji Twaha Alhaji Twaha says:

  Haya mafuta ya zeituni matumizi yake nivipi maana ninayo

 4. Mafuta ya zeituni na ya nazi unayatumiaje?

  • Hayo tumia kwenye kachumbali mbalimbali (salads). Ya nazi yale yaliyotengenezwa nyumbani unaweza kunywa kijiko kidogo kimoja kila siku. Unaweza pia kupikia tui la nazi kwenye vyakula vyako vingi

 5. Matumizi yake mfano kitungu swaum

 6. nashukuru nimeona maelezo mazr ya nguv wza ubogo

 7. Asante sana Dr. Mungu anamakusudi yake kukuleta hapa duniani

 8. Beatus David Beatus David says:

  Ahsante kwa Elimu

 9. Asante sana kwadarasa safi

 10. Samahani Dr. Mbegu za maboga unazitumiaje.

 11. Alex Pailot Alex Pailot says:

  ASANTE KWA ELIMU

 12. Ubarikiwe sana Dr.

 13. Matumizi tuelekeze japo kidog mfano kwa kitunguu

 14. Emmy Meggy Emmy Meggy says:

  Kwa mtu aliyepoteza kumbukumbu akila hivyo vyakula vitasaidia kuirejesha?

 15. Mkuu vpi kwa watoto … Itawafaa ktk hizo ulizoolodhesha

 16. Rajabu Roja Rajabu Roja says:

  Nilikuwa nahitaji namba zako tafadhari

 17. Mkuu najihisi vitu vinatembea kichwani, tatizo nn

 18. Mmmmmh! Ubarikiwe sana kaka kwa somo zr

 19. Ahsante kwa msaada wako kwetu

 20. Asante. Umesahamu maji.

 21. Mi naomba kujiungs

 22. Asante kwa kutuonesha aina za vyakula,ila tunaomba ufafanuwzi jinsi ya kuvitumia

 23. Asante kwa ushauli

 24. Asante doct, karib sana ulipotea ee

 25. Na hicho kitunguu swaumu kinasaidia nini sana

 26. Janeth Mduma Janeth Mduma says:

  Asant kwa mafuzo mazur Ila kunakipengele sijakielewa

 27. Umesahau
  1. Asali na
  2. Tangawizi

 28. Huo uoredheshaji umezingatia nguvu ya bidhaa husika au ni randomly?

 29. Doctor asante kwa post zako zinazotuongezea ufahamu, kwa mujibu wa maelezo yako ‘vitunguu swaumu vinatibu magonjwa mengi!” je vina madhara ya aina yoyote mwilini?

 30. Mery John Mery John says:

  Samahan Nlikuwa Nataka Kuuliza Lozi Inatumikaje

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *