Vyakula 20 vinavyotibu tatizo la msongo wa mawazo

Dawa asili na vyakula 20 vinavyotibu tatizo la msongo wa mawazo (stress)
Dawa asili na vyakula 20 vinavyotibu tatizo la msongo wa mawazo (stress)

You may also like...

281 Responses

 1. Ahsante Dokta, hii ni muhimu sana Lilian Pilla

 2. Chiku Shaban Chiku Shaban says:

  Asante kaka ubalikiwe

 3. Nimependa pointi ya mstari wa mwisho kabisa hapo chini

 4. Asante sana kwa ushauri na mafunzo mazuri
  Naomba nifahamishe zaidi kuhusu kungu manga likoje??

 5. Angel Msuya Angel Msuya says:

  Mtumish Dawa Ya Fangas Ya Ndani Ya Kichwa Ipo??

 6. John Mponda John Mponda says:

  Nimekuelewa sana mkuu

 7. Odoyo Odono Odoyo Odono says:

  Dr habari hv buza cgara unapatikan eneo lipi maana nmejaribu kutafuta ofic ilipo cjafanikisha.

 8. Siah Mocha Siah Mocha says:

  waaa. be bless dctr.

 9. Rose Swai Rose Swai says:

  Asante doctor Mungu akubariki sana…nilikuwa nasubiri kwa hamu sana umeniponya

 10. Hapo kwenye tendo la ndoa xx

 11. Asante kwa elimu hii kubwa.

 12. Asante doctor hospital wanapima stress au hamna kipimo

 13. Steven Chami Steven Chami says:

  Da nazidi kukuelewa sana ongera Sana

 14. Tunashukuru sana doctor kila siku unafundisha vitu vipya God bless you

 15. Nmekusoma kwakwel!

 16. mungu akubariki dokta

 17. Masud Sleyim Masud Sleyim says:

  nimependa rahisi kabisa heko.

 18. Rukia Masaka Rukia Masaka says:

  Asante ubarikiwe sana

 19. Martha Daud Martha Daud says:

  Asante sana dokta

 20. Asante kiongozi,uliwahi kunitumia sms kuwa umeniunga kwenye group la Whatsp lkn mpaka leo kimya,niliishia kushukuru tu!

 21. Asante!Umeotea muda muafaka dokta kama umejua,ubarikiwe!

 22. Asante. Kwa. Elimu.

 23. Said Baraka Said Baraka says:

  Kk npe dil la kuxaka hzo hela

 24. Frider Betty Frider Betty says:

  Sante Mungu azidi kukulinda miaka 1000

 25. Daaaaah nashukuru xana nimejifunza kitu

 26. Mayai Mayai Mayai Mayai says:

  Somo zuri sana aisee

 27. Shkran kwa elimu,hv kuna unga wa korosho ?

 28. Big up San mkuu in fact umeelimish San,ningepend kukupogez San na if possible ufany kipind kweny media il ata wasio tumia social network wafaidike na elim hii,coz matatiz ya afya ya akil ni jangaa la weng

 29. Mafuta ya habati soda yanapatikana wapi na kwa bei gani?

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi zinazoondoa mfadhaiko (stress) niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO.

 30. Juma Mbau Juma Mbau says:

  Naam, nimekuelewa Dr, nashukuru nitalifanyiakazi

 31. Kwa hiyo ukila hivi hta ukumbane na matatizo hutahisi….
  Bado siamini..
  Kuna mtatizo ukikumbna NATO maishni yanaitaji ..
  Mungu pekee na sio misosi hii

 32. Hirda Mtaya Hirda Mtaya says:

  Shukran kwko Doct limenigusa

 33. James Brown James Brown says:

  Yani doctor ww ni mpenzi wa waatu asante kua ripoti

 34. Matayo Jefta Matayo Jefta says:

  Asante asante asante sanaaaaa doctor

 35. James Brown James Brown says:

  Dokta vitamin b17 ufanye utafiti ina faida meengi mulini na cancer asante

 36. Mbegu za maboga unatafuna ikiwa mbichi au zilizokaushwa?

 37. Neema Kitogo Neema Kitogo says:

  Je mafuta ya habbat soda na unga wa habbat soda zote kazi yake moja!

 38. Asante kwa kuelimisha

 39. Nashukuru doctor umenisaidia sana kwa mazingira yangu ninayoishi.

 40. Imani pia ni muhimu katika kukabiliana na changamoto zote.

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi zinazoondoa mfadhaiko (stress) niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO.

 41. NAOMBA NAMBA YAKO YA SIM

 42. Cosma Mgimba Cosma Mgimba says:

  Asante sana doc. Hii unayofanya inatusaidia sana. Kweli vyakula vyetu vingi ni tiba. Ila tunashindwa jinsi ya kuandaa. Hii ni faida nzuri kwa matumizi ya mtandao. Si kama wengine wanaopenda kuposti uchafu uchafu na matusi. Asante doc.

 43. Asante kwa somo zuri

 44. Furaha Said Furaha Said says:

  msipende kudanganya watu msongo wa mawazo unatibiwa na chakula?

 45. John Pangani John Pangani says:

  Akhsante, Nimekufuatilia Mara nyingi,Je kituo chako kiko wp? Mm Niko Mza

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi zinazoondoa mfadhaiko (stress) niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO.

 46. nashukuru sana maana hata Mimi.ninashida hiyo silali natumia dawa tu kama cpz dawa shilingi ngapi

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi zinazoondoa mfadhaiko (stress) niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO.

 47. Neema Frank Neema Frank says:

  Je inakuwaje MTU anyonyeshi na wala hajawai kunyonyesha akikamua maziwa yanatoka naye huyo n stress

 48. Kama ulijua,m among the victims,Shukraan sana sana sana,In Sha Allah tutakuwa karibu kwa faida zaidi,Kazi Njema Dr.

 49. Asante Dr. Hakika Leo nimeona faida ya smartphone

 50. Mbegu za maboga unazikaanga au unatafuna hivyo hivyo

 51. Mtumishi ubarikiwe mnoo!ndo tatizo langu hilo tangu nifiwe na mtoto asante sana ubarikiwe mno!

 52. Shule sio mpaka madarasa.hapa nimesona.

 53. Doctor samahani mi kwetu kuna mtu anatatizo la msongo wa mawazo na tayari imekuwa shida anasumbua na kusikia sauti za watu na kusema vitu fulani vibaya na kukataa kula akitumia dawa anakuwa vizuri akichoka atakiki kutumia akikaa kwa muda anasumbua sana kwasasa tunampatia sindano kuna muda anasema ametupiwa majini akulaliki tusaidie doctar

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi zinazoondoa mfadhaiko (stress) niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO.

  • Asante tutawasiliana na mimi niko Muheza mgonjwa yuko Mikumi nitaongea na dada nitakujulisha au nimpatie namba hii

 54. Thank you doctor for giving us such education

 55. Vema kabisa dr mungu akubari sana. Je? Maduta ya habati soda yanapatikana wapi?

  • Kama utahitaji kuonana na mimi kwa ajili ya ushauri zaidi au unahitaji dawa mojawapo ya hizi zinazoondoa mfadhaiko (stress) niachie tu ujumbe WhatsApp +255769142586, mimi napatikana Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke karibu na ofisi ya TANESCO.

 56. Vosta Msuya Vosta Msuya says:

  Da kweli asante kwa somo la afya

 57. Ally Kason Ally Kason says:

  Hii ni safi sana

 58. MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI NA kukurinda ,sasa na hata MILELE ,zaburi 121: 1 -8 ,Haleluyaa

 59. Alex Gachu Alex Gachu says:

  Asante sana ubarikiwe

 60. Hawa Mdee Hawa Mdee says:

  Asante sana. Umenitibu ugonjwa wangu wa miaka

 61. Flora Mwenda Flora Mwenda says:

  Barikiwa sana Dr! Nmejifunza

 62. ahsante sanaaaa!hli ni somo la maana sana,maana msongo ni janga.

 63. Asante kwa mafunzo mazuri

 64. Swali nikitumia aina moja ya vitu hivi nitapona msongo wa mawazo

 65. Asante sana daktari kwa msaada wako.

 66. Furaha Said Furaha Said says:

  haya asante kwa ufafanuzi, kumbe ni utafiti umefanyika

 67. Ujumbe mzuri ila mazoezi ndo njia rahisi kuliko nyingine

 68. Magreth John Magreth John says:

  Limao natumia kila siku niamkapo nakunyw na maji ya uvuguvugu kweli ndawa nzr ukimywa unajisikia mwepesi sana naakili inakua sawa asante

 69. Joyce Chris Joyce Chris says:

  Asante sana doctor umetuelimisha ubarikiwe.

 70. Asia Msangi Asia Msangi says:

  Umenipa mwongozo nn nifanye nipate afya bora shukran sana

 71. asntle kwa kutufunza vema

 72. Somo zuri doctor coz stress ni jambo lisiloepukika katka maisha ya mwanaadam shukran

 73. Asante kwa mafundisho mazuri

 74. Asante maana hili tatizo linanisumbua

 75. Amos Kipanda Amos Kipanda says:

  Umetugusa tulio wengi, amen

 76. Zawad Mosha Zawad Mosha says:

  Nashukuru kwa ujumbe mzuri

 77. Johari David Johari David says:

  Barkiwa sana Doct Paul

 78. John Mmbaga John Mmbaga says:

  Duu hii Kali sasa

 79. Ubarikiwe sana docter kwa elimu nzuri ya afya zetu.

 80. mlemle doctor hakika uko vizuri.Ubarikiwe

 81. Èee Mungu wangu okoa wakina mama.

 82. Samahan DOKTA chai ya kijani ndio chai ya aina gani?? Maan na mm Nina hiloo tatizo la mawazo

 83. Great for what you have done

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *