Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

mbegu-za-maboga

Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana.

Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.

Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’.

Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.

mbegu-za-maboga

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

1. Kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu

Chukuwa punje 8 mpaka 10 za kitunguu swaumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha meza na maji vikombe 2 kutwa mara 2 kwa mwezi mmoja.

Pia hakikisha kila chakula unachopika basi kitunguu swaumu lazima kiwemo kama moja ya viungo na ukiweke mwishoni mwishoni kwamba kisiive sana katika moto wakati unapika hicho chakula.

 

2. Tikiti maji

faida za tikiti maji kiafya

Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya hivi siku zote.

 

3. Ugali wa dona

Dona

Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachana na mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu kwa ajili ya afya ya mwanaume. Kama ugali wa dona unakukera jaribu kufanya hivi, chukuwa mahindi kilo 10 ongeza ngano kilo 3 na usage kwa pamoja, ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu na unaweza kula na mboga yoyote tofauti na lile dona la mahindi peke yake. Fanya hivi katika familia yako kwa maisha yako yote.

 

4. Chumvi ya mawe

Chumvi ya mawe

Chumvi ya mawe ya baharini ile ambayo haijasafishwa au haijapita kiwandani ina mchango mkubwa sana katika kutibu tatizo hili. Tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako kila siku.

 

5. Maji ya kunywa

Maji ya kunywa

Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiri kiu. Kila mtu anahitaji glasi 8 mpaka 10 za maji kila siku. Maji ni mhimu katika kuongeza damu, kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini.

 

6. Mbegu za maboga

pumkin seeds

Ziloweke katika maji yenye chumvi, zikaushe. Zikaange kidogo bila kuziunguza. Tafuna mbegu 100 kutwa mara 3 kwa muda wa mwezi mmoja. Ukitafuna meza vyote, hakuna cha kutemwa hapo. Mbegu hizi sifa yake kubwa ni kuongeza wingi wa mbegu za kiume (manii), kama unatatizo la kuwa unatoa manii machache (low sperm count) basi hii ni mhimu sana kwako.

 

7. Asali na Mdalasini

Asali & Mdalasini

Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayo haijachakachuliwa, ongeza vijiko vikubwa 4 vya mdalasini ya unga changanya vizuri pamoja. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila unapoenda kulala. Fanya hivi kwa mwezi mmoja.

 

8. Chai ya TANGAWIZI

Chai ya Tangawizi

Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.

Ulaji wa tangawizi mbichi nusu saa kabla ya tendo la ndoa husaidia katika kuongeza hamu na nguvu ya tendo la ndoa.

Unaweza ukanywa chai ya tangawizi tu nusu saa kabla ya kuanza tendo au unaweza ukatafuna kipande cha tangawizi mbichi kwa ukubwa wa dole gumba la mtu mzima nusu saa kabla ya tendo.

Kunywa chai ya tangawizi mbichi kila siku, katika chai hiyo unayopika ndani yake weka tu maji na Tangawizi mbichi uliyosagia ndani yake (usiongeze majani ya chai humo), kumbuka tangawizi inaoshwa tu na maji na uisagie ndani ya sufuria pamoja na ganda lake la nje.

Sasa badala ya kutumia sukari wewe tumia asali kwenye hii chai yako ya tangawizi na ukiitumia hivi kila siku hutachelewa kuona faida zake. Tangawizi peke yake ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini!

Kama utahitaji asali ambayo imeshachanganywa tayari na mdalasini au unahitaji asali peke yake au unahitaji mbegu za maboga ambazo zimekaangwa tayari, wasiliana na mimi kwenye WhatsApp +255769142586

mbegu-za-maboga

(Imesomwa mara 21,653, Leo peke yake imesomwa mara 68)

You may also like...

1,126 Responses

 1. MACHIBYA MASELE LUPILI says:

  da!

 2. Nikasi kamanija says:

  Nimependa ushauri wa dawa kwa vile Ni vyakula na sio kemikali

 3. james joshua says:

  ushauri wa vyakula kama tiba umenisaidia sana nakula dona kila siku nimeona matokeo yake

 4. ELIA CHARLES says:

  Mimi niko Dodoma ningependa kupata mafundisho.kutoka kwa Dr

 5. Simpert says:

  I like the materials

 6. Japhet Mrangu says:

  Watu turudi bustani ya edeni ili maisha yetu yawe marefu..dr fadhili mungu akutie nguvu katika hii kazi

 7. Yamungu says:

  Nimepata ushauri bora namimi nitawashauri watu wasitumie kemikali

 8. Spora Omari Spora Omari says:

  Thanx! #Paulo Je vipi kuhusu wanawake ambao hawatamani tendo la ndoa mara kwa mara?

 9. Noel Simon Noel Simon says:

  Saaf sana tabibu

 10. Shebby Dee Shebby Dee says:

  Ahsante..ngoja niende sokoni nikalete..hizo bidhaa nianze dozi

 11. Anonymous says:

  vp kuhusu wanawake hawapungukiwi nguvu zakike?

 12. Mgonjwa wa sukari anaweza tumia asali na tangawizi kama ulivyojaribu kuelekeza? Asante kwa somo

 13. Yahya Ally Yahya Ally says:

  nahitaj no zak tuwacliane nahtaj hzo huduma zako dct,nahtaj asal mbegu za maboga please npe no zako

 14. Asante sana doctor kwa somo lako,

 15. Asante sana doctor kwa somo

 16. Hahhahahahahaha eti chumvi yamawe @@@@@@@ bado kidogo utashika tunguli

 17. Inasisimua Na Kufundisha Pia

 18. Asali iliyochanganywa na mdalasini lita bei gani?

 19. Vp kuhusu dawa ya vidonda vya tumbo.

 20. muheshmiwa vipi udishe unapatikana?

 21. Zilla De Son Zilla De Son says:

  Je naweza tumia kitunguu swaum uku nikiendelea tumia ata tangawizi? Namaanisha amna madhara yoyote #fadhili paulo

 22. Mungu akaubaili na akujaze nguvu ktk kazi ya elimu yako

 23. Salmin Said Salmin Said says:

  uwe unatuelimisha kila wakati

 24. tunashukuru dr kwa mafundisho mazuri

 25. je kuwa n hamu mpk unamchosha mwenzio huo ni ugonjwa sometimes kuchelewa sana kumaliza tendo nini tatizo hapo

 26. Sawa tunashkuru …tutakutafuta

 27. Hiyo asali lita moja iliyochanganganywa na unga wa mdalasin bei gan

 28. je! unaweza kutumia njia zote kwa pamoja

 29. Ni lazma kula vyakula vyote ulivyo olozesha apo

 30. urefu na unene tule chakula gan il ume uwe mnene na mrefu

 31. Ahsante sana Mr Paulo kwa somo lako

 32. Mm nlituma maombi uniunganishe Kwenye group lako whatsapp docta plz nakuomba

 33. Namba Yako Tafadhali

 34. Duuuu kwel brother umegusa mahala pake punyeto ni mchezo mbaya ambao madhara yake huwezi kuyaona haraka

 35. Ingekua vzr pia ukasena unapatikana wap

 36. sasa izo mbegu za maboga unatafuna zote 30 au?

 37. asante ndgu. yote uliotueleza yana ukweli . ahsante kwa kushea nasi.

 38. Umesomeka Dk. tko p1

 39. huna dawa kaka ya nguvu ya kiume acha kusumbuwa akili za watu

 40. ni lazima kutumia aina zote hizo za vyakula ulivyo vitaja hapo juu au unaweza kuamua kutumia aina mojawapo?

 41. Je hzo mbegu za maboga unanunua dukani zile ambazo kavu ndo unaloweka au ni zile ambazo zmetoka kwnye boga muda mchache?Na ni vema ungetangaza bei ya hyo asali ilochanganywa,n.k mana mwngne anaweza asiwe na whatsaap lakn akawa anatumia fb tu kwa hyo co vibaya hata humu.

 42. ukitumia ivyo vitu bila ya mazoezi dokta inakuwaje

 43. nashukuru kwa dawa nzur mama yoyo atanitambua reo.ila ilo tangazo la unga utaripia ushulu.

 44. safi sana docta, hili tatzo limeenea sana.mpaka watu wanatapeliwa.

 45. tunashukuru doctor!tunasubiri kwa hamu kuhusu hilo somo la wanawake kupungukiwa nguvu kwenye tendo la ndoa

 46. John Mushi John Mushi says:

  Thanx spora swali kam langu pamoja sana paulo.

 47. Asante sanaaa … Allah akubaliki sanaa ktk kaz yko

 48. toba mng wng 2hurumie, 2oshe kwa neno na u2takase.

 49. Edwin Malugu Edwin Malugu says:

  mimi nilikuwa napga punyeto kama 3 years ago ila sasa ninakama miez saba nmeacha kupga je nifanye nn il kujiwek sawa

 50. Nasibu Omary Nasibu Omary says:

  Naamu umetisha sana maujanja hayooi

 51. Somo ni zuri na limeeleweka kwa kila msomaji mwenye akili timamu

 52. kumbe midume mingi haina nguvu hahahahaha…!?

 53. Hivi vitunguu swaumu unameza pasipo kutafuna au unatafuna kwanza kisha ndio unameza

 54. John Mgelwa John Mgelwa says:

  Je doctor kuna vyakula vya kuongeza maumbile

 55. Juma Mtanda Juma Mtanda says:

  NIMEFURAHI NAMNA UNAVYOJIBU MASWALI KWA WAKATI. SAFI SANA.

 56. Elimu hii ni yakuzingatia kwa faida ya afya yako

 57. haji says:

  na kama ukifanya tendo la ndoa mara mo

  ja tu kisha huwezi tena kurudia mara ya pili kisha unachoka sana nini Tiba yake?

 58. John Mushi John Mushi says:

  Je hizo mbegu za maboga zikisha chagwaya zinawekwa kwaye jua au wapi kwamuda gani?

 59. asante kwa msaada wako

 60. Pelad says:

  vipi kuhusu kutumia karanga mbichi badala ya mbegu za maboga?

  • fadhili says:

   Zinasaidia ila mbegu za maboga ni zaidi, kuna faida lukuki kwenye mbegu za maboga, zina madini ya zink, zinashusha BP, Cholesto, zinakupa utulivu na usingizi murua. Huwezi kulinganisha na karanga kwakweli. #Pelad

 61. Jonathan says:

  Nimeipenda sana

 62. slm says:

  Juice ya udishi ni noma ndugu zangu mimi nilioona mabadikiko ndani ya wiki

 63. Peter katala says:

  Thanks

 64. Mohamed Mwinyi says:

  Hongera kwa taarifa nzur za afya kwa uma

 65. kennedy says:

  dr.fadhili nimependa uxhaur wako ila me ni mmoja wa kijana ninayepiga maxterbation na yote coz girlfrnd wangu hatak kufanya mapenz na mm na ndio maana naamua kupiga maxterbation tu cjui hapo utanixaidiaje

 66. Waambie doct, maana wanaume wengi wanapenda kula vyakula laini. Kitandani kimoja wako hoi, na amegeuka upande wa pili anakoroma.

  • Wewee umejuajee km wanaumee wengii wakoo ivyoo? Bakii njia Kuu Mchepuko cyo Dilii

  • Matteus Rudovic, comment ndiyo zinajieleza au haujazipitia nn?😂😂😂

  • Prisca Feruz Msweki msiziangalie kasoro zetu ataa nyinyii mnakasoroo nyingi sanaa ilaa wanaumee tunavumilia mengii na ukutii mwanaumee aliyekamilikaa anawekaa kasoro za mkewee ktk mausihanoo lkn cyoo nyinyii mnatuvua nguo sanaa mbelee za mashogaa zenuu

  • Kwan nimashindano hayo

  • Matteus Rudovic, cjakataa ila hapa tuko kwenye mada na hizi ni changamoto tu za maisha. Mbona hivi vitu ni vya kawaida sana kuviongelea, na pia ili watu waweze kusaidika. Na hata doct akiongelea kuhusu mwnamke nitachangia yanayohusu.

  • Frank Mallya Frank Mallya says:

   Prisca halizishwi na kimoja jaman anataka nyingi.plz prisca nitafute nakuahid utafurah

  • Prisca Feruz Msweki mbona nyie pia mnamatatizo chungu nzima? asilimia kubwa siku hizi mmekuwa magogo kitandani hamjiwezi,kwahali hiyo kwann mwanaume asipige kamoja na kugeuka wakati anakua amelala na gogo? mbembwe za mwanamke kitandani ndo zinazomfanya mwanaume atamani kukupanda kila mara mpaka ukatae mwenyewe,matatizo yapo kwa kila mwanadamu na kumbuka hayaombwi yanajitokeza tu, nyie wasema tu sababu kazi yenu ni kukinga na kumwagiwa kama vile umeenda bombani na kufungulia maji yaingie kwenye ndooo!!!

  • Prisca Feruz Msweki mbona nyie pia mnamatatizo chungu nzima? asilimia kubwa siku hizi mmekuwa magogo kitandani hamjiwezi,kwahali hiyo kwann mwanaume asipige kamoja na kugeuka wakati anakua amelala na gogo? mbembwe za mwanamke kitandani ndo zinazomfanya mwanaume atamani kukupanda kila mara mpaka ukatae mwenyewe,matatizo yapo kwa kila mwanadamu na kumbuka hayaombwi yanajitokeza tu, nyie wasema tu sababu kazi yenu ni kukinga na kumwagiwa kama vile umeenda bombani na kufungulia maji yaingie kwenye ndooo!!!

  • Sospeter Nashon wew upo sahih kabisa mwanamke akiwa gogo lazima apewe kimoja tu, lakini akiwa na mbwembwe kw mmewe lazima achezee bakola nyingi maana anakua na ushawishi.

  • Aizack Didas Aizack Didas says:

   Umetishaaaaa kinoma

  • Sengaa Msuya Sengaa Msuya says:

   Plz prisca njoo kwang mm nikimalizaga ki1 naunga nisha na cha pili ndio nipimzike .. plz fAnya hvo. Ila na ww uwe unajishughulisha s unakaa kama unaomba hela

  • Sengaa Msuya Sengaa Msuya says:

   Plz prisca njoo kwang mm nikimalizaga ki1 naunga nisha na cha pili ndio nipimzike .. plz fAnya hvo. Ila na ww uwe unajishughulisha s unakaa kama unaomba hela

  • NAKUONEA huruma Dada prixca
   Nki do nawe unaweza mkimbia #Mmeo nakwmbia mnArA ukisimama yan we n mwendo wa vilio tu chumban

  • Mdada wa watu amecoment ndio mmeanza kumtaka…. Njoo prisca twende zetu tukacheze kombolela nkufundishe kucheza muziki.. 👫

  • Uko vizuri dada inaelekea mechi unaiweza

 67. Sikweli uchovutu wapilik pilik

 68. Hv hamna kitu kinaitwa ukosefu wa nguvu za kike?

 69. Maana kila siku sisi tuuuu

 70. Nafikiri hii ni dozi kamili

 71. BASI KWA MADA HII WA KIKE WATATOKWAAAA MAPOVUH

 72. Somo zuri Ila kuna kitu umesahau doctor.ukiwa unatumia mafuta ya habat soda pia yanaimarisha sana Mashine.unaeweza kutoboa hata Nguo ya ndani ya mwanamke.lkn Asali na tangawizi nimetumia nimeikubali sana.uko vizuri broo

 73. ushawahi kuckia nani dunian kaendelea kwa kuwa na nguvu nyingi za kiume? Me nataka chakula kinachoongeza hela,,,,, hzo nguvu za kiume kama kuna wanawake wanazihtaji wabadilishe jinsia afu waongeze kadiri ya uwezo wao

 74. Elias Bujiku Elias Bujiku says:

  ndo shingap uo mchanganyikoo

 75. Juma Mlacha Juma Mlacha says:

  Hasante kwa elimu nzuri

 76. Jacob Yesaya Jacob Yesaya says:

  SAfikabsa nime kupata vzr

 77. Naomba kuuliza je musterbation inachangia kupunguza kwa nguvu za kiume

 78. Tunaokuelewa tunaendelea kuelewa.Barikiwa

 79. Tatu Ally Tatu Ally says:

  Asante kwa kutujuza

 80. kwa mfano nguvu za kiume zikizdi unafanyaje mkuu ? maana kila cku tunaona au kuckia tiba kwa waliopungukiwa vp kwa waliokuwa na zidio la nguvu za kiume?

 81. Wapi tende, komamanga na supu ya samaki mfano pweza

 82. Tunashukuru kwa ushauri safi sana endelea kuelimisha jamii. Nitakutafuta big up

 83. Dr, je? tangawizi inawafaa watu wenye presha ya kushuka,

 84. Allah akufanyie wepesi upate afya njema uzidi kutupatia tiba

 85. Nguvu za kiume kwa mwanaume NI uwezo wake Wa kazi za kujenga taiga na sio kazi ya kuridhisha mwanamke

 86. Hongera cn kw darasa lako zuri bro elimu unayotupatia ni msaada tosha ktk maish yetu

 87. pa1 nimekupata daktar yaani umegusa mahari penye kidondo cha wengi maana wengi sana wanahaso kwa tatizo hili

 88. Ally Ally Ally Ally says:

  Very nice, ok naomba kuuliza inakuwaje ukiamua kuandaa juice ya mchanyiko wa tangawizi vitunguu swaumu, tikiti maji pamoja na asali??

 89. Hongera sana mwenyezi mungu akufanyie wepesi uzidi kutupatia Elim hii

 90. TUNASHUKURU KWA FAIDA HIZI.

 91. Nawale ambao ni watu wazima lakini man hood zao ni ndogo watumie nini ili ziwe kubwa

 92. Doctar mm narudi nyuma kidogo naomba nisaidie kuhusu tiba ya stafeli ulisema ile juic yake unachemsha alafu hunachanganya na nn nina tatizo naomba nisaidie

 93. Somo moja zuri mwalimu

 94. et kwa mfano kabla ya tendo unaenda kwanza bafuni kukojoa mkojo wa kawaida na baada ya tendo mkojo unakubana tena unaenda kukojoa bafuni, tatizo nini?

 95. Ngano unayosema ni hii ya chapati??

 96. Asante kwa darasa lako zuri

 97. Tunashukur Kwa Elimu Yak Nzur Je Waliyok Nnje Ya Nchi Wanaweza Kuyipataj?

 98. Vip kama mtu anaweza kutafuna kitunguu swaumu haina madhara?

 99. Huwezi kua na nguvu za kiume saws na MTU menye umri Wa miaka 25 na miaka 40 lazima ziwe tofauti.na hiyo NI lazima.umri inapo ongezeka Nazo zinapungua mawazo ya MTU Wa miaka 25 sio saws na MTU Wa miaka 40 miaka 40 anawaza zaidi majukumi ya familia na sio ngono.mapenzi NI hisia na kichwa kinatakiwa kiwe kimetulia.hats ukula mlenda na umri umekwenda na majukumu yana kusumbua NI kazi bure.dawa ya huakiki ya nguvu za kiume NI PESA TU vingine NI biashara TU.

 100. umetisha sana, hop uko vzr pia

 101. Docta umegusa panapotakiwa hili tatzo lishakuwa hadisi sikuiz lakini kwa elimu hii naamini faida tumeipata asante mtibabu.

 102. Mosses Mussa Mosses Mussa says:

  Vp nikichanganya unga wa dona na unga wanga uliotayarishwa kwa chapati au maandazi yaan wa azam. Nitapa hayo matokeo?

 103. Ndege John Ndege John says:

  Mm cjui nifanyaje maana zimezid

 104. Frank Gama Frank Gama says:

  Niushauli uzuli balikiwa

 105. Safi sana mm nitaanza kesho asubui ushauli zaidi tunaitaji dokta

 106. Sante nimekuelewa docter

 107. Oto Masawe Oto Masawe says:

  Safi sana kwa kutuelimisha

 108. Pzo Heriel Pzo Heriel says:

  Sante sana sasa rungu LA kipepe litaadhibu vilivyo

 109. Asante kaka nikitaka kukupigia private unapatikana kwa namba ipi

 110. Asante mkuu kwa elimu ya afya ya mwili na uzazi pia!

 111. Mimi zimezidi docta nimekimbiwa na wanawake 3

 112. Vp kuusu miogo ufuta au karanga vinausikapia?

 113. Asante Sana Doctor

 114. Vicent Kira Vicent Kira says:

  Asante kwa somo nitalifanyia kazi barikiwa sana ndugu

 115. Denis Mdoe Denis Mdoe says:

  Shule nzuri kaka.

 116. Karanga haiongezi nguvu zakiume na ni aina gani mbichi au hatailiyokaangwa/kuchemshwa

 117. Asante, karbu tabora,!!

 118. Tino Jo Tino Jo says:

  vp kuhusu unga wa mbegu za katani na maji ya waridi

  • wasiliana na mimi kwenye WhatsApp +255769142586 Ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy ipo Buza Sigara temeke unaingia kupitia jet corner (uwanja wa ndege) au tandika.

 119. Asante, karbu tabora,!!

 120. Ahmad Ali Ahmad Ali says:

  safi sana, nimeipenda hii

 121. Naomba namba za sim ,kwa mawasiliano zaidi,

 122. Ahsante Mungu akubariki sana. Nitakutafuta baba umegusa mahali pa changamoto.

 123. Mary Mtei Mary Mtei says:

  duuuh asante somo zuri

 124. Asante kwa somo zuri

 125. Mkongwe Dawa Mkongwe Dawa says:

  Asante doctor sema nini uwounga itakua shida kwa sisi wamkian

 126. naomba kuliza mtu anaye piga punyeto inachangia kupunguwa kwanguvu kiume

 127. Benny Isack Benny Isack says:

  Gud gud more more than….!!

 128. Fay Mnung Fay Mnung'a says:

  Nice napitiaga sana masomo yako mung akubariki

 129. Winnie Jacob Winnie Jacob says:

  Somo zuri Dr ubarikiwe

 130. Shukran maalm ubalikiwe

 131. Prisca Feruz Msweki ww mchokoz aisee, of course nguvu za kiume ndo muhimu aisee na hakuna kitu naogopa kama kushindwa kumridhisha mwanamke kitandan

 132. Sasa wewe unaelimisha sawa tukikuomba dawa unataka pesa sawa ndio Kazi yako toa dawa nikipona nakupa pesa yako watu wengi hawana uhakika wanaogopa kuliwa.

 133. Samahan dokta..nilikuwa naomba link ya post inayohusu tatizo la kupata choo,mana nimetafuta kwenye page yako sijaona..nisaidie tafadhali.

 134. We prisca feruz msekwi haujakutana na kazi vizuri hutosubutu kucma hivyo

 135. Prisca mi nakukaribisha uone utacmulia

 136. Ubarikiwe San na mbana kwa kuokowa ndoa za wengi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *