Vyakula 6 ambavyo wanaume hawatakiwi kula

Vyakula 6 ambavyo wanaume hawatakiwi kula
Vyakula 6 ambavyo wanaume hawatakiwi kula

You may also like...

552 Responses

 1. Juma Mtanda Juma Mtanda says:

  Kama kawaida mimi nakubaliana nae doctar: kama Allah asema, “msijiue wenyewe…yaani kupeleka nafsi ako ktk maangamivu” ndo hapa doctar atushauri kuhusu vitu anavotakiwa kuviacha mwanaume…ila namkumbusha kasema vyote je sukari vipi nayo? ila mtanzania msibishe maana zama hizi ni hatari sana, waangalie vijana-miaka 16,17,18 na kuendelea wanaonekana wazee wamechoka kisa vitu vya chemicals

 2. Juma Mtanda Juma Mtanda says:

  Kama kawaida mimi nakubaliana nae doctar: kama Allah asema, “msijiue wenyewe…yaani kupeleka nafsi ako ktk maangamivu” ndo hapa doctar atushauri kuhusu vitu anavotakiwa kuviacha mwanaume…ila namkumbusha kasema vyote je sukari vipi nayo? ila mtanzania msibishe maana zama hizi ni hatari sana, waangalie vijana-miaka 16,17,18 na kuendelea wanaonekana wazee wamechoka kisa vitu vya chemicals

 3. Hamisi Chitu Hamisi Chitu says:

  du! yani hadi mafuta ya alizet! aaah doctor embu tuache bhana we umesomea wapi hadi iwe alizet sio kwa wanaume eh!

 4. Asante kwa elimu Mkuu!!

 5. Omary Mussa Omary Mussa says:

  kwa mim ninachojua kibaya utakachokura tumbon mwako kikaleta madhara ni chuma na sio mafuta ya arzet inatosha kwa leo.

 6. Adam Kim Adam Kim says:

  Hawa ni njaa2 wamefanya utafiti upi mpk kubaini mafuta ya alzet hayafai? KATAFTE KZ YA KUFNY.

 7. Saleh Mohamed Saleh Alobady

 8. Maji Yakunywa yewe Mengi!

 9. Je nkikaaga mwenyewe popcorn na mafuta mazuri ya nyumbani ?

 10. Naomba ufafanuzi wa Omega 3,

 11. Ngurukizi John says:

  Hadi mafuta ya alzeti yanashida? Duh, sijaamini aisee!!! Tutumie mafuta Gani saaa

 12. Silivan Daud Silivan Daud says:

  swali langu nikuhusu chumvi ya mezan wenga tunaitumia je kinga yake ni nini au matibabu yake ni nini

 13. Mwacha Alex Mwacha Alex says:

  Wababaishaji tuu, eti usile mafuta yatokanayo na mbogamboga wala alizeti, then yatokanayo na wanyama ndiyo balaa zaidi, tukiwasikiliza sana mwisho WA SKU mtatupoteza, kila MTU anaibuka na kautafiti ambako mnafanya locally mnakuja kutudanganya hapa, mwisho WA siku mtatuambia tusile mafuta kabisa, akili kumkichwa tuangalie na vya kufata sasa

 14. hapo umebugi mafuta ya alizet yanaxaidia xana alwayx kwa wenye matatz mbali mbali xaxa hapo xko umekoxa xwali langu ipi haxara ya kutmia mafuta ya arizeti na je zip haxara za kula pilipili???

 15. Peter Stivin Peter Stivin says:

  da asanter kwa elim yenu nita waambia nawatu wajifunze apo kuus chumv apo maana ndo kiungo kikubwa hv sasa

 16. Ramadhani Salum says:

  Dah…ni elimu kubwa sana…ni faida endapo itafanyiwa kazi

 17. kutoka moyon, doct axnte kwa wema na upendo wako, hakika MUNGU atakulipa kwa upendo unao uonexha kwa binadam, endelea kutuelmixha na MUNGU akubariki AMEN

 18. EPIMACK says:

  NAPIA KAMA WANAUME WANAOPENDA KUTOA MBEGU ZAKIUME KWANJIA ZOZOTE WANAPATWA NA NAMAZALA GANI?

 19. EPIMACK says:

  NIKIWA NA TATIZO LAKUSAHAU SANA NITAFANYAJE ILI NISISAHU TENA?

 20. Boniface kagema says:

  Naomba msaada wako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *