Wasiliana Nami

Vatican - Italy

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba Asilia. Ninaishi Dar Es Salaam na ni Mtanzania. Kwa sasa nasoma Sayansi ya Kompyuta kwa njia ya mtandao.

Ninayo ofisi yangu binafsi jijini Dar Es Salaam lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao.

Kama unahitaji kuonana na mimi, weka miadi (appointment) Kupitia WhatsApp +255769142586 na unaweza kuniona Victoria Home Remedy iliyopo Buza Sigara Temeke, unaingilia Tandika au Njia Panda ya Jet (uwanja wa ndege).

Ukiwa Kariakoo, Stesheni mjini au Mnazi Mmoja, unaweza kuziona daladala zimeandikwa Buza – K/KOO au Buza – Posta, Buza – M/Mmoja au Buza – Mhimbili kama unapita tandika, kama unaingilia njia panda ya jet ukiwa kariakoo utaona daladala zimeandikwa Machimbo – K/KOO pia Ukiwa Stendi kuu ya mabasi ubungo (mawasiliano) utaona daladala za Ubungo – Machimbo.

Kumbuka, usije tu kabla ya appointment yako kukubaliwa na kujibiwa kwamba uje.

Kwa maulizo yoyote niachie ujumbe kwenye WhatsApp kwenye namba +255 769 142 586, Ukiona nimechelewa sana kukujibu usiache kunitafuta tena hata siku inayofuata.

13310407_1348490351834253_4979532465422137324_n-300x300

Pata uelekeo mahali nilipo kwenye ramani (inaendelea kuboreshwa)

(Imesomwa mara 14,883, Leo peke yake imesomwa mara 105)