Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

mbegu-za-maboga

Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana.

Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.

Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’.

Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.

mbegu-za-maboga

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

1. Kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu

Chukuwa punje 8 mpaka 10 za kitunguu swaumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha meza na maji vikombe 2 kutwa mara 2 kwa mwezi mmoja.

Pia hakikisha kila chakula unachopika basi kitunguu swaumu lazima kiwemo kama moja ya viungo na ukiweke mwishoni mwishoni kwamba kisiive sana katika moto wakati unapika hicho chakula.

 

2. Tikiti maji

faida za tikiti maji kiafya

Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya hivi siku zote.

 

3. Ugali wa dona

Dona

Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachana na mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu kwa ajili ya afya ya mwanaume. Kama ugali wa dona unakukera jaribu kufanya hivi, chukuwa mahindi kilo 10 ongeza ngano kilo 3 na usage kwa pamoja, ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu na unaweza kula na mboga yoyote tofauti na lile dona la mahindi peke yake. Fanya hivi katika familia yako kwa maisha yako yote.

 

4. Chumvi ya mawe

Chumvi ya mawe

Chumvi ya mawe ya baharini ile ambayo haijasafishwa au haijapita kiwandani ina mchango mkubwa sana katika kutibu tatizo hili. Tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako kila siku.

 

5. Maji ya kunywa

Maji ya kunywa

Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiri kiu. Kila mtu anahitaji glasi 8 mpaka 10 za maji kila siku. Maji ni mhimu katika kuongeza damu, kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini.

 

6. Mbegu za maboga

pumkin seeds

Ziloweke katika maji yenye chumvi, zikaushe. Zikaange kidogo bila kuziunguza. Tafuna mbegu 100 kutwa mara 3 kwa muda wa mwezi mmoja. Ukitafuna meza vyote, hakuna cha kutemwa hapo. Mbegu hizi sifa yake kubwa ni kuongeza wingi wa mbegu za kiume (manii), kama unatatizo la kuwa unatoa manii machache (low sperm count) basi hii ni mhimu sana kwako.

 

7. Asali na Mdalasini

Asali & Mdalasini

Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayo haijachakachuliwa, ongeza vijiko vikubwa 4 vya mdalasini ya unga changanya vizuri pamoja. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila unapoenda kulala. Fanya hivi kwa mwezi mmoja.

 

8. Chai ya TANGAWIZI

Chai ya Tangawizi

Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.

Ulaji wa tangawizi mbichi nusu saa kabla ya tendo la ndoa husaidia katika kuongeza hamu na nguvu ya tendo la ndoa.

Unaweza ukanywa chai ya tangawizi tu nusu saa kabla ya kuanza tendo au unaweza ukatafuna kipande cha tangawizi mbichi kwa ukubwa wa dole gumba la mtu mzima nusu saa kabla ya tendo.

Kunywa chai ya tangawizi mbichi kila siku, katika chai hiyo unayopika ndani yake weka tu maji na Tangawizi mbichi uliyosagia ndani yake (usiongeze majani ya chai humo), kumbuka tangawizi inaoshwa tu na maji na uisagie ndani ya sufuria pamoja na ganda lake la nje.

Sasa badala ya kutumia sukari wewe tumia asali kwenye hii chai yako ya tangawizi na ukiitumia hivi kila siku hutachelewa kuona faida zake. Tangawizi peke yake ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini!

Kama utahitaji asali ambayo imeshachanganywa tayari na mdalasini au unahitaji asali peke yake au unahitaji mbegu za maboga ambazo zimekaangwa tayari, wasiliana na mimi kwenye WhatsApp +255769142586

mbegu-za-maboga

(Imesomwa mara 21,302, Leo peke yake imesomwa mara 48)

You may also like...

980 Responses

 1. Asante doctor kwa elim yako nzur weng tumefaidika ubrikiwe sana

 2. Joseph Daudi Joseph Daudi says:

  NIMEKUPATA DOKTOR

 3. bei gani iyo asali teyari ishachanganywa

 4. Safi sana. Lita moja shilingi ngapi?

 5. Daaah! Aksante kwa elimu

 6. Asante sana kaka Mungu akupe upeo mkubwa zaid

 7. Isaac Oberth Isaac Oberth says:

  nimekuelewa xanaaa mkuuuuu

 8. Elly Ezekiah Elly Ezekiah says:

  Dalasa zuri sana et

 9. doctar saf xn ila mm natitz nafanya masaa Meng bila kupiz mwenz wang anachoka

 10. Ati pilipili inakufanya usiwe unapiteza kumbukumbu?

 11. Umetoa elimu nzurisana,nitakuja ofisini kwako

 12. Samahan mtaalam ni kwann kwa baadh ya wanaume wanawah kutoa bao la kwanz kabla ya hata dakika mbili

 13. Nimekubali sana mzeee…

 14. Ally Hussein Ally Hussein says:

  I like it and big up doctor,Allah akuongoze na uendelee kutoa elimu kama hii hongera xana

 15. Nimepata somo zuri kumbe dawa zipo zimetuzunguka hatuna habari yoyote ila kupitia kwako doctor nielewa sana.

 16. Woote munaojifanya matabibu sijui washauri hamjui kitu tatizo siyo kula tatizo siyo madawa ila tatizo wanaume tumeshazoea kutazama wanawake wanavo tembea uchi sasa ikiwa ivo unafikili itakuaje na kujistiri hawataki na hata sisi wanaume pia hatujstiri kwahivyo dawa kujistiri tu basi

 17. Justo Godwin Justo Godwin says:

  Asante kwa elimu powaaa sanaaa

 18. kusimamisha nini sijaerewa doctar

 19. Asante kwa somo lako doctor nimekupata sawa sawa

 20. Idrisa Haji Idrisa Haji says:

  Duh!hongera bhana

 21. Dr nimekuelewa sana na ubarikiwe sana kwa kutusaidia watz kwa ujumla. Naomba kuuliza nini Dawa ya bawasili maana ili ni tatizo sugu kwangu na hata kwa watu wengine sema wanaona aibu kusema

 22. Asante sana docter kwa elimu yako pia naomba kuuliza unapozunhumzia kihisia yaweza kupelekea tazo la upungufu wa nguvu za kiume ni vile ambavyo unahisi upo na mwenza wako labd ukasimamisha uume ingali hayup au ni namna gani docter

 23. Kubane Mruma Kubane Mruma says:

  Ukisasa ndio unatuharibu hongera sana kaka kupitia mada hii nimeelimika vyakutosha sembe na chips na fast food zote nisumu kwetu

 24. Wakn kaka mnahuska

 25. Rukia Mganga Rukia Mganga says:

  Sisi wa mikoani tukitaka tutapataje?

 26. Swaum Juma Swaum Juma says:

  Asante sana doctor kwaelimu nzuri uliyo tupatia kwani inahitaji kufanyiwa kazi Allah akulipe kwkazi nzuri uliyo ifanya

 27. Pendo Saidi Pendo Saidi says:

  Ahsante kwa elimu nzuri Mungu akubariki

 28. Asante Doctor kwa somo lako.vitu vya kawaida kila.siku.tunaviona.lakini.tunashidwa kutumia asante.

 29. Doctor inakuwaje kwa wale wanaowahi kufka klele ingawa badoanakuwa na uwezo wa kuendelea but kwa kwa kila goal hachelewi

 30. Juma Salimu Juma Salimu says:

  Hiyo Dawa unauza bei gani na naweza kupata mchanganyiko uliokamilika itakuwa ni bei gani?

 31. ILA DOCT NAMBA YAKO YA CM.

 32. Anna Mshanga Anna Mshanga says:

  Nashukuru kwa elimu yako nimeipenda sana Japo tuko mbali ubarikiwe pia nitayafanyia kazi

 33. Haji Lupola Haji Lupola says:

  Umetisha xana man hongera kwa kuelimisha jamiii bure kabisa wadau kazi kwenu

 34. Samahn he kwa wale mbegu zao hazizalish yan hana uwezo wakubebesha mimba ila nguv anazo

 35. Rajab Mtangi Rajab Mtangi says:

  Doctor upo Buza sigara sehem gan karibu na Tanesco au sigara ipi mana hii ndo mitaa yetu iwe rahisi kuonana?

 36. John Mzozo John Mzozo says:

  Je ukitaka kuongeza uume unafanyaje

 37. Mm nataka kujua vitunguu swahumu unatumia ukishakula au ujatia kitu chochote jamn nataka jufahm

 38. ahsante kwa mada nzur nina swali apo coz umezungumzia parachichi naona huwa tukila tunatupa mbegu au tunaeka kwa ajili ya kupanda ila niliona tena sehemu mbegu yake pia wanasema ni dawa sasa sijui unaeza tupa msaada apa wa kuzungumzia wanasema ile mbegu inakaushwa halaf inasagwa kupata unga ambao unaeza changanya na asali kutumia kama dawa vp hapa naomba ufafanuzi kama tikitik maji mbegu ukitafuna ndio bora zaid coz ni dawa mbegu xske wanasema vp kuhus mbegu ya parachichi?@fadhilipaulo.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *