Naitwa Fadhili Paulo

Ni Tabibu wa Tiba asili. Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam. Lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao. Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni. Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointment) kupitia WhatsApp +255714800175. Pia nakujulisha kuwa sina wakala wala tawi popote duniani.

Uzoefu wa kutosha

fadhilipaulo.com imekuwepo hewani tangu 2013. Nimefanya kazi hii tangu 2011. Nina uzoefu wa kutosha juu ya kile nimekuahidi naweza kukusaidia.

Bidhaa zenye ubora

Bidhaa zangu zote zina ubora wa daraja la A. Ninaziandaa mwenyewe kwa kutumia mitishamba na mimea ya hapa hapa Tanzania kwa kutumia mikono yangu mwenyewe kwa asilimia 100.

Support masaa 12

Nipo na wewe popote ulipo bila kujali upo wapi masaa 12 kila siku kuanzia saa moja asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni, jtatu hadi ijumaa kupitia WhatsApp +255714800175. Unachat na mimi moja kwa moja bila kulazimika kupitia kwanza kwa sekretari au mhudumu mwingine yoyote.